DIDA ALIVYOTEMA NYONGO "MIMI SIO MDANGAJI, MAGARI YANGU NA NYUMBA SIJAHONGWA"

  Рет қаралды 174,718

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

DIDA ALIVYOTEMA NYONGO "MIMI SIO MDANGAJI, MAGARI YANGU NA NYUMBA SIJAHONGWA"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 525
@JoyceKweka-q3k
@JoyceKweka-q3k 10 ай бұрын
Dida nakukubali sana Asante Kwa kutupongeza wanawake tulio Jenga
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 7 күн бұрын
Tulio Kuja kuangalia baada ya kifo cha dida😢😢😢 Rip mamachapa kazi
@JanethMadios
@JanethMadios 7 күн бұрын
Rest in peace didah my role model 😢😢😢😢😢😢😢😢 ulijua kuni inspire katika maisha yangu, wewe ndo ulinishawishi nikanunua kiwanja na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza😢😢😢😢😢😢😢😢 pumzika dada yangu!........Allah akupe kauli thabiti akusamehe makosa yako yote pindi ulipokuwa hai!..........Amina🙏
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 5 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@aishadaba7045
@aishadaba7045 5 күн бұрын
Ameen Ameen Ameen 😭😭😭
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 10 ай бұрын
Walper ameyatimba kwa Didah🤣🤣🤣🤣🤣
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 8 ай бұрын
Dida ni mwanamke na nusu, she is a DIVA ( female version of a hussler) , i like her❤
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Dida nakupenda sana umeanza kupambana kitambo, Toka hata jack ajaanza kuigiza,Dida safari za kufata mzigo dubai,china kitambo... Dida mpambanaji sana.
@claudiajames2003
@claudiajames2003 10 ай бұрын
Didah hukuwa hivi my dear! Juma anakufundisha mdomo! Halafu we sio level za Juma hebu acha kufata mkumbo! Ulikuwa kichwa sana! Mnatumia radio vibaya!
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 8 күн бұрын
Ubaya ubwela
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 7 күн бұрын
Usijitie juma kamfundisha hivo ndivo alivo
@HadijaHsalehe-z4k
@HadijaHsalehe-z4k 7 күн бұрын
Nilikuwa siyajui haya mabifu baada ya kufariki kwa Dida nimeanza kumfuatilia clip zake..nilikuwa nikipanda daladala karibu zote ni Dida tu namsikiliza nikishuka imeishia hapo..poleni sana wanafamilia na wapenzi wote wa mtangazaji huyu aliyekuwa maarufu Tanzania na Afrika mashariki na kati.Rest in peace Dida
@joharihayeshi6827
@joharihayeshi6827 5 күн бұрын
​@HadijaHsalehe-z4😮k
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 10 ай бұрын
Dida tatizo lako unaongeleya sana maisha ya watu tizamana na yako uache maisha yawengine afu hata wewe una kasorobo hakuna mkamilifu afu mnakoseya sana wasafi mana imekuwa nifasi ya michambo siyo fasi ya kazi zingine duuuu nishida sana
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
Tatizo la wasafi hawaajiri mtu na taluma, ,..ni ushikaji tuu na utakuja waponza.....
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 10 ай бұрын
@@NikyHassan Nan kakwambia makaratas ndio yanafanya vzr watu wamesema lkn utendaj zero hyo dada mashauz meng hata kpnd kile anagombana na anty Ezekiel almpa za uso kwa kujifanya yy ndio yy
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
@@faithmapondo7370 wambie
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Lkn umesikiliz mwanzo mpk mwisho!??
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 8 күн бұрын
​@NikyHassanubaya ubwela
@theresiamartin3150
@theresiamartin3150 10 ай бұрын
Dida nakupenda sana let me proud of my self nina miliki mijengo miwil ila usafir bado sina naiman Mungu atanijaalia
@aishadaba7045
@aishadaba7045 5 күн бұрын
Ipo cku Allah Atakuangazia
@theresiamartin3150
@theresiamartin3150 4 күн бұрын
@@aishadaba7045 Amen 🙏
@zariadunia6328
@zariadunia6328 9 ай бұрын
Hii redio dida unamuharibia sana Diamond huyu dada ni mswahilino
@Dareaziz
@Dareaziz 10 ай бұрын
Umetuombea tusio na nyumba Hilo la msng Sana namm nasema amen
@boxdad
@boxdad 10 ай бұрын
Umepanic dida relax libibi ww
@SamirSaid-ip8nn
@SamirSaid-ip8nn 10 ай бұрын
Dida fanya kz achana na mboo ya kichambana usijishushe
@hillshipping5117
@hillshipping5117 10 ай бұрын
safi sana Dida umetoa yamoyoni hawajijui hao wanajisahau malimbukeni wanatabu ktk mji huu mhhh mtihani wallah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 10 ай бұрын
Ndio tatizo la kuajiri makanjanja,,,!!!
@SiwaMwajeka
@SiwaMwajeka 10 ай бұрын
Makofi kwawanawake wote tuliojijengea nyumba zetu kwa nguvu zetu
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 7 күн бұрын
Kabisaaaa ukitengemea wanaume mtihan mtupu
@صفوابنتسعيدباوافد
@صفوابنتسعيدباوافد 6 күн бұрын
Sana
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 10 ай бұрын
Love Dida sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 10 ай бұрын
Afu kingine Dida mwanamke nikuhongwa mana hata uwe nakazi yamana kama huhongwi huna uzuri wowote nandomana na wewe ndowa zako hazidumu ju unajivuniya kazo ya hapo wasafi ila inabidi uwe unajishusha mana kukaliya maisha ya wengine siyo powa kabisa
@bebebebe5677
@bebebebe5677 10 ай бұрын
Dida ww unapenda San kuwaongelea Wenzio Ila upendi uongelewe
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 10 ай бұрын
kinajifanya tajiri wenziye hawana na yeye pia mdangaji pia
@mariamumaliki6980
@mariamumaliki6980 9 ай бұрын
Mungu akuzidishie maisha marefu na afya njema mdogo wangu dida
@mwanaishamwamapemba4049
@mwanaishamwamapemba4049 8 күн бұрын
😭😢
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 8 күн бұрын
😭😭Allah akupe pepo 😭😭
@MwashamKhery
@MwashamKhery 7 күн бұрын
Maisha
@aishadaba7045
@aishadaba7045 5 күн бұрын
Allah Tabaraqa Wata'Alla Akusamehe madhambi uyajuwayo na usiyoyajua😭😭😭
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 10 ай бұрын
I just congratulate dida...... don't back down keep on pushing your self
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
Even if you congratulate dida but remember media it's not for personal issues...they must be professionals...
@hellenmachibya2681
@hellenmachibya2681 10 ай бұрын
Ahsante my dida,,,,nakupendagaaa
@asyamgeni9819
@asyamgeni9819 9 ай бұрын
For what wao si ndo wameanza anajitia kumsifia huku anamkoroga tena sasa yote hayo unaona utamwimbiaje ana stress still anamkejeli kumpa dili ndo iwe tabu
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 10 ай бұрын
Didaaa Big up nakupenda Sana sababu You are the strong women katika nchi hii achana na mzushi amechanganyikiwa
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 10 ай бұрын
Kujenga siyo matako kuwa kila mmoja awe nayo,daa didah mimi najenga mwa huu wa saba sijamaliza kujenga siyo mchezo,namuheshimu sana mwanamke yoyote mwenye kibanda chake japo cha udogo
@fatmas7338
@fatmas7338 10 ай бұрын
Ndugu yangu miaka saba si afadhali mm nimeanza kujenfa tangu mwaka 2000 mpaka leo sijamaliza lkn alhamdulillah nipo kibandani kwangu
@njuka3515
@njuka3515 10 ай бұрын
Asante
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m 10 ай бұрын
Asanteee
@seifmbembe95
@seifmbembe95 10 ай бұрын
Mwanangu niseme kuna maadili ya utangazaji hapo katika maadili ya utangazaji umetoka sasa sisi tusio na radio tutaongelea wapi ? mwanangu huu ni ugomvi wa majumbani usitumie radio ambayo wewe unafanya kazi ndio ukafanya pakumsemea mwenzako na wewe dume Zima hovyo kabisa fuateni maadili ya utangazaji
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 10 ай бұрын
​@@fatmas7338😂😂😂daaa nacheka kwa furaha mama
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 10 ай бұрын
Kituo kinatumika kama mahali pa kumaliza beef binafsi za watangazaji jamani.? Na management inaruhusu wafanyakazi wakitumie kituo kwa maugomvi yao binafsi 😮
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 10 ай бұрын
ajabu sana aise..aibu
@zahormohd
@zahormohd 10 ай бұрын
Huyu idriss nae dume bwege anamchochea dida azidi kupayuka
@BonifaceJacob-o7o
@BonifaceJacob-o7o 10 ай бұрын
Acheni ujinga mbona mnaharibu wasafi hivyo
@MwashamKhery
@MwashamKhery 7 күн бұрын
Alikuwa huru sana anatema nyongo anavyoweza akifika studio anamalizia makasiriko yoote
@LeticiaMussa-lt3fv
@LeticiaMussa-lt3fv 10 ай бұрын
Asante dida namshukuru Mungu kwa hiki kibanda changu
@NasraHassan-d5c
@NasraHassan-d5c 10 ай бұрын
Dida honger mwanmke wa shoka
@josephmabula9658
@josephmabula9658 10 ай бұрын
Nyie wasafi ndo mnashindwa kuheshimu wasanii,hasa mashamsham
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 10 ай бұрын
Fanya mambo yako Dida Achana nao
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 10 ай бұрын
Protocol ya mtangazaji sio kunyonyoana kwenye radio kama kuna matatizo yenu sio kwenye radio au KZbin tv.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 10 ай бұрын
Kabisa ndugu yangu.. Huyu mpuuzi kabisa huyu mama
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
Huyu mama kajisahau anadhani kituo ni cha kwake binafsi...Niko na mashaka na taaluma yake...
@rosemery3017
@rosemery3017 10 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅 Wacha wanyonyoane wajinga hao
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 10 ай бұрын
Diamond fanya reform kwa studio fukuza washikaji
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 10 ай бұрын
Hawezi tokea mwanzo imekua ni radio ambayo ni so unprofessional ni kijiwe tu ndo maana leo bab levo nae mchambuzi wa mpira na siasa, ni chombo cha habari chakushangaza sana we uliona wapi mwanahabari analeta mambo binafsi kama ivyo
@CalisternongiHaule-vk6ch
@CalisternongiHaule-vk6ch 10 ай бұрын
Jamani mpaka wanakera,kipindi cha mashamsham kimekuwa kama bongo fleva
@NaseMangala
@NaseMangala 10 ай бұрын
Acheni kujudge mambo yasiyowahusu fanyeni kazi
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 ай бұрын
Acha amtandike za uso kamtafuta mwenyewe. Huyu Dida na Gig Money ni moto usiupulize.
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 10 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474sasa kwani baba levo kuwa mtangazaji we inakuuma c unasomea tu
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 6 күн бұрын
Nimerudi huku kuangailia hii baada ya kifo Cha shujaa wetu mwenyz mungu akupunguzie adhabu ya kaburi inshallah 🙏
@EjorisaPriva
@EjorisaPriva 10 ай бұрын
Fanyeni vipindi acheni usengeremaaa
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
Kituo kimekuwa kama kijiwee
@NaimaMohamedi-f7v
@NaimaMohamedi-f7v 10 ай бұрын
Vipindi venyewe ndio hivyo tuvyonavipenda
@josephmshana5833
@josephmshana5833 10 ай бұрын
Hahahaaa mbon nasie wasikilizaji tunagusishwa"au wasikilizaji hakusema kweli"by Dida
@DianaMacha-jf8gw
@DianaMacha-jf8gw 9 ай бұрын
Binadam hawanaga shukran dida wangu huo ndio mwisho wa wema
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 10 ай бұрын
Muache Dida kabisa 😂😂😂
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 7 ай бұрын
Hiyo ni nyumba yake na mumewe tena baada ya kumzalia. Dida nakukubali sana.
@AzaShamba
@AzaShamba 10 ай бұрын
DIDA WANGU, MC WANGU KWA HARUSI YANGU NAKUPENDA ❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂JEMBE LANGU HILO HAPA
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
Ulisikia wapi pedeshe akaajiriwa ?? Jaribuni kuwa professionals please..
@noelapeter6288
@noelapeter6288 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@bennamush4616
@bennamush4616 10 ай бұрын
Kakutana na dharau za mchaga 😂😂 wachaga kwa dharau hatujambo
@CatherineMkuu
@CatherineMkuu 10 ай бұрын
Dah! Maana halisi ya utangazaji hawaijui.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 10 ай бұрын
Wafanyakaz wa wasafi mmezidi nyie kutwaaaa kuongelea wenzenu nyny mkiguswa tuu hamtaki. Yani hiyo redio imekua kituo cha mipasho na masengenyo
@emmnzey713
@emmnzey713 10 ай бұрын
Walpa has a right to sue not Dida only but also the RADIO STATION itself
@strong8534
@strong8534 10 ай бұрын
Do u think the court is a maize field where u can go in & out whenever you want 😅😅😅
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 10 ай бұрын
Hhhhhhhhhhhhh
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 10 ай бұрын
​@@strong8534😂😂😂😂😂
@musa-v3f
@musa-v3f 10 ай бұрын
Ms.Wolper is a public figure she must prove that the defendant/DIDA acted with actual malice in making the defamatory statement.
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 8 ай бұрын
​@@musa-v3fDefamatory statement? What is defamatory about being told the truth? C'mon!!!
@jacobmazengo6302
@jacobmazengo6302 10 ай бұрын
Mnaiharibu media hiyo,huwez Kuta ujinga huu efm au eatv uongoz mlitizame hilo,hayo cyo tunayotaka wasikilizaji
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 10 ай бұрын
Dida hakuzidi lolote uyo kidume jakiii hana weupe wowote kimekaaa kama dume 😢😢😢😢 ww mzuri dida ❤
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
Elewa hii sio instagram ni kituo cha habari...sasa unafaa uelewée hilo...
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 10 ай бұрын
Diamond hawa mwisho wa mwezi wanalipwa pesa kwa kazi hizi zakuongelea watu aisee.
@AsendeNyota
@AsendeNyota 10 ай бұрын
Umeona my dear
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 10 ай бұрын
@@AsendeNyota hana lipa wahuni
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 10 ай бұрын
Nimewezaaaa Allhamdulillah kiuchochoroo changuuu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 10 ай бұрын
sasa kama china ulikuwa unakwenda kwa pesa yakoo na yeye hivo hivoo kudanga munadanga nyote musituchezee akili hakuna mdangaji anayesema anadanga labda masha love
@aaa64sa13
@aaa64sa13 10 ай бұрын
Hawa wanaitaji wote kubadilishwa maana awafai kabisaaaa. Walianza vizuri lkn siku hizi kimekuwa ni kipindi cha Umbea Kuchambana yaani Uchafu Wote Umo. Diamond angalia hili jambo Watatuulia Media yetu. Fukuza Wote plzzz.
@aishatest4451
@aishatest4451 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
True
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 10 ай бұрын
Dida acha mdomo..hakuna mtu malaya kama ww sema unachezewa tu..ww kila cku una bwana mpya..sasa kwa nyumba gani ile😂😂😂😂😂😂😂mtu mzima hovyooo
@asyamgeni9819
@asyamgeni9819 9 ай бұрын
Leo anajitia ati anampa hongera wakati ile mwanzo alimkejeli
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 10 ай бұрын
Hivi kweli mwisho wa mwezi mnalipwa kwa kazi za kuongelea watu jmn hii media ina mashoga tu
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 10 ай бұрын
Hii ni radio au ????
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 8 күн бұрын
Nimejifunza kitu maisha hya tuepuke kugombana ovyo tupendane mchambo wote huu lkn wolper juz kaja kukuzika,,pumzika kwa aman dida umetuachia funzo na sisi ns wolper umetufundisha kitu asante mama p
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 күн бұрын
😢
@EllenWaigama
@EllenWaigama 6 күн бұрын
Kwan wolper alikaa kimya?yeye pia alishusha kichambo kizito😅 ila walipatana
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 6 күн бұрын
Kukosana kupo ila tukumbuke kusamehana alicho fanya wolpa nimependa kusamehe nikila kitu maana kesho yangu aniijua MUNGU
@deonatusyokta3579
@deonatusyokta3579 10 ай бұрын
Walper kayakanyaga kwa dida😂
@bennamush4616
@bennamush4616 10 ай бұрын
😂😂dida kakutana na dharau za mchaga 😂😂
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 10 ай бұрын
Yaani hawa wanaharibu kituo, kazi ya chombo cha habari siyo hii
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 10 ай бұрын
Sana iko kituo ni cha udaku na umbea
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
Wamebuma walah..
@Caren..C.nation
@Caren..C.nation 10 ай бұрын
Kwendraaaaaa uko.. tuachie Jack wetu❤
@NasraHassan-d5c
@NasraHassan-d5c 10 ай бұрын
Amiin inshallah mung anisaidie
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 10 ай бұрын
Jamani dada D tumekuelewa😊
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 10 ай бұрын
D D i D A ......Dida pedeje wakike ❤❤❤❤❤❤❤❤❤jeshi letu ......jembeee
@KhamisiAbuu
@KhamisiAbuu 7 күн бұрын
Mungu akulaze mahali pema
@fatmaOmmy
@fatmaOmmy 10 ай бұрын
Didah ukiguswa2 unajidai unajua kuongea na kuchamba kumbe dawa imekuingia muache kuongelea mamb ya watu fanyeni yenu
@mariamdominic6222
@mariamdominic6222 10 ай бұрын
Sanaa atulie shida Didah Mshamba sanaaaaaaaaaaa tena sana anajionaga kama yeye ndo kila kitu kiuhalisia kama na yeye angekuwa mzuri angeongwa 😂😂😂😂😂😂
@abineryantonykilulu954
@abineryantonykilulu954 10 ай бұрын
Mbona povu wakati mwenzio kaongea kidogo tu Simama kwenye miiko ya uandishi usitumie kipindi kusutana watu
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 10 ай бұрын
Kayakanyaga kwa mtoto waKITANGA 👍👍
@Ndiyooo
@Ndiyooo 10 ай бұрын
Babu idi uwapatanisheee usi chochoye moto baba idiii😢😢😢
@johasaeed391
@johasaeed391 9 ай бұрын
Jamani narudia tena ivi huyu dida ni mzima kweli mbona anashoboka sana na watu au maisha ya watu au ashakuwa kichaa
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 10 ай бұрын
Diamond fukuza hawa watu fake kwa jina watangazaji kwani hii studio ni kijiwe sielewi mbona sielewi
@NikyHassan
@NikyHassan 10 ай бұрын
🤣🤣
@NaimaMohamedi-f7v
@NaimaMohamedi-f7v 10 ай бұрын
Awafukuze wewe utachukuwa mshara weke
@NaimaMohamedi-f7v
@NaimaMohamedi-f7v 10 ай бұрын
Kwani nilazima amjibu dida au angepigia simu kama dada
@florencemeza6540
@florencemeza6540 10 ай бұрын
Ni mdangaji kwa dizaini ya kuolewa kila mwaka na mdomo wako ndo unaachika kila mwaka ,zungumzia maisha yako ciyo ya wengine kwa nini usiziseme sababu zinazokufanya kuachika kila mwaka?? BASATA HIKI KIPINDI NDO CHAKUFUNGIA HAKINA MAADILI YOYOTE
@vero57
@vero57 10 ай бұрын
WANAWAKE SIJUI KWANINI HATUPENDANI, KWANZA ACHENI MAMBO YA MEDIA JAMANI KHAAA!!!!
@estherboniphace9695
@estherboniphace9695 10 ай бұрын
Nikipindi cha kuchambana au, duuu tutaogopa hiii chanel
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 ай бұрын
Kamwambieni Jacklin Walper aache kuwafuatafuata wenzake wameteseka mpaka hapa walipo yeye kapewa tu. Inaumiza Sana kumtukana mtu kuwa hana chochote
@ameirfaki9277
@ameirfaki9277 8 күн бұрын
Vyote vile ulivomiliki now umeviacha hapahapa....kwa sasa upo lupaso...huko kikubwa ni amali zako sio nyumba wala gari......mungu kwa rehma zake......akuweke mbali kwa adhabu zake..
@hassanmzandy1421
@hassanmzandy1421 7 күн бұрын
Dah kak dunia pumz zinatudangany san nikumuombea rehma tu kwakwel
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m 7 күн бұрын
😢😢 tuombeane tu mwisho.mwema
@djsebons1389
@djsebons1389 10 ай бұрын
Dida nimekuzarau saana sikuwa najuwa kumbe wanawake wote pumba kasoro maman yangu umecepuka ume panic few sio wakujibizana kwenye radio umekauka saana kwelikweli umesirika eshima yako unaikata tu iviivi ju umecokoneka dah wanawakee koma
@MS.independent8934
@MS.independent8934 10 ай бұрын
Dida❤❤❤❤
@Tatu-rr9ms
@Tatu-rr9ms 10 ай бұрын
Tuondeleeni makelele Kaz kumkalia mwenzenu uy dida yeanyamanze kutwa kuachika ilaunamnanga mwenzio
@FatumajumanneRamadhani
@FatumajumanneRamadhani 10 ай бұрын
Dida hii ni dunia haya❤❤❤
@LeilaShah-ib4td
@LeilaShah-ib4td 8 ай бұрын
Did,wacha bwana
@samiamohammad6686
@samiamohammad6686 5 күн бұрын
Inna lillahi waina ilehi rajiun. Allah atupe mwisho mwema yarabby 🤲
@boxdad
@boxdad 10 ай бұрын
Kama hudangi siungetulia na mimumeo
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 10 ай бұрын
Ndoa ni rizk ikiisha imeisha hiyo
@rehemasaid796
@rehemasaid796 10 ай бұрын
Kwakweli siku ya yy JACK kuonyèsha hy nyumba ndo tutaamini. Ila alikosea kusema nyumba ya DIDA km ya walinzi!
@GloryMrema-v7v
@GloryMrema-v7v 9 ай бұрын
Haya kaonyesha sasa 😅
@TaarabChannel
@TaarabChannel 10 ай бұрын
Wah.... mpitie na kwangu
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 10 ай бұрын
Sasa yeye kajiajir anapanda juu ya meza wew upo mmam umeajiajiriwa kila mtu ashinde mech zake
@sophiachiumbaumba9322
@sophiachiumbaumba9322 10 ай бұрын
Mnatafuta kujisafisha ovyoo
@brigidmua2548
@brigidmua2548 7 күн бұрын
Babake P ..kaenda wapi kwani ? Harusi yote ile
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 күн бұрын
Mitandao inahifadhi kwakweli na haya ndio makosa 😢
@paulmushi2428
@paulmushi2428 10 ай бұрын
Hii Radio sasa siyo WASAFI tena tuttaiita WACHAFUU
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 7 ай бұрын
Akitimuliwa dida wasafi, basi na wasafi itakufa.
@HadijaMussa-cf4em
@HadijaMussa-cf4em 8 күн бұрын
Ndo kashakufa tena😢😢
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 10 ай бұрын
Hivi Mh.Diomond unaoje ukabidilisha kipindi walau au hata ukiweka vipindi vya Nasoni shule za msingi na sekondari,ukaviita Tution IN Tv and Radio hapo upigi hela😂😂
@abdallahmkodo
@abdallahmkodo 10 ай бұрын
Vipindi vya shule vipo tbc iyo redio ya wasafi iyoniyabiashara vipindi vya shule utalipa garama zauendeshaji
@eliamfiyabo8599
@eliamfiyabo8599 10 ай бұрын
Juma mnafiki Dida funguka
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 10 ай бұрын
Bila kusisitiza Dida ,Wolper ni mrembo kukuliko ila mwalingana mambo.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 10 ай бұрын
Mrembo halafu hajajichubua kama dida unamkumbuka enzi zamambo hayo ni mweusi kama mkaaa
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 10 ай бұрын
@@florencemeza6540😂
@ZaidSeifSuleiman-q9w
@ZaidSeifSuleiman-q9w 10 ай бұрын
Kwani lazima muongee mambo yake? Hilo ndio tatizo worlper mzuri nitafauti na dida
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 ай бұрын
Yeye mwenyewe ndiye alilikoroga kwenye media, acha amtandike za uso huyo ni rafiki yake kamnanga kuwa hana kitu ni masikini.
@aishatest4451
@aishatest4451 10 ай бұрын
hongera sana dida🥰🥰🥰🥰
@SalhathSaid-yf2zh
@SalhathSaid-yf2zh 2 күн бұрын
Dah Innalilah wainnah ilah rajjiun 😢
@OmarOmar-ob9tb
@OmarOmar-ob9tb 9 ай бұрын
Wngpy wanerudy baada y wolpa kuonyesh nyumb yke 😂😂😂
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 8 күн бұрын
Mimi nimekuja baada ya msiba was Dida na wolper kaenda msiban bila shida
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 10 ай бұрын
Amin yarabi 😢
@ahlamsaleh670
@ahlamsaleh670 10 ай бұрын
Nampenda sana dida yuko honest sana
@shacqybintty1206
@shacqybintty1206 7 күн бұрын
Kama umegundua ana stress basi tulia.DIDA WANGU NAKUPENDA
@NaimaMohamedi-f7v
@NaimaMohamedi-f7v 10 ай бұрын
Kipindi ndo kinataka hivyo
@athmanali
@athmanali 10 ай бұрын
Ati ni Redio presenter and Yuko live alisomea wapi hii kazi kweli.,... Jamani Diamond acha kuajiri watu ambao hawakusoma ili uwalipe cheap labour
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 10 ай бұрын
Amesomea. Kosa nikuongea against someone through registered media. Angejirecord kivyake na kurusha kivyake.
@mwitaagness455
@mwitaagness455 10 ай бұрын
Hatariii...wanatufundisha kuchamba😢
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 9 ай бұрын
Hiyo radio ina wasomi wengi tu na hata huwaoni wakijishebedua. Sasa hao nai wapate rizki wanatakiwa wajifunze maadili though informal (si kwa utaratibu usio rasmi).
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 9 ай бұрын
Amesomea. Ni vile anaona akinyamaa ni kuwa ameshindwa.
@FrankRutha
@FrankRutha 10 күн бұрын
Nyie nae mnashindwa kiongea vya maana mumekaa nyumba nyumba mtazikwa nazo izo nyumba
@stephennjamaras7987
@stephennjamaras7987 10 ай бұрын
Hii Radio Imekua Ya Hovyo Sana Watangazaji Wake Wanazingua Sasa Hii Ndio Nini
@beatricejeromemushi2868
@beatricejeromemushi2868 10 ай бұрын
Angekuwa na nyumba angefanyia Sherehe yake kwa nicole 🙄
@sarastephano3409
@sarastephano3409 10 ай бұрын
Ila hii radio imekua ya hovyo
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 10 ай бұрын
Dida hili jambo usingeongelea hapo studio inatakiwa mpaka saivi ulitakiwa uwe umetimuliwa kibarua
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 10 ай бұрын
Diamond comment nyingii hapa hawo wanafanya kaziii wapandishe cewo
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so 7 күн бұрын
Daah ama kweli kifo nifumbo dada dida umezima kama mshumaa😢😢😢😢 Allah akujalie Kaurthabity akupungzie adhabu zakabur 😭💔
@mwanjaaseif5229
@mwanjaaseif5229 9 ай бұрын
Nyie mmezidi sana kuongelea watu. Wolper yupo sahihi sana
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 ай бұрын
Jackline Walper mpumbavu. Wenzake wanapambana na maisha kivyaovyao yeye anahongwa anawadharau. Uzuri wake asiwasimange wenzake.
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 230 М.
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 2,5 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 6 МЛН
DIDA  ENZI  ZA  UHAI   WAKE
1:18
Sharifa.46
Рет қаралды 6 М.
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
MkasiTV
Рет қаралды 373 М.
Cook with Wema Sepetu - S05E05 Didah Shaibu
8:07
Wema Sepetu
Рет қаралды 141 М.
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 2,5 МЛН