Ni upumbavu tu Yani ni mwendo wa kujitekenya tu ni haifai ila kwakua inalipa Kodi ni salama jama shetani ni mshkaji tunaishi nae na Hana shobo na mtu ila sisi ndo tunashobo nae
@thehollybookstudio28265 сағат бұрын
Kucheka Kuna Mambo mengi laki Kicheko acha Mh Tulia Kinatoka Moyo. Kama amtu anaye Fanya mazowezi ya Sauti za Kiroho kuliko hizi zingine hua Nasikoa Hivyo. Nadhani kuna Mwingine pia Sema Jina Limenitoka Mwana Ume moja Hivi Pengine anatokea Kaskazini kama Sikosei
@ManyanyaFilms4 сағат бұрын
Nawapenda sana shabiki wa sanaaa twende kwenye page yangu Kuna movie mpya ❤❤❤❤
@DominikiChristian6 сағат бұрын
☑️ dominick alihoji, Ukikaa juu ya dhahabu, almasi, mafuta, urani, chuma, shaba, fedha, magnesiamu, mafuta ghafi, gesi, ikiwa watu wako wanakufa kwa njaa, bila afya na bila chochote cha kuishi, kwa elimu mbaya,unahisi wewe ni binadamu? -