MAJIBU KWA MWALIM CHAKA NA YUSSUF DIWANI || Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 9,692

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 546
@muhidinally3753
@muhidinally3753 Ай бұрын
Sheikh Mohammad hakika wewe unatupeleka katika njia iliyonyooka aliyoileta Allah subhannah wataala. Tunakupenda kwa ajili ya Allah
@Tolleiyss-g6b
@Tolleiyss-g6b Ай бұрын
Nimewahi no13 Leo alhdllh nafaidika sana, mungu amjalie faida sheikh Muhammad Bachu wetu na waumini wote.
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
Maashallah Allah akujuaalie uwe wa mwanzo hivyo hivyo katika kheri nyingi akhy.
@cammackmarck
@cammackmarck Ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh uzuri wako unaonesh wazi kila kitu katk vitabu kinyume chake wao ndio wanaporoja maana hawana ata ushahid kwenye vitabu diwani anatakiwa atubie kwa icho alichokisema
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h Ай бұрын
Diwani elimu huna hebu nyamaza acha kubishana na muhammd bachu utadhalilika hua ilmu nakwambiya tena allah atkudhalilisha
@RashidAhamed-kq6pt
@RashidAhamed-kq6pt Ай бұрын
Huyu ni mtoto wa shekh wetu kipenzi bachu katuachi tuna mshukuru allah kwa hili mungu amlaze mahali pema peponi shekhe wetu nassor bachu
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 Ай бұрын
Mashallah Mohammad umempata ndipo Mganga mpaka ana pwayuka kama mwenda wazimu..Allah amuongoze Diwani.anatia huruma.Sheikh bachu Allah akupe umri uzidi kusafisha mazingara.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Kiboko ya Diwani na Washirika wake 👇kzbin.info/www/bejne/gpy9gIN3g9BppKMsi=VLuSMZ_SWgmBTHNe
@saleemshehabu3071
@saleemshehabu3071 Ай бұрын
Kweli anasafisha Mazingira 😅
@zitoinze8953
@zitoinze8953 Ай бұрын
Ameen
@bindjuma8821
@bindjuma8821 Ай бұрын
Jazak'Allahu khayr Sheikh Muhammed bachu iyo familia ya madiwani imesha poteza muelekew sabasa kashindwa hoja za maulidi kapotey sas nduguy yousouf diwani kaamuwa kuja kupotosha Allah azid kuwaongoza
@SleepyBarbecue-oe6cu
@SleepyBarbecue-oe6cu Ай бұрын
Allaah akujaze kheir yaa sheikh, hata ktk nyakati zetu hizi ipo mifano ya washirikina tena wanaojinasibisha na uislaam baadhi ya wakati wanaacha kuomba wanavyoomba ktk shirki zao na kumuabudia Allaah, baadae humidity shirking zao, waganga kuku waislam inapofika ramadhani huwacha Uganga na kuingia kwenye ibada ya funga, ikiisha tu ramadhan Uganga unarudia palepale.
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q Ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI USTAADH WETU ,ENDELEA KUTUFAFANULIA ,NIMEKUWA WA KWANZA LEO ALHAMDULILLAH .MCHUNGAJI NI UBAO WETU LEO ,ALLAH AMUONGOZE KWENYE HAQI AINGIE KTK UISLAM
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
Maashallah Allah akujuaalie uwe minassaabiquun,,,,
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q Ай бұрын
@@KhalfanMassoudAllaahumma aamiin
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Ай бұрын
Amiin yaarabal aalamiin
@omarijawadu4047
@omarijawadu4047 Ай бұрын
Amiin
@ibrahimmaabadi1586
@ibrahimmaabadi1586 Ай бұрын
Hafidhaka Allah ya sheikhna. Yani hao watu hawaogopi hata kumzulia Allah uongo. Sasa nimetambua ni watu wa sampuli gani. Allah awaongoze katika njia iliyo nyooka.
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 Ай бұрын
Hapo sheikh Bachu umepata, uko sawa na sheikh Diwani hakufanikiwa , amekosa na mimi lugha yangu ni kiarabu. بارك الله فيك الشيخ باتشو لقد أصبت الحق في الصميم، إذ أن عادة الإنسان عندما يصيبه الضر لا يعرف أحدا إلا الله ولكن إذا تعافى ونجا من محنته ينسى ربه
@aooshosho4255
@aooshosho4255 Ай бұрын
Sheikh Diwani kwalipi..hapo sheikh ni sheikh bAchu ndie asitaiki kuitwa sheikh... Diwani amechemsha aliemfunza anavyotafusiri alimpoteza....arudi chuo na ache kabisa kujibishana sheikh bAchu maana atamwaibisha zaidi ya hapo..
@aooshosho4255
@aooshosho4255 Ай бұрын
Yaani Diwani ni ubao alafu sheikh bAchu ndie mwalimu si wanafunzi twapata faida 😅😅😅 walahi Raha.... lakini hii inakuwa Raha zaidi uwe umesoma Kiasi na usiwe na ushabiki hapo ndio utaelewa nani afae kuita mwengine mpumbavu jinga😅😅😅... kweli sikila ajuae yuajuwa kumbe ajui kaa ajui.
@ShabanKindinda
@ShabanKindinda Ай бұрын
Haya majimaji ya sheikh Naossor Bachu yanatupa faida Wallah, Na Allah akulinde ewe Muhammad Bachu, Allah subhanahu-wata-'ala akuhifadhi tuendelee kufaidika.
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e Ай бұрын
Mashallah allah akulipe sheri shekhe bachu, hawa waganga ukweli hawana hojja, naelimu pia niweupee,wamesomea matusi tuuu,hojayao ilibaki matusi matupu
@KishkitvAhmad
@KishkitvAhmad Ай бұрын
Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa uhibuka fi allahi sheikh muhammad nassor bachu
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Ай бұрын
أسأل ألله أن يوسع لي ولك كلّ طريق وينجيني وينجّيك من كلّ همٍّ وضيق أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبك بالأنوار ويحفظني ويحفظك
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@jumabalozi
@jumabalozi Ай бұрын
Na mimi amina
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Ай бұрын
Bachu Alla akupe ufahamu mwingi na hekima za kuanyoosha waganga hawa
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Ай бұрын
Mtu kama hana subira pia hana sifa ya kuwa dai'.ALLAH A'ZZA WAJALLA Ametuamrisha kuwa na subira katika Daawa na maeneo mbali mbali.
@FatuNahimana
@FatuNahimana Ай бұрын
Asalam alaikum warahmatullah allah akupe subira kijana wetu mwalim bachu kwa maneno machafu anayo kuchafuwa kwayo huyo diwani
@muhamadkhalid4976
@muhamadkhalid4976 Ай бұрын
Maashaallah sheikh Muhammad tuko pamoja kwa kila hali mwalimu wetu ❤️❤️💯
@abdulazizimbwana1586
@abdulazizimbwana1586 Ай бұрын
Mashaallah shekh muhammad bachu allah akuhifadhi nakila baya
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Ай бұрын
Napenda sn jinsi Bachu alivyokua hajibu matusi wala halalamikii kutukanwa na Diwani wala matusi yao hayamrudishi nyuma ktk daawa, laiti nae angekua anajibu matusi basi Diwani angefarijika kuona kua kumbe sote n wajinga ila kadri anavyojibiwa kistaarabu ndio anavyozidi kuumia 😢
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
@@abdulmohd6880 Allah says in the Quran وَإِذَا سَمِعُوا۟ ٱللَّغۡوَ أَعۡرَضُوا۟ عَنۡهُ وَقَالُوا۟ لَنَاۤ أَعۡمَـٰلُنَا وَلَكُمۡ أَعۡمَـٰلُكُمۡ سَلَـٰمٌ عَلَیۡكُمۡ لَا نَبۡتَغِی ٱلۡجَـٰهِلِینَ
@MussaYasini
@MussaYasini Ай бұрын
Sahihi kabisa akhy
@nduwimanayusuf7661
@nduwimanayusuf7661 Ай бұрын
ALLAHU askulipe malipo makubwa kwa kazi hii ispokua pepo ya firdaus ue pamoja na Mtume Muhammad
@Khatib-iv9pb
@Khatib-iv9pb Ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah, sheikh Allah akuzidishie elimu uzidi kutuelimisha, Allah amekujaalia ufasaha sheikh wetu mashallah, mtu km hataki kufahamu ubakie ukaidi wake tu
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Ай бұрын
MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH ALLAH akupe subra kwakazi nzito
@zitoinze8953
@zitoinze8953 Ай бұрын
Ameen
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Ай бұрын
MAASHAA ALLAH
@AhmedMohamed-mw3ev
@AhmedMohamed-mw3ev Ай бұрын
Masha Allah endelea kutupa elimu mm nakuelewa vizuri sana shekh wangu
@ShauriAbdallah
@ShauriAbdallah Ай бұрын
Aisee wanakuchukia bure tuu,wanakutukana buree.Kumbe Allah kakusaidia unaelewa mambo.
@SALIMTV-vo7es
@SALIMTV-vo7es Ай бұрын
Masha Allah Shukran , Allah akujalie kheyr na Siha njema Ssisi tunamfaham mganga wa tiba asili huyoo, Hana elimu anakurupuka Kwa kauli hii ni sawa na murtada huyuu
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t Ай бұрын
Kwahili laleo bachu ukosawa mnyenge mnyongeni lakini hakiyake mpeni lakini aelewe tu hatayeye wakatimwengine hufanya kamahaya au kuliko haya kwahio wenzako wanapokukosoa usiwembishi hakunamkamilifu ispokuwa allha pekeyake mungu akuongoze katika kuijuwa haki nakuitowa kw umma❤❤
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Ай бұрын
Allah akuongoze na wewe katika haqq❤❤
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Sio swali la leo tu kama utamfuatilia Muhammad Bachu mambo mengi anayojadiliana na watu anakuwa yupo sawa ukianana na ushabiki utagudua hilo.wewe vuatilia clipu zake tofautitofauti.
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney Ай бұрын
Sheikh Mohd bachu Allah akulnd na mahasid haw InshaAllah
@mbarakjamal1273
@mbarakjamal1273 Ай бұрын
Yussuf diwani hajui nguvu yake katk jamii, anatupotosha wengi mno , na sisi tunamuamini kwasababu ni shekhe kumbe atuvuruga, SUBHANALLAH, MUHAMMAD BACHOU ALLAH AKUHIFADHI TUPE VITUUUUUUUU
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Ай бұрын
Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr. kwakweli Diwan hajielewi anataka kushindana na haqi ata km atakufuru yeye hajali iliobaki ni Allah kuwaadhiri tu
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
Allah awabainishe maana sasa tumechoka kuwaombea uongofu,,,
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Ай бұрын
​@@KhalfanMassoud kweli kabisa wao wanatak ushindan wanasahau hii ni dini mtihani
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 Ай бұрын
Jazaqallahu khaira Sheikh wangu Allah akuzidishie Afya njema wew na Familia yako. Ahh.. Allah Akuhifadhi na Hasad ..Endelea kutuelimisha Kama yeye hataki kuelewa kwakukaza UBONGO ...Jamii inakuelewa. Acha aendelee na Matusi atakutana nayo Kaburini.
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
Wallah akhy nimepeleleza watu wingi sasa tumeshachoka kuwaombea kina diwani na ndugu yake uongofu maana wamezidi sasa,,, Namuomba Allah awabainishe diwani na mdogo wake.
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g Ай бұрын
@@KhalfanMassoud Diwani hajawahi kukubali kosa tangia aanze kukosolewa ndio maana awaita Salafy ni wakatoliki Subhaanallah.
@hajikomora703
@hajikomora703 6 күн бұрын
Huyo emepotea yy mwenye LA HAKUPOTEZWA NA USTADH BACHU
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Ай бұрын
ALLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi al akhiy lkariim. Endelea kubainisha Haqqi. ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuimarishe ktk subira. Watu wengine ni mitihani kwa mengine.
@HamadMwalimu
@HamadMwalimu Ай бұрын
Masha Allah Allah akuhifadh she Muhammad bachu
@alifoum6236
@alifoum6236 Ай бұрын
Allah akuhifadhi pamoja na sisi, usichoke ustath hakika ukweli unazidi kuonekana
@alifoum6236
@alifoum6236 Ай бұрын
Allah akuongoze wewe na sisi, hakika ukweli unaonekana
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Ай бұрын
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة ‏ "♥"🤲🏽❤❤❤
@BafaaAbuu-c5y
@BafaaAbuu-c5y Ай бұрын
Allhamdulillah allah akupe elimu yenye manufaa na ww na sisi pia kupitia ww inshaallah shekh tunakuelewa sana huyo diwani wa washirikina tayari kashazalilika allah kashamfedhehesha anadai alipigiwa simu akaambiwa aache matusi uongo aliambia kua maneno alio yaongea kuhusu allah amekufuru arudie tafsiri lakin nilicho gundua ukiachana na uchawi naushirikina pia ana kibri kikubwa mpiga haki
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
😂😂😂😂😂 ❤❤❤❤
@fatmasuleimanhamad
@fatmasuleimanhamad Ай бұрын
Maashaallah. Mwenyezi Mungu akulipe kheri Inshaallah
@AdnanFonte
@AdnanFonte Ай бұрын
m/mungu akubariki muhammad bachu ❤❤ na amsamehe mzazi wako
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs Ай бұрын
Hivi shekh wangu Muhammad bachu mpaka sasa hukugundua kwamba Diwani ni Jaahili Murakkabu anakupa shida bure
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤kweliiiiiii kabisaaaaa
@MasoudChoum-pp1ob
@MasoudChoum-pp1ob Ай бұрын
Leo umewasafishia mazingira kiongozi barallah fii umrika wa ilmika wa fii swadiq
@MbarakSoud
@MbarakSoud 25 күн бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah usitukane ni aibuuu kutukana mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu
@KassimSaary-q5r
@KassimSaary-q5r 9 күн бұрын
Sasa ndio umechangia nini
@dhidhasalim267
@dhidhasalim267 Ай бұрын
Huyu diwani ni wale "fi qulubihim maradha fazadahum maradha". Ni vizuri pia anawakilisha masheikh ubwabwa wengi Afrika mashariki ambao wanafaa kuanikwa namna wanavyopotosha waislam.Sheikh Bachu Allah akuhifadhi akupe umri mrefu upate kutubainishia maovu wanayoyafanya ili ummah uongoke insha'Allah.
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 Ай бұрын
Diwani anakurupukaa sanaa kmaa Shekhe haifai kufanyaa hivyoo huyyu bachu anaelimu kubwaa sanaa
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr Ай бұрын
Wallahi bachoo Alla akuzidishie subra nasisi atupe subra hili jamaa lina matusi mabaya sisiwengine tusingeweza hili jamaa nijahili sanna
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kweli kabisaaa
@ameirameir4349
@ameirameir4349 Ай бұрын
Allah akubariki Muhammad Bachu kupitia wewe wanaelimika wengi
@AdnanFonte
@AdnanFonte Ай бұрын
❤❤❤❤ bachu unajua vitabu sana hukurupuki tu
@abdulwahidmansour5450
@abdulwahidmansour5450 Ай бұрын
Allah akuongoze ww na sisi mpaka peponi
@zitoinze8953
@zitoinze8953 Ай бұрын
Allah akuhifadhi ya sheikh na amsamehe sheikh yussuf diwan
@Bantu-u9m
@Bantu-u9m Ай бұрын
Hata hao washirikina wanao tamka Alla, kwanza wanamtambua Alla Mwenyewe, halafu pamoja naye wanaambatanisha na chengine katika nyanja zote tatu za kumpwekesha Alla. Iwe katika maombi 1. Ibada 2. Au sifa. ( Shirki imegawika sehemu mbili - kuna shirki ndogo na kubwa!
@FatnaIddy-p6k
@FatnaIddy-p6k Ай бұрын
Masha Allah Allah akujaze kheri sheikh wetu
@khamisali5942
@khamisali5942 Ай бұрын
Tangu dunia iumbwe na na vitu vyote vilivyomo ndani yake Haijawah kutokea kiumbe chchot kuitwa ALLAH. Hata hao makafiri hawasubutu kutengeneza mungu wao halaf wakamwita ALLAH leo diwan kwa ujinga wake anawapa makafiri jina la ALLAH ndo jina miungu yao huyu ni AHMAQ
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Ай бұрын
❤Koment
@massoudsaid765
@massoudsaid765 28 күн бұрын
Mashaallah ❤ mashaallah ❤ mashaallah ❤
@jumabalozi
@jumabalozi Ай бұрын
Mh leo cjaona coment za masufi nazani kuna kitu wamefaham allah awaongoze.
@naasibabuu
@naasibabuu Ай бұрын
wapo hoi saiz wanajiuliza huyu diwani ni sheikh au ni miongoni mwa walioshindwa kwenye udiwano
@Tandalesse
@Tandalesse Ай бұрын
As Salaamu Alaykum Warahmatuالله Wabarakatuh. Sheikh Muhammad,hii darsa yako huko mwisho yakata sauti kwa hiyo binafsi sijastafidi vyakutosha na naomba uirudie yote mwanzo mwisho kwa sauti tafadhali.
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Ай бұрын
ALLAH AKULIPE KHERI SHEKHE WETU
@AbdullaHaji-b7d
@AbdullaHaji-b7d Ай бұрын
Allah SW Akuhifadhi kijana sheikh Mohammad
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq Ай бұрын
Uyo ndo bachu msomi anajua anachokifanya
@AdnanFonte
@AdnanFonte Ай бұрын
❤❤Allah akuhifadh
@iddimutua420
@iddimutua420 Ай бұрын
A.alaikum Ndugu yangu yussuf Diwani nakukumbusha mambo mawili ambayo umekua ukiyafanya: 1.Kwanza Umekua Ukiwatuka wanawazuoni ukidhani unamtukana M.bachu na kukumbusha tu Nyama zao zina sumu kali na dawa yake huna wewe 2.Pili Umeikufuru Qur'an bila wewe mwenyewe kutambua na kama unatambua hilo basi unakibri ukumbusho tena nakuomba kwaajili yaAlllah rudi ukatubie na useme shahada tena kwani usisahau wewe ni marehemu mtarajiwa na utakwenda kuulizwa kwani Haki haiyangaliwi yatoka wapi ndio iwe Haki hatakama ni kwa mtu usio mpenda bado ni Haki na nijukumu lako kuikubali.shukran.
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Kijana mdogo mwenye Ilm kubwa Ma Shaa Allah
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 28 күн бұрын
Alitaka aibadilishe haqqi ili tu awe mshindi sifa mbaya sana siokwamba hajui Allah anamdhalilisha kwa jazba zake
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Ай бұрын
❤❤❤❤أسأل الله أن يرفع درجتك
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
Jamani hili ni ombi letu sisi naomba mulipe likes ili liwe linaonekana kwa ukaribu na mapema mtu akiangalia comments,,,, > *_Tunamtaka diwani afunguwe comments section_*. > *Matusi yake hayatomfaa kwa Allah na kitu chochote*. ****OPEN THE COMMENTS SECTION* FUNGUA COMMENTS SECTION.
@Mohamedi.12
@Mohamedi.12 Ай бұрын
😂😂😂😂 hahahaha,hata Mimi naona kabisa siwezi kutoa COMMENTS
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Ай бұрын
Diwan na upepo ni sw wote wanapoingia ktk hoja ambayo wana uhakk kua wao wamekosea bx wanafunga comments section sijui kw nn sas km kwel wao wapo ktk haki na wanajiamin kw nn wafunge comments section najiuliza mpk leo sijapata jibu me pia naomba afikishiwe ujumbe InshaAllah na huenda ikawa ni 7bu ya kuacha ushirikina wake
@MohammedBakari-pn9yg
@MohammedBakari-pn9yg Ай бұрын
Yan diwan kila anavyojibu namuona kumbe jama nimweupeeee ktk hii dini kama alivyokua mweupe dk sule
@MafundaSule
@MafundaSule Ай бұрын
​@@MohammedBakari-pn9yg Diwani hataki kusoma na hasikilizi ushauri wa sh Muhammad bachu mara kwa mara anamnasihi kusoma, yan levo za Diwani, Sule na Mazinge zinaendana
@YahyaAli-o9z
@YahyaAli-o9z Ай бұрын
​@@MafundaSule nyny ndo hamjasom mnaopotosh watu neno الله makafiri wanatamka hivi neno آله haujuw na جمع ya الله au haujuw na آلهتهم الهتنا hamyaoni hayo maneno ? Hakuna kafiri ambaye anatuhid wachen upotoshaji soma Aya 16 suratul hashri كمثل الشيطان إذ قال الإنسان كفر فلما كفر قال إني بريء منك إني أخاف الله رب العالمين na hii Aya tuambieni iblisi anayo tauhid maan yak kasem إني أخاف الله رب العالمين semen iblis anayo tauhid wachen kupotosh watu
@MASOUD-e3i
@MASOUD-e3i Ай бұрын
Allah Akubariki Sheikh Bachu Masha Allah
@ShauriAbdallah
@ShauriAbdallah Ай бұрын
Kazi kutukana tuu,kumbe hakuna wanachojua.
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Ай бұрын
Shukran Jazeera
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Ай бұрын
Yaelekea diwani Una mungu wengi mshirikina
@feiz3180
@feiz3180 Ай бұрын
Sh. Diwani, tujitahidi katika lugha. Nyinyi mashekhe ndio kioo cha uislamu,
@NdarukeJuma
@NdarukeJuma Ай бұрын
Sheihe wangu paleulipomradi alhad madam yahaleluya nimekua napatadarasakubwasanakutokakwako endelea kutuelimisha sheih
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 Ай бұрын
Assalaamu alaykum ahasnte sheikh Muhammad Bachu kwakutufumbua macho.
@Sempreapostandonaverdade989
@Sempreapostandonaverdade989 Ай бұрын
Mimi ni mkristo, lakini Kwa maelezo haya Sheikh Mohammed Bachu , nimekupenda Bure ,Yaani upo vizuri , na huyo Diwali, asipoelewa na kutubia Kwa Mujibu WA dini yenu, du u ....Muungu wenu (Allah) Atajua vya kumfanya siku ya kiyama. Na kama vile unavyo muombea Mchungani wetu Chaka na sisi tunakuombea Kwa Yesu usife ila umekuwa mkristo.
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Ай бұрын
Sisi tunakuombeen nyny muingie ktk uislamu ktk dini ya hakki na hata ww ukifwatilia kw sheikh muhammad bachu bx utaelewa kua hii ni dini ya kwel na sio dini nyengine yyte InshaAllah karib ktk dini ya hakki na hakika utakua bora kw allah
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
@@Sempreapostandonaverdade989 _Wallahi, Nimefurahi kusikia umempenda Sheikh Muhammad bachu,,,_ _Allah akufanyie wepesi kwa kumpenda mjawake iwe ni sababu ya yeye kukupenda na kukuelekeza katika dini ya hakki ya Uislamu,,,_ _Tunakuombea kwa Allah akuwafikishe uweze kuufuata Uislamu,,,_ *NAKUSIHI* endelea kufuatilia haya maswala zaidi na zaidi ipo siku uwazi utakubainikia.
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 Ай бұрын
Maashaallah karibu sana
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Hata hilo jina *YESU" husikii Kuitwa Mtu mwengine ndo ijekuwa Jina la ALLAH (alomuumba Yesu na Viumbe wote) ndo jina lake eti litumike/lifananishwe na Miungu wa Makafiri/Washirikina!!!,🙌🤫🙆
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Ай бұрын
Katika Hali za namna kama hiyo 😂😂😂
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Ай бұрын
Hata Wana wa Israil (Wakti wa Mussa) Walipokuwa yakiwafika Madhara (Kuletwa/Kuzagaa Vyura, Chawa, na Maji kuwa Damu (Wana wa Islail walikuwa) wakimkimbilia Mussa awaombee kwa Allah ili yaaondoke Madhira (Allah awaondolee Vyura, Chawa na Maji yasiwe Damu) laakin wakishaondoshewa Madhira hurwjea ktk Ushirikina Wao. Diwani wacha Ubishi/Kibri
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Ай бұрын
Diwani ni pocho limefanya ubao wallahi. Yaani hata ukimsikiliza diwani unajua kuwa kichwani hamna kitu pia hana uwezo mzuri wa kufikiri
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
Allah na mtume wake wametufahamisha, kuna masheitwani wa kijini na masheitwani wa kibinadamu kwahiyo yisufu diwani ni sheitwani maruhun raana tullahy, Anapewa wahy na masheitwani wa kijini kupoteza watu akisaodiana na wafuasi wake ni vi ibilisi vidogo dogo, Watubie kwa allh endapo wakifanya kibri Allah avunje migongo yao na aangamize ndimi zao yeye na masheitwani wenzie walinganizi wa moto hawoo
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
❤❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Diwani Na genge lako nendeni Kwa Sheikh Muhammad bachu mkasome tafsir hsmjui kitu
@abdulwahidmansour5450
@abdulwahidmansour5450 Ай бұрын
Maalim msikiti wko unaotoa khutba i jumaa uko wp nishautafuta Sana siujui wakati mwengine tunasafiri kwa ajili ya ijumaa
@twahaally7251
@twahaally7251 Ай бұрын
وَالدَّلِيلُ قَوْلُهُ تَعَالَى: Na dalili ni kauli Yake Ta’aalaa: فَإِذَا رَكِبُوا فِي الْفُلْكِ دَعَوُا اللَّـهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ ﴿٦٥﴾ ((Wanapopanda merikebu humwomba Allaah wakiwa wenye kumtakasia Yeye Dini, lakini Anapowaokoa katika nchi kavu, tahamaki hao wanamshirikisha))[17]
@a.a.ua.a.u6816
@a.a.ua.a.u6816 Ай бұрын
allah ni mmoj tu kwan adhana tu nijbu tosh kwak
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Ай бұрын
shekh Diwali amedhalilika sana yaani anasema jina la ALLAH linatumika hata kwa asiyekuwa ALLAH
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs Ай бұрын
Sasa ikiwa Allah ni jina laweza kutumika kwa wengine yusufu Diwani Tupe jina La Mola wetu ambalo kwa hilo hatushirikiani na yoyote katika kumuomba kwni sisi waislam Hatumshirikishi Allah
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Ай бұрын
Looolo diwani muombe Allah msamaha Wacha kiburi, yule shekhe Wa tanga alikuonya ukamwita mkatoriki Sasa kwa hili wewe na yeye mkatoriki ninani
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Ай бұрын
Lugha za utapeli utaskiya anasema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Katika mazingira kama hayo .。katika namna kama hizo ..mpiga ramli bhana mweupeeee kama mchana kichwa manundu kichwa box😂😂😂😂😂
@AminiDjuma
@AminiDjuma Ай бұрын
😂😂😂😂
@AminiDjuma
@AminiDjuma Ай бұрын
😂😂😂😂
@LuluAquai
@LuluAquai Ай бұрын
😂😂😂
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Ай бұрын
@@AminiDjuma yaani huku zanzibar ndo chimbo lake lautapele na lugha kamaizo wallah mtihani shekh
@dinakipingo1905
@dinakipingo1905 Ай бұрын
Katika hali za namna hiyo😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂
@ZakariaTau
@ZakariaTau Ай бұрын
Ismail Fred south Africa diwani hua nakua mini sn ila laleo umeniangusha na uombe toba, bachu wew Kuna mda fulani nakuonaga mtoto mbaya sn mkosa adabu ila Leo niseme asant Allah akulipe
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Ukimsikiliza diwani katika mabishano na Muhamad Bachu utamkataa Yussuf Diwani utamgundua hana hoja nzito ama anazotoa Bachu tafadhali Fuatilia Mada mbali mbali ambazo hujadili.mfano: Neno Haliluya ,mada ya tauhidi na nyinginezo lazima utamkataa Diwani anayoelezea sio sawa.
@naasibabuu
@naasibabuu Ай бұрын
​@@jumamohamed3168jamani huyu diwani sio sheikh tuelewe hivyo
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Ай бұрын
A/alaykum naomba kuuliza kdg hivi kwel ktk qur an inapotamka neno ALLAH hlf isiwe ni allah wa waisalmu na iwe ni allah wa miungu mengine hivi kwel ichi k2 naomba jibu coz mm ninavyojua ktk qur an neno ALLAH ni muumba wa bingu na ardhi n sio allah wa makafiri sasa naomba ichi k2 kw mwenye kujua InshaAllah sisi wengine bado ni wanafunz...
@HamisiJob
@HamisiJob Ай бұрын
Uko sahihi Allah ni jina analotumia Allah peke yake Wala HAIFAI jina Hilo kutumi yoyote, hata makafir Dunia nzima ukisema ALLAH wanajua huyu ni mola mlez wawaislam japo kuwa hata wao makafir nikatka viumbe vyake
@MussaYasini
@MussaYasini Ай бұрын
Skiliza video hii mwanzo mwisho utaelewa majibu ya swali lako
@ThirbThirb
@ThirbThirb Ай бұрын
Chunguza ktk qur'an kila neno Allah utakuta hakuna hata sehemu moja imetumika kwa maana ya miungu. Na pia upande wa lugha, Allah ni mmoja muf'rad(sing), Na miungu ni jam'uu(plural) , wapi ambapo maneno haya yana kutana.
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Ай бұрын
Na itumie nafasi hii kuwaonesha wakristo kua Uislamu sio Dini ya mtu au taifa binafsi, ikawa anavyotaka yeye, au linavyo taka hilo taifa ndio iwe hivyo. Dini ya Uislamu ina nidhamu zake zilizo toka kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote, na kiumbe bora kuliko viumbe wote Mtume wetu Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaam. Sasa hawa wanaojiingiza kwenye mijadala haliyakua elimu hawana, bali wanasahau kua nafasi hizi zinahitaji elimu na bahthi kubwa ili ukae mezani kujadili mambo, na matusi dharau kejeli, urongo, hapa sio mahali pake
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg Ай бұрын
KIUKWELI INASIKITISHA TENA SANA KUONA MUISLAM ANAKATAA TAWHEED TATU LAKINI HUYOHUYO ANASEMA ALLAH WAPO WENGI.
@suleimansaleh4025
@suleimansaleh4025 Ай бұрын
Askum, Yakh, angalia na watu wa kuwafanyia rududi, hawa wengine hawataki kupekuwa vitabu, masala ambayo unamuelewa diwani yapo wazi kwa wanachuoni, ila sifa ya washirikina ni kupindisha mno, uyo mtu muwache kwa sababu hana elimu na simpambanuzi.
@BinmuhamadSuwayd
@BinmuhamadSuwayd Ай бұрын
SHEKH MUHAMAD BACHU HUYU JAMAA C MSOMI WACHANA NAE MANA HANA ELIM AIJUAYO HUYU WACHANA NAE TU
@RashidSaid-l9m
@RashidSaid-l9m Ай бұрын
Shekh bachu muangalie uyo diwani video zake wamefunga comment namba umwambiehilo
@khamisali5942
@khamisali5942 Ай бұрын
Diwani anatakiwa kutaraaj km anatak radh za ALLAH la km ndo anashirikian na akina chaka shauri yake sisi tunamnasih tu
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Ай бұрын
@@khamisali5942 Hakika akhy
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 Ай бұрын
Vijana wenzangu tusomen mda bado upo Elimu aina mwisho tusomen
@AbdullahiHussein-ik4eo
@AbdullahiHussein-ik4eo Ай бұрын
M.a sheikh Hawa wanamasikio n Hwa skii
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 Ай бұрын
Diwani anaendana sana Na baba levo na mwijaku ... wallai mm namuona chawa tu
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Ай бұрын
😁😁😁😁😁 Diwali kachemka jamani mdomo umempoza tena kuna aya ALLAH anasema baada ya kuwaokoa baharini kisha wakamshirikisha ALLAH,ALLAH anawaambia kuwa akiamua atawarudisha baharini awagharikishe huko au ALLAH akiamua atawapelekea kimbunga huko huko kwenye nchi kavu awaangamize
@chamaibra5966
@chamaibra5966 Ай бұрын
Eliimu ya diwani ni sufi kwa huu mjadala kachemsha vibaya kuna nchi miaka ya karibuni waislam walishinda mahakamani kuwa neno allah lisitumike kuitwa kwingine
@abdulwahidmansour5450
@abdulwahidmansour5450 Ай бұрын
Shukran jaziila
@ameirameir4349
@ameirameir4349 Ай бұрын
Huyo Yusuf Diwani si kama hajui hayo unayosema Muhammad lakini hakubali Kwa Sababu ya ukaidi na anatetea Kwa Sababu yeye mwenyewe ni mpiga Ramli
@MbwanaHusein
@MbwanaHusein Ай бұрын
Uyu yusufu diwani kachanganyikiwa sana anatukanatu ajielewi atakidogo
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Ай бұрын
Yule n mtu mzima hovyo, na matusi yte yale n baada y kuona kua biashara yao y uganga imebainishwa hadhatani
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Ni yusuf diwani na wakristo na alhdi musa salim wa haleluyaa
MUHAMMAD MAFUTA HII DINI HUIJUI UNABAHATISHA TU || Muhammad Bachu || January 2025
44:26
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Islam, kirken og Israel - Einar Gelius
52:59
Med Israel for fred
Рет қаралды 4,5 М.
DINI YENU INAHITAJI MSAADA LAKINI MUNAANGALIA DINI ZA WATU || Muhammad Bachu.
38:26
HUYU NI MALAANIFU KWANINI UNAMTETEA ? || Muhammad Bachu.
33:02
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 7 М.
TUSIHUSISHE MISKITI NA SIASA || Muhammad Bachu.
1:03:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 31 М.
RADDI KWA MTOTO WA BIEDH MUONGO WA MAMBRUI || Muhammad Bachu.
45:06
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 20 М.
QUR-ANI HAINA MAKOSA MAJIBU YETU KWA MCHUNGAJI HUYU NA MWALIM CHAKA
39:46
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
TAWHIY TATU HAZIKWEPEKI || Muhammad Bachu.
26:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 16 М.