Рет қаралды 39,722
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku chache ikiwemo kuboresha uhusiano wa Nchi mbili za Tanzania na Burundi ambapo usiku wa October 22 ameshiriki dhifa ya kitaifa kwenye Ikulu ya Chamwino na kula chakula cha jioni pamoja na Rais Samia.