Dk Riziki interview

  Рет қаралды 32,346

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 120
@kambalegulbert4875
@kambalegulbert4875 2 жыл бұрын
hello dr tuna tana nambayako yasim
@iddabdallah4305
@iddabdallah4305 Ай бұрын
Mbengo Tz nawaomba Namba ya Mtaalamu Riziki Nahitaji kuonana naye
@agnestweve7218
@agnestweve7218 2 жыл бұрын
Jamani mbona wanaume wanakula vitu vichafu Sana mungu watete watoto wetu wakiume
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Saaana aiseee
@AbdiAli-l6e
@AbdiAli-l6e Ай бұрын
Nahitaji usaidishi wako,nimgonjwa na sijui nifanye vipi
@iddabdallah4305
@iddabdallah4305 Ай бұрын
Ndugu Riziki nakuomba Namba Yako pia nikitaka kukuona nije wapi?
@KulsumKulau
@KulsumKulau 8 ай бұрын
Naitaji namba
@mercytom3609
@mercytom3609 Жыл бұрын
Nataka mpenzi wangu arudi Dr riziki
@yahyakiomone8792
@yahyakiomone8792 2 жыл бұрын
Unaweza kufanya Timu ya mpira ya Tanzania kufunga Mancity ya UK?
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@khamisabubakar5783
@khamisabubakar5783 2 жыл бұрын
😂😂😂
@KulsumKulau
@KulsumKulau 8 ай бұрын
Naitaji namba
@KulsumKulau
@KulsumKulau 8 ай бұрын
Naitaji namba
@mercywanjiru5210
@mercywanjiru5210 2 жыл бұрын
Sasa.doctor nimesikia.nimefulahia.Sana. Mimi Niko na.mtoto.wangu.amesoma.na.ako.na.family. no.motto.Wa.pekee.but.kilakasi.anafanya.haifaulu.ameweka.kasi.morethan.5.hakuna.at a.monja.inakaa.2or4.month. Mwishomwisho.ilikua2.months. A.go.alikua.ameweka.nguruwe.siligonjeka.na.doctor. akasema.sinjinjwe.mambo.ikaisia.hapo.Sasa.naomba.utawesha.kuniambia.kwanini.hayo.tunapitia.Mimi.na.mtoto.wangu.Wa.pekee?
@josephonkendi1906
@josephonkendi1906 6 ай бұрын
Hi
@trillionthamani
@trillionthamani 2 жыл бұрын
Kafanana sana na makonda
@khadijaali4657
@khadijaali4657 Жыл бұрын
Naomba namba tu mm nije mwenyewe huko Tanzania inshallah
@maryamrajabu4972
@maryamrajabu4972 2 жыл бұрын
Iyo ni shiriki acha wewe baba kama unahofu na Allah
@sjfamily8121
@sjfamily8121 2 жыл бұрын
Kama huna elimu rudi ukasome sio kila kitu kinacho tokea kwenye hawa watu ni shirki kasomeee
@tumashaa
@tumashaa Жыл бұрын
Jnam namb tunaomba
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Yaani watu kama ninyi mmeniharibia maisha kwasababu ya huu upumbavu wa limbwata hakunaga uhalali hapo zaidi yakuongozwa na majini na kuharibiwa maisha kwakupoteza muda
@dunimambo9360
@dunimambo9360 2 жыл бұрын
Kumbe umesha wai kupigwa limbwata kama mimi
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
@@dunimambo9360 Hawa pumbavu wajinga wamenihariba maisha mpaka sasa sina mapenzi na mke wangu kwaajili ya Mijitu kama hii lenyewe linaona sifa.Eti akija mwanamke anamtuliza mwanaume nafanya haraka sana Pumbavu kabisa ww kumuweka binadamu chini ya muongozo wa Majini unaona ni sifa, yaani Limenikera sana hili jamaa nikumbuka maisha nilio pitia kwasababu ya haya mambo nashuku Maombi yalifichua kila kitu na mke wangu akaropoka vyote mpaka leo anachukia makanisa ya Kilokole yamemuumbua.
@kuklasdallas8986
@kuklasdallas8986 Жыл бұрын
Dr KAZI yamungu haitaji usaidizi kutoka kwa kiumbe yoyote alieumbwa namungu kwani mungu hana upungufu
@salunarashid6202
@salunarashid6202 2 жыл бұрын
Namba ya mganga iko wapi
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 2 жыл бұрын
Uki pata share
@bosireogwera3875
@bosireogwera3875 2 жыл бұрын
Kweli binadamu ni mnyama mkali
@pkmumo5538
@pkmumo5538 2 жыл бұрын
Hakuna ushirikina uko na faida yeyote
@ManuAlex-cd3cc
@ManuAlex-cd3cc Ай бұрын
mjinga matako hii hiko
@homeboy2307
@homeboy2307 2 жыл бұрын
Hapana uchawi ni uchawi tu
@anniewairimu4231
@anniewairimu4231 2 жыл бұрын
Nikukusiza Sana Kwa umakini, unasimilia kila hali Kwa utaratibu, mambo unayoelezea nakuona unasema ukweli
@roseulich4704
@roseulich4704 2 жыл бұрын
Wairumu hata ww waona kwa wa kikuyu wachawi wamejaa.
@lolguy-x9n
@lolguy-x9n 2 жыл бұрын
anafanya juhudi sana ati uchawi mzuri uchawi mbaya. nonsense tupu.
@molengoodlever5561
@molengoodlever5561 Жыл бұрын
Kwanini siasa msiizungumzie wakati ndonguzo ya nchi
@Nikita_8017
@Nikita_8017 2 жыл бұрын
Shirki ni mbaya sana , ni dhambi haifutiki
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Kwahiyo hii chanal inafundisha watu ushirikina,maana watu watafanya hayo
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 2 жыл бұрын
DR Riziki yuko sahihi kabisa kumsaidia mke wako kazi za nyumbani ni ishara ya upendo na si lazma iwe limbwata wewe mtangazaji bado una elimu za zamani umechukia mno mpaka unataka kumfunza DR Riziki kazi yake hebu badilika bwana wanaume wenye kufuata mila zamani ndio hufanyiwa limbwata sio bure
@ashuraissa7160
@ashuraissa7160 2 жыл бұрын
Well spoken my dear, mtangazaji ana mambo ya kizamani
@pkmumo5538
@pkmumo5538 2 жыл бұрын
Wewe nongwe sana
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 2 жыл бұрын
@@pkmumo5538 wewe ni shoga kweli wafirwa mkundu ndio maana huna akili zote zimetombwa zikatokea puani
@selmaselma8452
@selmaselma8452 Жыл бұрын
Jamani huyo doct yupo Dar sehemu gani?
@maryayodi-xt6wp
@maryayodi-xt6wp Жыл бұрын
Tube namba yoko dactari
@هنودهاليامي
@هنودهاليامي 2 жыл бұрын
Anaweza rudisha vitu ama hela zilizoibwa?
@homeboy2307
@homeboy2307 2 жыл бұрын
Hata maandiko yameandika ubaya wa uchawi
@mwambakilima1331
@mwambakilima1331 2 жыл бұрын
Furaha kubwa sana kusikia anavyoongea Docta Riziki. Mungu akubariki na tutukutafuta na kukutembelea
@lolguy-x9n
@lolguy-x9n 2 жыл бұрын
So evil. This witchdoctor na wachawi.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Mungu ndiyo kila kitu,dawa zenyewe uwa zinaisha na mwisho wake ni mbaya
@wasalimie11
@wasalimie11 Жыл бұрын
booster iko
@obadiahmagige1729
@obadiahmagige1729 10 ай бұрын
Nikweliii kabxaa
@zoab2699
@zoab2699 2 жыл бұрын
Dr. Riziki je na ya kuvunja rimbwata ipo. Je ikiwa kafanya rimbwata kwa mganga mwingine akaja kwako unaivunja
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 2 жыл бұрын
Doctar unaongea vizuri sana ss wanawake tuko ivyo kuhusu mapenzi lafu mume kusaidia mkewe sio shida
@ndabaniweperusi9546
@ndabaniweperusi9546 Жыл бұрын
Narete umewengine asiseme
@ramaosman8060
@ramaosman8060 2 жыл бұрын
#LjayKitchen #FriedGoatIntestine #utumbowakukaanga #Ljaystunner
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Natafuta mwanamke wa kunilimbwata yaani atakae niwekea limbwata pesa ipo, tuwasaliane
@barakambise6494
@barakambise6494 Жыл бұрын
Mbona utaji namba zako
@temwajilaha4181
@temwajilaha4181 2 жыл бұрын
Namm naitaj namba za huyo mtaalam
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 2 жыл бұрын
Doctar mi naomba namba
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 2 жыл бұрын
Uki pata share
@Boaz22
@Boaz22 2 жыл бұрын
Mganga nae anasema anamshukuru Mungu😂😂😂😂
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 2 жыл бұрын
Eeeh nae Si ameumbwa na Mungu
@mirriamnalupya4684
@mirriamnalupya4684 2 жыл бұрын
MUNGU ni WA ote ata majini pia we soma vitabu vya dini utajionea tusiwe wavivu wa kujifunza
@kinyadoris
@kinyadoris Жыл бұрын
I need your number please
@alkamilalwafi3187
@alkamilalwafi3187 Жыл бұрын
Tupe namba za sim
@amosjuma4536
@amosjuma4536 2 жыл бұрын
Namba zake jaman mwenye ameipata
@emmanyahubah2074
@emmanyahubah2074 2 жыл бұрын
Kila Jambo liko na suruhu
@suheilsuheil8780
@suheilsuheil8780 2 жыл бұрын
Uko wapi nikutafute
@AbdiAli-l6e
@AbdiAli-l6e Ай бұрын
😅 AssalaamuAllaykum dr
@wasalimie11
@wasalimie11 Жыл бұрын
Imekua karanga sio chapati tena😳😳😳🤣🤣🤣
@JulietaAckermann-gk4hl
@JulietaAckermann-gk4hl Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aivany_tz
@aivany_tz 2 жыл бұрын
Naomba namba ya simu, nina shida
@SurahiaSadick-fq5si
@SurahiaSadick-fq5si Жыл бұрын
Habari
@nagweretonny7896
@nagweretonny7896 2 жыл бұрын
Mganga namujuwa ni Daktari hassan musa
@ommymalipo3449
@ommymalipo3449 2 жыл бұрын
Mni tumie Number za DARTARI RIZIKI plz mta Ga zaji
@victoriakasiagila8299
@victoriakasiagila8299 2 жыл бұрын
Yani weee mambo mengi mda mchache🤣🤣🤣🤣
@millymilly7244
@millymilly7244 2 жыл бұрын
👂👂👂👂
@angelaogucha7591
@angelaogucha7591 2 жыл бұрын
Namba ya simu please
@emmanyahubah2074
@emmanyahubah2074 2 жыл бұрын
Kwani tatizo nini ! Nani hajui haya !?
@sjfamily8121
@sjfamily8121 2 жыл бұрын
Africa maskini ni wengi kuliko matajiri, hivi chanzo cha umaskini mwakijua? Wa Africa wingi ni wajinga tena wa kiwango cha juu unacho takiwa ni usome dini uwelewe vizuri kusiyana na dawa za kienyeji acheni kua wajinga, wengi wenu hamna elimu yoyote
@KulsumKulau
@KulsumKulau 8 ай бұрын
Ujakosea doct
@khadijachikwenga2349
@khadijachikwenga2349 2 жыл бұрын
Safi
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Hiii
@maryayodi-xt6wp
@maryayodi-xt6wp Жыл бұрын
Uko wabi jama
@rajabhamis7595
@rajabhamis7595 2 жыл бұрын
HIZO NAMBA HAZIELEWEKI. ANDIKENI NAMBA KWA UONEKANO MZURI
@selemanshechonge5456
@selemanshechonge5456 2 жыл бұрын
Doctor utaacha wake zetu wajifunze
@joycemwaikambo2162
@joycemwaikambo2162 2 жыл бұрын
Duuuuuu
@homeboy2307
@homeboy2307 2 жыл бұрын
Biashara matangazo
@امينه-خ3ع
@امينه-خ3ع Жыл бұрын
❤❤❤😂😂
@nishuuuameee8695
@nishuuuameee8695 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 2 жыл бұрын
Naombeni Mbengo Tv muumpe kipindi huyu DR Riziki azidi kutupa mafunzo ana elimu kubwa sana 🙏❤🇰🇪
@pkmumo5538
@pkmumo5538 2 жыл бұрын
Wewe ni shenzi kabisa
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 2 жыл бұрын
@@pkmumo5538 nawewe ni taira kweli kweli boya mmoja mkubwa kichwa debe
@pkmumo5538
@pkmumo5538 2 жыл бұрын
@@theresaelizabethelijah117 Hio nywele fake ndio imekukosesha akili.Deal first with your Fu*king Smelly pussy
@ahmedloya7674
@ahmedloya7674 2 жыл бұрын
Basi google ni uchawi
@zaincocargo75
@zaincocargo75 2 жыл бұрын
Pls naomba mob no ya dr riziki naomba no ya doctr riziki pls
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 жыл бұрын
@@zaincocargo75 tafuta kwa video zake za nyuma zilizopita ipo namba yake
@saidchombo5952
@saidchombo5952 Жыл бұрын
Hakuna limbwata kwa manaume mwenye akili timamu.
@makorimarion1131
@makorimarion1131 2 жыл бұрын
Ni dawa gani unaeza tumia mchawi azingie ndani.
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 2 жыл бұрын
Tafuta mifupa ya nguruwe uweke madirishani na milangoni
@agnestweve7218
@agnestweve7218 2 жыл бұрын
Uwo niuongo vyote ivyo kwa yesu ajina nafasi mlinde mume wako kw maombi
@mariamjuma7591
@mariamjuma7591 2 жыл бұрын
Good jop please I need you
@mirriamnalupya4684
@mirriamnalupya4684 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 2 жыл бұрын
To be continued
@JulietaAckermann-gk4hl
@JulietaAckermann-gk4hl Жыл бұрын
😂😂😂😂
@kysredy6498
@kysredy6498 2 жыл бұрын
tupe namba za huyu mtu jamn
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 жыл бұрын
Ipo kwenye screen hapo mamy
@kysredy6498
@kysredy6498 2 жыл бұрын
@@sukariyao6537 sasa naweza nikampata aje?
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 жыл бұрын
@@kysredy6498 mpigie simu atakuelekeza alipo na sikia yupo njia ya mbagara
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 жыл бұрын
@@kysredy6498 kuwa makini kuitazama vizuri namba usije kosea ukaangukia kwa mataperi dear
@kysredy6498
@kysredy6498 2 жыл бұрын
@@sukariyao6537 apo sasa Ndo n'apo ogopa mie
@ommymalipo3449
@ommymalipo3449 2 жыл бұрын
plz Na itaji Number za D K RIZIKI
@taharamohd2515
@taharamohd2515 2 жыл бұрын
Nikupe Mimi ninazo
@ommymalipo3449
@ommymalipo3449 2 жыл бұрын
@@taharamohd2515 Yeah Ni tumie Number zake plz za tingo Na Vodacom zi adios apa
@ashuraissa7160
@ashuraissa7160 2 жыл бұрын
Iko kwenye screen ivizie imeandikwa Dr Riziki
@pkmumo5538
@pkmumo5538 2 жыл бұрын
Pumbafu sana
@tatyanawanjiru7244
@tatyanawanjiru7244 Жыл бұрын
​@@taharamohd2515 mambo nipe mimi tafathali
Dk Riziki interview
52:12
Mbengo Tv
Рет қаралды 83 М.
Dk Riziki interview
36:29
Mbengo Tv
Рет қаралды 22 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 25 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 54 МЛН
Dk Riziki interview
51:03
Mbengo Tv
Рет қаралды 27 М.
DK RIZIKI INTERVIEW (ep 11)
1:04:53
Mbengo Tv
Рет қаралды 15 М.
DK RIZIKI MAHOJIANO
50:13
Mbengo Tv
Рет қаралды 6 М.
MAHOJIANO YA DK RIZIKI
57:24
Mbengo Tv
Рет қаралды 14 М.
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
DK RIZIKI
29:58
Mbengo Tv
Рет қаралды 2,4 М.
Dk Riziki interview
42:04
Mbengo Tv
Рет қаралды 103 М.
Dk Riziki interview
50:13
Mbengo Tv
Рет қаралды 37 М.
Hur blev Vladimir Putin så mäktig, Martin Kragh
1:38:57
Alexander Pärleros
Рет қаралды 239 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 25 МЛН