DIAMOND:ZARI ANAHASIRA/TULIKUWA HATUONGEI/NILIPANIKI/NIKAMTEXT/HAKUNIADHIBU KUPITIA WATOTO

  Рет қаралды 376,592

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

#wasafi #goodmorning #diamondplatnumz

Пікірлер: 185
@mariamohammed8762
@mariamohammed8762 4 жыл бұрын
THAT'S A VERY GOOD STEP, I WISH YOU WILL BE GOOD FRIENDS AND GOOD PARENTS BOTH FOR YOUR CHILDREN. YOU GUYS DO WHAT IS RIGHT FOR YOUR CHILDREN WITHOUT LISTENING TO ANYONE NOT EVEN TO YOUR PARENTS, LISTEN TO YOUR HEART AND GOD GUIDANCE. BE BLESSED BOTH OF YOU.
@OlinaNKotee
@OlinaNKotee 4 жыл бұрын
Just reading some comments, so I can understand what they're saying. Diamond my favorite musician. Much love from me in Liberia
@nawihadj6674
@nawihadj6674 4 жыл бұрын
Zari is a best wife bro ,kwaupnda w Wngu na nmkubar sn
@roseshanyisa9175
@roseshanyisa9175 4 жыл бұрын
King Diamond wewe na Queen Zarri mulikuwa mnapendana kuliko maelezo, na penzi lenyu hakika hakuwa Na pengamizi nalikumbali sanaaaa na nitafurahi saaana mkirudiiya team Zari Keenya.
@georgettetiemele8220
@georgettetiemele8220 4 жыл бұрын
Diamond no longer inspires confidence, do it for your children but you be careful, we love you and your children. God bless you. Fan from Ivory Coast 225.✌ 🌹💖👑😷🙏🙏😘
@annitabobo5438
@annitabobo5438 4 жыл бұрын
Hakuna kitu inafurahisha kama kuona familia iko poa coz most of the time kids suffer alot am so happy you guys settle down your issues can't wait for Rona to finish and see more actions. I remember when they were dating Instagram was on 🔥🔥🔥🔥
@mercynelima4241
@mercynelima4241 4 жыл бұрын
Haijalishi Nani ana hasira,take care of the kids na sio vizuri watoto wajue misukosuko Kati yenu.
@nassormakwaya5970
@nassormakwaya5970 4 жыл бұрын
Unaakil sana Naseeb Allah awaondolee chuki baina yenu mkae kwa aman mlee watoto kwa pamoja magna est!!
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 жыл бұрын
Hongera sana km mmemaliza tofaut Zenu bora mlee watt wenu jmn
@sabinadede9138
@sabinadede9138 4 жыл бұрын
Waow nafurahi kusikia zari na diamond kuongea walahi mungu ni mkubwa🙏🙏🙏🙏
@naomicharles6002
@naomicharles6002 4 жыл бұрын
Safi saaaana hata mungu huko mbingun atakua aneshangria safi
@jullymshashu856
@jullymshashu856 4 жыл бұрын
Yaaaaan unishindi mimi sabina dede achaaaaaa
@allyjuma6869
@allyjuma6869 4 жыл бұрын
Khaaaaa
@levinamwaila7847
@levinamwaila7847 4 жыл бұрын
I’m greatful for your management diamond🙏🏾it’s holly month and right time to forgive each other and my Allah bless you
@doreenbomba6341
@doreenbomba6341 4 жыл бұрын
Siamond nakupenda sana bro ukiwa na fedha manunga embe watakupenda sana yan utawakamata woteeee ILA ujue mwanamke huwa ni mmoja tu MKE WAKO ni ZARI ana heshima na mama yko sana na mke anayeheshim wazazi ndio mke nakuomba kaka nakuomba sana usiache watoto wko walelewe na mama peke yke kama ni makosa kashajua hata rudia msamehe ZARI mimi hata uoe nani bado nasema sio mke kama sio ZARI yaliyobaki yte manungaembe tuuuuu pia hata kama watasoma meseji hiii wajue kuwa ni manunga embe tu mama yetu tunamjua ni ZARI
@roselyneandeka2078
@roselyneandeka2078 4 жыл бұрын
Maskini, they seemed like soul mates...
@mariamsuleiman1638
@mariamsuleiman1638 4 жыл бұрын
Hapa anakua mstaarabu lkni diamond mm tabia yako ni mbaya badilika na utafanikiwa zaidi
@janemisso9722
@janemisso9722 4 жыл бұрын
Mmh!! Asante Mungu kwa hili nalo hakika mwanzo ni mzuri Sana Hongera Sana Diamond😍😘
@ireneakinyi2082
@ireneakinyi2082 4 жыл бұрын
Diamond that so good for what u did well done diamond
@MariamMohamed-bw8xf
@MariamMohamed-bw8xf 4 жыл бұрын
Aaaaah simba nime furai sana haya very good baba tii 💕💕
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 4 жыл бұрын
mashallah unajuwa kujibu hadi raha
@wayeakarbaker
@wayeakarbaker 4 жыл бұрын
I wish they can go back together
@emmanuelyzubely4610
@emmanuelyzubely4610 4 жыл бұрын
Yaan mond kwel nakupnda maan unajielewa Sana kwanza unajuwa kujielezea wew ndo msanii niliy kuchagua maixha yangu yoteee naomb mungu aendele kukublesss
@fedrickagustino991
@fedrickagustino991 4 жыл бұрын
Hapo diamondi ataheshimika kama wakifanya colabo na zarithebosslady ya kuombeana msamaha itakiki itapata viws milioni moja kwa masaa matano
@johnamnyange6108
@johnamnyange6108 4 жыл бұрын
kitenge unakua mtangazaji mzuri ila jaribu kuacha mbwembwe nyingiunaharibu mda mwingine unaharibuu
@aminamarie2387
@aminamarie2387 4 жыл бұрын
Vizuri umefanya uamuzi nzuri nassib
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 4 жыл бұрын
This time usitafute hawa wanawake wa mtandaoni ...Tanzania kuna watoto wazuri wana heshima nenda shinyanga ,Tabora,kigoma huko kwenu kuna watoto wa kishobe wa kiarabu waslam ,watoto wamelelewa ..Utapata mke wako wa nyumbani...Achana na hao magulagula wameshindikana na dunia....Diamond you are nice guy ...Angalia wanaume wengi ma super star..hawa ma ex ..baby mama zao ndio huwa wana wachafuwa usipo kuwa makini sana....Tunakuombea mungu akuepushe na Shari za mahasidi na mahasimu ma ex ...Kanyanga wote wataregea ....Inshallah mwenyezi mungu akufanyie wepesi ,Stay safe...Ramadan Kareem.
@breshbrendah4662
@breshbrendah4662 4 жыл бұрын
Wow great job point taken
@ericodavido7680
@ericodavido7680 4 жыл бұрын
Diamond anajua kujibu interview zake sana
@kikiderreck9930
@kikiderreck9930 4 жыл бұрын
Anajielewa kijana ndio faida ya kukaa karibu na wakongwe waliojaliwa hekima za Mungu..
@charismadancers2211
@charismadancers2211 4 жыл бұрын
Sanaaaaa
@sambayoo6441
@sambayoo6441 4 жыл бұрын
Zaidi ya sana
@annaaziz3831
@annaaziz3831 4 жыл бұрын
erico davido mambo
@childishgambino7448
@childishgambino7448 4 жыл бұрын
@@annaaziz3831 poa sana.niko salama siijui wewe?upo mjini au?
@mbwananothylicious7158
@mbwananothylicious7158 4 жыл бұрын
nimekuelewa Diamond mheshim
@mariamutubemusciraveutubem3136
@mariamutubemusciraveutubem3136 4 жыл бұрын
Wawo soo nice mai nose lady to talk to dady ov yo kids Alihamudulillah
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Me zari na appreciate more than chibu coz zari anaakili ming na za ziada🙌. Chibu punguza misifa
@augustuss4503
@augustuss4503 4 жыл бұрын
You're right, you can have all the money in the world, without your own family you're nothing.
@hatibuguo4740
@hatibuguo4740 4 жыл бұрын
Sawa nimekuskia
@mahamudahmed7093
@mahamudahmed7093 4 жыл бұрын
Mahamud Saidi Ahmed hi
@itsangycuisine1162
@itsangycuisine1162 4 жыл бұрын
O that nice👌
@lecksonkasebele4395
@lecksonkasebele4395 4 жыл бұрын
Lkn kk Mimi ningekuwa mchawi ningefanya mrudiane tu huwa ninaota muda fln mmerudiana namwomba sana Mungu awape wepesi kaa pamoja mmalize tofauti zenu muishi pamoja kila binadam ana mapungufu kubali yaishe kk watoto ndo kila kitu. Unajua ulupokuwa na zari mambo mengi sana alionesha anajua kuendesha maisha harafu ni mtafutaji lkn hawa wengine ni masilahi lkn ht kutafuta hawajui
@sammysammy2001
@sammysammy2001 4 жыл бұрын
Mwambie arudi nawatoto broo
@finleynyakundi6044
@finleynyakundi6044 4 жыл бұрын
First time Diamond has used protection(the face mask)
@nadinagafaranga9007
@nadinagafaranga9007 4 жыл бұрын
Ongera sana naushukur mungu 🙏🙏🙏+34
@engineertarimo7345
@engineertarimo7345 4 жыл бұрын
Kitenge Mtangazaji mzuri, ila una kelele Sana Mkuu, punguza kidogo
@stellaambrose6021
@stellaambrose6021 4 жыл бұрын
Si mzaramo.....
@razakpaulo6407
@razakpaulo6407 4 жыл бұрын
Diamondi nakuelewaga sana et bomba la caption
@kikiderreck9930
@kikiderreck9930 4 жыл бұрын
Big up..kijana...xaxa umekuwa GOD BLESS U"
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 4 жыл бұрын
Mhh🤦‍♂️ kwa kujikuta wajomba Hamjambo
@kikiderreck9930
@kikiderreck9930 4 жыл бұрын
@@jessicabrown5885 nadhani fikra zako na nilivyo maanisha ni tofauti...so usiongee usichoelewa
@rozmihambo1935
@rozmihambo1935 4 жыл бұрын
Tuliza hasili zari tunakupeda napeda muwe pamoja
@shebyflavor6165
@shebyflavor6165 4 жыл бұрын
nakupendaga sana mond hunaga roho mbaya hata ukishirikishwa kimziki huwa unawatendea haki mpaka wimbo unakuwa kama wako endelea kuwa nna moyo waiva wa ivyo wenye wivu tupa kule
@rehemaothman8891
@rehemaothman8891 4 жыл бұрын
Ma sha Allah
@mudathirmwambe8482
@mudathirmwambe8482 3 жыл бұрын
Very nice
@moureenmwende3989
@moureenmwende3989 4 жыл бұрын
Wooow
@seiftupa7959
@seiftupa7959 4 жыл бұрын
it's platinum
@charlesmasanja6161
@charlesmasanja6161 4 жыл бұрын
Mmmh mambo yakifamilia si vizuri kuwa hadharan
@nasramohdmasoud2154
@nasramohdmasoud2154 4 жыл бұрын
U are good
@fababindawood8363
@fababindawood8363 4 жыл бұрын
Yaan mondi hakuna mfano wa yoyote kwenye kujibu maswali
@TheFusion360
@TheFusion360 4 жыл бұрын
Diamond anatakiwa kukeep mambo yake ya mahusiano private
@dinakabengele8336
@dinakabengele8336 4 жыл бұрын
The Fusion Show ni star ukakuwa hakuna mambo ya privat hata marekani ni vile
@cuteme4870
@cuteme4870 4 жыл бұрын
Kwa hao wanawake zake wanavopenda kuweka hadharani
@kalufunyangenyakinyungu5087
@kalufunyangenyakinyungu5087 4 жыл бұрын
Diamond hana shida kwa usiri anatuwakilisha wanaume vizuri tu,tatizo lipo kwa wanawake wenyewe mara nyingi huwa wakiwamis x wao huanzishaga vya kubumba ili mradi tu wapate kusikia hata sauti zao,au hata text tu.
@ameenaameena6055
@ameenaameena6055 4 жыл бұрын
@@kalufunyangenyakinyungu5087 hahahahaha jaman na ss wanawake mda mwengine tunajiona ss ndo ss tuwe makini kwa baba wa wtt wetu kaongea mengi sn Zari kuhusu dai hapeleki huduma za wtt wakati yy ndio alimfungia vio hata wtt hana mawasiliano nao sahivi kaona kunataka kutolewa msaada yy anapanic na kupost ujinga wk hahahahaha
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 4 жыл бұрын
Mimi nawaambiaga watu ambao hawajakutana na Diamond hawamwelewi ila ana Busara sana akiongea Ndio maana kafanikiwa
@Kai_busati
@Kai_busati 4 жыл бұрын
wewe umekutana nae?😀
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 4 жыл бұрын
Kweli kabisa ni mstaarabu
@anithajaphet4587
@anithajaphet4587 4 жыл бұрын
@@Kai_busati swali langu pia kakutana naye
@beatriceisack5317
@beatriceisack5317 4 жыл бұрын
Uvaage vizuri shati halina vifungo
@rehemadearing3380
@rehemadearing3380 4 жыл бұрын
Thanks God. Diamond unakua
@romananyaulingo8687
@romananyaulingo8687 4 жыл бұрын
Nakupend bule
@winyalvin5696
@winyalvin5696 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa sana asante sana mungu yani d na zar wanaendana sana Mungu mkubwa yani na wapend sana Mungu awabariki milele mke mwema d ni zar jamani sawa eee hapohapo kaka yangu kipenz
@elmonndunya4861
@elmonndunya4861 4 жыл бұрын
Diamond tafuta Zari urudiane naye utangaze wasiwasi kuwa Zari ni mkeo, wale wengine ni wakukuvionza kama kube
@paulinamhando7951
@paulinamhando7951 4 жыл бұрын
Nimeipenda hii sana
@malyunabdillahi8503
@malyunabdillahi8503 4 жыл бұрын
This is what happens when u r a woman with class,no one tries to cross lines ,if zari,was not the woman she is now ,it would be a very different case in all
@christinammassy1550
@christinammassy1550 4 жыл бұрын
Nahisi mkirudiana, hamtoachana tena na utapaa hadi mbinguni kabisaaaa...
@dusengimanafanuel5789
@dusengimanafanuel5789 4 жыл бұрын
Wants rwandaa tuna gushukuru Bab wetu m,Afriqua wewe Simba binayendekaa?🙄🥴🤒🤕😎♥️💘💝💕💞💓💗💖✌️🤘☝🏽💃🕺
@haronchirchir9695
@haronchirchir9695 4 жыл бұрын
CONGRATULATION SIMBA
@kerubohellen
@kerubohellen 4 жыл бұрын
Stephen and I made the right thing
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 жыл бұрын
Diamond hawezi fanya entervien bila kusena is not make sense 😐 hata iweje hawezi kapita
@annefeorella9345
@annefeorella9345 4 жыл бұрын
Hhaa
@iraqiraq9500
@iraqiraq9500 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@zuhran8676
@zuhran8676 4 жыл бұрын
Masha allah kher
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 4 жыл бұрын
star wa Africa
@rahelmasiga1503
@rahelmasiga1503 4 жыл бұрын
Mkurugenzi kawa mpole
@lucciacaccia1551
@lucciacaccia1551 4 жыл бұрын
Mimi nawapenda Sana nyie dai na zareee
@gowgow9212
@gowgow9212 4 жыл бұрын
Dah mbn mambo yana badirika sana
@kokotoniarts1318
@kokotoniarts1318 4 жыл бұрын
Diamond PLATNUMZ
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 4 жыл бұрын
Zari bado anampenda diamond amefurahi kuona kamuacha Tanasha tatizo zari ana jeuri
@lucyisrael6121
@lucyisrael6121 4 жыл бұрын
Diamond akiwa anaongea anakuwa mstaarabu kweli utasema huyu ndo mume kama hapo alivyoongea ila sasa sijui ni pepo analo la kubadili wanawake ovyo,kiukweli mi napenda awe na Zari sana sana,badilika kijana we ni kioo cha jamii
@KenyaNewsTodayTv
@KenyaNewsTodayTv 4 жыл бұрын
Hapa Kenya wanakuitanga Bwana Mkunaji, Je huko Tanzania? Wakenya hawakufurahishwa na kitendo cha kukuna Tanasha na kujitenga na yeye tena rafiki yako kusema Nasha hakuwa top kitandani ,ni hayo tu kwa sasa!!
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 4 жыл бұрын
Uyu jamaa mahojiano yake anajuwa sana kujibu. Sio yule kiba wakujikesha chekesha tu. Mara no coment kama mtoto mdogo tu.
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
Ushamba mwingi. Jambo likivuja, lijuvue. Mondy kalivujua. Zari mwelewa anaonekana!
@abassking8296
@abassking8296 4 жыл бұрын
Wasafi kuna mwalimu wa kufundisha kujibu maswali mtu kaja kwenye interview unamwambia mtangazaji no comment umekuja kufanya nn
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
@@abassking8296 Hahahahahaa
@samsonmusa7626
@samsonmusa7626 4 жыл бұрын
Steven msaaada. Msaada. Unaona mbali sana
@ziporakaulimbo97
@ziporakaulimbo97 4 жыл бұрын
Mkurugenzi hebu rudisha mpira kwa beki bana tufurahi siye tena tunataka ndoa ila nimependa sana
@faridashabani5940
@faridashabani5940 4 жыл бұрын
Diamond mrudie Zari amekuzaloa Unique girl na ndo mtt wako wa kwanza
@immahkobeh1276
@immahkobeh1276 4 жыл бұрын
zari anaumia sana jmn
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 4 жыл бұрын
Mmmmh amkeni amkeni zarina atatimba tuu mjengoni mwake🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤣🤣🤣🤣
@angelmutua9575
@angelmutua9575 4 жыл бұрын
Hakuna mahali amesema watarudiana ila swali ya kusadia watoto
@sakinaramadhani5684
@sakinaramadhani5684 4 жыл бұрын
Safi sana
@islamicreligion962
@islamicreligion962 4 жыл бұрын
Unazingua
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 4 жыл бұрын
kwenye watangazaji sijawai kuwaelewa ni kitenge coz uwa anapayuka kishenz
@dusengimanafanuel5789
@dusengimanafanuel5789 4 жыл бұрын
Wewe nagupenda sanaa😭😭😭🤣🤣🤣🤣🧐🙄😷💝💘
@nicholasandrew7599
@nicholasandrew7599 4 жыл бұрын
Simbaaa
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 4 жыл бұрын
Next you will claim Zari is begging you to marry her.... you are very untrustworthy story teller Zari has to be very careful with this snake going by name of DOMO
@dorcasdee1114
@dorcasdee1114 4 жыл бұрын
True
@khalfansalim3441
@khalfansalim3441 4 жыл бұрын
U dont know what u r talKing about....people change
@millionbill7587
@millionbill7587 4 жыл бұрын
Last I checked gossiping during Ramadan is forbidden 🙄🤔
@babjithephotographer5602
@babjithephotographer5602 4 жыл бұрын
Siyo gossip lakini basi na we pia unasikiza
@godfreymdahila6352
@godfreymdahila6352 4 жыл бұрын
Waoooh
@fedrickagustino991
@fedrickagustino991 4 жыл бұрын
Muda wote miaka miwili kweli jamaa una roho mbaya kinoma unamuonea wivu hadi mama watoto wako.aliyekupa heshima ya kuitwa baba baadae mukaungana na hamisa mukamuroga kutishia kuuza nyumba wanao wakiwa ndani ndio maana watu wanasema una roho jui ya mafanikio ya wengine
@sarahmueni4406
@sarahmueni4406 4 жыл бұрын
Wow am happy to hear that
@sylviaug53
@sylviaug53 4 жыл бұрын
Sarah Mueni sorry what did he say please
@sarahmueni4406
@sarahmueni4406 4 жыл бұрын
@@sylviaug53 who?
@kamjeshi7927
@kamjeshi7927 4 жыл бұрын
Anae juwa Yule mama nyuma ya Simba antajie jina
@kamayangijoan3285
@kamayangijoan3285 4 жыл бұрын
2:18 hivi hivi na hivi 😅😅
@siasmiles8057
@siasmiles8057 4 жыл бұрын
Kamayangi Joan 😂😂😂hivi na hivi na hivi
@richardtv8339
@richardtv8339 4 жыл бұрын
Hvyo tu😂😂😂
@ndegealfred3639
@ndegealfred3639 4 жыл бұрын
Ok fresh lakin wanna ndo Kila kitu
@abubakaralifoum7499
@abubakaralifoum7499 4 жыл бұрын
Subway surfer
@davidorito1707
@davidorito1707 4 жыл бұрын
Safi
@donbravotv8202
@donbravotv8202 4 жыл бұрын
Kwa uhondo mbwe mbwe habari na burudani tele kuhusiana na wasanii wakubwa wakubwa tena maarufu WA East Africa tufuate na subscribe kwa KZbin channel yetu @DonBravoTv
@guccij3549
@guccij3549 4 жыл бұрын
Xaiz mzalxhe Kat ya Rihanna au Nick Minaj
@franciswakazambiatanzaia
@franciswakazambiatanzaia 4 жыл бұрын
Point
@Bestkidkenya
@Bestkidkenya 4 жыл бұрын
Simba in the building
@fravianbatista4902
@fravianbatista4902 4 жыл бұрын
Kitenge wa itv na huku ni tofauti,kweli sheria zinamfuata mtu sio mtu anafuata sheria.hata modi piti linamfuata sio yeye afuate.
@suzanalema96
@suzanalema96 4 жыл бұрын
Unamanaa
@yonapozkwapoz9686
@yonapozkwapoz9686 4 жыл бұрын
Sawa mond
@leoniatunakupendaasanaakit365
@leoniatunakupendaasanaakit365 4 жыл бұрын
Ongera Sanaa
@prosperlucas9171
@prosperlucas9171 4 жыл бұрын
Naseeb ww bado kijana endelea kutotolesha
@dioniziaraymond7068
@dioniziaraymond7068 4 жыл бұрын
Apo mmefanya jambo jema
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Zari kumbe alitega uchumi kapost aka unblock akisubiri txt ama call any time..... Zari arudi Bongo kwa Mondi waendelee kulea ameachwa na KingBae asitupie lawama kwa Mondi..... alitalk shit aendelee na shit zake au atulie dawa imuingie
@ibrahimhungu5154
@ibrahimhungu5154 4 жыл бұрын
Izi hela, mondi ashaukuwa bwana mkubwa katikat ya wazee
@pragiragibm4899
@pragiragibm4899 4 жыл бұрын
Shemu letuuuuuuuuu zari zari zari zari
@shuumbassa4679
@shuumbassa4679 4 жыл бұрын
itakuwa jambo labusara Sana km umefikia
@jamesthuita9620
@jamesthuita9620 4 жыл бұрын
Hamna la maana la kutwambia... Kwani diamond ni nani??? Ana nini huyu diamond.. Mara simba Mara chui tupisheni tumechoka
LIVE:MUNGU ANAYEONA  |  FEEL FREE CHURCH | BISHOP. MASANJA MKANDAMIZAJI
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 6
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 16 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 81 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,1 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 30 МЛН
SISHIKIKI "NAPENDA WANAUME WAZEE KUANZIA MIAKA 50, VIJANA SIWATAKI"
13:14
DIAMOND PLATNUMZ: ZARI ALICHEPUKA NA PETER WA P-SQUARE/ PICHA ZAO NINAZO
6:18
HII NDIO SABABU YA SHILOLE KUMUACHA ROMY
5:03
MASI MEDIA
Рет қаралды 1,3 М.
DOGO-SELE NA PEMBE FUTARI YA MIHOGO
6:00
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,6 МЛН
Fun Fun TV short film: 🙏baby save water😍
0:28
Fun Fun TV
Рет қаралды 6 МЛН
Ты же девочка 2 👧🏻🤣😋 #comedy
0:26
Fast Family LIFE
Рет қаралды 2,1 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
0:49
Yoeslan
Рет қаралды 25 МЛН