No video

KAULI za HAYATI MAGUFULI na SPIKA NDUGAI kuhusu MRADI wa BANDARI BAGAMOYO...

  Рет қаралды 343,209

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

KAULI za HAYATI MAGUFULI na SPIKA NDUGAI kuhusu MRADI wa BANDARI BAGAMOYO...
TAZAMA Hapa Kauli zilizowahi kutolewa na Hayati Magufuli enzi za uhai, kuhusiana na mradi wa Banadri ya Bagamoyo..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 910
@furahafrank8267
@furahafrank8267 3 жыл бұрын
Ndugai hatuna Imani na wewe tena.
@stanleyrocky2278
@stanleyrocky2278 3 жыл бұрын
Hana maana msaliti
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 3 жыл бұрын
Ndugai anaweza kuuza nchi uyu
@doricekajuna6185
@doricekajuna6185 3 жыл бұрын
Hafai kabisaaaa ndugai akalale
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 3 жыл бұрын
@@shenamtukufu1224 hafai
@eliathomas8446
@eliathomas8446 3 жыл бұрын
Ndugai Hana maana
@chidiomari.65
@chidiomari.65 3 жыл бұрын
Baba umeenda, wakina yuda skalioti wameanza kusaliti Kauli yako.kweli Tunakukumbuka Mzee😭
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 3 жыл бұрын
🙏🙏
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
🙏@@mohamedkutwambi
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 2 жыл бұрын
You a MATAGA and you knew nothing about Magufuli 🎤🎤
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 2 жыл бұрын
You he was a real president
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 2 жыл бұрын
@@mayalakatema2576 go back to school it will help you being a wise person okay.
@cellinamgale1361
@cellinamgale1361 3 жыл бұрын
Msimamo ni kitu muhimu sana Tutakukumbuka sana Rais wetu lala salama baba ...wale wale wamekugeuka hata mwezi haujaisha Mungu waone hawa wanachofanya
@benomdaile7271
@benomdaile7271 3 жыл бұрын
Kabisaa nduguu umeongea point sana chuma kimeondokaa na tz yake kama kanumba na bongo movie sasa tutaona nakusikiaa mengii
@janethmorei8230
@janethmorei8230 3 жыл бұрын
JWTZ nao watufikirie jamani, hatuelekei kuzuri.
@benomdaile7271
@benomdaile7271 3 жыл бұрын
@@janethmorei8230 hààa haàa haaaaa haaà
@julieluziga1095
@julieluziga1095 3 жыл бұрын
😭😭😭 Tutakulilia daima baba, tumepoteza chuma kweli. Tutakupenda daima.
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 3 жыл бұрын
Mungu ndi anajua kuhusu hawa wasaliti,adhabu yao ipo karibu
@joyceerenest6235
@joyceerenest6235 3 жыл бұрын
Jicho Langu kwa Sasa Ni MAJALIWA Basi!!Hao Wengine Nawaachia Wengine😭😭R.I.P CHUMA 😭🇹🇿🇹🇿
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 3 жыл бұрын
mzalendo ni mmoja tu Majaliwa.
@ramlamburi9743
@ramlamburi9743 3 жыл бұрын
@@mathiasmsese6128 Mimi pia naimani Sana na majaliwa.
@stevobomaxon8571
@stevobomaxon8571 3 жыл бұрын
Ndo baba Majaliwa ndo baba na mtoto wake ni jafo my Hope's and future
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Tupazeni sauti juuu sana yule bibi asije kugombea uchaguzi ujao na tushinikize Majaliwa ndoo agombee uraisi uchaguzi ujao , maana yule bibi ni nguva .
@kiswaumwita3525
@kiswaumwita3525 3 жыл бұрын
Usimpe majaliwa sifa wasije kumfanya kama magu tuache kbsa
@martinesizya234
@martinesizya234 3 жыл бұрын
Ndugai ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo, hafai hata kuongoza kitongoji, ni mnafiki sana,
@stanleyrocky2278
@stanleyrocky2278 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 3 жыл бұрын
Kongwa what's up
@elishangomele9937
@elishangomele9937 2 жыл бұрын
Kabisa
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Dah RIP Jembedali wetu JPM daima tutakukumbuka. Ndugai jiz na lile li prof Muhongo.
@kaicy165
@kaicy165 3 жыл бұрын
Naona hata hawa global tv online wameona huu mchezo hawa watu wanaojaribu kutuchezea sasa hivi and for that mmejipatia a new subscriber. Ninawasikitikia sana hawa wanaodhani sisi ni vipofu,Mwenyezi MUNGU anatulinda na kutisimamia milele,kamwe njama zao hazitashinda.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
Mungu hadhihakiwi. Sisi wa Tz tumlilie Mwenyezi Mungu. Imani yetu iko kwa Mwenyezi Mungu. Atapambana nao hao wasaliti wa nchi yetu wenye kutangiliza maslahi yao binafsi. Mungu tubariki Watoto wa Tz
@mohamedkiyungi4867
@mohamedkiyungi4867 3 жыл бұрын
Mama Samia kua makini sana na hawa wakina ndungai ni wanafiki na wana interest zao binafsi
@petermponzi411
@petermponzi411 3 жыл бұрын
Mama atakuwa ndani ya hizo plans. Kweli Adui yako ndiyo unayekula naye
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
@@petermponzi411 mimi nakuambia hawa viongoz kila mmoja atashangaa wanachoenda kufanya jpm hakuwa na mfuasi wa kweli wa karibu wote ni unafiki tu. Waliokuwa wanamkubali jpm hawana nafasi yoyote ya kufanya maamuzi ya juu kwenye nchi yetu.
@amoniyohana2056
@amoniyohana2056 3 жыл бұрын
Usimuamini mwanamke zaidi ya Mama yako😭
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 3 жыл бұрын
Kweli, mama macho yetu yote kwako hasa ukiwa mwanamke wa kwanza kuongoza nchi hii. Natumaini utakuwa na hekima ya kuhakikisha yale mazuri ya jemedari wetu yameendelezwa. Wanafiki ni wengi Mungu akupe macho ya rohoni kuwatambua. Kweli namlilia kwa uchungu sana JPM wetu. Tutazienzi sifa zako wakati wote.
@beatusboniventure9682
@beatusboniventure9682 3 жыл бұрын
Kaka mpaka unakuwa rais ujue kunawatu wankuzunguka na wanakubeba ili kukupa nafasi ya urais ko akilo kumkichwa
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 жыл бұрын
Sawa, kiongozi alidanganywa, mlimfata kumwambia hapa unadanganywa?
@abdulraheemsaid9988
@abdulraheemsaid9988 3 жыл бұрын
Wajinga
@tembeaomari9097
@tembeaomari9097 3 жыл бұрын
Spk,wehaufaikbsa,hatamamasmia,utmsemeamabaya,hunazr
@moiseogai9070
@moiseogai9070 3 жыл бұрын
Huyu ndungai haogope dua yamtu anayomuomba mwenyezi mungu kimyakimya nakumlilia mora wake muhumba mbingu na ardhi itamwacha Salama itajibiwa
@rsm3367
@rsm3367 3 жыл бұрын
Baba wewe ndio raisi wangu mpaka siku na mm nakufa Hata wasemaje ww ndio raisi wangu RIP
@abdulikhamza3619
@abdulikhamza3619 3 жыл бұрын
Tuko pamoja
@donaldmgomba7571
@donaldmgomba7571 3 жыл бұрын
Hakuna Kama jembe letu ,sijui labda itakuja kutokea karne yangapi,magufuli baba yetu mioyo yetu inakulilia kila siku,hatuamini Kama umeondoka kweli,tunaamini yesu kristo angekua duniani tungelia hadi akufufue
@henryford1571
@henryford1571 3 жыл бұрын
R.I.P Magufuli,ulikua na nia njema sana na taifa lako,Mungu akupe pumziko la milele Mwamba
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 3 жыл бұрын
Mungu atamutumbua ndungai naomba mungu 2025 asipewe usipika hatuwezi kuwa na spika wa mbunge muongo akiongoza mbunge takatifu
@mohamedrajabu8375
@mohamedrajabu8375 3 жыл бұрын
Ndugai ww ni sumu sana sisi tuna bandari kubwa tu hao wachina wasubili tu
@Andy-ez9jo
@Andy-ez9jo 3 жыл бұрын
Tena ni sumu snaa na ni mnafiki mkubwa sana. Yani hata week mbili hazijapita kaanza kwenda kinyume na rais wetu mpendwa. Haya mafisadi sasa kwa kweli yamerudi
@mohamedrajabu8375
@mohamedrajabu8375 3 жыл бұрын
@@Andy-ez9jo Ndugai alipokua china alialikwa na wanao jiita serikali ya china nakujifanya wana muonyesha jinsi mladi wa bandari utavyo fanya kazi ila ni uongo kwani alipewa ahadi ili afanikishe hilo dili na wachina wakiamini kwakua na yeye na bunge ni muhimili wa pili kwamba na yeye ananguvu katika taifa alipo kosea Ndugai Magufuri alipinga kwa hoja na ni hadharani na bila Magufuri huo mkataba wa bagamoyo usinge somwa hadharani sababu haumpendezi Mtanzania yoyote yule ambae ana familia ya mke na watoto na huyo mwanamke inabidi awe makini bila hivyo nchi itakwenda mlama siku si nyingi.
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
@@mohamedrajabu8375 atakuwa na mgao wake
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
@@Andy-ez9jo hawa ndio walikua wanafurahia mioyo yao
@abdallahmohameddaniel659
@abdallahmohameddaniel659 3 жыл бұрын
Ndugai boss wako na wewe rudisheni advance ya wachina tunawaomba msijaribu kufikiri sisi ni wajinga
@abdulraheemsaid9988
@abdulraheemsaid9988 3 жыл бұрын
Wahuni hao
@mtanimasatu1641
@mtanimasatu1641 3 жыл бұрын
Kaka tunapoelekea sasa watanzania tunaingia wenyewe kupambana jamaa katuachia mwanga kila kitu tunajua
@marcobulili4341
@marcobulili4341 3 жыл бұрын
Ndugai n kweli kuwa mmebaki watatu mnaoijua Tanzania? Binadamu tunapita nchi yetu itabaki milele yote na n lazma itawalike. Hatutaki mtuingize kwenye mikataba ya kujua nyie watatu. Watanzania tumejua yaliyokuwa yanaendela nyuma ya pazia,hatutakubali. Kwa hili la bandali, jengeni viwanda watanzania wataajiriwa na watawakumbuka. Acheni alama nzuri msijali matumbo yenu na mwenyezi MUNGU atawabariki. Tunakuomba ustaafu vzur spika wetu na hayati JPM mzalendo wa kweli alale kwa AMANI.
@yugoally9476
@yugoally9476 3 жыл бұрын
𝒏𝒅𝒖𝒈𝒂 𝒉𝒂𝒕𝒖𝒎𝒕𝒂𝒌𝒊
@richardedwinn1291
@richardedwinn1291 3 жыл бұрын
@@yugoally9476 Sema humtaki
@agustinoezekiel367
@agustinoezekiel367 3 жыл бұрын
We jiongopee kujifanya unaijua tanzania.omba omba we!!
@changarawemichael5556
@changarawemichael5556 3 жыл бұрын
Magufuli forever 😭😭😭😭
@nickodemsimchimba594
@nickodemsimchimba594 3 жыл бұрын
Hapa wenye akili ndio tunaelewa kwamba Magufuri aliuwawa ili watu wachache wachezee nchi hii 😭😭😭😭😭Rais Hayati Magufuri alikua na maadui wengi Sana, misimamo yake iliwanyima wengi usingiz 😭😭😭😭 MUNGU tuhurumie watanzania,mana wew Mungu uliruhusu Magufuri afe! 😭😭😭😭 Kifo cha Magufuri hakikua cha kawaida
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
100%wenye upeo wakufikiri vizuri
@ujimansylivans2801
@ujimansylivans2801 3 жыл бұрын
Nami nimeamini mkuu
@haidistrict1703
@haidistrict1703 3 жыл бұрын
Nawasiwasi pia na kifo chake
@abdulikhamza3619
@abdulikhamza3619 3 жыл бұрын
Kabisa
@highonebalo8289
@highonebalo8289 3 жыл бұрын
🙆🙆🙆🙆😭😭😔😔
@kulwajohn7050
@kulwajohn7050 3 жыл бұрын
Nagundua kuwa kumbe jpm alizungukwa na wanafikii wengi mnoooo aiseeh,yani job ndugai,CAG,Kigwangala,Nchemba hawatufai hata kidogoo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Ncheba Ninani niambie ni mnot
@ellymakongo656
@ellymakongo656 3 жыл бұрын
Hata mama mwenyewe mnafiki maana hawa wanazngumza baada kuona muelekeo wake
@mariaalenge2106
@mariaalenge2106 3 жыл бұрын
@@ellymakongo656 nashukuru kwakuwa mumefunguliwa macho na ufahamu wakujuwa kinacho endelea mimi nilisema huyo mama Raisi wasasa ni mnafiki wahali ya juu aliishi na ayati kwa unafiki sana nandomana hakuumia wakati ayati alipo tutoka akuwa hata na uzuni kabisa alionyesha kuwa hakupendezwa nae pole yenu watanzania wahaliyachini maana mzee baba aliwajali sana kuliko kuwajali matajiri nawasii watamzania musikubali huo mradi ufanyike mutakuwa memekwisha kabisa bora muandamane inchi nzima kumuondowa ndugai maana inaonyesha yeye anaijuwa sana ilodili anajuwa nawenzake vile walikula hela kwasasa china inawakumbusha aliyekuwa anazuiya amefariki sasa waiamshe labda itapata nafasi tena lakini iwenimacho mutakwisha
@tonnyford5782
@tonnyford5782 Жыл бұрын
Alikua msomi mzuri, mcha mungu, aliyewajar masikin, mwanafunz mzuri wa Sela na falsafa za mwl Nyerere R I p Dr John Joseph pombe magufuri 🙏
@zuberiadamu3684
@zuberiadamu3684 3 жыл бұрын
Ndungai na CAG hamuwez kuchange mind zetu tenaaa
@Werema3760
@Werema3760 3 жыл бұрын
Sasa CAG si ameongea madudu yaliyopo! Au hata aliepita hamkua na iman nae
@wilfredmbowe3644
@wilfredmbowe3644 3 жыл бұрын
Wewe kwanini ukusema wakati Joni aikiwepo wewe NI munafiki
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Werema nafikir unafikra nzuri tu ISIPOKUWA akili zako ni nyepesi kama SUFU..... Mr John himself alimtuma huyo CAG afanye hesabu ktk AIR TANZANIA NA MASHIRIKA KUMI ZAIDI AMBAYO HAYAKUWA YAKIKAGULIWA NA CAG, NA NDIO MAANA CAG AKASEMA AMEINGEZA MASHIRIKA 10 KATIKA UKAGUZI AMBAYO YALIKUWA YANAKAGULIWA NA KAMPUNI BINAFSI, WALA CAG HAJAWAH KUKAGUWA HIZO SHIRIKA MPK ALIPOOMBWA NA MAGUFULI KUFANYA HIVYO NA AELEZE UKWELI PIA NI MANENO YA MAGUFULI..... SHIRIKA LA NDEGE KUPATA HASARA WALA SIO AIR TANZANIA PEKE YAKE, HATA AIR ETHIOPIA AMBALO NDIO SHIRIKA KUBWA ZAIDI PIA LIMEENDESHWA KWA HASARA KIPINDI HIKI CHA COVID 19....... AIR WAYS JAMANI INATEGEMEA SANA UTALII NA SIO VINGINEVYO......... HUWEZ KUKWEPA HASARA HAPO IKITOKEA UMEFAIDIKA BILA UTALII BASI INABIDI UPEWE ULINZI KWA MUDA 😂😂😂😂😂, Mbona ni vitu vya kutumia akili tu, hiv CAG ndio kakaguwa siku 14 shirika la ndege au alianza kulikagua tangu JPM akiwa hai? Basi amini kwamba hata JPM angekuwa hai bado report ingekuwa hiyo hiyo uliyoisikia 😅😅😅
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 жыл бұрын
Duh narudia kusema tena watanzania baada ya raisi.mwenye kaliba ya Magufuli, hesabuni miaka 30 mbele ili kumpata tena raisi wa hivyo. R.I.P Magufuli, nitakulilia daima.
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 3 жыл бұрын
Tutamlilia Wengiii tuuu
@elidarweyemamu5144
@elidarweyemamu5144 3 жыл бұрын
TUMTANGULIZE MUNGU KAMA BABA ALIVYOSEMA,AKINA JPM WAPO WENGI SANA,MUNGU ASHINDWI KITU ATATUPA.
@chinamilenas3375
@chinamilenas3375 3 жыл бұрын
So sad😭😭its a long way 2go
@zerobrain9683
@zerobrain9683 3 жыл бұрын
Ni kweli nakubali mkuu, ujue Raisi hawezi kuendeleza ukabila, udini na hata ukanda kwaiyo hiyo miaka 30,inaweza ikapita ila jua watakaokuja ni wale ambao wataweka usawa kwa Watanzania wote
@zerobrain9683
@zerobrain9683 3 жыл бұрын
Katibu hazina, Katibu mkuu kiongozi, msemaji mkuu wa serikali, mkurugenzi TPA, hahahahah ote walikuwa ni walewale
@edwindavid7037
@edwindavid7037 3 жыл бұрын
Amakweli mgogo ni mgogo tu
@fauzimohamed5757
@fauzimohamed5757 3 жыл бұрын
Hahahahahah dah
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
🤔🤔🤣🤣🤣
@kaizamandike8771
@kaizamandike8771 3 жыл бұрын
Huyu mgogo ni mpumbavu wakupindukiaa!! Aaah! ☹️☹️
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
@Zaituni Juma 😂😂😂😂😂
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
@@kaizamandike8771 siwamezoea kuomba omba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@charlesnassary6689
@charlesnassary6689 3 жыл бұрын
hyu ndugai ni Yuda walah
@reginahongo3575
@reginahongo3575 3 жыл бұрын
Spika wa ajabu kweli msaliti
@abdulraheemsaid9988
@abdulraheemsaid9988 3 жыл бұрын
Kabsa mslti
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 3 жыл бұрын
Ndungai kweli aibu huna
@danielmdanga8998
@danielmdanga8998 3 жыл бұрын
Ndugai mmeua CCM kwa usaliti wenu 2025 jibu mtalipata
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Daaaah acha tu inauma sana
@macharosandra9467
@macharosandra9467 3 жыл бұрын
Ndugai alishakula chake kwa wachina kitambo, ili apitishe mswada huo wa wizi,
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Rais mama samia ilibsuala la bandari ya bagamoyo hapana baba yetu Rais wetu mfalme wetu aliona haya
@motoernest7890
@motoernest7890 3 жыл бұрын
Ndugai umeahidiwa nini bagamoyo?
@mimimoop2617
@mimimoop2617 3 жыл бұрын
Kama upo Hai? Lala Salama Rai's wetu mungu akupumnzishe salama
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 3 жыл бұрын
Sipendi Watanzania tuingie kwenye fujo lkn nikiangalia Bunge la sasa hata 40 ya Magufuri bado wanamchafua kila siku natamani Watanzania wote tuandamane mpaka Bungeni tukawapige akina Job Ndungai maana wanataka kutuuza
@special.777
@special.777 3 жыл бұрын
@Shabani Alfani .Hapo umenena kweli
@puro1986
@puro1986 3 жыл бұрын
Idea mzuri iyo watanzania inabid waandamane na kutete itakadi zote za magufuli otherwise hawa viongozi ni hewa tu
@Lialye
@Lialye 3 жыл бұрын
Ndio tuandamane
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 3 жыл бұрын
Ni washenzi sana hawa mafala
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 3 жыл бұрын
Bora tuandamane
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 3 жыл бұрын
Ulikuwa na akiri nyingi sana na ulifaa kuongoza hili Taifa lakini kazi ya Mungu haina makosa
@husseinwaziri2796
@husseinwaziri2796 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuweke mahali pema peponi. AMIN
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
Naona hili bunge limekua la mashoga😏😏😏
@sonmsb1839
@sonmsb1839 3 жыл бұрын
RIP Simba wa afrika hakika tutakukumbuka
@geewara6385
@geewara6385 3 жыл бұрын
Ok OK okay, sizani Kama nimechelewa sana ntarudi chuo mwezi wa kumi, I'll become the next president of Tanzania, kifo cha Magufuli kimenifanyanijiunge na siasa maana sioni tena mtu Mwenye uchungu na hii Nchi Kama hili jiwe, I'll become the next magufuli in the next 30years nioombeni Watanzania
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
I shall be along with you God bless us
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 3 жыл бұрын
Dah?😭😭😭jamani Kama upovile. Rais anatakiwa kujieleza kiivisasa. Siyo kujaza manyamauzembetu nakukosoa mazuri yaliyoachw na jpm
@hamismabilu2292
@hamismabilu2292 3 жыл бұрын
Nakubali..
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 3 жыл бұрын
Mchima hapo Kenya Alisema nanukuu " GIVE BiG MONEY A BIG CHP" mwisho wa kunukuu. Kwa gari moja pick up mtu anasaini mkatabba kuuza mgodi Magufuli alisema tumerogwa
@lufutafurniturehouse.8223
@lufutafurniturehouse.8223 3 жыл бұрын
Anadhihirisha kweli kuwa ndugai ni kichaa
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 жыл бұрын
Mnajaribu kumchafua Magufuli kwa nguvu nyingi ila sidhani kama hayo ndo watanzania wanahitaji kuyasikia kwa sasa tukiwa bado tuna majonzi, ila kwa kifupi Itachukua muda sana kumpata Magufuli mwingine, labda Mwenyezi Mungu atupatie tena kama zawaidi!.
@lovely-mq4rg
@lovely-mq4rg 2 жыл бұрын
Mama ndio zawadi,baba yako amekwenda
@mabruqjumamponda7629
@mabruqjumamponda7629 3 жыл бұрын
Nilisema wiki iliopita kuwa chuma hakipotena wasaliti ndio walobaki. Napia bado hii ni trailer movie haijaanza. Kwa kweli kila mtu ata kufa na kifo ipo hatukatai,lakini mwenye akili ana jua kutokana na maneno ya ndugai kwa kuwa wazee wakichina wapo bado hawajatoka bado waweza pata hii deal ya bagamoyo bado na kula, Hii ina maana gani? 1.magufuli mpaka 2025 hatutakula. 2.magufuli mpaka 2025 tutalipa percentage tulio chukua. 3.magufuli mpaka 2025 atatumbua huu mradi. 4.magufuli mpaka 2025 tutastaafu maskini. 5.magufuli mpaka 2025 haiwezekani... Ndio twa sema kuna mikono ya watu kutokana na kifo chake. Kumbukeni kuna na Mwenyezi Mungu. Mtaumbuka hapa hapa mmoja mmoja.
@mageletz
@mageletz Жыл бұрын
Na kweli sema uki nena ukweli una potea huto onekana Tena MUNGU ibariki Tanzania 🇹🇿
@mageletz
@mageletz Жыл бұрын
Na kweli sema uki nena ukweli una potea huto onekana Tena MUNGU ibariki Tanzania 🇹🇿
@saxannjo6173
@saxannjo6173 3 жыл бұрын
HATA RIPOTI YA CAG NI MCHEZO MCHAFU UNAOTAKA UTUMIWE NA WABUNGE WEZI NA WASIO WAZALENDO KAMA NDUGAI NA MUHONGO,,,,,, HAMTUPOTEZI TENA NYIE WAPUUZI
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Kabisa
@donaldmgomba7571
@donaldmgomba7571 3 жыл бұрын
Baba yetu lala salama ,umetuacha wakiwa,haya Kama umelala tuombee tupate mtetezi kama wewe,twakulilia sana.hatutokusahau kamwe.
@kilatuinessy5954
@kilatuinessy5954 3 жыл бұрын
Huyu legend angeendelea kuishi tungefumbuliwa macho sana
@godfreybikukana7727
@godfreybikukana7727 3 жыл бұрын
Ndugai umetukera watanzania elimu yenu ya bureilitakiwa mhukumiwe
@esterkimath1214
@esterkimath1214 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Niliipenda sana nchi yangu kipindi cha uongozi wa JPM lakini sahii naiyona chungu watu wamebadirika na kua vinyonga
@amohammed3390
@amohammed3390 3 жыл бұрын
Magufuli yuko sahihi. Ndungai wacha hiyo. Hamna presentation hapo. Wachina wataiba waondoke zao
@eliasmwizarubi3543
@eliasmwizarubi3543 2 жыл бұрын
Mzee tutakukumbika sana kwa kauli zako za maono ya mbali na muhimu katika nchi yetu.yamebaki mapigaji tu
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 3 жыл бұрын
The magufilification of Africa solute for you just rest in peace you have positive attitude
@flowinmwanyika6935
@flowinmwanyika6935 3 жыл бұрын
Magufuli hakika tutakukumbuka uliowaamin wanakusaliti sasa
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
🙏
@happinessnicodemus6006
@happinessnicodemus6006 3 жыл бұрын
Sijakuxoma vizuri ndungai
@linuspapiasmanywele3414
@linuspapiasmanywele3414 2 жыл бұрын
Mungu Atashusha Pigo na wala Hiyo bandari Haitajengwa Kwa Uwezo Wa Mungu.
@PeterNMzee
@PeterNMzee 3 жыл бұрын
NDUGAI ulipewa vipande vingapi vya fedha? Anachonifurahisha huyu mtu anaongea kwa upole na hekima lakini ndo anatuchinjia baharini mazima
@aisilizatibesigwa1900
@aisilizatibesigwa1900 3 жыл бұрын
Hamsini😀
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 Жыл бұрын
Mungu mweke pema peponi tutamkumbuka milele maneno yako hayatasahaulika kamwe ni mazuri kwa watanzania mweee
@samsonmaduka2820
@samsonmaduka2820 3 жыл бұрын
Rais wangu, nilikupenda kwa kuwa na rangi moja,hukuwahi kutuzunguka wa tz , hata ungetupoteza ilikuwa ni kwa nia njema cyo kwa maana ya kutuzunguka unatuficha kutupoteza, ntakataa cku zote..hukuwa mtu wa hivo hata mlala hoi alijua fikira zako njema dhid ya taifa.. Sijui wanyonge walikulilia coz walipoteza mtu wao
@raymondjohn1876
@raymondjohn1876 2 жыл бұрын
Kwasasa jicholangu ni kwa majaliwa tuuu kasim
@lovely-mq4rg
@lovely-mq4rg 2 жыл бұрын
Na aliwapenda matajiri waliishi kama malaika
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 3 жыл бұрын
JPM for my life , hata kama haupo duniani, lakini misingi uliyotufundisha itatuongoza asante Sana jpm .., aibu yao wakina yuda ..
@julianamasunga700
@julianamasunga700 3 жыл бұрын
Nimeichukia CCM ...niwakuongopwa kama ugonjwa wa ukoma haki tena
@MosesJani
@MosesJani 3 жыл бұрын
Kwanini? Huyu Mgogo wa bunge sio CCM! Wewe una nia au njama nyingine.
@yassinabasi9382
@yassinabasi9382 2 жыл бұрын
Pumzika Rais wa kweli mungu akufanyie wepesi kwa yoyete amen
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 3 жыл бұрын
Mbona ndungai haeleweki
@leahelias5578
@leahelias5578 3 жыл бұрын
Mungu wa shadrack,meshack na Abednego atajidhihirisha kwao na atatenda
@nenadurra8477
@nenadurra8477 3 жыл бұрын
Wewe spika we are watching you with three eyes, it's a matter of time.
@iviejustified8109
@iviejustified8109 3 жыл бұрын
We are glancing .... eyes wide opens
@yusuphhabibu1474
@yusuphhabibu1474 3 жыл бұрын
Huu mikataba uletwe bungeni tuwangalie lkn Kama anacho sema magu nikweli wachina wasubili tu tatapata muwekezai mwingine
@lightnessmush7032
@lightnessmush7032 3 жыл бұрын
Ni hatari msijikaushe mungu anaona mkono wa mungu utakutana na hila yamtu yoyote atakaetutumbukiza kwa mikataba mibovu kw ajili yamlungula wawatu wachache,,
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 3 жыл бұрын
Ndugai unataka kutuuza?aaaah HII HALI HII INATISHA
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 3 жыл бұрын
Mpuuzi sana Ndugai
@innocentwilliam1669
@innocentwilliam1669 3 жыл бұрын
Rip jembe letu tutakumbu milele
@sikitusuchalaw230
@sikitusuchalaw230 3 жыл бұрын
Sumbswanga
@umojawawatanzania3813
@umojawawatanzania3813 3 жыл бұрын
Ety very good presentation, Nchi haiongozwi na presentation, inaongozwa na facts.
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 3 жыл бұрын
Ndugai anasema keshawahi kuongea na wachina wanaotaka kujenga Bagamoyo.Tunajua mliongea nini huko kama sio mipango ya wizi nini.10% itawaponza.
@wiliamnkonoki846
@wiliamnkonoki846 3 жыл бұрын
Jiuzuru brother
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 3 жыл бұрын
Hiyo bandari kuna nini wewe unkitu gani unataka huko jamani wachina sio watu ndugu yangu unatakupoteza ndugu zako
@linuspapiasmanywele3414
@linuspapiasmanywele3414 2 жыл бұрын
Bwege sana Ndugai
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Wema wa mtu huonekana baada ya kufa inasikitisha sana tunakukumbuka kwa mengi. RIP our lovely president ulikuwa mbeba maono. Tunamuomba Mungu atupe viongozi wenye uchungu kama ulivyokuwa baba.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Mm. Nashindwa hata kumtazama baba yangu alivyo I penda nchi hii masikini alikua anatetea nchi yupo pekeake Ana ka vikao wakipanga mchana wafanye Nini usiku wanageuka vigogo aaaa! Kwakeli MUNGU AJITUKUZE KWENYE JINA MAGUFULI
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 ni kweli kabisa ndugu yangu. Mwenye macho haambiwi tazama. Mungu tusaidie waja wako hatuna kimbilio jengine
@highonebalo8289
@highonebalo8289 3 жыл бұрын
Simama mwenyewe Mungu😭😭
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu ailaze mahali pema peponi.kila nikiangalia kilio changu moyoni hakiish japo hakuna mkamilifu mabaya yako ni machache mazuri yako nimengi.ulio waacha mungu awasimamie yale mazuri yote mungu awawezeshe wayaendeleze.mungu ibariki tanzania mungu ibariki Afrika.
@moha66
@moha66 3 жыл бұрын
R.I.P my king JPM, sahivi watu wanapigania matumbo yao tu .
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam 10 ай бұрын
Huyu mwamba 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽moja ya Raia kuwahi Duniani 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@gabrielpeter5378
@gabrielpeter5378 3 жыл бұрын
Leo ndo nimejua,, magufuli alikuwa na uchungu sana na hii nchi,, ni hatari sana mnapokuwa katikati ya vita then camanda akafa, mission inaweza isitimie kama msaidizi wa kama atakuwa legelege,,,,,,,,,,,,,,,,,.
@ismailsanga3233
@ismailsanga3233 3 жыл бұрын
Hakuna mtu hapa Rip jiwe
@olivernoel4976
@olivernoel4976 3 жыл бұрын
Una shukulani ndugai umeletewa ikulu kwenu umejengewa soko tena kwa jina lako stendi kubwa hacha tamaa nasema hivi wabunge musimuunge mkono uyo
@ramadhanmgaya1984
@ramadhanmgaya1984 3 жыл бұрын
Wizii mtupu, bandari zilizopo zinatutosha.
@nasiburamadhan6219
@nasiburamadhan6219 2 жыл бұрын
Mungu aiweke pema roho ya marehemu pahali pema amini
@philipfrankmakutsa9663
@philipfrankmakutsa9663 3 жыл бұрын
Tatizo lao pia elimu hawana nani mwenye uwezo tena wakuongea point na uweledi mkubwa wa kufafanua mambo ...Magu kaenda na kila kitu chake yamebaki makapi tuuu yanaropoka kila siku
@ezekielmollel3824
@ezekielmollel3824 3 жыл бұрын
Tunakukumbuka baba yetu magufuli Bwana akufufue uirithi makao ya milele
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 3 жыл бұрын
Nimegundua kuwa Samia hanauwezo Kabisa wakuwa rais, ndomaana anatapatapatu kipumbavu kwakuelekezwa nawapiga diri kinakikwete. Mavikabisa
@MrCosmas15
@MrCosmas15 3 жыл бұрын
unachosema ni kweli kabisa, huyu mama uwezo wake ni mdogo. Kuongoza nchi yenye majizi na mafisadi kila kona inahitaji strong na uelewa mkubwa.
@abdallahmohameddaniel659
@abdallahmohameddaniel659 3 жыл бұрын
Kaka umeona mpiga dil kaweka watu wake mpaka katibu mkuu ni wake makamu wa raisi wanamuogopa jk sana ndo maana mama anashinda ofcn tu ndugai pia ni mtu wa msoga
@shammediatz8112
@shammediatz8112 3 жыл бұрын
Aisee
@maggiechristopher8817
@maggiechristopher8817 3 жыл бұрын
Mama nae Jizi tu, ndo maana kareshuffle uongozi
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 3 жыл бұрын
Msiwatukane ila wambieni cc kama wazalendo wa nchi hii tunawangalia kwa macho yote ya mwili na rohoni
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 3 жыл бұрын
Njoo msikilize uku chuma akielezea juu yabadili ya bagamoyo 😭😭😭😢😢
@zuberiadamu3684
@zuberiadamu3684 3 жыл бұрын
Hawaa wabunge wanaopiga pigaa makofi wanaelewaa kweli haya mambo??
@danielmwakaseka3555
@danielmwakaseka3555 3 жыл бұрын
Mm ni mtanzania na sitoisaliti nchi yangu kini kiukweli sitohitaji tena kupiga kura wala kujihusisha na siasa coz niliipenda siasa sababu ya mzalendo wa kweli Mh.Hayati JPM, ndo Rais wangu mpaka naingia shimoni naishi naye kiimani yupo hai namm milele 😭😭😭
@adelthamiyonga2435
@adelthamiyonga2435 3 жыл бұрын
Baba tutakukumbuka daima.Pumzika kwa amani my role model
@RaT8493
@RaT8493 3 жыл бұрын
Mheshimiwa Spika kuwa na huruma na Tz, usisuruhusu kutumia nafasi yako/Bunge lako kuzaa nchi kwa mkataba wa Chinese Bagamoyo..Muogope Mungu na mkumbuke aliyekuwa Boss wako na Rafiki yako ulokuwa ukimpgia makofi, kumsapot na kumsifu kila dk mpaka Mauti yanamfika.
@joshuagaspary5561
@joshuagaspary5561 2 жыл бұрын
Upuuuzi wa kiwango cha lami
@Wastara001
@Wastara001 3 жыл бұрын
Samia kazi kwako. Usuke au unyoe
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 3 жыл бұрын
Ni kauli ya uchungu sana kwa marehemu rais wetu na hii hutuba ninaimani imetuelimisha pakubwa udhaifu wa baadhi ya viongozi. Mungu amuweke mahala pema peponi mzee wetu. Hii hutuba itaelimisha watanzania wengi kwa vizazi tofauti
@rosengowo8666
@rosengowo8666 3 жыл бұрын
Mama yetu Samia, tunakuomba utusaidie sisi wananchi, Huyu Spika hatujui alipewa nini na wachina, leo anasema huo mkataba ni mzuri uendelee????? Kweli kweli??? Ndugai sikiliza hii mara nyingi ,OOh Mungu tunaomba utupe watu wenye uchungu na nchi, Kweli tunaona ugumu wa kazi aliokuwa nao baba yetu Magufuli.Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 3 жыл бұрын
Kweli baba yetu Magufuli ulisema watanzania tutakumbuka tena kwa mazuri. Hakika baba natamani uamke uone unafiki wa baadhi ya hawa wanafiki waliojitia kukuunga mkono ukiwa hai kumbe walikuwa na yao mioyoni yao.
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Yani uko bungeni inabidi mtufurahishe ili tuondokane na majonzi sio kwente kidonda unatia chumvi jamani ,ebu ongeeni mambo ya muhim bandari sio muhim kama itakua haisaidii wananchi wake ikawasaidie wachina ina maana mnawauzia bc
@donaldmgomba7571
@donaldmgomba7571 3 жыл бұрын
Huyu ndugai atumbuliwe tujamani,au ajitumbue mwenyewe,inakera sana,tena sana
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Жыл бұрын
Aibu sana kwa wanaojaribu kuhadaa watznia kuhusu mkataba huu wanaoingia kuendeleza bandar zote nchini na mashart magum ajab.
@frankyohana2402
@frankyohana2402 3 жыл бұрын
Mungu amuweke Humphrey Polepole. Spirit ya JPM inayoishi
@salminirashidi3837
@salminirashidi3837 3 жыл бұрын
Uongozi nidhamana kubwa msije mkafanya uongozi uwe kama mtaji wenu angalieni maslahi ya nchi acheni kuimaliza nchi mungu awaongoze viongozi wetu amin
@MohammedAhmed-hw3lg
@MohammedAhmed-hw3lg 3 жыл бұрын
Jamani muwaulize Sri Lanka wanavyo lina na mitego ya machina. Marehemu Jpm alikuwa kiongozi makini sio Ndugai anapigia machina debe. Mama Samia kuwa makini na Machina
@peterloidakirway34
@peterloidakirway34 2 жыл бұрын
Uliona mbali kwa leo mungu atusaidie wachukue haraka wanaoihujumu taifa letu
@amapiaanocityintz6454
@amapiaanocityintz6454 3 жыл бұрын
Ndugai ndugai ndugai wewe mtu mzima ila unataka umalize utu uzima wako kwakukabidhi nchi mikononi mwa wachina harafu sisi tuje tutawaliwe miaka ya vitukuu vyetu
@oscarkasalile8442
@oscarkasalile8442 3 жыл бұрын
Mweshimiwa ndugai nikiangalia hii video nakuchukia ile mbaya sana lazima niwe mkweli. Lakini ngoja tuone tunakoelekea Magufuli yupo vichwani mwetu kamwe hata nitoka.
@trustbridgecommunicationst5892
@trustbridgecommunicationst5892 3 жыл бұрын
Huo ni utumbo ndugai watanzania wa miaka 6 iliyoputa si wa sasa kumbuka tunaweza ukawa mzee lakini ajili za kishenzi tynaelews kila kinachoendelea
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 жыл бұрын
Mungu ndie mwamuzi wa mwisho.
@shabanimukose226
@shabanimukose226 3 жыл бұрын
Ndungai kujiuzuru kabla hatujafanya maendeleo?
@abdulraheemsaid9988
@abdulraheemsaid9988 3 жыл бұрын
Mshenz uyo
@dennismalima5365
@dennismalima5365 3 жыл бұрын
Ndugai mnafiki sanaa daah lyapugile sanaa
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 25 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 557 М.
Dr John Pombe Magufuli - IJAMBO RYAHINDURA UBUZIMA EP318
15:00
DASH DASH TV
Рет қаралды 212 М.