ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA WAISLAM WOOTE DUNIAN INSHAALLAH ❤❤❤❤
@diyembarak550610 күн бұрын
Amiin
@SalmaZainab-nh5id10 күн бұрын
Allahumma Aamiin yaa Allah
@thamani58429 күн бұрын
Amiin
@AminaBakari-gy8wz9 күн бұрын
Aminii
@abuusufian65069 күн бұрын
Amiin
@AhmadaHassan-gy5uj10 күн бұрын
Watakao kubeza watakuja kujua siku watapowekwa ndani ya mwanandani,maneno mazito sana, ALLAH atujalie mwisho mwema
@mwanashaali110910 күн бұрын
Allahhumma Amiin
@tabuabasi233610 күн бұрын
Hakika
@diyembarak550610 күн бұрын
Allahuma Amiin
@TatuHusseni-hs7mu10 күн бұрын
Amin 👏👏
@KhadijaSalum-nf5mf10 күн бұрын
Ameen yaarab
@abdulmohd64074 күн бұрын
Wanawake wanapelekwa maclabu na Waume zao yy kapata mume wakumpeleka peponi ma sha Allah kiufup Allah atuongoze njia ya kher na atupe mwisho mwema
@BobgIsmail10 күн бұрын
Snura wewe ni shujaa mbele ya mungu allah akupe mwisho mwema
@zainabmohamedkombo766910 күн бұрын
ALLAHUMA AMIIIN KWA SOTE
@tareqhilal675010 күн бұрын
Amiin
@fatmamsiliwa84858 күн бұрын
Amin halaf kapendeza sanaaaa
@SafiniaMbarouk8 күн бұрын
Amin kwa sote
@salmaUthman-wo1ic8 күн бұрын
Allahumma aaamin
@HusnaMtitiko-yt4ru10 күн бұрын
Wallah Allah anamuogoa amtakaye sunura kapata mume tena mume wa kumpeleka pepon🥰
@MariamJuma-pe4sy9 күн бұрын
Hussna Mtitiko shoga umeshafika huku 😅😅😅
@HusnaMtitiko-yt4ru9 күн бұрын
@@MariamJuma-pe4sy 😂😂😂wewe na mm mbona tumefumaniana
@MariamJuma-pe4sy9 күн бұрын
@@HusnaMtitiko-yt4ru 😆 😂 😆
@MadamAsya2024England7 күн бұрын
Mashallah kweli Allah anamuongoa amtakae Allah azidi kumpa wepes na sisi pia atupe husnulhaatima
@RahmaMussa-ug1ch10 күн бұрын
Yaaa Allah na mimi nijalie mume atakae niongoza mimi na familia yangu na kwenye misingi ya dini yako na hawe mwenye khofu yako
@mohamedhaji220010 күн бұрын
Karibu sana
@mohdkhatib2239 күн бұрын
Amiin
@HusseinFadhil-qv4su8 күн бұрын
Ameen
@user-zs7eq8up5s8 күн бұрын
Mi nataka nkuoe
@KipangaAbourayy8 күн бұрын
Upo serious na unachokisema?
@FarouqMasha10 күн бұрын
Shehe mie duah yangu ninamuomba Allah asinifishe Bali niwe nimefikia kwenye nyumba tukufu ya maka ninamuomba shehe wangu unipeleke hija ndo matamanio yangu InahaAllah nakuomba mudogo wangu
@hashazhussein76279 күн бұрын
Allahu akufikishe katika nyumba yake tukufu
@user-xh5vl6eh6i9 күн бұрын
Kwanilivyosikia kwamba usimuombe mtu akupeleke hijjah 🕋🕌 Muache akufukirie mwenyew 🙌
@FirdausyAbubakary-bl2wo9 күн бұрын
@@user-xh5vl6eh6ikuskia ama kusomaa?
@mohammedalishamis94059 күн бұрын
In shaa Allah Mola atakufanyia njia nyepesi ufike ukiwa upo mzima na afya njema kwa Rehma zake Mola Amiin
@HalimaKinyashi-w7h9 күн бұрын
Shekhe Muombe Allah akupeleke hijjah usimuombe mtu Muombe Allah pekee, Halafu yeye Allah ndio atajua akupeleke vipi .
@MamahetuChikuti-mp5lj10 күн бұрын
Mashallah tabarakallah mungu awaongoze na atuongoze na sisi pia Insha Allah ❤❤❤❤
@user-rn2fs5jg6n10 күн бұрын
Amiin
@fatmaZakiya10 күн бұрын
Amiin ya Rabb
@jafarmohd521710 күн бұрын
Aminn
@user-dn8cs3vn5l10 күн бұрын
Amiin
@user-ie3lw9eb6p10 күн бұрын
ALLAHUMA AMEEN Y'ALLAH
@Contentislamic12310 күн бұрын
Tumuombe Allah awaongoze na wengine wasani ambao ni waislam warudi kwa allah❤❤❤
@majaliwaking450010 күн бұрын
Mashallah
@hadijamandanje618910 күн бұрын
Na kwetu sote pia amiin amiin ya Rabialamin
@sheikhanasser471410 күн бұрын
ALLAHUMA AAMEEN YAARB ALAAMEEN 🤲
@mohdkhatib2239 күн бұрын
Amiin
@SuleimanKhdija10 күн бұрын
Mashallah tabaraka llah Alhamdoulillahi Allah ampe ujasiri Snura asirudi nyuma Allahumma amiin ya Rabb
@wemakalama645810 күн бұрын
Ammiin thuma Ammeen🙏🙏
@thamani58429 күн бұрын
Amiin
@hashazhussein76279 күн бұрын
Amiin
@mamiiihancy16049 күн бұрын
Ameen
@user-zi4et6uz2u9 күн бұрын
Amiiiiina
@ZayyanaBamuni10 күн бұрын
Mashallah sheikh Kishki hakika umefanya jambo jema sana,Mashallah dada Snura na mume wako,Allah akuongozeni katika kheri hadi mwisho wa maisha yenu❤❤❤
@didaahmed103310 күн бұрын
Allah atujalie husnul hatma yaarab
@bakariweko395810 күн бұрын
Ameen
@user-dn8cs3vn5l10 күн бұрын
Amiin
@AbdulRashid-ll4bb10 күн бұрын
Amiin!
@saifalhussaini970210 күн бұрын
Allahumma amiin
@diyembarak550610 күн бұрын
Allahuma Amiin
@ramiaibrahim483410 күн бұрын
Bismillah Snura kama wangelijua raha na Amani ya moyo uliyokuwa nayo wangekimbilia hiyo njia. Wasikuone huruma ila wajione huruma wao wanaokubeza. Hiyo radhaaa mm naijua mungu akuongoze da mkubwa Snura....
@chadiamilk8 күн бұрын
Nitamaniya iyo nafasi na mimi😢Allah anijaliye iyo Rehma kabla ya umauti kunikumba Allahuma amiin 🤲❤
@salmaUthman-wo1ic8 күн бұрын
@@chadiamilkwakati ni sasa kesho ni fumbo
@mifunga34148 күн бұрын
Mashallah dada yetu Snurah Mwz Mungu atupe sote mwisho mwema 😢 in shallah
@fatmafatu112810 күн бұрын
Mashallah Alhamdulillah nimefurahi kuona mmefika kwa shekhe wetu Allah atuongoze sote kwa pamoja
@PilyAly-ll8fz10 күн бұрын
Allahuma amiina 🤲🏽
@SakinaSakinat-qd9rs10 күн бұрын
Amiin Amiin Amiin
@HemedSerious9 күн бұрын
Allahumma Ameen
@zahraalbaloochi28418 күн бұрын
MashaAllah MMungu atuongoze atupe Imani na atukumbushe kila tunapokosea mkamilifu ni yeye atupe mwisho mwema Yarrab🤲
@Kifutubrandfilm10 күн бұрын
Masha Allah snura mwenyezi mungu akujaalie sana uwe na moyo huo huo usije ukageuka baadae kama mzee Yusuf Allah akuongoze🙏
@tahiyamushi815310 күн бұрын
Aamiin Yaa Rabb na huyo mzee Yusuf Allah subhana wa taala amuongoze Yaa Rabb
@AROSFILMS8 күн бұрын
Sio sehemu ya kumtolea mtu. Mfano. Hio ni Imani ya shetan.
@FeisalDoctor-wr8ws9 күн бұрын
Mashaallah from Pemba tunkuombea dua karibu nyumban waislam wote wankupenda n wasiokuw waislam weny akil zao pia wanakupenda🎉🎉
@NoraKedir10 күн бұрын
Manshaallah tabarakallah ❤❤❤nilikuwa na subiri kwa ham kubwa❤❤❤❤❤❤🎉 alhamdulila mm ni mrundi ila nafurahi sana dada snura allah akupe mwisho mwema amina shehe kishki yani wewe sina lakisema allah akupe mema duniyani na ahkera🎉🎉🎉🎉
@YunusiAthuman-ep5mc10 күн бұрын
.,... .
@sheikhanasser471410 күн бұрын
Allah Humma Aameen Yaarb Alaameen Na Ummat Mohammed Ukhty Nura "Allah" Andika kwa herufi kubwa Shukran
@zahraabdul965210 күн бұрын
Jaribu kuzingatia jina la Allah subhana wataala unapo andika weka makini sana kipenzi
@TunauzaSimu-fn2ff9 күн бұрын
@@zahraabdul9652 Hakika jina la ALLAH. liandikwe kwa herufi kubwa na IN SHA ALLAH tunapoandika nyoyo zetu zijae ikhlas zaidi
@jasminomary87549 күн бұрын
Shk ni kweli maneno yako ni sahihi sura mungu amempenda sana ndomana amemuweka sehemu sahihi
@tumahamza89729 күн бұрын
Naona nakosa maneno ila machozi tu. Allah Awaongoze wao na sisi pia. Sheikh Allah Akulipe duniani na akhera.
@mohdkhatib2239 күн бұрын
Amiin
@FatmaSaid-zg1vy9 күн бұрын
Usirudi nyuma sister,Allah awape umri mashekhe wetu,ili mzidi kutipa muongozo
@FatumaAli-y3y6 күн бұрын
MAASHAALLAH BARAK ALLAH FII-KUM SHEIKH WETU NURDIN KISHKIY KWA KAZI NZURI.NA DADA HONGERA SANA KWA MAAMZI MEMA NA HAKIKA ALLAH HUMUONGOZA AMTAKAYE TUMSHUKUR ALLAH KWA REHMA ZAKE JUU YETU ALHAMNDULLILAH RABIL AALAMIYN 🤲❤❤❤
@WazirJuma-gd5oo9 күн бұрын
Namomba allaah taabaraka wataalaah. Awahifadhi Sunura na mumwe, amwihifadhi shk nurden kishiki. Namomba allaah awape khisibati duniani na kesho Akhera . Aamiin allahmma Aamiin yaraby
@ادريسالبلوشي-ل9ي10 күн бұрын
Mashallah,hongera sana shekh kishk kwa kuwapa mualiko snura na mume wake,kwani hilo ni jambo zuri..ila ombi langu kwako shekh kishk katika zile safari unazowasafirishaga wanafunzi kwenda makkah naomba umsafirishe na snura na ndugu yangu 1 kama itawezekana.
@evvyyurek186210 күн бұрын
Alhamdullilah sheikh wetu.nurudin kishk Allah karim atufanyie wepes amini niko Dubai nawaskiza vizuri lnshaallah twataka wote wanamziki waelekee kwa Allah amin mimi rekha akashi mohamed
@mohdkhatib2239 күн бұрын
Amiin
@shersaid798810 күн бұрын
Allah akubariki Sheikh Kishki kwa juhudi yako katika kuendeleza uislam na mawaidha yako na kumpa nguvu Snura asirudi nyuma.Allah atamfanyia wepesi Snura na atajaalia rizq ya halali.❤
@ShaniAbdala6 күн бұрын
Ameen inshaallah
@samsonhamery38099 күн бұрын
Hongera dada Sunura tunakutakia Safari hii njema ya Imani:Basi kaza,mwendo usirudi nyuma kama mzee Yusufu naTaarabu lake
@faizanassor633610 күн бұрын
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH ALLAH amuongoa amtakae ALLAH azidi kutuongoa tukae ktk njia sahihi kwa sote THUMMA AMIN 🤲🏼
@Muhunjikatemana-fj8dd9 күн бұрын
Namuomba Allah alie juu alietukuka akubali toba yko dada snura na toba yngu mimi mkosefu dada snura mola wetu anahuruma sana mola wetu nimkubwa kuliko madhambi yetu nawapenda san
@ShaniAbdala6 күн бұрын
Ameen ndug yang sote mung akubari toba zetu na aturidhie kwa ridhaa yak kwan atustahiri ilaa kwa huruma yk pekee
@MohamedMatata-iu9mm9 күн бұрын
Alhamdulilah Allah karudisha ukhai wa dada yetu ,na mshikuru Allah Azidi kumpammaarifa shekhe kishiki na mumewe sunura Allah ampe kher .SHEKHE KISHIKI NA MUME WADADA YETU MYENGEZENI DADA YETU AWE MLINGANIYAJI WA DADS ZETU .AKHISANTE
@AfsaNdorera10 күн бұрын
Manshallah tabarakallah Allah awazidishie imani ndugu wetu snura Allah ukupe pepo ya firdaus
@nakundwamkubwe782310 күн бұрын
Mash Allah nawaombea kheri na baraka Snura na mumewe namuomba Allah atuongoze wote tupate mwisho mwema Allahuma Amiin.
@SakinaSakinat-qd9rs10 күн бұрын
Maa shaa Allah tabaraka Allah 🥰 Allah azidi kuwaongoza na awaruzuku kila lililo hitajio la mioyo yao la kheri
@faizanassor633610 күн бұрын
THUMMA AMIN 🤲🏼 kwa sote mamy
@SakinaSakinat-qd9rs9 күн бұрын
@@faizanassor6336 Allahumma amiin mummy
@alimwadima25412 сағат бұрын
MashaAllah Mwenyezi Mungu azidi kutuongosha Ummatih Muhammad S.A.W pbuh...Wallah snura ameniliza kwa Furaha iliyoje Kweli Allak Kareem akukinge zaidi na maovu In sha Allah Taallah 🤲🤲🤲
@khamisrubea508310 күн бұрын
Mke akifahamu dini mshukuru mungu sana
@Stavanger-cr3ee8 күн бұрын
Sheikh wangu KAULI yako ni nzito sana, ningeomba WATU wajue hilo. Mwanamke Mchamungu anamuongoza MUME na WATOTO katika kila jambo la Kheir. Allah amekuchaguwa wewe Utuzindiwe na kujuwa jambo hilo, Mashaallah
@bibahhadith10 күн бұрын
Kuna kale kafuraha flan hiv nakafiil MAASHAAALLAH MAASHAAALLAH MAASHAAALLAH TABAARAKALLAH
@ridhiwankanjoe207810 күн бұрын
Jazaqarah heri shaikh nurudin kishiki,mme wa dada yetu pia na dada yetu ALLAH (SW)atujarie mwisho mwema inshaallah.
@qwerqasd859710 күн бұрын
Mashallah tabarakallah Allah azid kuwaongoza na sote pia Allah akujalie mwisho mwema
@user-et6hx8mw5v6 күн бұрын
Mashallah, hongera sana sn sheikh kishky Allah akulipe kher kw nasaha zako hakika ni nasaha kw ummah wote w kiislaam, n Allah azidi kumhifadh dada snura n azidi kutuongoza kw sote ktk kher kubwa y dini yetu..Alhamdulillah kw neema y uislaam..mkono kw mkono hadi peponi amiin
@zulekhahassan-lp2sj5 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akujaaliye pepo en shaa Allah na wengine nao warudi kwa mola wao hawajachelewa bdo Mungu atupe mwisho mwema en shaa Allah
@omanoman20449 күн бұрын
Hakuna wakumube sunra kafanya vizur mwenyez mungu atujalie mwisho mwem namie nikirud toka oman kuja TZ NITAKUALIKA UJE KONDOA INSHAALKAH
@user-uw2pm8pd4j8 күн бұрын
Allah akuhifadhi wewe na mumeo pia Shehe Nurdin nawapenda kwa ajili ya Allah.
@Nuru956810 күн бұрын
Mashallah ❤ALLAH atujalie sote mwisho mwema Aminah🤲
@JamilaKasimu-w6o21 сағат бұрын
Mashallah, Mashallah mwenyezimungu azidi kukupa kher kwa kila unalohitaji Kaka yang kwa kuweza kumtoa dada snura alikotoka,,,, na dada snura mungu azid Kumpa nguvu asirudi alivyokua aipe mgongo dunia na aikumbuke akhera indhallah
@mapishiyetumazuri231210 күн бұрын
Yani shekh mungu amuweke anaupendo wajabu na muomba mungu amuhifanzi
@uthaymaanashshiraaziyy24133 күн бұрын
ماشاء الله أللهم يامقلب القلوب ثبت قلوبنا على دينك وعلى طاعتك 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤❤❤❤❤❤
@mejumaabaraza398910 күн бұрын
Masha Allah tabaraq Allah mungu akuongoze mm na mume wangu na kizazi changu
@Herson-h6i3 күн бұрын
Mashallah...Snura u r the strongest Mama Allah atuongoze Sote insha'Allah
@UmmusalamaSaid10 күн бұрын
Mashaallah Allah amzidishie amuhifadhi kwa sote amin ya rabb
@user-vg6gp3bz1f10 күн бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah Allah aturuzuku Mwisho mwema Kwa huruma wake na atukutanishe na wema na sisi tuwe wema kwao
@TarikSaid-yx6gp10 күн бұрын
Mashaallah ❤❤❤. Mungu Atuongoze nasisi wengine Yarabbi tuwe waja wema mbele Yako, daah moyo unaniuma kwandan nataman sana niwe hivyo mimi nuru , naiman nitakuwa mja mwema mungu ataniongoza najitahid sana sanaaa niwe hivyo tu sihitaji lingine.
@alimwadima25412 сағат бұрын
MashaAllah Mwenyezi Mungu azidi kutuongosha Ummatih Muhammad S.A.W pbuh.
@abubakarmpole40009 күн бұрын
Masha Allah, sheikh kishki Mungu akupe kila la kheir katika Dunia na akheir pmja na ndugu zangu Snura na mumewe azidi kutuongoza sote, amiin
@mohdkhatib2239 күн бұрын
Amiin
@chikujuma1810 күн бұрын
❤❤❤❤ mashallah mola atuongoze wote waislam na wale wasanii waliowaislam wamrudie mola inshallah
@simbakilimanjaro77878 күн бұрын
Takbiiir ALLAAHU AKBAR ALLAAHU AKBAR ALLAAHU AKBAR ALLAAHU AKBAR KABIYRAA WALHAMDULILAAHI KATHIYRAA WASUBHAANA LLAAHI BUKRATAN WA ASWIYLAA
@khadijaramadhani61567 күн бұрын
Mashallah allah awafanyie wepes da snura na mumewe katika kila kher na awajalie mwisho mwema 😢 Naomba yaallah watilie uzito wao na sisi katika kila shari
@zahraabdul965210 күн бұрын
Allahumma Amen Allah awape Nuru hadi mwisho nasi pia tufwate mtume wetu (s.a.w.) Hadi mwisho inshallah Allah humwongoa anae take yeye tuombeane jameni.😢❤❤❤🎉
@user-hv7hx7un2bКүн бұрын
Mansharaa tabarakaa Allah awajalie❤ afya njema insharaah Na mwisho mwema dada
@AminaAfrica-pr3gi10 күн бұрын
Mashallah Allah awahifadhi ana awaajalie mwisho mwema na adumishe ndowa yenu hakiki dada nusra hiyo ni kheri ambayo Allah amekupendelea
@hamisisalmah87647 күн бұрын
Mwenyezi Mungu 😢amzidishie snura na sisi tupate neema ya Allah na upendo wa Allah swt in Sha Allah hata hao walopotea wakina mondi😮
@user-ih4zi8ss9y10 күн бұрын
Masha Allah Tabaraka Allah Allah azidi kumuhifazi ampe heri duniyani na kesho Ahera n'a wa islam wote❤❤❤❤❤❤
@mohdkhatib2239 күн бұрын
Amiin
@HusseinFadhil-qv4su8 күн бұрын
Ameen
@JohKillasa7 күн бұрын
Allah akuzidishie khery shekh kishki. Umefanya jambo zuuri hakika.. I real 💘 Islam...
@RamadhaniMshana-gk6vm10 күн бұрын
Allah awazidishie inshallah❤❤❤
@ariesfire92308 күн бұрын
Mabrook Mabrook alf alf Mabrook. Allah Azidi kukuongoza wewe na sisi pia. Akuhifadhi na akukudhibiti na atuhifadhi na sisi na atudhibiti katika Dini yake. Allah atupe ujasiri tuzishinde roho za wapotovu Amin amin amin . Allah atupe taufiq na ikhlas katika Taqwa.
@KalelaTV10 күн бұрын
Media za Mozambique zimemekushukuru kwa uamuzi wako sahihi MashaAllah
@sheikhanasser471410 күн бұрын
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
@salmaUthman-wo1ic8 күн бұрын
Maashallah
@MwanajumaShaban-z2x4 күн бұрын
Maa shaa Allah maa shaa Allah, Allah atujaalie mwsho mwema na atuongoze katka njia ilio ya heri
@walidmgonja364410 күн бұрын
Unafanya kazi nzuri sana Sheikh Kishk,huo ndio wajibu muhimu zaidi kwa kiongozi mlezi
@ToivoJase7 күн бұрын
Mashaallah Dada SNURA,MUNGU awapi maisha marefu na mwisho mwema
@jimjam-xg7rv10 күн бұрын
MASHA ALLAH 🇰🇪💚. YARABi atusamehe thambi zetu na atujaaliye tuwe miongoni mwawaja wema amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲
@ShabaniSaid-bv3jl10 күн бұрын
Amiin
@khamiskhalid76487 күн бұрын
Allah akudumishe dada yetu na ww uwe mfano wa wengine kukuiga kurudi kweny kheri.... Mola wetu ni mwenye huruma kwa waja wake namuomba Allah awaamshe na wengine waliolala na kujisahau
@abuumuhammad713310 күн бұрын
Mimi nakuombea usijekuwa kama Mzee Yusufu.wa taarabu utike moja kwa moja, Amin.
@mwanashaali110910 күн бұрын
Allah atamuongoza ,af uzuri yeye Mke yupo chini ya mumewe na wote wamekubalu Kuwa kitu kimoja,Lkn Mzee Yusuf yeye aliacha Lkn mkewe Ikawa Bado aimbaa,,ndio maana akaridishwa uko
@mwanashaali110910 күн бұрын
In Sha Allah Allah Atuongozeee sote mujitamah wa Kiisalm
@zahraalbaloochi28418 күн бұрын
Tumuombee mzee Yusuf arudi kwa Mola wake na sisi sote jamiyan
@bintsalimalbimany2879 күн бұрын
Mashallah 😭😭hata Mim Namuombea Dada angu Snura 🤲🤲Allah amjaze kher ona Uislam ulivo kua mzur Mpaka Sura yake Imwkua mzur zaid kwa vaz lake alilovaa Mashallah Allah akbar Yaan Namuomba Allah akupe thabit Dada angu na namuona mbal Inshaallah Mume wako inshaallah sik atakuja kuwa sheikh na kutupa mawaidha Inshaallah 🤲🤲🤲🤲Yarab Tupe Mwisho mwema waja wako Asante Sheik Nurdiin kwa kuwatia Nguvu na kuwasupport nawaomba waislam wote tuungane kumsaport dadayetu tumuombee dua😭😭😭😭🤲nakujiombea na sisis kwan hatujui mwisho wetu ila hakuna kitu kizur kama Dua jamani🤲🤲🤲😭yarab Kwa baraka yasik hii ya Ijumaa Tufungulie milang yakher na barka Na Utupe Mwisho mwema😭😭😭🤲😍love you dada Snura 😍😍😍😍😍😘
@HusseinFadhil-qv4su8 күн бұрын
Ameen
@fat-hiyarashid460510 күн бұрын
Dada snura tunakupenda sana sana pia tupo pamoja na wew
@bibahhadith10 күн бұрын
TENA SANNA SANINAA❤❤
@mwanaikaomar862810 күн бұрын
Kabisakabisa.tuko pamoja dada
@SophiaAthumani-ri4lu9 күн бұрын
Mashaallah tunakuombea sheikh wetu umri mrefu ili uendelee kutulingania na tupate manufaa kwa mafundisho yako.Pia namuomba Allah kama alivomgeuza Snura amnusuru na hasad mpaka allah atakapomuita.
@GdFf-ik2eo10 күн бұрын
Ma sha Allah sheikh kishki Allaah akubariki na akuhifadhi Snura mungu awadumishe ktk dini na awadumishe ktk ndoa yenu mungu awpe thabati ktk dini
@HasanatKhamis3 күн бұрын
ماشاء الله تبارك الله اللهم بارك لهما وبارك عليهما وجمع بينهما في خير
@biashamatano59829 күн бұрын
Allah azidi kuwanusuru. Awape maelewano, Subra na Masikizano.
@rashidiiddi24339 күн бұрын
Halafu shekh Kishk ninachompendea huyu shekh siomnafiq nampenda kuwaajiri ya allah
@ramosfally23185 күн бұрын
Mashallah allah akbar dada yetu antie nguvu...from Mozambique🇲🇿
@AshaMasoud10 күн бұрын
Mashaa Allah mola awaongeze katika khairat na awasimamie katika maisha yenu ya imani
@KhalifaHassani9 күн бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah naamini ALLAH amekuongoza mpaka kufika hapo MSHUKURU sana ALLAH. Na ALLAH hamtupi mja wake anayeamua kumrejea ALLAH atujaalie waumini wote jannah.
@user-fo5my5pe3b10 күн бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akuzidishie zaid ya hapo Amin yaarab kwa sote
@salehsuleiman12189 күн бұрын
Allah awajaalie kheri na Barak atupe mwisho mwema soote ambao tumeteleza na kumrejea muumba wetu hakika sheikh wetu kpnz chetu kishki Kila unaemuona yupo ktk upotov basi Fanya jitihada zako kumuelekeza Ili tupate mwisho mwema soote .
@PpPp-nv7gf9 күн бұрын
Mashaallah Allah awaongoze ❤
@omargargaar56119 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi Dada yg Snura pmoja unlce wg Minu Allah ktk ndowa yao na family yao Allah akuhifadhi sheikh Nurdini Kishki ❤❤❤
@Halal_akhy10 күн бұрын
Allah azidi kumuongoza yeye na sisi.Sheikh nurdin kishk Allah akubarik.
@simbakilimanjaro77878 күн бұрын
Allahumma Aamiyn Aamiyn Aamiyn Yaa Rabb Dua Iwe Qabul Kwetu Sote Waumini
@sharifaal-masroori223810 күн бұрын
Shukran sh Kishki kwa kumpa mawaidha Snura, na mumewe mtu mzuri sana na yeye ni sh mdogo Ma Shaa Allah Allah akuthibitishe Snura katika uongofu huu, na atuhidi sote Jamii L Muslimina
@mohdkhatib2239 күн бұрын
Amiin
@user-nr9cs3ms7y10 күн бұрын
Mwenyez mungu anijalie nipate mume sahihi anaejua dini😊
@AmanaHussein10 күн бұрын
Inshallah
@user-rn2fs5jg6n10 күн бұрын
Inshaallah
@balkissMuhammad-sk1ic10 күн бұрын
Mashaallah ❤
@user-lp7de7ts1s10 күн бұрын
Mm niko tayar tupeane mawasilia
@OmaryMnangwa10 күн бұрын
Nipo jamani najua dini kidg najielewa inatakiwa niishi vp kwenye hii dunia
@aishakea652010 күн бұрын
Masha Allah tabaraqarahman.....Allah akujaalie kila la kheir dadangu...nakupenda kwa ajli ya Allah dadangu snura....from 🇰🇪
@HusseinFadhil-qv4su8 күн бұрын
Ameen
@NurainAbdaallah10 күн бұрын
Mashallah Allah azid kuwaongoza nyingi na cc katk njia ilionyooka
@HusseinFadhil-qv4su8 күн бұрын
Ameen
@HusseinFadhil-qv4su8 күн бұрын
Ameen
@ZamoyoniJuma5 күн бұрын
Shehe na mimi nataka nieleke kwa mwenyezi mungu kuna mda moyo unanisuta nataka darasa la kunibadilisha.
@RashidiAlly-sw6dr2 күн бұрын
Naam Allah humuongoa amtakae kwahyo la muhim muombe sana Allah uwe nikatika wenye kuongoka🤲
@sonnyr18999 күн бұрын
Dada yangu nakuonea wivu mashallah wivu kwa kuwa umechaguwa njia njema. Niombee duwa na mie niwe kwenye hio njia inshallah. Mungu akulinde na akukinge na kurudi katika ile mitihani. Haswa kuna hizi iftar za fujo zinakujaga mwenzi mtukufu wasani wanafanya ufuska muda wa iftar wanawake na wanaume wanachanganyana fujo hadi wanaimba nyimbo zao. Haswa ile team ya yule anae dai kuwa yeye ni tajiri n 1 mtarajiwa.
@mohammedalishamis94059 күн бұрын
In shaa Allah Mola atakuongoa wewe pamoja na sisi wengine tuijue njia ya haki tuifate na njia ya shari Mola atuepushe nayo
@SaidHassan-ot3un9 күн бұрын
Ukisema unamuonea wivu kwamba hicho kitu unakihitaji,sasa uzito au kikwazo kikowapi?
@simbakilimanjaro77878 күн бұрын
Tuombeane Dua za kheri Waumini aongozae mja ni ALLAAH pekee
@hawaramadhani69544 күн бұрын
Kuwa katika njia iliyonyooka au ktk sheria si kwa ujanja wetu wala nguvu ni rehema za Mungu na kudumu ktk njia ya Allah ni rehma pia sasa sote tumuombe Mungu atuongoze na kutupa mwisho uliomwema
@Abrahaa1663 күн бұрын
Nafurahi rohoyngu mungu akuepushe na mabalaa akupe mwenye upewo mzuri sn mama
@MuhammadAhmad-ie8dl9 күн бұрын
Nampongeza huyu kijana zaidi ya wote, bidii Yake na uongozi WA Allah amefaulisha Jambo kubwa, malipo yako Kwa Allah.
@arafasalum316910 күн бұрын
Allah atuongoze sote MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah mdogo wangu Snura.Allah azidi kukuongoza na kuthibit imani yako ktk dini ya Allah
Jamani namm mumombeeni mama yangu ako naugonjwa wa kisukari jamani naombeni dua zenu
@user-nc9kh6yz1h9 күн бұрын
Nitafute nitakusaidia
@khadijahamina84579 күн бұрын
Allah ampeshifa insha allah
@faridamohammed39648 күн бұрын
Allah mwingi wa huruma atamponya maradhi yake. Aamiiy.
@salmamsamy41694 күн бұрын
Allah Ampe shifaa insha'Allah
@mujingakabwiza547410 күн бұрын
Mashallha my sister and my brother in Islam Allah bless you brother and your wife fill dunia and Akhera don’t give up sister have a Subra because now all peoples they will continue to laughing because they on the darck Allah bless guys