We must stand with the people of Mombasa the ocean is our wealth. Mombasa residents are Kenyans. When they are hurting we all hurt. We cannot prioriruze or favour China above our brothers and sisters the SGR should share with road transport we cannot sit back and allow Mombasa our beautiful coastal city the best in Africa to disintegrate. Save Mombasa businesses. Stop divisions now! One Africa!
@BM7-j7m4 жыл бұрын
I support
@feisalsaid31054 жыл бұрын
Unasema kweli
@chebby73514 жыл бұрын
I support my people not these chinese
@generalkago53614 жыл бұрын
Kindly let us join hands and rout out the Dynasties from the KENYAN Leadership. Then businesses in whichever part of the country will never be destroyed again !!!!! From NAIROBI to MOMBASA, all the trading centers' businesses have been destroyed by the UHURU KENYATTA Government !!!
@kentosh1204 жыл бұрын
i support you 100 percent, i cannot wait for Oscar sudi to be in charge at state house.
@billyongus3444 жыл бұрын
You are dreaming 😆 as
@johnmbugua49234 жыл бұрын
GENERAL KAGO IT IS NOT A BLACK AND WHITE AFFAIR. IT IS COMPILICATED
@justusotieno7514 жыл бұрын
General Kago.... I support the issues raised here coz it has affected the economy of the coast....am living in msa and i can feel it...however......be very careful when talking about dynasties....! I dont know when you were born.....if it is 2000 onwards then i understand your position....if not then something is wrong! Do you know that at 36 years of age Raila was detained by Moi for 9 years for fighting dictatorship and for liberation?His wife ida was sacked from her teaching profession and thrown out of staff quarters....His father Jaramogi was put under house arrest and constantly harrased by the dreaded Soecial Branch...All his life RAO has been suffering and Risking his life for liberation of kenya....when Moi was detaining people Rao was always standing firm against DICTATORSHIP of the government just like Ali now.For section 2A to be removed to allow multipartism Jaramogi and his son put their lived on line....financing even dissidents with their own money.Any body who generalizes issues need to check the facts correctly...Those who dont know Railas life talk carelessly about him due to lack of facts and think that others deserve to lead more than him....General Kago do you see the point on dynasties now.?
@imanithoya81944 жыл бұрын
@@justusotieno751 u are either oblivious of what is happening or u are just plain tribalist or a fool or all in one. Raila's interest has always been about himself.Now he's in the government how has he helped u
@maraboustork62524 жыл бұрын
She's on point Kabisaa..I love her kiswahili. .Uhuru ajue ametupa coast, mount kenya and rift valley regions officially
@vustykay22094 жыл бұрын
I cant believe it by your name i thought you would support Macharia am happy you were touched by the voice of this mama
@jeffmkenya56154 жыл бұрын
Time is coming when Kenya will default Chinese loans and when they come for it we shall take them to statehouse and to politicians who stole their billions
@sting645feisal34 жыл бұрын
Jeff Huhu 😁😁kweli kabisa
@marugejames45274 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@jebiwotspari94034 жыл бұрын
Very true
@jebetbetty69864 жыл бұрын
Excuse us! Mombasa people are not breathing . Business has seriously been affected left, right and center.. business people wamehama Mombasa. Kenya is for us all. Don't fear to stand for what is rightly yours.
@jeffmkenya56154 жыл бұрын
Yes good move to stand out for your right. It’s time truth be told , who owns Naivasha Dry port. Wakenya sio wajinga and we cannot be forced to use the rail ndio government ilipe deni ya wachina which they stole 50% of the funds
@bobomwanga91484 жыл бұрын
JICHO PEVU NI KIBARAKA WA RUTO, anamtefutia sauti na kura za Coast 2022, angekuwa mzalendo zaidi angepigania haki kwao Moyale kumezorota zaidi, ameprefer Mombasa kwa vile iko na Big numbers za kura na mshahara mnono. AMKENI NDUGU
@patrickmaina55944 жыл бұрын
I wish I can speak kiswahili like this lady.
@kijanahodari20804 жыл бұрын
Achana na kizungu and go to the coast
@mungamichael93544 жыл бұрын
where r you from?
@patrickmaina55944 жыл бұрын
@@mungamichael9354 I'm from murang'a
@BrekSuleiman4 жыл бұрын
haha...karibu Pwani kwa wakarimu
@evansodongo18904 жыл бұрын
Ati sisi tumekufa ni wafu twatembea. Wawawaaaaa I am not even caring about the issues lakini hiyo rhyme ni top class man...
@nikitambuthia61084 жыл бұрын
Great speach Mama!!!Fungeni mshipi kabisa na Moha..msimuache!!Atasisi ulaya we're supporting Moha!!Sgr...ivunjwe na wachina wafukuzwe kenya!!!Kenya sio yao!!!
@FXMWANGI4 жыл бұрын
The woman is hurting....Uhuru Joho These are drug barons ..The SGR is serving Kenyatta family
@ericmisiko85334 жыл бұрын
Jojo hana maana ni kama babake wa kiasiasa ambaye anageuka kila mara
@nzingomazera92144 жыл бұрын
True
@saidibrahim59314 жыл бұрын
Kweli kabisa
@kolijasembo76344 жыл бұрын
Nonsense!
@cyrusogega60274 жыл бұрын
Kenya needs a revolution...
@khadijazuberi57814 жыл бұрын
Maneno kuntu aunt miraj hongera sana
@hamza899454 жыл бұрын
khadija zuberi kweli khadija
@hamza899454 жыл бұрын
khadija zuberi Uko mtaa gani khadija??
@mussaamisse76134 жыл бұрын
MashaAllah for being brave my dear aunty
@bablishbablisho22594 жыл бұрын
Tatizo ni viongozi wanaiba kiasi cha kuogopa kusema haki kuwakilisha majimbo yao. KRA inakuwa silaha ya kuwanyamazisha Kwa kuwa hawatendi haki watashikiwa Mali zao. Hawajui si pwani pekee inaharibikiwa hata watu wenye mabiashara barabara ya Msa Nairobi to kisumu. Spare parts. Lodges, petrol stations, hotels and others are all affected one way or another. Wake up leaders and defend your people.
@peterokalo96324 жыл бұрын
Mohamed I Ali☝🏽💪🏾🙏🏽 👍🏽👋🏽
@kimzo3p4 жыл бұрын
Kilio cha haki Nani atakomboa hali ya biashara/ajira hapa pwani jameni .....msa biz is dead.
@kentosh1204 жыл бұрын
We need all the trucks taking weeks from Mombasa to Nairobi no need for SGR, We are Africans we like taking our time. efficiency is for Asians and Europeans.
@billyongus3444 жыл бұрын
But you supported sgr when uhuruto launched it
@kimzo3p4 жыл бұрын
The paralysing of clearing and forwarding/transporters businesses wasn't the SGR moving cargo destined to Nbi alone,they killed completely when they abolished away the importers freedom to nominate the local facilities of their choice (cfs) thus rendering many jobless. Mwes M Ali is the only lone ranger for the hustlers/sufferer nation the rest leaders are cartels and greedy sycophants
@nurumahsein86454 жыл бұрын
Mashallah miraj dadangu umeongea na mohd ali utatutetea hadi mwisho.JICHO PEVU 4 GOVERNOR 2022💪🏻💪🏻
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Masha Allah , hongera mama yangu mungu akupe nguvu , MOHAMMED ALI HONGERA PIA KAKA .
@geoffreywaiyakimugure38164 жыл бұрын
Tuko nyuma ya Ali hii Kenya sio ya wachache
@jaihind46014 жыл бұрын
Toa joho from power....shida za Mombasa ni joho...
@fahimasheikh7434 жыл бұрын
Nakushukuru dadangu kujitoa muhanga hiyo ni kazi nzuri.Allah akupe moyo na nguvu zakuteteya haki za wa pwani.Hii dhulma imezidi wakati umefika watu kusimama kideti.Naomba watu waanze kusanyika barabarani tusiongee,ama hawa madhalimu wataona twazungumza.
@jumabandikwa19224 жыл бұрын
Tushikaneni wapwani twendeni kwa pamoja tutashinda tushapata kiongozi Mohammed ali mungu akulinde usiku na mchana na tutashinda
@AishaAli-lk7gh4 жыл бұрын
insha aa Allah
@kijanahodari20804 жыл бұрын
Joho alianza ivyo akatulizwa nae pia njia ni hiyo hiyo
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Ameen yaraab alamiin.
@ahmedsalim28004 жыл бұрын
Mombasa viogozi wameoza hatuna viongozi inatakikana watu wa amke twazama tukiona
@alexwambui35944 жыл бұрын
I wish tungekua na watu kama wewe hii Kenya tungekua mbele sana 👏
@kentosh1204 жыл бұрын
@@alexwambui3594 pole pole is our nature in Kenya, efficiency and time management for wazungu na wa Asian.SGR what? we need our traffic jams back with trucks all the way from Mombasa to Malaba.
@masudabdallah19294 жыл бұрын
Ndiyo hivi tuamkeni sio kupiga domo tushikane kiwema kigaidi shenzi type tutawanyoosha
@edmond20144 жыл бұрын
Mobilize and recall leadership of these useless sycophantic psychopathic misLeaders. Bure kabisa hawa viongozi wa pesa nane.
@durkasmaghuwa22014 жыл бұрын
Wakati joho akisema bandari yaenda mlisema joho hakusoma bahari itabebwa vipi mkasema nisiasa saa hii ndio mumeshutuka tolet
@teachersheyii63644 жыл бұрын
@@durkasmaghuwa2201 tell THEM!!! TELL THEM !!!
@kolijasembo76344 жыл бұрын
@@durkasmaghuwa2201 I agree with you. It's like they do something and think later..... shameful
@salimfaraj54824 жыл бұрын
@@durkasmaghuwa2201 wacha kuleta siasa wakati usio faa tafadhali. Tuna uchungu watu wa pwani kwa utepetevu na udhalimu wa viongozi wa pwani
@nikitambuthia61084 жыл бұрын
Very intreasting to see the youth fighting along Moha!!Keep it up..we support Moha all the way!!
@charokarisa88184 жыл бұрын
We should come together the people of the coast cause wabunge na magavana wetu wamejisahau sana wanatumiwa na serikari kujinufaisha hao na Familia zao nasisi tutaenda wapi. Plz tushikane tupiganie haki zetu
@bonfacekemboi2844 жыл бұрын
Its called Kenyatta Family Railway(KFR) not SGR
@kentosh1204 жыл бұрын
No hurry in Africa,, bring back our traffic jams with 1000 of trucks.High speed rail for whites and Asians.
@TruthMustBeTold_911.4 жыл бұрын
Uhuru Raila railway
@billyongus3444 жыл бұрын
Why are you complaining yet in 2017 ruto was bragging about the sgr? And you supported
@bonfacekemboi2844 жыл бұрын
@@billyongus344 wewe umerogwa na Ruto. Phase one ya SGR was to nairobi. Phase 2 was supposed to pass nakuru eldoret to malaba after handshake it changed course to kisumu Uhuru and raila went to China wakanyimwa loan ndio ifike kisumu guess to shamba ya nani raila. I know you are benefiting a lot vile dry port ya sgr imejengwa kwa shamba ya Kenyatta naivasha. Kula mali yako polepole kaka. Let the people of mombasa complain coz they are hurt
@kolijasembo76344 жыл бұрын
@@bonfacekemboi284 You reasoning is too poor. In fact you are embarrassing yourself.
@saveodenyo29314 жыл бұрын
I feel so weired that odm is supporting this injustice. Waa. What us happening.Greed is ugly.
@abdirashidneeqn52094 жыл бұрын
Stand up for your right
@mscantraah82104 жыл бұрын
Kweli kabisa baba mwambie askie vizuri
@khamisijuma31674 жыл бұрын
Hapa pwani tuna wabungee tuna mabungaa?
@feisalsaid31054 жыл бұрын
C Watu Hao viongozi wa pwani
@faraharun104 жыл бұрын
Ni mabungaa wanaojali maslahi yao tu
@munzilakioko38034 жыл бұрын
Am ready ,we should recall all traiters of economic growth of coastal corridor
@piarants39584 жыл бұрын
The lady said it all.kenya need a woman president the men have failed us for too many yrs👊🏿👊🏿
@BM7-j7m4 жыл бұрын
Forget
@fauziaabdillahi33954 жыл бұрын
Like waiguru mmmh
@mahabsaid53244 жыл бұрын
Storage charges ya Naivasha nani anapokea wakati wakaazi wa coast wanalia
@ericmisiko85334 жыл бұрын
Siku ya maandamano niambie am against macharia ni kijana ya uhuru kuibia wakenya,,
@collinskahati38464 жыл бұрын
Good youths speak up
@rehanakhan83074 жыл бұрын
We support Mohammed Ali.
@princeofosun74514 жыл бұрын
I Love Mombasa..nitakuja kuwapigania Mali Yenyu ambaye ni Port.
@manniermkambe61844 жыл бұрын
Mohammed Ali n the rest continue with that spirit i support man it's time now to stand still as pple of coast region to regain what we have lost enough is enough uhuru kenyatta is the first traitor who doesn't know what leadership is same to Joho who pretend to fight for pwani kumbe nae ni msaliti shame on u good for nothing leader bt ur time is coming u 'll reap what you sow coz tumechoka kunyanyaswa it's so sad bzness n the economy of imekufa ss kama wapwani tutasima kidete kupigania uchumi wa pwani. Together as coast we 'll make it God help us.
@respectall45514 жыл бұрын
Mohammed Ali for governor. He is the real deal. The funny thing Mohammed Ali his not even from coast of Mombasa but his fighting for coast people. But the real coast leaders even don't bother they are only after their stomachs.
@Don-wt1cm4 жыл бұрын
Huyo joho ndio evil person causing all the coast people to suffer.Time to kick him out and take him to court
@evanskering13734 жыл бұрын
Wah, I felt it, that speech though.
@lizjoseph44044 жыл бұрын
Mama waambie ukwe 💪💪💪💪👏👏👏👏👏
@CACingenuity4 жыл бұрын
POOR LIVES MATTER! Mambo yameanza. This is just a begining...na bado! Kudos Mohammed
@alisaid98104 жыл бұрын
“Mombasa port is like a tunnel. All illicit business happens here and it is controlled by traders supported by customs personnel and powerful people in government. Whoever controls the port controls the illicit business in Kenya“
@happysoul53564 жыл бұрын
Mlilipwa mkachaguana,watu wale ujeuri wao,next time Vote wisely
@abdulhafidhswaleh11744 жыл бұрын
alafu uhuru akishuka msa kuja kula biriani kwa barka wapwani wanamwagika nilimsikia moja akisema uhuru ww ndo baba........allah mus taan
@patrickmaina55944 жыл бұрын
Macharia is so incompetent, it's time he retires to farming.
@kentosh1204 жыл бұрын
I support you 100 percent , We don't need SGR , we are fine using 1000 of trucks and even donkeys.
@TruthMustBeTold_911.4 жыл бұрын
Shida si macharia shida ni hii serikali ya HANDSHAKE na biashara zao
@deepsea21414 жыл бұрын
Raila is a traitor and Joho deputises him. Joho is a sellout
@7thestate7774 жыл бұрын
Jicho pevu mungu akulinde🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ahmedali-cf1tg4 жыл бұрын
Waaaaw the speach of that lady makes me cry
@rgouz20564 жыл бұрын
Thats the issue many People thinking that the Coast Economy ist just for the Coast people, honestly Thousands of peolpe from all part of Kenya living and Working in MSA at the Port and Tourism sector, they killed Tourism systematical then Follows the Port probaly Airport will be the next. All fellow Kenyas wake up and give a Voice to the leaders who Sabotage the Economy of the County.
@pwaniamkapwanikomesha52154 жыл бұрын
Its time mobasa to komesha walio tushukisha value wapwani na waliotudidimiza maisha yetu.. Mohamed ali jicho pevu umetuonyesha ujanja flani na kutufungua macho ..dnt give up stand up on us we need you to lead all mombasa.. Tutakuinua coz wewe ndio mtetezi wa haki zetu..stay blessed msg from old town youth
@marymumbi83304 жыл бұрын
Very true my brother...
@zacharynyambu73404 жыл бұрын
Sasa, ile bendera ambayo husemekana kwamba kawaida yake ni kufuata upepo Sasa imekataa. Keep it up wapwani.
@jebiwotspari94034 жыл бұрын
Tuko pamoja na pwani..🙏🙏mola awajalie. Moha God protect you
@simenyasikhulu4 жыл бұрын
Lo! Sikizeni vilio vya wanyonge hawa. Inaonekana SGR imeathiri sana wahusikao na ubebaji wa makasha na mizigo jijini Mombasa. Je mipango ya SGR ilipobuniwa masilahi ya wafanya biashara hawa yalitiliwa maanani? Sauti ya mnyonge anayedhurika usipoisikiza ewe mwanadamu na kuishughulikia, Mngu mtetezi wa wanyonge atawatetea. Hakuna litukialo bila Mwenyezi Mngu kuona.
@steveomo20014 жыл бұрын
wachana Gladys Wanga, she had nothing to do with SGR...Uhuruto...hio safari itaishia kwa Wachina...hio port ndio wanataka mtaenda wapi?
@saidmarley40494 жыл бұрын
Truely you have been slept for a long decades without memorizing what will happen for the future outcomes...a wise person always have extra miles and great vision before its reveal....so its totally too late now....The only thing is to Pray and seek help from Alla....
@amosmurabu28744 жыл бұрын
Impeaching Macharia should only be the first step. Another one will be appointed in his place. Pressure should be stepped up from all fronts until operations at the port are normalised. Coast has no leaders. The notion that an elected person si a leader should be discarded. Leaders do emerge; the way Mohamed Ali has emerged. Leaders are not elected at all.
@saadiaali56094 жыл бұрын
Kwani nauliza serekali hii kazi ya pwani kwani ni wapwani tu hata wa bara pia
@josephkeah87344 жыл бұрын
Hizo ni siasa!!!!!full stop.....SIMAMA Naye uketi naye ucheze naye NI shauri yako....si wakatibwakura nyinyi ndio mlichagua jubelee mkisema eti mwamupa Uhuru zawadi ya birthday (Kira)...
@16mbagathidon914 жыл бұрын
I felt her passion
@mahadshamun90794 жыл бұрын
Kabisaa
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu heri inshaallah
@unclesam45194 жыл бұрын
Hustlers nation will knock down whoever comes without a plan.
@kolijasembo76344 жыл бұрын
Keep dreaming
@b.truthful4 жыл бұрын
True all the clearing and forwarding were all affected by Uhuruto's government policies now came the SGR issues more so not forgetting our Port will soon be taken by the Chinese 🤔
@TruthMustBeTold_911.4 жыл бұрын
Nowadays it's Uhuru/Raila government,Ruto and his followers were removed from government posts
@davidwalalason76304 жыл бұрын
Pwani sio kenya, it's high time pwani to stand by itself as a republic.
@pinchesmbuche43544 жыл бұрын
And then all traffics to darssalam. And Bagamoyo. Port
@irenekambi47054 жыл бұрын
Huyu dada amesema ukweli usio na doa Dhuluma kwakweli
@isareje85794 жыл бұрын
Ukitaka chips kuku lazima utie shamba la muhogo moto.ukitaka maendeleo ya magorofa lazima uvunje kibanda chako so development need to take place where there is no development. Ukioa mwanamke bikra usimuonee huruma kwahio wapwani twabikiriwa kelele nlazima
@freemanwin99234 жыл бұрын
steal the port of Mombasa steal land to build the dry port{they stole the land from some old ladies by faking signatures} this criminal families need to go kick them all out and now they have saved waiguru
@amerislam90834 жыл бұрын
Come on wapwani kumekucha
@bakarihamisibakari30044 жыл бұрын
Wabunge wa pwani bure kabisa, wanamsikiza raila bure, wapwani amkeni na huyu raila pia hafai kabisa nimaslahi tuu na hawatufai tutafute njia ikibidi tudai jimbo la mpwani.
@kolijasembo76344 жыл бұрын
Jaribu hustler nation
@jacksonwanga97114 жыл бұрын
Edwin, umesema bro
@jamesgitahikahuro24434 жыл бұрын
Kenya strong opposing interests make economic growth and national development through known and tested pathways almost impossible. These can be grouped into four categories; 1) short term interests consists of less than 1% of entire population who make a reasonable contribution to the economy ;- these are held by genuine groups of investors in a sector whose main concern is to maintain present status quo. But change is necessary to make progress in life. Imagine when Kenya Posts and Telecommunications was the only means of communication or KBC was the only broadcaster. Mobile telecommunications and multiple broadcasters have brought alot of opportunities. 2) selfish interests aka corruption which consists of less than 0.0000001% of population but inflicts untold damage to the economy;- these are held by individuals in position of authority whose only horizon is personal benefit. 3) People like former president Mwai Kibaki who understand the way to economic growth and development;- this is a rare group in Kenya. 4) The rest of the people have no idea about what is going on and for what reason; This group consists of 99% of the population and they makes significant contribution to the economy through Labour/ employment and all forms of legit self employment. Government policy and development should always target to help this group become more and more productive.
@babanasra72414 жыл бұрын
viongozi wa masilahi bure kabsa ...
@rahimzameen15134 жыл бұрын
Mohamed Ali 2020 govonor Mombasa niko na ww brother.
@bashiryusuf96704 жыл бұрын
Walituita wazembe leo Kwa kweli wazembe niwao hao viongozi kazi zao kucheza chakacha mbele ya vibaraka vyao
@hukuUJERUMANI4 жыл бұрын
The Port in Mombasa is what is sugar cane to western Kenya, or tea and coffee factories to central/ Mt. Kenya region, maize plantations in Rift valley, and so on. Now, follow me and imagine 60% or 70% or 80% of employees in the coffee and tea industries in the Highlands of Kenya not being natives. That's the case at KPA. And they dare answer that it's a national authority. Qn begs, are the coffee and tea, and sugar authorities not national? It's only national when it comes to the KPA and other establishments at the Coast. What the fuck is going on!!?
@adhiambonyasuna40434 жыл бұрын
Tell ruto people to support Muhammed Ali.period.he is in ruto camp.team tangatanga wanapinga serikali,so tell all takataka to support your son
@abdullahsalim6984 жыл бұрын
viongozi wa pwani hawana umoja,na kila wakitaka kuungana wanatumwa watu na pesa kuwavuruga ukweli usemwe kila mmoja atizama tumbo lake na family yake,walokua wakimtukana uhuru sasa kimyaaa maslahi yao yametimizwa,bure kabisa pwani ishazama kitambo.
@saidmahmoud78694 жыл бұрын
Moha chagua kiti unachotaka kura Yangu unayo, kama ni governor, senator, mp, yoyote Ile wataka.
@kahiyemohamed32764 жыл бұрын
Wanata kufanya Mombasa, kama mtwapa, aplace where young generation afightin over prostitution,.. thy want work fro Nairobi, naivasha,upcountry, to come with fuckin cash, to destroy our youth, hatukupalii na dry port...
@hassansayyid40014 жыл бұрын
Viongozi wa Coast wote bure kabisa wanajali maslahi yao na family zao nyie Mungu atawachoma kitoka hapa kwa hii dunia na kesho mtaenda kubeba Vitabu via dhambi zenu.Lakini na sisi umma pia tulialala kabisa kipewa 500ksh na kuwapigia kura ma hio hela tulikula kwa nusu say tulamaliza.lakini hatujachelewa ni lazima watu wakae imara na nilazima hali itendwe watu ni lazima wajitokeze lwa mabarabara na kufanya migomo na kwa Sauti moja.hatuna Viongozi wote ni kama NGOZI ya mbuzi
@martinmuchemi41454 жыл бұрын
Keep the spirit up.
@Binjaafar0054 жыл бұрын
Tumeamkaa vijana wa Mombasa Na coast kwa jumlaaa.....##togetherweca
@asmaaarndt67264 жыл бұрын
🤝🏾👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👍🏿👍🏿👍🏿🌈🇰🇪❤
@mariamhassan17234 жыл бұрын
Mombasa we depend on port Mola atusaidie
@ericmisiko85334 жыл бұрын
Waambie ukweli,,wanga NGO'MBE haina mkia
@drockyacrobatics33734 жыл бұрын
Sirikali ya washenzi wapumbavu joho ameolewa na raila ati baba
@sugu394 жыл бұрын
Huyu mrembo haki!! NamtamNi Kama Hana bwana, she can make a very good wife to me
@faithtambalu99894 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@barkembarak92704 жыл бұрын
💯true
@kuschprince32164 жыл бұрын
Ningekua nauwezo,ningeilani hii bandari ya mombasa ikauke iwe ardhi kama kawaida! Hakuna haja ya iwe hapo na "sisi wenyeji hatufaidiki!! Moha makosa yake ni kujitenga na wabunge wa pwani,na kujipiga kifua kwamba yeye pekeyake atasuluhisha matatizo haya! Amesahau kua independent candidate is just a" barking dog", he should have stayed in odm.for his motions to be backed! He`s fighting a loosing battle and creating enemies.And to you "Lady"look for any elective post in the 2022 elections,you have my vote, wewe unatosha, we hear you here in Europe!"Chiriro na Mwenye", may "Allah(swt) give you strength ans much blessings,kisha uko "Poa"
@franklinemazera66584 жыл бұрын
Nataka kuzuia jua lisiwake siku saba kwa sababu linatoka huku kwetu pwani ndio mjue tuko na uwezo. Mwatuchezea
@AishaAli-lk7gh4 жыл бұрын
@@franklinemazera6658 Allah karim
@ghaniyashaban98454 жыл бұрын
Wape Wape vidoge vyao wakimeza wakitema maneno ndio hayo
@hasansela20484 жыл бұрын
Tuko na jicho la simbaaaaa
@fauziasalat87134 жыл бұрын
True port imejaa ukabila no wonder ckupata job.corrupt kpa
@aliaden55124 жыл бұрын
Kweli kabisa
@gracemima52344 жыл бұрын
Ombeni mjinga na Tanzania. Rudini nyumbani mzungu aliwagawa
@twinsstudiotv36814 жыл бұрын
Ajali zimepunguka ,Babara haziaribiki vitu zina badilika people used Mobile booth we now have mobile.,
@mohasalan4 жыл бұрын
Mama nmekuelewa kabisa
@zahaljamal45204 жыл бұрын
Daah Makubwa
@aliamirbakar55804 жыл бұрын
So impiching machari ndio itaradusha jobs Mombasa tefuteni lakusema coast imelaliwa tangu Kenya kupata Uhuru mashamaba yote yameenda