#DIWANI

  Рет қаралды 167,275

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

#DIWANI ATHUMANI; KACHERO ALIYEPITA MIKONO ya MARAIS 3, RAIS SAMIA AKAMUAMINI na KUMTENGUA SIKU ya 2
Januari 3, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa viongozi wanne akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Kamishna Diwani Athuman ambaye alimteua kuwa Katibu Mkuu-Ikulu akichukua nafasi ya Moses Kusiluka ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
Lakini habari ambayo imeibua mjadala leo Januari 5, 2022 ni kutenguliwa kwa Diwani Athumani katika nafasi yake hiyo hata kabla ya kuapishwa.
Maswali yameibuka kwa wengi wakijiuliza huyu Diwani Athumani ni nani?
Global TV inakuletea undani wa panda-shuka za kamishna huyo wa Polisi ambaye ameshika nyadhifa mbalimbali nchini Tanzania hadi ngazi kubwa kabisa ya Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, ungana nasi…
Kabla ya kuteuliwa hii leo na kutenguliwa, Diwani Athumani alikuwa ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa akihudumu nafasi hiyo kwa siku 1,210, tangu alipoteuliwa na Rais wa wakati huo, Hayati John Magufuli Septemba 12 mwaka 2019.
Kwa undani kabisa ni kwamba, Diwani Athumani Msuya ni mzaliwa wa Mwanga mkoani Kilimanjaro.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 107
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Data kumbe amekwisha ni MTU mzee kabisa huyu afukuzwe tu
@Hasnspop
@Hasnspop Жыл бұрын
Pole Sana Mheshimiwa Diwani Kwa changamoto hiyo pia Hongera Kwa Utumishi Mungu atakupangia kazi nyingine Inshallah
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 Жыл бұрын
Intelligence officer!
@rashidissa5794
@rashidissa5794 Жыл бұрын
Safari ndefu sana, hongera sana. Subira yavuta heri.
@christinalukwaro4062
@christinalukwaro4062 Жыл бұрын
Naimani Atampangia Majukumu maalumu Mengine Yakufanya,Diwani ni Mchapa kazi nakini
@iddihamisi6320
@iddihamisi6320 Жыл бұрын
Kweli huyu alikuwa Kachelo Kweli kweli
@vrk7602
@vrk7602 Жыл бұрын
Vyeo si hisani. Uteuzi mara zote unakidhi subjective interests za anaeteua. Not necessarily national interests! Mtafakarini Yusufu Makamba na uropokaji ktk mkutano wao. Mtafakarini Jakaya kikwete na upambe ktk mkutano wao! When people die, the good that they did are intered with their bones,the bad live long after them! Let it be with JPM.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Uyu bwana alikua myama sana bora tu amefukuzwa kama jambazi
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Mama pambana wanaokupinga wanamawazo ya zamani huzi ni dhan Mpya na huu ni utawala wa awamu ya sita mama kazi iendelee
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kihuni mie
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 Жыл бұрын
Kazi hipo
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 Жыл бұрын
We kamsenge
@nyerere1259
@nyerere1259 10 ай бұрын
Inaendeleaje
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Hiyo inaitwa 'Soft landing'
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 Жыл бұрын
sawa
@adrianmligo9105
@adrianmligo9105 Жыл бұрын
Tumuombe mungu
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 Жыл бұрын
Mtu makini sana tumekaa kota moja moro🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@msafimediaonlinemmo7817
@msafimediaonlinemmo7817 Жыл бұрын
We kachero pia?
@Hasnspop
@Hasnspop Жыл бұрын
@@msafimediaonlinemmo7817 itakua nae kachero hapa kwenye comments makachero kama woote
@msafimediaonlinemmo7817
@msafimediaonlinemmo7817 Жыл бұрын
Nipe email yako
@adammwita3150
@adammwita3150 Жыл бұрын
Alifanya kazi nzuri xana, Mungu akutunze kiongozi.
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 Жыл бұрын
Us kuwapoteza wapendwa wenu ealkiwepo Mawazo,Msaidizi wa mbowe, Azori Gwanda n k wako wengi tu. Mama usisahu yule uliyempelka zimbambwe alithubutu kukudangannya Mbowe nj Gaidi .,Mma Suluhu tusuluhishe
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@fulgencemark7640 Mbona hamsemi alipandishwa cheo mara kibao awamu ya 4.... Mwacheni Anko apumzike .
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Cheo cha jasusi mkuu wa nch huwezi kumueka hapo ikuli Ndio maana mama amemtoa sio kwamba kamtoa kwa ubaya diwani alikua na cheo kikubwa sana kazi yake ninayoiona ambayo inaweza kumfaa ni kuwa barozi kutuwakilisha nch fran kama ilivyokuwa kwa Simon Sirro
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Kwani unajua Sasa hivi kapewa kazi Gani?
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 Жыл бұрын
Balozi wa Tz Ukraine!
@jumamakongo1703
@jumamakongo1703 Жыл бұрын
Hızı kazi Bwana We acha tu.
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Huyu nae ni mtenguaji na mpangaji .
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
Viongozi waadilifu awamu hii hamna chenu.
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Jamaa ni Jembe
@piussangu7963
@piussangu7963 Жыл бұрын
Mbona hujamariza stori jaman
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
6:6-6:9
@vrk7602
@vrk7602 Жыл бұрын
Jee taasisi ya Urais ina bahatisha? Rais mwenyewe anatangaza Rais huyo huyo siku 3 anatangaza kutengua! Haya si maswali mepesi ni vema Huyo Zura Yunus apewe maeleutupe umma
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Жыл бұрын
Makubwa🤔
@deusmgema8612
@deusmgema8612 Жыл бұрын
Diwani Athuman, mtu makini sana mwenye ueledi wa hali ya juu
@damianmaganga2562
@damianmaganga2562 Жыл бұрын
Tutumie historia ya Ahmed Ben Bella raisi wa kwanza wa Algeria
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
6:6-6:12 mchungaji... Lkn kumbe ni mkuu wa usalama, _KUNA KITU UMEJIFUNZA?_
@vicentelias491
@vicentelias491 Жыл бұрын
Usalama wa Taifa ndo idara pekee yenye watu wengi mno
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Жыл бұрын
Ukienda kanisani kuungama dhambi wanatambua uhalifu wako badae unafuatwa na wasiojulikana
@ezradastan4167
@ezradastan4167 Жыл бұрын
Huyu ni miongoni mwa watu muhimu sana nchini.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Huyu afukuzwe tu Mimi sioni kama anafa tens kua kiongozi kwanza ni mzee sana
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Huyu jama ni mzee sana naomba tu afukuzwe
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Huyu siyo MTU wa umuhimu kabisa
@binhussain3445
@binhussain3445 Жыл бұрын
@@thomastarimo Ni mzee lakini Amezeeka na Ujuzi mwingi hivyo Serikali inahitaji ujuzi wake
@nsengiyunvaismael7487
@nsengiyunvaismael7487 Жыл бұрын
Hi
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 Жыл бұрын
Hilo jina msuya na hali ilivyo mama c mjinga anajua east or coast home is best
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Kumbuka huyo ni TISS!!
@emmanuelmartin9128
@emmanuelmartin9128 Жыл бұрын
@@aloyceiluminata3650 kanisaidie TISS ndo nini, kirefu chake
@emmanuelmartin9128
@emmanuelmartin9128 Жыл бұрын
Sorry ,nisaidie kaka
@Chacha_Sospita
@Chacha_Sospita Жыл бұрын
Huyu Dada anayetangaza.... Ikiwezekana apandishwe cheo Global....
@benbranco3688
@benbranco3688 Жыл бұрын
Jamaa kaukataa aliepewa ndo ukweli kagomea uteuzi ndo mana
@froma3732
@froma3732 3 ай бұрын
Kwa hivo wrwe unaripoti zone za Ikulu
@ahmedseif9461
@ahmedseif9461 Жыл бұрын
Hoi
@issaissa8358
@issaissa8358 Жыл бұрын
Mbona gafla imekuwaje?
@salumurashidi8973
@salumurashidi8973 Жыл бұрын
maisha sio rahisi kabisa tunatoka mbali sana
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Yote maisha
@mwanabucheyeki226
@mwanabucheyeki226 Жыл бұрын
Ala! Kumbe Athman Diwani aliyewahi kuwa RPC Mkoa wa Àrusha, siye huyu? Vinginevyo, angetajwa pia kupitia kuhudumu Mkoa ule!
@simonmajengo4025
@simonmajengo4025 Жыл бұрын
Mama Makodi... Tunamheshimj Ila hatumpend
@mohamedhaji2505
@mohamedhaji2505 Жыл бұрын
Humpend usiseme hatu mpendi zoba wewe
@mrjaula7769
@mrjaula7769 Жыл бұрын
Mama unaaanza kufeli mama dahhhh
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Wewe ndio unamawazo mgando muache mama apange safari ya maendeleo mama kazi iendeleo
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Жыл бұрын
Inaonyesha mama anafata maagizo
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
@@salehwaziri5062 maagizo ya na nani au kutoka wapi?
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Jaula,ukiwa katika mtihani,huwezi kujua matokeo mpaka yasaiwishe. Mpe muda Rais halafu tutajua matokeo kama kufuzu au kufeli
@kakazkanda
@kakazkanda Жыл бұрын
Mama anaupiga mwingi.
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 Жыл бұрын
Huyu ndugu ametumikia sana Taifa, kwa nyadhifa hizo nyingi na majukumu Kila Kona, bilashaka anajua mengi mno yahusuyo nchi na serikali. Naamini hata hayo yaliyomkuta atakuwa alikuwa anayajua ...
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
YANI nchi hii cheo unaweza pewa ghafla uka ondolewa
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 Жыл бұрын
Daa kweli Mama ni balaa. Kazi iendelee
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
siri yake anaijua rais mwenyewe
@InfinixTechnology
@InfinixTechnology Жыл бұрын
Mi.napita.tuu
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 Жыл бұрын
Huyo Kusiluka tunafahamu ni ukabila wa Luhanjo ndo unamuweka kwenye nafasi hiyo. Kwa kuwa tunaendelea kuomba ushauri wa Luhanjo kwa makatibu wakuu, haya ndo matokeo yake! Eti Luhanjo ndo amekuwa akipewa kazi ya kuwashauri makatibu wakuu! Mtu makabilaaaa!
@samzali8554
@samzali8554 Жыл бұрын
bora maana haiwezi kani ukatoka mgambo ukapewa kawaida ya jwtz kama alivo pewa awali
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Hujui chochote!!
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Жыл бұрын
Safi mama
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Ameka huko sana sijuhi kwanini sasa hivi naomba tu apumzike kazi kwa sasa
@MohammedAli-ig9gr
@MohammedAli-ig9gr Жыл бұрын
Siku hizi tume miss sana watu kutekwa na wasiojulikana sasa wanajulikana walikuwa wana tumia gari nisan nyeupe inatin ted
@MohammedAli-ig9gr
@MohammedAli-ig9gr Жыл бұрын
Huyo ni ni timu makonda watekaji wa taifa sio usalama wa taifa
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Жыл бұрын
Duu b tozo aya
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
Huyoofisakwakumuangaliatu nimtendajiboranamwadilifu namwenyelakili anaasilikakisaikolojia kwahiloalilofanyiwa.
@neemasamweli5221
@neemasamweli5221 Жыл бұрын
Kajifunze kuandika. Unaandika hovyo
@CyprianBCTanzania
@CyprianBCTanzania Жыл бұрын
MMM!!! DIWANI YUKO VIZURI NA NDIO MAANA HATA ALIPATA HIZO NAFASI ZOTE MAANA HAKIKA NAAMINI SIO BURE.
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Huyo kapewa kazi ingine ya dharura usalama wa taifa huwezi kumtengua kirahisi kihivyo !!!!
@mariamponera6386
@mariamponera6386 Жыл бұрын
ni kweli kabisa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Ndio kwanza nasikia miaka hii Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa akitangazwa hadharani.
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
@@hajihassan5433 nadhani huo mfumo aliuanzisha magufuri Zamani huwezi kumjua mtu mkubwa kiasi hicho
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
@@aloyceiluminata3650 Kama alifanya kimakosa yasiendelezwe.
@nurdinmzuzuri1383
@nurdinmzuzuri1383 Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa, hizi swaga hakunaga zamani yani dingi alizingua kuwafanya hawa watu wajulikane
@samidquiz6316
@samidquiz6316 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani Magufuli tunaona sasa mizimu yako inafanya kazi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Hapa jpm anakujaje?au wewe ni wale sukumagang
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
@@marcokaroje8980 ndiyo usemaje?
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Жыл бұрын
Wateule wote wa Magufuli wanaokopwa sana wale wazee asio kufa A,k,A watu wazuri ndio walimsituwa mama madeni uyu ni mtu wa magufuli mtowe haraka sasa watu wanaju nchi ina wenyewe wenye chama chao
@mhinahalfan2694
@mhinahalfan2694 Жыл бұрын
Kwani Magufuli ndio alianza kumteua? Umesikia nyadhifa alizoshika kabla Magufuli hajamteua kuwa RAS? Level aliyofikia katika usalama wa taifa ujue huyu ni mtu muhimu kwenye nchi, usiropoke.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Kwani kwenye uteuzi kumbe Kuna WAZURI wa flan na wabaya wa flan ?? Jaman TANZANIA ndo tumefika huku kwenye mawazo haya ? So wanaotokewa ni WA nani na nani wengine hatujui ,nyie ndo mnatuambia
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Tusubiri tuone labda atapewa cheo kingine kikubwa
@ibrahimabel8360
@ibrahimabel8360 Жыл бұрын
Kumbe raisi Kikwete alimshusha mpaka kuwa katibu tawala wa mkoa wa Kagera halafu saivi mama amemtengua...hapo nimeelewa,labda alipoteuliwa baba hakujua uteuzi wake na alipojua ndio katenguliwa
@abdullahjongo
@abdullahjongo Жыл бұрын
Aliyemteua Katibu tawala Kagera sio Mh Kikwete. Sikiliza kwa makini.
@ibrahimabel8360
@ibrahimabel8360 Жыл бұрын
@Jacob Fabian ni cheo kikubwa kulinganisha na cheo kipi?...hata udiwani ni cheo kikubwa but ubunge ni cheo kikubwa compared to udiwani....
@mhinahalfan2694
@mhinahalfan2694 Жыл бұрын
Aliyempa ukatibu tawala ni hayati Mhe JPM sio Mhe Kikwete. Na mamlaka ya uteuzi inafanya kile inachoona kwa wakati husika na mtu husika, nafasi alizoshika kwenye usalama wa taifa usidhani ametolewa tu halafu imeisha,, huyu ni mtu muhimu kwa taifa. Muwe na akiba ya maneno
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Kweli ndiyo jibu
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
nyinyi ndio walewale hebu sikia vizuri wewe mnakimbilia kukoment uozo kabla hata hamjaelewa
@athumani6655
@athumani6655 Жыл бұрын
Mama akili mingu sanaa
@ashiyafarid9122
@ashiyafarid9122 Жыл бұрын
Akili zipi au za kuongozwa
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 Жыл бұрын
Ndio
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Siku mkija kunyanganywa, bank kuu, airports, bandari,migodi,TRA,hifadhi ndo uje useme tena hauli yako hii 😄😄
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 64 МЛН
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Global TV Online
Рет қаралды 926 М.
Fahamu vipengele vyenye ukakasi Sheria ya Usalama wa Taifa
28:05
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН