DJ VENTURE ASIMULIA ILIVYOKUWA MPAKA KIFO KIKAMKUTA MTANGAZAJI FREDWAA “HAKUNYWA POMBE”

  Рет қаралды 28,359

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Siku moja kabla ya Umauti kumkuta Mtangazaji FredWaa alionekana kuwa Pamoja na Watangazaji wenzie na maDJ aliokuwa akifanya nao kazi na miongoni mwa maDJ hao ni Pamoja na DJ venture ambaye amesimulia ilivyokuwa mpaka umauti ukamkuta FredWaa. PLAY kumtazama akifunguka

Пікірлер: 27
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Wakati ukifika hutaka sababu tuu Allah amsamehe alipokosea
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Ile kona pale inamiujiza mpaka ukifika karibu na daraja lakini kona ile na ule upande wa Msasani Club mhh nishaona vituko mara mbili yaani
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Panaitwaje?
@jimmyerick4021
@jimmyerick4021 3 жыл бұрын
ata mimi pale nilishagogwa na gari asbh yani Ilikua kama mungu tu mpaka watu hawakuamini kama nimepona kwa jinsi nilivorushwa na gari lakini ata sikuumia pale kuna mambo mengi sana
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
@@jimmyerick4021 Aisee nadhani umenielewa yaani mpaka ikiwa usiku mrefu au kwenye kumi kumi na moja alfajiri nimeacha kupitia ile njia .Mungu atunusuru. Pole sana mshukuru Mungu sana
@jimmyerick4021
@jimmyerick4021 3 жыл бұрын
Mimi ilikua saa kumi na moja naenda kazini pale malingo karibu na round about nipigwa na gari nilibaki juu ya bonet ile dreva kukanyaga moto nikadondoka chini gari ikatoka speed ata sikuiona nais alijua ameua ila nashukuru mungu ata sikuumia nilichumbuka mkono na kwenye nyonga nilipompigia simu mama nyumbani akaniambia aliota ndoto mbaya usiku akaamka kuomba aliomba kama saa nzima mpaka leo pale napaeshimu sana
@jimmyerick4021
@jimmyerick4021 3 жыл бұрын
We uliona vituko gani?
@pancrasmalamla9799
@pancrasmalamla9799 3 жыл бұрын
Pole kwa Familia ya watangazaji na ma Dj hao nibaadhi ambao niliwafahamu tangu miaka hiyo bila kumsahau dj Makey
@araffambagga7170
@araffambagga7170 3 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahala pema panapostahili
@peninahkadogo4131
@peninahkadogo4131 3 жыл бұрын
😭😭😭😭so sad mungu awape ufariji familia
@maigathomas2353
@maigathomas2353 3 жыл бұрын
Polee
@enronochieng4476
@enronochieng4476 3 жыл бұрын
Dj
@harounaman7473
@harounaman7473 3 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 3 жыл бұрын
R.I.P. Mr. Vodacom Fredwaa
@clissantagido1885
@clissantagido1885 3 жыл бұрын
Pumzik kwa amani... Fredwaa
@evancerwamugata1064
@evancerwamugata1064 3 жыл бұрын
R. I. P
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Innalilah wainailah rajioon
@kingsajomtz2608
@kingsajomtz2608 3 жыл бұрын
R ip
@andrewmsunga9154
@andrewmsunga9154 3 жыл бұрын
😥😥😥
@mtatatv6309
@mtatatv6309 3 жыл бұрын
R.I.P FREDWAA🥲😢😢
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Said mupole kabisainauma
@rademm8924
@rademm8924 3 жыл бұрын
Ku vibe ndi kufanyaje?
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Kusherehesha au kutia mbwembwe za maneno
@kijokaizah
@kijokaizah 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa Kwa yote
@esthermruth1322
@esthermruth1322 3 жыл бұрын
R i p
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
R. I. P
@elizaberthkiwela687
@elizaberthkiwela687 3 жыл бұрын
R i p
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 50 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 52 МЛН
EXCLUSIVE NA BONI LUV AFUNGUKA UKWELI KUHUSU KUTOELEWANA NA BOSS WA CLOUDS KUSAGA
18:06
KAULI YA MWISHO YA MTANGAZAJI FREDWAA KABLA YA KIFO CHAKE
3:43
MIMI ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 87 М.
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН