Ahsante mzee Prof Rweitama umeongea kauli nzuri sana.Ahsante baba
@yassinnabwera42735 күн бұрын
Professor Lwaitama uko sahihi sana,sidhani kama Lissu na Mbowe wako tayari kugombana eti kwa sababu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
@nzeyyunus5990Күн бұрын
😂😂 Prof. Lwaitama mbona kma ushachagua upande tayar
@muharamijuma1569Күн бұрын
KWANINI UMEJITOKEZA KUNA TATIZO CHADEMA WEE MZEE ACHA KUWACHANGAYA WATU !!UÑAULIZWA SWALI UNATÒA MAELEZO KWELI HII SACÇOS!@@😊
@harounmaarufu32412 күн бұрын
Ukimsikiliza Yerico na Lwaitama,utagundua Chadema ina watu makini sana
@ZiggysebahZiggysebah5 күн бұрын
Mitandao iwe makini.habari wanazoziandika ni za kudhoofisha hiki chama tu. Ni chama pendwa na tunakotaka sana kwani ni chama tetezi kwa wanyonge na watafuta haki na wale waonewao.ndicho kipaazacho sauti daima.
@LabanMauma5 күн бұрын
Kwa maoni yangu ni kwamba Tundu Lisu hawezi kuonyesha nia ya uongozi wa Chama katika ngazi iliyo chini ya nafasi aliyonayo sasa. Ngazi sahihi kwake ni nafasi ya Mwenyekiti wa Chama na si vinginevyo. Wanachama watachagua aliye bora zaidi katika mazingira yaliyopo na yajayo.
@ShesheKaonekaКүн бұрын
Lweitama ni dr sio professor waandishi mbona mko hivyoòoo?
@reginas18324 күн бұрын
Ni mmojawapo wa Prof. Mwenye akili Tanzania
@harounmaarufu32412 күн бұрын
Hazina ya taifa .huwa napenda sana kumsikiliza
@komuhsengo97965 күн бұрын
Kisu kasema anataka urais😂😮 na unafaa mbowe anafaa uwenyekiti, kuna wanaogopa