"Ni bahati sana kuwa hai wakati Dizasta Vina yupo"
@omarypetro3207Ай бұрын
Jamaa ni Professional Genius ni 🔥🔥🔥 😀😀 jamaa kwenye HIP HOP anafanya vitu vya ERA yake peke yake kumfananisha ni UPUMBAVU tu.
@dismasmushi93284 ай бұрын
Wakuu asee mm nikisema tz akuna kichwa yakumzid uyu jomba nakosea ,,,,emu nipen jib maana uyu jamaa aliwah sema yeye ndio bleed afichiki kwa kofolii,,,Dizastaaa
@SandeSande-gs2en4 ай бұрын
Sikiliza. tukusa vi
@israelkusalula58314 ай бұрын
Nenda kamsikilize Barkeliam utakuja kufuta hii comment yako
@omarypetro32072 ай бұрын
@@israelkusalula5831barkelium matako tu kwa DIZASTA VINA kwenye kila kitu jamaa hata 10% hapati kwa huyu mwamba...😂😂✊👊✌️😎😎😎
@HonestBway4 ай бұрын
Kama ulimmiss Sir Nature kibra kiroboto weka likes tuondoke 🔥
@mimibusarachibu4 ай бұрын
Napenda kuona malegends wetu wakirudi na kupitia kinyaaaaama, respect Juma Nature! Respect Dizasta kwa kushirikiana na Legend wa gemu la Bongo fleva
@stephenndedya65584 ай бұрын
Humu nagundua ni wagumu kununua kazi za wasanii ndo maana hamjui lolote...huu wimbo ni wa nash na upo katika albam ya nash emcee
@MudyMessa-hi4mq4 ай бұрын
Noma Sana bingwa 🏆🏆👊🦶🦶
@Thatboyhumble_954 ай бұрын
Sana MaBrother heshima yenu thamani yenu haita kaa ipotee kwenye Game la Bongo💪💪💪💪💪
@collihgram4 ай бұрын
Dizasta anapita sana alafu mistari ina-make sense,Juma Nature bado Mnyama sana kwenye kubamiza chorus🙌🏽🔥
@RajabuManjenje4 ай бұрын
Msitu wa vina na vina og 100%
@AbdalahAbbas4 ай бұрын
Mwalimu umekuja Tena darasani kutufunza falsafa nashkru sana vina kutokea Tanzania
@patricktravis65754 ай бұрын
Naaam huyu black Maradona anabalaa sanaa🎉🎉🎉Sir kau sanaa
@AlsaMwakalenga4 ай бұрын
Hii ngoma ipo powaaa! Good.
@mlamytz4 ай бұрын
Ila watu wenye akili huwa wanapataga vitu vizur sana
@smokietz98514 ай бұрын
Pumbu hili kumamake big message brother
@juliuschipanha66253 ай бұрын
Unaokota visenti Unavimba unadinda 🎧🎧🎧 Ila washa prove prof na ngosha ni 🔥🔥🔥
@thomasemmanuel58274 ай бұрын
Dizasta vina ni genius wa Hip-hop anajua hakuna wa kucompare nae🧠
@gaddibullahtzg56354 ай бұрын
Dizasta vina akiwa na mkongwe Nature kazini ni fireeeeeeee...........🎉
@cyprianyinnocenty20024 ай бұрын
Iiih chumaaaa! Aaaah n🎉🎉
@farajikazumari26934 ай бұрын
King wa Swahili rap 🔥
@marhamephrahym2754 ай бұрын
Umeomba mke mwema ukapewa na Bado unatoka nje tenaa🙆📌
@YusufuYusufutomasijuma4 ай бұрын
Vina mm matofali yako huwa lazima niya jenge nyumba kila ngoma yako lazima ni okote tofali
@aminibaya27632 ай бұрын
Vina uko juu ma brother
@DetailsTanzania-pr4vs4 ай бұрын
Dizasta vina & Msitu wa vina 🔥🔥
@victormtaya71504 ай бұрын
Dizasta Vina na Msitu wa Vina. Ni balaaa
@Ndokezi-14 ай бұрын
@@victormtaya7150 hahaha humo ndan pa moto kaka
@AlphaxardMakongoro-dc3df4 ай бұрын
Huyu dizasta ni allien nawambieni siyo binadamu wa kawaida maana siyo kwa utunzi huu😢😢😢❤❤❤
@lampadshigonko30064 ай бұрын
Soma vitabu mbona hata ww unaweza
@abbythebrain70434 ай бұрын
Hii ni ngoma nash mc ipo kwenye albums yake ya mhadhiri Dizasta ameshilikiwa Tu
@jerryjunior63704 ай бұрын
Toa kichupa hii ime anda na gwiji ime kaa poa sana
@kilalakaila97624 ай бұрын
Hii kali SANA💥
@Shukurujustin-o8t4 ай бұрын
Dizasta vina kila ngoma kama unaimba mimi daah sema hii ngoma sasa kila mstali umepiga kwenye mshono wewe mtu atali sana medula
@onesjulius38704 ай бұрын
Ahsante dizasta
@bahopamontana63814 ай бұрын
WANZA LEO NIPATE LIKE ZANGU HAPA
@ericksonmuhulo15704 ай бұрын
Ungepata coz umekosea kuandika
@Ndokezi-14 ай бұрын
@@ericksonmuhulo1570 😂😂😂
@Ndokezi-14 ай бұрын
Nimekupa like yako bhan...😂
@AmaniLangsoni-k9fАй бұрын
Ila dizasta Vina ni anaweza sana jamaa
@JacksonMatuga4 ай бұрын
Bonge la kolabo
@KitangariGenerations4 ай бұрын
Hauna baya mr Vina
@legawayz60934 ай бұрын
good music 🎶💪 hii Collabo nimeipenda aise nature ktk ubora wake, vina umeuwa bro 👏👏🔥🔥☺️
@RachaelClark-cv3cg4 ай бұрын
The Good poetry's a Master of all the Big words
@michaelmlingi4794 ай бұрын
we are here for you disasata
@Damiantuby4 ай бұрын
Mhadhiri The Album by Maalim Nash🔥🙌🏾
@bakariabdul70884 ай бұрын
Hii ngoma naipataje maana cjaipata google
@stephenndedya65584 ай бұрын
Ni ngoma ya nash mcee na kuipata inabid ununue albam haipo mtandaoni
@yusuphmyinga4 ай бұрын
Nakubali dizasta vina hiyo medula ya kipekee
@gotintito44554 ай бұрын
Nature bado wa 🔥🔥
@CoachHafidh4 ай бұрын
QMMMKEE....🔥😂💯
@talaakipturu36654 ай бұрын
Na mzidi kubarikiwa❤
@AbilahSalumu-qx1cb2 ай бұрын
Never Change Mzee
@Raphaeldaudi-q7m4 ай бұрын
Thanks again son.
@rashidmambo14124 ай бұрын
Virus Vina nko ndani tena sana...Salute to these teachers🎉🎉🎉
@joelymgimba78264 ай бұрын
Nomaa sana vinaa🔥🔥🔥🔥
@SimbaRemmy-ow4nb4 ай бұрын
🎉🎉🎉 una baya Black maradonaa
@GregoryNarcis4 ай бұрын
Black Maradona king of rap
@hanceironfurnitureog62524 ай бұрын
Nature kafanya yake hapa
@leonardmhagama58284 ай бұрын
Ila we jamaa 10/10
@iFly-t9b4 ай бұрын
Yoh 🔥🔥🔥
@The_Mad_Philosopher4 ай бұрын
Mauaji 🔥🔥🔥🔥
@ajsmainde51384 ай бұрын
SHEM HESHIMA NYINGI🎉🎉😅😅😂😂
@videozaaj10694 ай бұрын
Nature mhhhhhhhhh CHOROÙS KILLEŔ OF ALL TIME
@eddiemohamed90034 ай бұрын
HERE WE GOOOOOOOOO🔥🔥🔥🔥🔥💯
@Brunoh90Tv4 ай бұрын
Dizasta Vina x Msitu wa Vina😃🔥🔥🔥👏👏
@imaramc68023 ай бұрын
😮mtu nanusu Mc pekee.katika mamc wachache muliyobaki kwenye msingi Wa hip hop
@muddylikwena1284 ай бұрын
Sir nature..sauti ile ile moto ule ule..
@Nomoo_4 ай бұрын
NASH MC FT JUMA NATURE & DIZASTA
@mwakalongesebene24274 ай бұрын
Huna adui
@duderapper984 ай бұрын
🧨🧨🧨
@officialdinaize4 ай бұрын
Brother 🔥
@jayfarsaga49354 ай бұрын
As usual 🔥
@Ngalatz4 ай бұрын
Mwamba huyu hapa
@jumarajabu43934 ай бұрын
Black Maradona
@mkohoexperience73224 ай бұрын
Aisee ndo nimeiona leo
@malongasimba3833 ай бұрын
Nouma sanaa
@adamramadhan38734 ай бұрын
Noma. Noma. Noma.
@gimobakari66094 ай бұрын
ila vina we siwakaidaa😂😂
@nyumbumjanja4 ай бұрын
#jumanature Salute chorus 🔥🔥
@CertifiedStoic4 ай бұрын
OYAAAAA NOMAAAAAA
@jamesmatula72494 ай бұрын
Dizasta vina 🔥🔥🔥
@laurentrueta96254 ай бұрын
JUMA NATURE THE LIVING LEGEND N DIZASTA NI EMINEM
@MweusiAlly3 ай бұрын
Vina nakubali chuma cha moto na juma kiroboto
@addamschamwande77344 ай бұрын
Apooo
@denzetz33914 ай бұрын
1️⃣0️⃣0️⃣
@robertgagabhi81884 ай бұрын
🔥🔥🔥
@EliasKamoАй бұрын
🎉
@deemichael62594 ай бұрын
Black maradonaaaaaaaaaaa
@ramadhangwago56804 ай бұрын
Cjui watasema nn wakisikia hii ,
@digalo373silentkiller74 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@abasmwika34324 ай бұрын
Bonge ya korodani.
@ShahaKhamisi4 ай бұрын
❤❤❤❤
@gwamakajohn71222 ай бұрын
Vina
@BarackaelStephen-td2ui4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@jossporahmsw84204 ай бұрын
Xnaa wanahsrakat we2,,
@Tamakamc3 ай бұрын
hakuna kama ww vina labda mim tu
@AlifLot4 ай бұрын
Kaka vina
@Maligisa123 ай бұрын
Hatia 1 + Kikaoni
@EdwinAdAstra4 ай бұрын
Hili dundo la Mdachi P?
@theophilusnsumba94462 ай бұрын
Dizasta Vina
@ayoubmartin37414 ай бұрын
Maradona
@mohamedjuma28634 ай бұрын
DIZASTA NI MMOJA TU.
@dakeeog5854 ай бұрын
Falsafa
@Shukurujustin-o8t4 ай бұрын
Dizasta vina kila ngoma kama unaimba mimi daah sema hii ngoma sasa kila mstali umepiga kwenye mshono wewe mtu atali sana medula
@rnbtalburnke30784 ай бұрын
🔥🔥🔥
@Shukurujustin-o8t4 ай бұрын
Dizasta vina kila ngoma kama unaimba mimi daah sema hii ngoma sasa kila mstali umepiga kwenye mshono wewe mtu atali sana medula