DIWANI WACHA SIFA UNAHARIBU UISLAMU KWA MASLAHI YAKO|| Muhammad Bachu

  Рет қаралды 9,900

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 345
@salimmapande4668
@salimmapande4668 Ай бұрын
Subhaanallah huyu Yusuf Diwani kila anapozidi kupambana anazidi kuonyesha udhaifu wake wa kielimu
@jambu966
@jambu966 Ай бұрын
Mashallah Bachu nakuomba ukimaliza hii tufunze darasa yaTwahid.Uta wafunza wengi shukran.Sisi Ndugu zako wa Kenya tuna kupenda Sana kwa ajili ya Allah.
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Ай бұрын
Alhamdulillah kwa kuacha usufi na kufuata Sunna , mijitu km hii kina Diwani ilitupoteza sana tulivokua wadogo ktk vyuo vyao maulidi, Allah (S.W) atawalipa kila kheri mashekhe wote wa sunna, aaamin.
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q Ай бұрын
TENA WATOTO HAWASOMI SANA QURQQN NA MATN MBALIMBALI MATOKEO YAKE MIAKA MINGI ELIMU CHACHE MWISHO WANAZAMA KWENYE USHIRIKINA KWAKWELI FAMILIA ZETU ZINAANGAMIA SANA NA HAWA WAGANGA WANAOJIFICHA KWENYE DINI
@CoachHafidh
@CoachHafidh Ай бұрын
​Upo sahihi....Wazee wetu wengi wanaangamia sabab ya watu kama hawa, tuna kazi kubwa sana sahivi ya kuwaelekeza wazazi wetu njia ya usawa...daah mtihani sana ila Allāh atufanyie wepesi kwa kweli. 😢​@@SalhaAlly-x8q
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Na wakiishiwa Hoja za Kielimu humwaga Matusi na Kibri TU Kimewajaa Kwa Kutetea Ushirikina wao 🙌 Afu Video zao Wanaweka Comment Off @SalhaAlly-x8q
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
Achani kumpa sifa mnamuharibu mtoto wa Bachu Allah wanaomwabudu wakristo sio Allah tunayemwabudu sisi
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Ай бұрын
@@YaziduIddy-u7p sifa zipi? mwalimu wako Diwani hajafahamu, utafahamu wewe?
@idrisjames9392
@idrisjames9392 Ай бұрын
Uyu diwani ukimuangalia kwa umakini ana km chuki au kushindana lkn hana hoja ya kielimu na ndy maana akiambiwa alete vitabu anakuja na daftari lake aliloandika mwenyew mashaallah al akhi sheikh bachu unajitahid sana mungu akulipe ww pamoj na sisi na amuongoze uyu diwan aweze kujua haki inshaAllah
@abdullatifmnyamis372
@abdullatifmnyamis372 Ай бұрын
Jielewe basi​@@feizalmas
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary Ай бұрын
Daah !! Sasaa usomi wa batweel una tija gani??​@@feizalmas
@idrisjames9392
@idrisjames9392 Ай бұрын
@@feizalmas msomi wa mambo ya nyota na uganga au co ? acha ushabiki wewe angalia ata izo darsa zake diwani ankuja na maneno matupu haji na ushahidi siku zote mtoto akilia bc sindano imeingia itawaingia taratibu mwenzie alikula 19 bila al majaazi sas bado diwani.....
@ibrahimmaabadi1586
@ibrahimmaabadi1586 Ай бұрын
Hafidhaka Allah ya sheikhna Muhammad Bachu. Tunazidi kuelimika zaidi na kuziona shubha za hao ma sufi wasiojielewa.
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 Ай бұрын
Sheikh wangu Nakupa Tuzo, Hakika wewe nimwalim Professional ,Umetulia Masha Allah Jazaqallahu khaira.. Atakuelewa tu Tartibu biidhini llah..wengi WAMEANZA kumsema Akaekimya kama HAWEZI kukiri kua kafanya kosa.
@iddimselemjuma
@iddimselemjuma Ай бұрын
MashaAllah, tunakuelewa vzr sn sheikh wetu Unamsomesha sheikh Yussuf diwani ktk hali namna km hio
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 Ай бұрын
😂
@j4amas5
@j4amas5 Ай бұрын
😂😂😂 umenifanya nicheke sana hii kauli ktk namna km hiyo
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e Ай бұрын
ALLAH AKULIPE KHERI ,SHEKHE WETU,HIKI NDO TUNACHO KITAKA SISI WATU TUNAO ITAKA HAKKI, BAINISHA HAKKI NA UFUTE HUU UCHAFU WALIO UENEZA HAWA WAGANGA
@IddiMakame-i2l
@IddiMakame-i2l Ай бұрын
MPIGA RAMLI YOYOTE KITASIMAMA KIAMA IZO AYA HATOZIFAHAMU LABDA AACHE RAMLI ILA KWA MPENDAHAQI AKITAFRIWA MARAMOJA TU ANAFAHAMU KILILAHI JAZAKALLAHU KHEIR SHEIKH BACHU
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 Ай бұрын
Shukran Sheikh Mohammad jazakallahu kheiraa. Yusuf Diwani Ubao wetu fundisha khui.
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
Maashallah, May Allah reward you with all the best, continue teaching our Sheikh Muhammad Bachu.
@muhammadkhamis8500
@muhammadkhamis8500 Ай бұрын
Baarakallah fiik sheikh Muhammad bachu unatuelimisha na tunakuelewa vizuri. Kwa kweli hawa masufi hawaezi kushinda sunnah kabisa zao hua ni kujifanya wajuzi wa balagha na pia hawaijui hiyo balagha na siwasomi wa vitabu vya wanavyuoni hawajui kinachokusudiwa katika tafsiri ya Quran,wao wanatafsiri wanavyotaka wao kwa ufahamu wao mdogo wa kisufi.
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر Ай бұрын
Tunamshukuru Allah kwa neema ya kutujaaliwa sisi kuwa waislam wenye kufuata manhaj ya sunnah
@LuluAquai
@LuluAquai Ай бұрын
Alhamdulillah sheikh Muhammad Bachu mm huwa nakuelewa mapema sana,kama clip hii kwa hoja mbili ulizozitoa umenikinaisha ndani ya dakika 8 na sekunde 3,mara nyingi huwa nakuelewa vyema na hoja zako zina mantik
@alifoum6236
@alifoum6236 Ай бұрын
Allah akulipe kheri kw kazi kubwa unayo ifanya, usiache kumfundisha yussuf diwani ipo siku atakosa ata chakusema maana kasha ishiwa tyr
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Ай бұрын
Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr uyu ata umpe miaka 1000 hawez kuja na ushahid ndan ya kitabu
@adammaulid2356
@adammaulid2356 Ай бұрын
Me kubwa ni ku like tu ,man comment zimekua nying 😅,Diwan hat mumpe dalili 100 hasikii haoni
@RAMADHANZSHAABAN
@RAMADHANZSHAABAN Ай бұрын
NAKUPENDA SANA SH BACHU KWA AJILI YA ALLWAH MI NAKUITA KAMANDA WA UKWELI
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj Ай бұрын
Masha Allah ..wakwanzaa leo
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs Ай бұрын
Shekh Muhammad bachu nakupenda kwa ajili ya Allah sijui nifanyeje ili nipate kusoma kwako
@AhmeidYussuf
@AhmeidYussuf Ай бұрын
Mungu azid kukuhifadh maaalim
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary Ай бұрын
Jazakallahu khyran... Allah akujaze ikhlaas
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Ай бұрын
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة ‏ "♥"🤲🏽❤
@KasimuKiduba
@KasimuKiduba 28 күн бұрын
Diwani unatuharibia dini yetu nzuri ,,,, Mohamed Bachu mashalaah tunajifunza mengi sana huyu diwani ni tapeli
@muktazimbuyu6569
@muktazimbuyu6569 17 күн бұрын
Allah akuhifadhi Shekh Muhammad Bachu akupe Afya uendelee kubainisha haq
@BafaaAbuu-c5y
@BafaaAbuu-c5y Ай бұрын
Mashaallah shehk letu tunakuelewa sana
@abuuyunusnassor446
@abuuyunusnassor446 Ай бұрын
Subhaanah huyu Yussuf diwani ni mjinga sana , na ni mtu wa matamanio hakusudii kuijua hakki bali anakusudia ushindani
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Anawapoteza Wanafunzi wake ni Ushirikina tu anaotetea baada ya Kubuliwa
@faridfrefre35
@faridfrefre35 Ай бұрын
Masufi mmefeli sana wenzio wanakimbia kuabudu makaburi wanaingia ktk sunna
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Ай бұрын
Diwani atawapoteza hao wanafunzi wake tu sisi uku tushaelewa haki iko wapi....kweli bachu ako na elmu kubwa mashallah
@zanzibarbikelife9815
@zanzibarbikelife9815 26 күн бұрын
Tunakupenda shekh nassor Bachu maelezo yako yamenyooka masha allah
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h Ай бұрын
Hyu diwani kilichobaki ni kuvishwa msalaba ajulikane yeye na mzee wa upako hana tofauti
@cammackmarck
@cammackmarck Ай бұрын
Masha'allah sheikh wetu mpendwa ibnu bachu allah akulipe kheir nyng katika hali za namna hii
@markazalbukhary2137
@markazalbukhary2137 Ай бұрын
Allaah Akulipe Mema Sheikh Muhammad
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Ай бұрын
MAASHAA ALLAH SHEIKH barakallah feek
@AffanKhamis
@AffanKhamis Ай бұрын
Kwanza hao wanaosema yesu wapo katk meli nyengine tofauti.
@omarsal3266
@omarsal3266 29 күн бұрын
Dihu..! Uko makini😂😂
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 Ай бұрын
Allah akuhifadh sheh Muhammad bachu
@MariamKhamisi-c9r
@MariamKhamisi-c9r Ай бұрын
Mm naungana na bachu Yuko sahihi nimeisikiliza kuruani vizuri na pia nakuelewa Sana
@abubakarsuleimanMohamed
@abubakarsuleimanMohamed 29 күн бұрын
Alhamdulillah Mashaa Allah asante sheikh Mohamed kwa darsa
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n Ай бұрын
Hili dude diwani sijui miwani ni kaidi Sana mana cjui lifahamishwe vip mana inglikuwa jiwe lingelikuwa lishafahamu.
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z Ай бұрын
Muislamu anatakiw kuw na hekma inshllh
@KassimMuslih
@KassimMuslih Ай бұрын
Allah amuongoe diwani , asifanye mzaha ktk mambo ya dini
@saidinsenda954
@saidinsenda954 Ай бұрын
Subhanallah ivi Sheik wetu ee ujashtukia kitu kwa issuf diwani tazama ata vidéo zake zote huwa ana bloqué comment unazani nikwanini sheikh anajuwa vizuri ato pata ata comment moja tu itakao mu hunga mkono na sababu zipo wazi zipi izo ww unapo tuelimisha unatowa ushaidi wa vitabu ila yy anakujaga na kijikaratasi af anatafsiri kwa kutumia akili yake kwani sisi tunafuata akili yake sisi tunao fuatilia munakasha hu
@ASSALAFY_SWALEH.
@ASSALAFY_SWALEH. Ай бұрын
Yussuf Diwani ni mjinga sana, Allah amuongoe
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z Ай бұрын
Hekma ndugu zangu tumuogp allh
@samkaka2218
@samkaka2218 29 күн бұрын
Allah akujaze Kheri. KATIKA HALI ZA NAMNA HIYO
@omarsal3266
@omarsal3266 29 күн бұрын
😂😂😂😂😂 hhhhh
@MohammedBakari-pn9yg
@MohammedBakari-pn9yg Ай бұрын
Sheikh mo bachu ALLAH akujalie ikhlas...lkn unafanya kazi kubwa mno kama walivyofanya kazikubwa na waneendelea kufanya wakina sheikh qassim mafuta na wakina barahiyan kueneza suna hawa wakina diwan na genge lake ni washirikina tu wamejificha ktk kivuli cha uisilam...
@husseynomar9523
@husseynomar9523 29 күн бұрын
Sheikh Bachu MashaAllah ❤
@ShabanKindinda
@ShabanKindinda Ай бұрын
Huyu Diwani ni mtihani kwa kweli aaaah, yani mie sina elimu ya hivyo lakini naona makosa katika kutafsiri aya za Allah.
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 27 күн бұрын
QAULI YA MTUME SWALALLAAHU ALAIHI WASALLAAM ' HAKIKA YA HALALI IKO WAAZI NA HARAAMU IKO WAZI' MOHAMMAD ALLAH AKUZIDISHIA HEKMA YA UFUNDISHAJI WALA USIJALI MANENO YA WENYE KULAUMU NA TUTAZIDI KUKUOMBEA DUA UWE KIOO KWANI UISLAMU USHAHARIBIWA SANA NA WATU WASO NA ELMU NDIO WANAZIDI KUCHANGIA KUDIDIMIZA UISLAMU KAZI KUPENDA MASHEIKH KULIKO HAQI
@burhaanhabiib7278
@burhaanhabiib7278 Ай бұрын
Ustadh Diwan, maneno yako yaweke sawa inaonekana neno الله Allah, kusoma kote uliko kusoma hujalitambua hilo jina الله linamhusu nani peke yake ??? Subhana Llahu سبحان الله. Usufu Diwani onba radhi kabisa kwa Allah
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Ameshindwa/anashindwa Kuelewa na Kueleza Ukweli sababu Nafsi yake imejaa Ushirikina na Utapeli. Hivyo Allah anawaumbuwa
@SaidmussaBwicharo
@SaidmussaBwicharo Ай бұрын
Naam skh wangu , kama kweli anao ukweli awake vitabu kama wew unavoonesha vitabu
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 Ай бұрын
Shukran sheikh ❤❤
@suddisheby
@suddisheby Ай бұрын
Asalam alaykum warhamatullah wabarakatuh shekh mohmmad bachu wapata shida sana kumjibu mtu akili zake zaendeshwa na matamanio yake na kutokuwa na khofu kuwa hayo maneno yanarekodiwa na atakuja ulizwa juu yake mbona some liko wazi na umeshatamati mada muda mrefu kabaki tukana na kutoa maneno yasio na hekma fundisha waislam wanaohitaji kuijua sunna na ukweli wa dini yao acha poteza muda wako kwa watu wenye mtindio wa ubongo pia fatilia kiswahili kasomea wapi na asili yake wapi utamaliza mgogoro
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 Ай бұрын
Huyo ni mshirikina kwa hio hatoacha kusema uongo . Hapo anachopigania ni kuwatia wanafunzi wake kwenye Ushirikina.Namyomba Allah awaongowe wanafunzi wake.
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Ай бұрын
😂😂😂ktk hali ya namna hioooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Ай бұрын
Mganga kashaelewa tayari, katika hali za namna kama hii😂😂😂,.
@abuuyunusnassor446
@abuuyunusnassor446 Ай бұрын
😊😅
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir Ай бұрын
😂😂😂
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
😂😂😂 Afu wanazuwia Comment wanaweka Off Ili tusizidi Kuwakosowa
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir Ай бұрын
@@alhadajjmohammedsmith9042 yaan ktk hali ya namna hio😃😃
@conhecmintokujuwa
@conhecmintokujuwa Ай бұрын
Tuchukueni namba za whatsapp kwenhe vídeo zake Ili tumtwange masuali
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op Ай бұрын
Yusufu diwani elimu Hana elimu yake kupiga lamli Na utaperii (Dua ya ngamia) Haifai hata kumsikiriza ni dajjari miongoni mwa madajjar
@MbanoMrage
@MbanoMrage Ай бұрын
Shekh Diwan nimgumu sana wa kuelewa hiyo video wanaongea hapo niwanaorikod sio wanaopata ajali
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
Napenda vile ustadh Mohamed Bachu hujibu maswali za Yusuf Diwani na dalili lakini Yusuf Diwani akiulizwa maswali elfu hata moja haijibiwi, dalili kwanza sahau
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z Ай бұрын
Asllm alaykm: mm ningeomb kwa sisi tuanao comment tutumie hekma na busara matusi yetu ni hasara kwetu na wala si katk mwendo wa wema walio tangulia tusiend kwa mihemko yetu hazuiliw mtu ku comment ila hekma na busara tusiwe kama wanasiasa au timu za mpira hii ni dini sote lengo letu moja tuwe na hekma inshllh.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Ай бұрын
kweli Diwani kachemka
@jumabalozi
@jumabalozi Ай бұрын
Unajua diwani anafahamu kama hayupo sawa ila naona kutaraji anshidwa
@AwadhTariq
@AwadhTariq Ай бұрын
Diwani atachanganyikiwa katika hali za namna hiyo😂😂
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Ай бұрын
😂😂😂 eti KATIKA HALI ZA NAMNA HIYO
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Ай бұрын
Jmn hatar leo comment zote ni ktk hali za namna kama hio 😅😅😅
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 27 күн бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄Nimecheka saana eti ' ATACHANGANYIKIWA KATIKA HAALI YA NAMNA HIYO' 😀😀😀😀😀😀😀
@abdillahjuma6107
@abdillahjuma6107 Ай бұрын
Kweli uyo ni mganga tu anachoangalia ni sifa tu
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
Wanaosema na kulia Yesuuu ni hao wanaorikodi na si wanaozama. Kisha Mungu wa waislamu si miungu wa hizo imani nyenginezo. Mungu wa waislamu ni tofauti kabisa, na miungu kama Yesu, bikira maria, ama mungu n'gombe wa mabaniani. Niliona mungu wa biblia mpumbavu kisha dhaifu, sasa miungu hiyo haiwezekani kua ni Allah. ..........Allah wetu ana majina mazuri mazuri.
@kisombetz2604
@kisombetz2604 Ай бұрын
Mimi sio wahab ila Yusuf Diwani hajiamini , hajibu hoja vizuri, zaidi ya kejeli nyingi anajibu hoja kiushindani hajibu Kwa kuelimishana , Harafu ndio kafungia kabisa na comment
@MASOUD-e3i
@MASOUD-e3i Ай бұрын
Ila kiukweli Diwani ni bishi sana hili jamaa hataki kuacha uganga wake na utapeli wake
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 27 күн бұрын
ATAKULA WAAPI TUMBO NI KHATARI SAANA IKHIWAANI
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Ай бұрын
Huyu diwan anachosha yaan me naona km anajua kila k2 ila tu ameamua kuendekeza kula yake tu ktk hali namna km hiyo 😅😢😂
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Ай бұрын
😂😂😂 katika Hali za namna hiyo
@omarsal3266
@omarsal3266 29 күн бұрын
😂😂😂😂hhhhhh
@Dawah99
@Dawah99 Ай бұрын
Mambo yanakwenda kwa namna hio, katika hali kama hizo.
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Ай бұрын
😂😂 mambo namna kama hio😂😂😂
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e Ай бұрын
SWALILANGU KWA YUSUFU DIWANI NA WAFUASIWAKE, KUNA ALLAH MWINGINE ALIE UMBA MBINGU NA ARDHI? TOFAUTI NA ALLAH TABAARAKA WATAALA?? NAOMBENI MAJIBU ,DIWANI NAJUA WAFATILIA COMENT ZETU NA WATUWAKO
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n Ай бұрын
Kwani jamni iv ili diwani likikubali kushindwa itakuwaje. Maana Kila siku lakufuru tu.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
Shida hatojibu hizo maswali.....na hio ndio bahati mbaya kwa yeye na wanafunzi wake wenye hawatimu milele, kuanzia 2019 hawa wanafunzi wake naona tu wakifunzwa balaqa, swarfa na majazi na hawaendi popote hadi leo....mungu awaongoze wote
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Ай бұрын
Hawa wanafunzi wake hawajui chochote zaidi ya majazi😂😂...ndio maana yeye usaidizi wake mkubwa ni lugha kupitia kadaftari kake...matokeo yake anaharibu mpaka aya za Allah.. katika Hali za namna kama hiyo 😂😂
@MussaYasini
@MussaYasini Ай бұрын
😅😅​@@hassanmohamedlaizer569
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Ай бұрын
Tunaomba yusufu diwani afungue coment 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅masufi tumeabishwa tanga na huku tena mhhh
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@conhecmintokujuwa
@conhecmintokujuwa Ай бұрын
Sheik mimi naomba grupo lako la whatsapp. Tafadhual napatikana Msumbiji Moçambique
@kanzucentre3468
@kanzucentre3468 Ай бұрын
Kwenye lugha anatuma link fatilia
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Ай бұрын
Kwenye ligha kuna link
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Ай бұрын
Samahan hivi huyu Yusuf diwan amesomea wapi??mbona anajidhalilisha sana😢
@faizahmed2898
@faizahmed2898 Ай бұрын
Inaonekana amesoma Congo ilipozama Ile meli😂
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Ай бұрын
​@@faizahmed2898 ilipoa zama meli ktk namna kama hiyo 😂😂
@mbjunior166
@mbjunior166 Ай бұрын
​@faizah😂😂😂med2898
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Ай бұрын
Yusuph diwan miaka 12 ilyopita nlikuwa namkubal mnoo kumbe ni mtu wa hovyo hivi 😢😢
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Mshirikina huyu na Kundi lake🙌
@mubariekabrahams2650
@mubariekabrahams2650 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😂
@jumabalozi
@jumabalozi Ай бұрын
Diwan anafunga coment tunashidwa kumuuliza baazi ya maswal wala maoni
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 28 күн бұрын
Mtu wa batweel na analijua hilo ndo maana
@HamisiHassani-v2z
@HamisiHassani-v2z Ай бұрын
Huyu Diwani hajuwi Kiarabu mrejeshe kwenye Tarjama za Sheik Abdallah s Alfarsy na Albarwaany
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e Ай бұрын
Waganga wanaficha hakki ili kutetea uganga wao katka haliyanamnakama hio😂😂😂😂😂
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Ай бұрын
😂😂
@JumaMbarouk-y5m
@JumaMbarouk-y5m Ай бұрын
Tatizo la Diwani ana amini akikubali kushindwa ndo uganga wake kwisha na maokoto yatapotea
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs Ай бұрын
Yani shekh bachu natamani ningekuwa karibu na wewe nipate kusoma kwako
@DenisTaki
@DenisTaki Ай бұрын
Kumbe comments zinafika kwa DIWANI, SHEIKH DIWANI naomba unioneshe katika Qur'an au sunna wapi jina ALLAH limetumika kwa maana ya mungu wa washirikina? Na sheikh Bachu pia tawheed 3 hatujamaliza.
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Ай бұрын
Nakushauri ufuatilie clips za nyuma kabla ya mada hii ya ALLAH, kuna maneno ya wazi kabisa aya zinazotaja tawheed tatu. Hawa kina Diwani walipoona hawana cha kusema kuhusu zile aya zinazotaja tawheed tatu nd wahama mada kuja huku kwa MIUNGU
@DenisTaki
@DenisTaki Ай бұрын
Swali langu Sheikh Diwani amelijibu na nimetosheka na majibu: { لَقَد كَفَرَ الَّذينَ قالوا إِنَّ اللَّهَ هُوَ المَسيحُ ابنُ مَريَمَ وَقالَ المَسيحُ يا بَني إِسرائيلَ اعبُدُوا اللَّهَ رَبّي وَرَبَّكُم إِنَّهُ مَن يُشرِك بِاللَّهِ فَقَد حَرَّمَ اللَّهُ عَلَيهِ الجَنَّةَ وَمَأواهُ النّارُ وَما لِلظّالِمينَ مِن أَنصارٍ }[ المائده: ٧٢ ]
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Ай бұрын
Leo watatuu...diwani kashaelewa basi tu...anajiaminisha na vibalagha vyake mwisho wa siku akaharibu mpaka aya za allah ...akadaftari kamemponza ktk Hali za namna kama hiyo😂😂😂
@binuqaasha675
@binuqaasha675 Ай бұрын
😁
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 Ай бұрын
😂
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Ай бұрын
😅😅😅 ktk hali za namna kama hio
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Ай бұрын
@@saadaAbdalla1371 ndio hivyo akhy ktk Hali na mazingira ya namna kama hiyo😂😂😂
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 Ай бұрын
Yaan mm yusuph diwani kilichobaki anachoweza kujaa kusemaa nikamuamini labdaa mambo yake ya dawaa
@IbraahJuma-dl2rd
@IbraahJuma-dl2rd Ай бұрын
Katika hali za namna hiyooo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@IbraahJuma-dl2rd
@IbraahJuma-dl2rd Ай бұрын
😂😂😂😂
@mbjunior166
@mbjunior166 Ай бұрын
😂😂😂😂​@@IbraahJuma-dl2rd
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Ай бұрын
Diwani clips zake kuzuia comments. Anazuia kitu gani. Yeye kama yuko vizuri kwa hoja ya aachie wazi .
@AhishakiyeSahnun-by2yi
@AhishakiyeSahnun-by2yi Ай бұрын
Ibn mandhur katika kitabu cake mujam lisan al arab alitoa maana ya neno rabi :anaemilki,anaetoa rizki,mlezi kwa sababu limetoka katika tarbiyat:malezi ,anaeabudiwa au wakufuata dalili surat tawba aya 31
@YahyaKombo-j3g
@YahyaKombo-j3g Ай бұрын
She Muhammad acha kulumbana Na watu walikua hawana elimu unajishusha hadhi yako ya kielimu
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 Ай бұрын
Anarekebisha wanako haribu hawa wajinga
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Ай бұрын
Yusuf Diwan sio kuwa hana alili lakin kwa kuwa ameamua liabudi matamanio yake Allah hamuongozo dhalimu humuacha apotee kwa kuwa anataka afuate anachokitamani na Allah anasema katika Qaswas nani alopotea kama afuateye matamanio yake ... Pia Alkah humuacha apotee mtu aloamua kuwacha njia ya waumini baada ta kumbaibikia haki alajiona yu sahihi kumbe kapambiwa matendo na iman yake mbaya ayaone mazuri apotee. Allah amuongoze awache upuuzi huu na amuogope Allah awache ushirikina atubu. nado atibakishe katika msimamo wa akida sahihi hadi umaut na aturidhie. aaammmiin
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Ай бұрын
tena anaongy kwakujitapa Unakuja kudanganya watu hapa katika hali zanamnahiyo 😂😂😂😂😂
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Ай бұрын
😂 katika hali za namna hiyo 👋
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Ай бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Alhamdulillah kwa kunicoment Shekh wangu. zidi mapambano haijawahi kuwa rahisi kupambana na bidaa endeleya namapambano shekh wetu sisi tukopamoja naww insha Allah, katika hali za namna kahiyo
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z Ай бұрын
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Ndugu assalm alaiykum : Nina ushauri tu kidg kwa busara kabisa ningeomba urudu tena darasani ukasome lugha ya kiarabu balagha swarfa na nahwu na mantwiki na usiend kwa mihemko ya comment za watu hii ni dini Wala si ushabiki wa vyama vya siasa au timu za mpira Rudi ukasome elimu hauna na ufahamu wako ni mdogo Sana pia nikuambie huwez kutetea tauhid 3 hili jambo mtume hajuwi kabisa.
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z Ай бұрын
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.Hili ulilolifany la kuacha comment za matusi nadani ya chanel yak utaend kujibu kwa allh muislam hapaswi kumtukn muislam mwenzk na ww unasapot maovu muogope allh
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z Ай бұрын
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Rudi ukasome lugha ya kiarabu ( balagha swarfa nahwu na mantwiki) hivi vitu haujuw kwa maongez yak tu ukiongea Rudi ukasome usipotoshe watu huwez kutetea tauhid 3 Si mafundsho ya mtume saw hao wanaokusapot Leo na kesho akhera wafanye hivyo hivyo hii dini mmeifany kama siasa matusi matupu kweny comment hivi hii ndo Sunna ya mtume
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Allah Akbar diwani anajipapatua tu hamna mtu hapo
@omarsal3266
@omarsal3266 29 күн бұрын
Manyoa matupu....😂😂😂😂
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Ай бұрын
Diwan anaaibika ktk hali za namna kama hio😅
@habibmohd8008
@habibmohd8008 Ай бұрын
Hhhhhh
@ismailhamada5685
@ismailhamada5685 6 күн бұрын
Hlfu pia shekh apo wanaoita yesu sio wanaozama, pengine ao wanaozama huend wamemtaja Allah
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
Diwani amejikita ktk elimu ya uganga na ndo maana amejaa upotoshaji tu
@MrKhatib-w3i
@MrKhatib-w3i Ай бұрын
mashehe njaa waganga wala ubwabwa kama hao wamejaa wanautaka ushehe kwa kusoma juu ama tu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
Tatizo shekh wangu daawa yako unashirikiana na mahizbi sijui utaachana nao lini, arafu umesoma chini ya walimu wa kisalafi unaelewa vzr tuuh miharafa ya answari sunnah kuwa ni ma ikhwani sururiya Ila bado upo nao tuh unawatetea mahizbi
@MiskiyaRoho
@MiskiyaRoho 17 күн бұрын
Yusufu diwani hapo aliongea vibaya kusema Allah wa kwenye Biblia, Allah amjalie arudilie vitabu vyake vizuri
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh 18 күн бұрын
Tatizo la Mawahabi ni ufahamu na kiarabu hawajui vizuri
@muhammadkarama9996
@muhammadkarama9996 Ай бұрын
Huyu diwani kwa ushindani wa kipuuzi anakaribia kuleta kufru.
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 Ай бұрын
Tunampa nasaha ndugu yetu Yusuf diwani akasome dini au kama hataki asizungumzie uislam anapoelekea anapotea
@mbjunior166
@mbjunior166 Ай бұрын
Naam sheikh! Ila nmecheka sanaaa😂😂😂😂
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Ай бұрын
Muhuni baba age mganga uyo
@jumasalum2677
@jumasalum2677 Ай бұрын
Watatu leo mganga njaaa Huyo sio sheikh hapo ndio tatizo
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
😂😂😂Nduguye keshajuwa Diwani Mganga Njaa ila anashindwa tu Kumwambia ukweli
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN Ай бұрын
Mi ninapendekezo ambae anamjua Diwani kwanza waende wakampime mental kama yuko sawa hana mental cases bas ambiwe atubie huu ni ukafir kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
MUHAMMAD MAFUTA HII DINI HUIJUI UNABAHATISHA TU || Muhammad Bachu || January 2025
44:26
DIWANI UTAENDELEA KUDHALILIKA MPAKA UTUBIE KUFRU ZAKO || Muhammad Bachu.
1:01:35
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 8 М.
MAJIBU KWA MWALIM CHAKA NA YUSSUF DIWANI || Muhammad Bachu.
1:09:52
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 10 М.
UKWELI KUHUSU PICHA YA SHEIKH ABUL FADHILI QASSIM MAFUTA ALLAH AMHIFADHI
8:17
HABIB IBRAHIIM ONLINE TV
Рет қаралды 5 М.
Mchungaji Kasilimu Kisa Maswali Haya Mjibuni Wakristo
23:55
Bernard Mwaipopo
Рет қаралды 145 М.
NETANYAHU AKIRI RASMI KUACHANA NA VITA GAZA
3:58
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 954
TUSIHUSISHE MISKITI NA SIASA || Muhammad Bachu.
1:03:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 31 М.
HUYU NI MALAANIFU KWANINI UNAMTETEA ? || Muhammad Bachu.
33:02
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 7 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI NA SHE LIDA || Muhammad Bachu.
39:11
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 9 М.