Safi sana mdj komaeni na sie Tanzania tuwe na bits zetu nchi nyingine wazicopy pia sio kila mtu Amapiano au bits za kinigeria yaani mm ni mshabiki mkubwa sana wa singeli siku mkija UK nitawafuata kila kona
@user-ld6bq8pk8h16 күн бұрын
Ovyo
@anniehance8620 Жыл бұрын
Mushizoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌 a weweeeeee skuweziiiiii unafanyaa nisipikee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kulthummohamed1019 ай бұрын
Sijaon kama ww DJ nakukubali chukua 100%% zang mwaaaaa mushizo
@OmaryzingZing-jd3xm21 күн бұрын
Umetisha mushizo. Ronaldo Jr apa flom Bagamoyo Sikupingi mwamba
Oyaaaa ww ndio muuaje wake maana umetamkaa kauli Kali alafu hatujaipendaaaaa achaa tumuelewee oya weee mshamba haelewi mom lao 7 bonde la mchicha au Kwa bibi kiwembe