DKT. TULIA ACHARUKA| SAKATA LA WATU KUTEKWA NA KUPOTEA, "SIYO KILA ALIYEPOTEA AMEPOTEZWA NA POLISI"

  Рет қаралды 18,682

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 48
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 15 күн бұрын
Saiv wasafi mnaongea haki hongelen sana
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 15 күн бұрын
Nawapenda sana wasafi kwa kutuhabarisha vizuri na kuongea haki. Asanteni sana tunavitiwa na hii media ....! Hamna upendeleo.....WALA unafiki ....! Mko vizuri sana.
@mohanmashine3518
@mohanmashine3518 15 күн бұрын
wew umesahau km hawa nao ni ndo walioenda kurafiti dp would?
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu Күн бұрын
Kauli yenu ya mwisho nimeipenda. "... Hakuna jeshi jingine la Polisi linalo kamata, kupeleleza, linalotoa taarifa au linalopeleka kesi mahakamani ISIPOKUWA JESHI LA POLISI.👏👏👏👏👏
@ReginaSungura
@ReginaSungura 2 күн бұрын
Mtakuja tekwa vibaya ninyi ila mnasema kwel😅😮
@EliaHiluka
@EliaHiluka 2 күн бұрын
Hata kama wengine wamekutwa kwa mganga wa kienyeji wakiwa wamekufa bado jukumu la kuhakikisha raia kuwa salama ni jukumu la polisi🎉
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 10 күн бұрын
Nakukubabali sana jezi nambali 6 mshambuliaji machachali Mailid wa Kitenge piga kazi kaka kwafaida yanchi
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 14 күн бұрын
Nawapenda sana kipindi chenu kinausu mambo ya jami na sio umbea tu hongeren sana my brothers
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 14 күн бұрын
Suala la Ulinzi na Usalama wa raia ni la kila mmoja / raia.
@user-ky8ux9yu7f
@user-ky8ux9yu7f 3 күн бұрын
Huyo spika atwambie ili kutenganisha atwambie yapi yanayo wahusu polisi na yapi na yapi hayawahusu polisi.
@YusufDuale-eq4kl
@YusufDuale-eq4kl 15 күн бұрын
Hongereni kwa kuongea haqq
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 14 күн бұрын
Ambaye hajaona kutekwa kwa watu hajasikia sio mzazi hana uchungu
@noelasamugabo5135
@noelasamugabo5135 14 күн бұрын
You guys are so very much clever ❤❤
@samwelgetocho6913
@samwelgetocho6913 Күн бұрын
Kitenge zingatia mashart. "Mkinichagua mtakwenda marekani" Sasa kama watu hawajaenda hadi sasa, na mtoa ahadi yupo ofisin, msimuone tu muongo, hapana, jiridhishe pia, walimchagua???? Kumbuka kama hawakumchagua ana haki ya kutowapeleka msiegemee upande mmoja
@amoskoyo4597
@amoskoyo4597 14 күн бұрын
Nawakubali sana tena sana
@Bodiswaibu
@Bodiswaibu 15 күн бұрын
Mmhh mungu atujaalie sanaa
@TriakonNdoya-iw2qc
@TriakonNdoya-iw2qc 14 күн бұрын
Dah nakumbuka mimi nijandaa sana kwenda marekani
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 15 күн бұрын
Sana watu wanatekwa sana na magali tenawengi wanabebatu ndugu wawiliwawili hawanahuruma watekaji Mungu hawape hadhabu anaiiyoba yeye inawafaa wote wanaoshiliki kuuwawatu. 🤲
@XaiTheFreestyler
@XaiTheFreestyler 14 күн бұрын
Wazee wa ovyo Sana hawa 😂😂🤣
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 14 күн бұрын
Wewe ndo ooovyo na hujitambui
@XaiTheFreestyler
@XaiTheFreestyler 13 күн бұрын
@@mkondomkondo4721 umeielewa comment yangu lakini au unadandia gari kwa Mbele 😂🤣
@msafiriamani1824
@msafiriamani1824 2 күн бұрын
Ww ndo mhovyo jinga sana ww ukitaka waongee nn lofa ww
@estambuya3901
@estambuya3901 15 күн бұрын
Kwa kweli jeshi la polisi linahusika.
@florencejohn6427
@florencejohn6427 14 күн бұрын
Zambwela mara nyingi sana yuko upande ule mwingine tunaoujua. Ovyoo sanaa
@EliaHiluka
@EliaHiluka 2 күн бұрын
Kwani spika anawasemea polisi au vyombo vya Dora yeye ni msemaji wa Dola spika?
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 3 күн бұрын
Kwani.tulia.nimsemaji.wa.serikali.????
@jituakilimali15
@jituakilimali15 3 күн бұрын
Huyu tulia juzi amesema wazi na kila mtu kasikia watu wakiwachafua viongozi wa ccm watu washughulike nao sasa tumeanza kuona impact ya ile kauli yake
@alexanderfute4559
@alexanderfute4559 6 күн бұрын
Zembwela unatetea uovu, unazingua, hata waliopotezwa kwenda kwa mganga ni kazi Yao kujua
@antonychitara5707
@antonychitara5707 15 күн бұрын
Hyo mzee mtoe hapo stidio
@hassanMahmoud-i4l
@hassanMahmoud-i4l 14 күн бұрын
habari za mawio
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 15 күн бұрын
Kwani wanaopotea ni watu wa aina gani
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 3 күн бұрын
Watekaji tunaishi nao:Hivi ni akili ya kawaida kweli?Mtu una nyumba yako halafu unampangisha askari polisi,halafu analala,anaamka, anaenda kazini kwake,anachukua bunduki snarudi huko uraini anaanza kukutisha .Wakataeni wakalale huko wanakotumwa kuwaonea,wakalale serikalini.
@Glorydavid248
@Glorydavid248 14 күн бұрын
Mmeshindwa kumtia hatiani askari alie alie tuma watu kubakwa mje kuweza kuzuiya kesi ya watu kutekwa? Kabra ya kudili na shetani Kwanza Anza na vinyamkera na majin wa kubwa. So km kajini kadogo kananguvu kushind wanasheria 10 na nguvu ya raiya kupitia mitandao je mzani mtaweza kulinda raia wanao tekwa? Jib ni hili wananchi wanaita kuandaman ili kukomesha utekaji
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 14 күн бұрын
sasa hivi ni kujilinda wenyewe mtu inabidi utembee hata na panga ndani ya shati kabla mtu ajakukaribia bora akupige bastola sio kutekwa kizembe
@LensonMwaigombe
@LensonMwaigombe 2 күн бұрын
Zembwela acha uchawa
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z 10 күн бұрын
Radio ya serikali
@MutalemwaBiashara
@MutalemwaBiashara 15 күн бұрын
Uyo naye ni chawa wa sipika turi
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 3 күн бұрын
Tulia ni mama wa hovyo,mchafuzi.
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 10 күн бұрын
Hhh
@user-vt3uq3xv3s
@user-vt3uq3xv3s 2 күн бұрын
wewe ukiwa mwezi ukipita kwajilani yako alafu kipoteee kitu na wewe ilipitahapo watasema nani
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 14 күн бұрын
Supka anatetea jeshi,, na uyo afande ario mteka mdda wa yombo na hao polisi
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 14 күн бұрын
Tulia kama unachomwa sindano za maralia haaaaahaaaa
@amanimusa5744
@amanimusa5744 14 күн бұрын
Zembwela kibaraka
@SebastianCharles-f6s
@SebastianCharles-f6s 14 күн бұрын
Mganga haziki maiti huu ni uhuni wa spika kapotosha umma ???ndgu waliompeleka lazima wakazike wenye ndgu ....hapo tumechomoa uwongo usio jitoshereza mwongo wa taifa hili la tz
@mohanmashine3518
@mohanmashine3518 15 күн бұрын
wazee wa dp would mpo na watanzania? au mnawachora?
@mrabdultv8356
@mrabdultv8356 15 күн бұрын
kitenge bhana
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 19 МЛН
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 26 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 19 МЛН