Fid Q feat Mex Cortez & Lord Eyez - SIMBA (lyric Video)

  Рет қаралды 27,022

Fid Q

Fid Q

Күн бұрын

SIMBA
FID Q verse
Mitaa inahoji kama niko real au niko feki
Nawaambia kama nimedozi wajue ni deals tu hazieleweki
Sio Siri, sio revola, sio chupi.. ninaisaka keki
Na sio uzee wa kulala spana, kuamka jeki
Bang kama Nako, Peter, Ritha au Imelda
Golden state warriors, Sacramento Kings Chris Webber
El largo camino hacia la libertad #pentimento - Idris Elba
Life is full of twists & turns.. Le madrina Griselda
Na asiyepotea huenda ni mtambo au kichwa
Asiyekosea hajawahi jaribu jambo jipya
Nina nguvu zaidi ya wazo ambalo muda wake umefika
Hivyo usijitusu kwenye hizi hustle ikiwa sio mbabe wa hizi vita
Nchi ya kitu kidogo.. nitaishi vipi ikiwa sina kitu!?
Tajiri anazikusanya tu kila siku
Maskini analia.. hajauona mchana hajauona usiku
Asiyekujua hakuthamini hakuoni ishu
Anayekujua hakuamini na hamna bifu
You win some you lose some.. hivyo ndivyo huendaga
Na sio kila ninachokilenga huwa nina nia ya kukipata
Na mnachokula hakinishibishi.. mnajua
So mnavyonipiga pini ili nisiwini mnazingua..
usivutiwe nikishika pesa na ukasahau vile nili-hustle
nina machozi mengi yanayonilenga na hayajafika kwa macho
Pesa haibadili mikono tu.. hubadili na watu pia
sio wenye midomo tu, hata wale watu haujawahi sikia
SIMBA
2nd verse:
MEX CORTEZ
Yeah
I'm on that Presidential mood tena kirahisi(rais)
mzee
255 to the World on my License plate
Man these are the type of words that the wise exchange
So why explain when they see me the prices change
Leo season tumekutanishwa na nyota
Kila feature wanafichwa kutosha
Vichwa nachosha
Unaweza kurithi kukosa au kicheshi ukaokotwa
Last born first to Rise nani Mex na Ngosha
I keep it a hundred ka niko na kazi mia
Sijui nani ka azimia
Naskia kazimia
Kwa kuwa anazimia hizi kazi anaposkia
Mi wa dunia
Even flat earthers wananisifia(sphere)
Room full of kangas yeah bado inanesa
Yupo manzi ya kitanga alafu namuweza(muheza)
Ghafla nilivaaga kiatu chenye dawa
Kila napowakanyagia natia adabu kwa wazawa
Muonekano sio wa kibantu
Ila watu ndio wakawa wanagundua kibongo bongo huyu kijana ako sawa
So kama haunifahamu usibonge usikanushe
Nikijitoa ufahamu wala usiombe ninyanyuke
Don't kill your own game ile kinyonge ukumbuke
Ni sawa na pusha anayewaza ajinyonge alafu avute
Never seen a Lion Lying
Thats a Fire Sign
I just brought back the old Ngosha from his prime time
Now hold the torch for me Mex cause you rhyme tight
I leave the game in safe hands not for lime light
Aye aye captain catch a high five
See the proper rappers are goners
The corporates laughing you homeless
Whats more than magic is falling
They call me I bring open caskets
Problematic more eradic look me in the eyes and panic
Trying to hologram me while I hold a grammy upon it
But non of that really important
Walking all on the path of my moment
Coming for blood like brother I'm home
I been the hope of the continent
Man I'ma just a die a relic
Apply the pressure
Revitalize the mic
And let em define the credits
Its lonely at the top I'm a Viking on psychedelics
Verse 3:
Lord Eyez
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Tanzaniia inahangaika kwa kukosa Taarifa
Wanasiasa wanaongea tu kukosa Maanisha
ila hii nchi ya Ahadi lazima tutafika
Fanikisha ‘Insha’Tisha Maliiza
Uzalendo ukaua UKAWA’SAWASAWA
uchawa umekuwa rasmi saa waanzishe Mitaala
Hala Hala jirani kwangu kunavuja ‘njoo kwangu SAWA
Kusifia ndio imebaki midomoni mwao
Haah’Bado tunahangaika na Zahanati ‘Madawati na VYOO
Mtaani watu wanalala kimanati chumba kimoja na CHOO
Kwa Hii NCHI ya AHADI jomba ni SOOO
What are we missings?Mbona hatuwi fiti?
Economical Strategy Mmhhff mmmhhhfff WIZII
Magharibi wanatukimbiza mchakamchaka TIZI,
Why are you scare Nigga?Go to CHURCH
Weeee Terror🥷🏿 Nataka M-catch
I’m a L.O.R.D ‘ wiiwiii-Niko na MCHOMVU tunaendesha JIJI’JiiJii
WARAWARA akiwanywesha UJI’Hamuji
mmmhhhhhh Emoji🔥 Sababu za kula nauli shorty akija HAKUJI
and you know she’s freaky Like Bad & BOUJEE
Pastor TONY na MAONO yaliyojaa MAUJUZI
Nasisi NDOZETU Kuwakilisha Sio toka jana Au juzi

Пікірлер: 217
@suzikangulube5065
@suzikangulube5065 Күн бұрын
@fid Q is the only living legend still doing real Ganster hip hop not the gay hip hop we have these days. big up FID i have been a fun since 2001 much love from zambia
@reubenbaraka6869
@reubenbaraka6869 25 күн бұрын
Ukweli ni usemwe babu Mex kafunika Ngosha 🔥🔥🔥
@caidobeats
@caidobeats 18 күн бұрын
Hold you self brother.. Legends on their Prime💯
@Jordan-ov4yc
@Jordan-ov4yc 25 күн бұрын
Jmn huyu mex mnamckiaje wazeee maaana mmmmh ngoja tuene mwsho wake maaana ni mnyamaaaa na nusu
@BiznesMan-p6h
@BiznesMan-p6h 16 күн бұрын
Mex kauwaaaa sio kitu rahic kukaa kaki kati ya hawa watu wawili ni ma legend na bado kawaficha respect mex ❤🎉🎉
@GhatiMarwa-er5ce
@GhatiMarwa-er5ce 25 күн бұрын
@Kenya ,sidhani Kuna Rappers kama Tz, look this collaboration. UNDERRATED
@kingdyzo4516
@kingdyzo4516 25 күн бұрын
Mex cortez 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻ahsante
@user-yv2kp5mg1l
@user-yv2kp5mg1l 25 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 hii kitu ni ni ktu ya kitu. Fid Q wa I'm a professional anarudi tena mjini. Bang bang
@goodlucknziku6309
@goodlucknziku6309 25 күн бұрын
Mex Cortez “ni sawa pusha anaewaza ajinyonge afu avute” 🙌🏾
@SalvationStationerySolution
@SalvationStationerySolution 24 күн бұрын
Dah, aiseee.... Always huwa na admire kile fid q huwa anafanya, ngoma ni kali sana na inatungo na lugha fasaha.
@MasiayaSimon
@MasiayaSimon 25 күн бұрын
Ngoja nimsikize na lord I will be back
@AlsaMwakalenga
@AlsaMwakalenga 11 күн бұрын
FID Q BABA LAO KWA HII NGOMA.
@user-qw3vx3pl2z
@user-qw3vx3pl2z 24 күн бұрын
Moja ya watu muhimu kwenye taifa hili ni Mimi anafuata fid Mex na Lord eyes
@nigabagomanga530
@nigabagomanga530 23 күн бұрын
Hii inatakiwa iende mbali bhana ✊🏿. Fid q 🔥 Mex 🔥 Lord eyes 🔥
@WestChoma01
@WestChoma01 25 күн бұрын
Probably this could be the best Hip hop song of the year, best collaboration of the year and best Song of the year overall
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 24 күн бұрын
Mex ametisha sana ni next level rap ila lord eyez kaharibu sana🙌🙌
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 25 күн бұрын
Mex went hard on this one.. FID as always
@montenegroson9847
@montenegroson9847 12 күн бұрын
Hakuna anapinga ufalme wako bonge la pini king fareed
@nyanginyamohanga5925
@nyanginyamohanga5925 17 күн бұрын
I now understand why his the best rapper in Tz and the best in swahili nation
@user-xn5mk8hi4h
@user-xn5mk8hi4h 11 күн бұрын
nakukubali broo
@kiprutoFilm
@kiprutoFilm 17 күн бұрын
Getting "The plugs I met" vibe here🎉
@HusseinBish
@HusseinBish 17 күн бұрын
(BISH) Dawgs of HipHop Who is that Cortex damn it👑❤️👑❤️👑🙌🏾🇰🇪❤️ Hardcore Love the Culture 💥❤️🇰🇪❤️
@amirinestory
@amirinestory 25 күн бұрын
Fiq bingwa wa points za maana👊
@realmanessau220
@realmanessau220 Күн бұрын
bhangoosha✍✍bhaaangoooooosha🙄mama yaaangu😎
@realdondee
@realdondee Күн бұрын
Lord eyes 😎💪💯💯 Crazy
@Igauf3
@Igauf3 15 күн бұрын
What ? Don’t confuse kindness for the weakness… this is heavy !
@oseamkama
@oseamkama 3 күн бұрын
Fid mbn viewers ni wachache mzee wng
@ibwaydigo
@ibwaydigo 24 күн бұрын
Uchawi umekuwa rasimi sasa waanzishe mtaala, teraaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@gracepaul6573
@gracepaul6573 25 күн бұрын
Hii truck imeshiba vyema sana, kwa wanao penda beat wamepewa mdundo A, njoo kwenye lyrics tukianza na fid, kazizungumzia hustle kwa viwango A+, mex cortez, kwenye kujisifia kama ilivyo desturi ya hiphop kasimamia A, lord nae na wanasiasa wakwetu wa bongo kapita mulemule kabisaa walivyo. The name of the truck is SIMBA yes this is SIMBA 🎉
@bandidu2412
@bandidu2412 25 күн бұрын
Lord eyez kakanyagia sana
@DanielJeremia-mj4bj
@DanielJeremia-mj4bj 16 күн бұрын
Mex Cortez another level
@josephjulius3327
@josephjulius3327 18 күн бұрын
Asiekujua hakuthamin hakuoni ishu anaekujua hakuamini na hamna bifu👏👏
@aristedesmathew1352
@aristedesmathew1352 25 күн бұрын
Mex cotez underrated artist🎉
@nyandajoseph4991
@nyandajoseph4991 18 күн бұрын
Fid q we respect you, hii Ngoma inastahili tuzo.
@kelvinliheta9769
@kelvinliheta9769 25 күн бұрын
Bonge la pumbu.. Ngosha.. Mex na Lody... Mmeuwa wazazi....
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 15 күн бұрын
HERE WE GOOOoooooo ....
@alexmapunda9312
@alexmapunda9312 25 күн бұрын
Mex killed it🔥
@mwanamalundi6254
@mwanamalundi6254 25 күн бұрын
All hail to the king Fid Q 👑
@user-qw3vx3pl2z
@user-qw3vx3pl2z 2 күн бұрын
Fid naomba hii ngoma uipe heshima kubwa kwa kuipa moja ya VIDEO nakumbuka fid feat lord eyes kwenye NENO
@user-jz7wv2uy9c
@user-jz7wv2uy9c 25 күн бұрын
HAPA tutaenda sawa MR farid zile mishe zako za mwanza mwanza, agust 13, professional zimerudi rasmi
@MrAnganile
@MrAnganile 25 күн бұрын
Huyu Ndio Fid Q, has that NewYork feel to it
@datakubwa1592
@datakubwa1592 22 сағат бұрын
Mex mbayaaaah nyieee😂😂😂
@ericksonmuhulo1570
@ericksonmuhulo1570 25 күн бұрын
Tulimiss sana rap hizi...
@hemedmakunda5985
@hemedmakunda5985 11 күн бұрын
Khaaaaa Noma sana
@nassoromelele7339
@nassoromelele7339 25 күн бұрын
Lord Ngosha killed it, but Mex was in Beast Mode🔥
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 25 күн бұрын
Somebody akalili verse ya fidi q! Me nimeshindwa
@TeddyKatana-pm1ut
@TeddyKatana-pm1ut 25 күн бұрын
Daaah na apo kwa mex pia ni balaa🔥🔥🔥
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 25 күн бұрын
@@TeddyKatana-pm1ut icho kiinglish hata hata sijajisumbua baba kama Kendrick Lamar kwenye DNA
@Philosophy219
@Philosophy219 25 күн бұрын
Ni muda tu mie hata week mbili nakuwa nimemeza, verse za fid ninazo nyingi sana kwa kichwa
@ahz6907
@ahz6907 19 күн бұрын
Una D ngap?😂
@francomwacha2262
@francomwacha2262 20 күн бұрын
Aisee huyu mex Co wa kawaida.. mwamba anajua
@issaomary7718
@issaomary7718 25 күн бұрын
Alichokifanya king Izzy huku nimekumbuka alichokifanya kwenye show love iyo kipindi ,,,ooi
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 25 күн бұрын
Colabo kali !! Dope
@mziwa
@mziwa 25 күн бұрын
weeeh nyie majini banaa kwenye hizi kazi...🔥🔥🔥🔥
@MultiMbongo
@MultiMbongo 20 күн бұрын
Mwambieni young kunya hii hii ndio hip hop aache kuwakosea watu heshima
@thisis_ahf
@thisis_ahf 18 күн бұрын
😂😂😂
@laurentwambura5072
@laurentwambura5072 23 күн бұрын
I can rate it 8/10 (Fid 8, Mex 9, Lord 7)
@mrsinia3064
@mrsinia3064 11 күн бұрын
Tisha sana baba 🙌🙌
@vinchystyles1675
@vinchystyles1675 25 күн бұрын
The real hiphop,they all killed the beat.MexCoterz kwenye ubora wake!
@AbuAdnazmin
@AbuAdnazmin 25 күн бұрын
Kuna jambo moja nimesoma hapa kwanza kuhusu Lord eyes. Ngosha ametisha hata pia Mex lakini LORD EYES ameonyesha mutarap lakini hamtishi lolote. Kama alivyosema kwa unforgettable Lord eyes " Wana rap vizuri sana wanaimba vizuri sana lakini Kuna jambo hawaja elewana. King Izzy siogopi mtu ila Maulana 😂😂😂🎉❤..Kenya Mombasa tumeskia and we acknowledge you Tanzanians rapping ability muko sawa indeed cudos.
@tumainamani3981
@tumainamani3981 25 күн бұрын
Izy ni king sana mzee😅
@user-qw3vx3pl2z
@user-qw3vx3pl2z 3 күн бұрын
Fid the best in AFRICA
@siraji23
@siraji23 25 күн бұрын
FID Q man a legend 🔥 🔥 🔥 💯
@jumasungula8510
@jumasungula8510 25 күн бұрын
Lord eyez sio poa
@user-ct6or4ew2t
@user-ct6or4ew2t 25 күн бұрын
Sooo dope big bro respect Sana kwako coz wewe ni mtu mmoja na nusu the Top of Rap's Elite 👑🐐🙌
@BenWakwanza
@BenWakwanza 25 күн бұрын
Simba.. ✌️
@AbelMichael-x9m
@AbelMichael-x9m 25 күн бұрын
Kubanda&eyez wataendelea kuwa marap bora
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 25 күн бұрын
Ngosha!! Hawakuezi babaz.we ndo hip hop !!
@Clarenceozoku
@Clarenceozoku 16 күн бұрын
Mex just did justice
@izhizki
@izhizki 24 күн бұрын
Lod Eyez kaskazini🔥
@BarakaMugisha-g2m
@BarakaMugisha-g2m 25 күн бұрын
Watu wabaya wamekutana🙌🏻🙌🏻
@allyathuman731
@allyathuman731 16 күн бұрын
Na haya maunyama yamwagike kwa kasi
@EmmanuelEnock-d6g
@EmmanuelEnock-d6g 14 күн бұрын
Mex cotez baba 🙌🙌🙌
@zjguks1482
@zjguks1482 Күн бұрын
🔥Real HipHop
@angedizzle1
@angedizzle1 10 күн бұрын
Repeat ON 🔥 🔥
@TeddyKatana-pm1ut
@TeddyKatana-pm1ut 25 күн бұрын
Ooe wakali wamepatana❤❤
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 25 күн бұрын
Uuuuuuuuwhiiii Mex basi basi inatosha😂
@aviolaamob3745
@aviolaamob3745 25 күн бұрын
Alikua ywapigana na microphone huyu😂😂😂pole pole mex si vita kakangu
@FrankGasper-eq2ui
@FrankGasper-eq2ui 25 күн бұрын
Ee king eez amepita umu
@abditech14
@abditech14 25 күн бұрын
Hili dude ni 🔥🔥🔥
@hclever7731
@hclever7731 14 күн бұрын
Mexcotez ni mnyaam
@djkabby739
@djkabby739 25 күн бұрын
meksi kotez ni fayaaaaaaaaaaaa
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 24 күн бұрын
hunu kazika wote
@RamadhanJuma-k7h
@RamadhanJuma-k7h 25 күн бұрын
Nakubali fid Q
@user-qw3vx3pl2z
@user-qw3vx3pl2z 2 күн бұрын
Mex ni motooooooooo
@hubbihubbi869
@hubbihubbi869 20 күн бұрын
Mmeua Wazee...Dah ni Noma Noma Noma sana....🔥🔥🔥🔥🔥
@user-jx8bm2ry3z
@user-jx8bm2ry3z 24 күн бұрын
W'huuuuu chuma hiko,kuleni mua usio na mafundo mafundo huo... SIMBA +
@ballisticsound4796
@ballisticsound4796 24 күн бұрын
yall killed it man
@Nikolas-kacha
@Nikolas-kacha 25 күн бұрын
Mwanetu ze done mwanza ndo kwetu umetisha san man🎉
@user-qw3vx3pl2z
@user-qw3vx3pl2z 3 күн бұрын
Video daah
@MakaveliErnest-sj1tr
@MakaveliErnest-sj1tr 11 күн бұрын
huyo mex raha sana.. lody umeomgea ukweli #fid Q🎉🎉🎉🎉🎉
@adamjulius7116
@adamjulius7116 25 күн бұрын
This is what we call hip hop
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 25 күн бұрын
mex alichomfanya ngosha ni kama kile ngosha alimfanya young killer kwenye 13
@Meeknego
@Meeknego 24 күн бұрын
Mex kamficha Fid Q kwenye flows Fid katema madini yanayomake senses. Kama Mex angekuwa na topic constructive angekuwa kaua wote humu. He speaks nothing but majigambo. Yaani ni kama hawakuwa na substance ambayo wote wangekubaliana waiongelee.
@BabaNasritz
@BabaNasritz 25 күн бұрын
Fdi Q ni mekubali
@mainasam4278
@mainasam4278 24 күн бұрын
Have listened more than ten times still can't unlock the puzzle......but Lord easy and mex are just from mars
@Ancy_Conscious_Tz
@Ancy_Conscious_Tz 18 күн бұрын
0:50 🗣
@mudywaya328
@mudywaya328 24 күн бұрын
nomasana Lodi iz imeuwa💥💥💥💥💥💥💥💥💥💯
@MairaAlly
@MairaAlly 20 күн бұрын
Lord Lord Lord 🔥
@mitsumilton
@mitsumilton 8 күн бұрын
Nakula kilakitu isipokuwa hioo😂😂😂
@gabinuskambongo7024
@gabinuskambongo7024 25 күн бұрын
Mwenye hip hop yake bongo👑
@KendrickReagan-l4t
@KendrickReagan-l4t 20 күн бұрын
Lord eyez🔥
@MairaAlly
@MairaAlly 20 күн бұрын
Mex ooooh real talent
@suleimanbuluba7467
@suleimanbuluba7467 25 күн бұрын
Lord Mex Fid
@SaidyMalumbo
@SaidyMalumbo 25 күн бұрын
Wanamuita king Eyez kafunika dah nimekumbuka Nako 2 nako huyu ni mgumu asiyebadilika na upepo
@sidebuggat5200
@sidebuggat5200 19 күн бұрын
Hii ngoma no:1 dunian na mex cortez amefunika jamaa wa moto yan hv vichwa kuvipoteza sio kawaida
@pulltheskymusicgroup4475
@pulltheskymusicgroup4475 25 күн бұрын
from twitter 🎉,
@Holysimba21
@Holysimba21 20 күн бұрын
"Even flat earthers wananisifia (sphere)"😂🙌🏿🔥..Nakubali Mex a new fan kutoka KE... Hiphop is so underrated huko TZ
@deetwentysix2670
@deetwentysix2670 23 күн бұрын
Ngosha
@rashah69
@rashah69 25 күн бұрын
izzy habaatishi kabisa
Fid Q feat Gifted - Glory (Lyric Video )
2:56
Fid Q
Рет қаралды 38 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 57 МЛН
EXCLUSIVE: FID Q: SITAKI UTAJIRI MIMI/ HELA SIO KITU NATAFUTA
29:00
Mex Cortez - Manimendra (Official Music Video)
4:25
Mex Cortez
Рет қаралды 26 М.
Best Of FID Q Compilation
53:17
Fid Q
Рет қаралды 40 М.
Dakika 10 Za Maangamizi -  Mex Cortez
12:59
EastAfricaRadio
Рет қаралды 42 М.
Fid Q Ampandisha Stamina | Imepigwa Free style battle Uspime
23:57
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 120 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН