Ni kichwa tu kichovu kinaweza kuchoka kuwasikikiza.. ninyi ni sawa na Ile talanta iliyopokelewa ila ikafichwa badala ya kuzungushwa ili izalishe.. God bless you🙏🏼
@knight6757Күн бұрын
4:10 Mahakama ipi isimamie haki ?😂
@cosmasmilanzi711721 сағат бұрын
La kuvunda halina ubani!
@ulomirabiel698021 сағат бұрын
Tamisemi kusimamia uchaguzi wa vyama vingi ni kichekesho cha karne.
@adambaton5521Күн бұрын
Leo wazee wanajadili mstakabali wa nchii vijana wanawaza kubeti na simba na yanga mhh taifa langu tanzania