DOCTOR RITHA

  Рет қаралды 15,890

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

Күн бұрын

Пікірлер: 159
@ElizabethIsaya-io2bn
@ElizabethIsaya-io2bn Ай бұрын
Wow kaka Lucas kaziii nzuriiiii sanaaa
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 Ай бұрын
Woow Lucas umetetea mzigo mpya❤❤❤
@VeronicaNziku
@VeronicaNziku Ай бұрын
Asante kaka Lumbas tukopamoja
@nurianaramadhan
@nurianaramadhan Ай бұрын
Aweee lucas leo amesema mapema ndio best❤❤❤
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 Ай бұрын
Duuuh jamani leo mapemaa😂😂 asante sana Lucas kwa kutuletea simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 Ай бұрын
Jamani jamani kuna wanaume wengi africa washenzi kambisa jamani daaah malipo ni hapa hapa Duniani 😢😢 😢😢
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 Ай бұрын
Asante sana sana luca unatulea simulizi moto kweli jamani ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂
@OlivaMlewa
@OlivaMlewa Ай бұрын
Mmmh mungu atuepushie jaman kweli Kuna wammamawapuuzi
@MwajumaToh
@MwajumaToh Ай бұрын
Haya kaka tuko pamoja kazi nzuli ubalikiwe sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu Ай бұрын
Jamani tuyitane kwamapenzi kitukpya tuone Ritha kunanini mukokasiiiii🏃🏻🏃🏻🏃🏻🪑🎧Lukas 🎉🎉🎉🎉
@susansamira8137
@susansamira8137 Ай бұрын
Wow finally chombo kipya❤❤❤
@janekipsang425
@janekipsang425 Ай бұрын
Ooh yeah!! Right on time . Likes jaamani!!❤❤❤
@khadijahseleman9224
@khadijahseleman9224 Ай бұрын
Patriki mbwa wew na huyo maria bora alivyopoteza kizazi tuone
@YasintaHongela
@YasintaHongela Ай бұрын
Asante kwa kutujali kaka Lumbas unatisha mno
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j Ай бұрын
Jamani mm ado sijaiyona part 3..vipi kaka lucas
@ChristinesifaRuwa-jx4qw
@ChristinesifaRuwa-jx4qw Ай бұрын
Ni surprise sana nimweipenda sana hii
@SuuJaphary
@SuuJaphary Ай бұрын
Mkujee mzigo jamanii ❤😂🎉
@Eshaomar-ge2nf
@Eshaomar-ge2nf Ай бұрын
Eeeh mapemaa Leo sjaamini nlifkri ni ya kitamboo😂😂😂kaka lucas kapost bahati mbaya😅😅😅
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i Ай бұрын
maria ni mama mbaya sana aliyo angamiza maisha ya mtoto wake na mbk kutembea na mkwe wake na mbk rahana ikawakuta amakweli malipo ni hapa hapa duniani ❤❤❤❤
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
❤❤🎉🎉🎉🎉Asante ktu mpyaaa mapema t. Ritha, like 7 naomba kwako unae soma comment hii, ombi langu kwa Mungu akutimizie kila uombaro🎧🪑🏃
@هايلينل
@هايلينل Ай бұрын
Amen and amen
@YasintaHongela
@YasintaHongela Ай бұрын
Amina
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
Amina🙏
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
Amina Mungu atusaidie sisi na watoto wetu🙏🙏
@AliphonceIrene
@AliphonceIrene Ай бұрын
Uyu malia ana mfanana yule Regena kwenye simulizi ya Regena
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu Ай бұрын
Sasambone umdusahau Lukas kuhusu Om tafadhali tumalizie💛💚💛💚💛
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
Uyo ritha nae amekaa km mjinga ata kma dada angu cwez kufata matakwa yke nikaacha ya mama yngu wkt najuw kma hanipnd ujinga tu
@Melaninmengi
@Melaninmengi Ай бұрын
Hahahaha jamani
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Ай бұрын
Yaani siku zote tunao wapenda na kuwajar do wanatuumizaa 😢😢😢😢😢
@rahimaomarybabu1808
@rahimaomarybabu1808 Ай бұрын
Mambo Wana familia ya Lucas lumbas ❤
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j Ай бұрын
Poa
@AnnaBura-p2g
@AnnaBura-p2g Ай бұрын
Pow vip
@furahangoty5059
@furahangoty5059 Ай бұрын
Hy dr.ritha anasemajee kumekucha huku wapendwa🎉🎉🎉
@ladymwana2469
@ladymwana2469 Ай бұрын
Jomoniii Ritha🎉🎉
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 Ай бұрын
Mnafanya wanaume waonekane wabaya
@MisstPromise
@MisstPromise Ай бұрын
Waoooh kitu mpya kabisaaaa tantee 😍
@UniceMsomi-o9i
@UniceMsomi-o9i Ай бұрын
Tulio sikiliza rahma gonga like apa mana ni motooooo sana
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Ай бұрын
RAHMA NDIO GANI HIYO
@UniceMsomi-o9i
@UniceMsomi-o9i Ай бұрын
@@MwanatumuJumaa-rj4fg ni simlizi Tam kuliko zote
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Ай бұрын
​@@UniceMsomi-o9ikizuri kula na nduguyo nipe ubuyu naipata wapi...
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 15 күн бұрын
Tamu ile hatar yaani
@NeliaDaniel-h9s
@NeliaDaniel-h9s Ай бұрын
asante kwa mafundisho mazuri Mungu akubariki 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚💚💚💚
@ReginaBenjamin-ij2ec
@ReginaBenjamin-ij2ec Ай бұрын
Kitu kipya tayar kumbe na hamsemi ok kak lucas Asante sana
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi Ай бұрын
Ahasante sana Anko Lucasi 🇴🇲 Kwa simulizi mpyaaa🇴🇲🇴🇲❤️🤣
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
Asante Lucas ♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹👋💃💃💃💃
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
Ritha ana hasira za haraka bila kufikiri,mambo haya usipotumia akili utaingia chaka sana bila kuwa na ukweli wowote.Mtu hadi akupigie simu akutumie maelezo kama hayo kwanini yeye asiwe anahusika na huo mpango
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f Ай бұрын
Shukrani sana ❤❤1😂😂😢🎉😢
@hafsasaid9666
@hafsasaid9666 Ай бұрын
Mwisho wa ubaya Aibu😮
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg Ай бұрын
Wadau WA kaka Lucas mpoo
@RuthLema-m6g
@RuthLema-m6g Ай бұрын
He mi si nilikuwa nasubiri ado😂
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
Unasubr mda wakat kitu kimekuja mapma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ManisaboSifa
@ManisaboSifa Ай бұрын
Nimefika ❤❤❤🎉
@LeeYanOm
@LeeYanOm Ай бұрын
Leo mbona ni suprise asanteee bro🎉
@AliphonceIrene
@AliphonceIrene Ай бұрын
Wow kitu kimpya kizuli na kitwm sn
@ChristinaPaulinus-i4y
@ChristinaPaulinus-i4y Ай бұрын
Woow🎉🎉
@candidekaneza8587
@candidekaneza8587 Ай бұрын
Wakwanza
@hafsasaid9666
@hafsasaid9666 Ай бұрын
Tusikie ya Rita sijui kuna nini
@ZaiMakochela
@ZaiMakochela Ай бұрын
Maria pole sana kipezi
@roselambert6700
@roselambert6700 Ай бұрын
Simulizi nzuri sana asante
@anunalamin6472
@anunalamin6472 Ай бұрын
Ahh si ado
@AnnaKayumba
@AnnaKayumba Ай бұрын
❤❤❤
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
❤❤🎉🎉👏
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
Leo mapema naona asnte anko jay ❤❤❤❤❤❤
@queencleaningservice
@queencleaningservice Ай бұрын
Jmn kwani huyu ni anko j , ama Mimi ndo sielew
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
@@queencleaningservice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haki cjajijuw kma nimeandika anko jay anko kashaniroga
@YasintaHongela
@YasintaHongela Ай бұрын
​@Bab yfaty-m3y andika Lumbas
@Melaninmengi
@Melaninmengi Ай бұрын
Umepatwa na nn leo eeh
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
@@Melaninmengi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣anko kaniroga nawaza sana Aiiisss you kill me 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpka kuandika cjuw naandika nn
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p Ай бұрын
Good job🎉❤
@AnnaKayumba
@AnnaKayumba Ай бұрын
Afathari
@nchidabajuma9401
@nchidabajuma9401 Ай бұрын
Afadhali kuna simulizi leo nilikuwa nimesnza kuboeka mmi
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
Siwezi kuzima ndoto zangu, kisa udugu naufe t, ndugu wanafik wamezima mafanikio yawatu, nihivot mtu unakutwa hujafikia ufaham naakil yakujitegemea zaid
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
Ila uyo maria shetan pmoja na Patrick wanaume wte mbwa tu shenz kabsa yaan kashajuw kam mama mkwe wke lkn hana ata haya
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
@@Babyfaty-m3y hawana akili nikama mambuzi vle🙄
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
@@TeklaNdekeja ila ilo pga lilompata Patrick nimelipenda ataisoma na marya kashaanz na kizaz litakuja na jengne
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
@@Babyfaty-m3y la mwaka💪🤣
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
Udugu umala jamani ila Mungu hufanya yake ktkt ya furaha ya waovu
@salmarajabu1626
@salmarajabu1626 Ай бұрын
Kaka Lucas history leo maneno hayaji vizur
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
Umeonae kuilewa adi uoange ubongo vzuri ila saw tunaielewa
@manalalasmi1279
@manalalasmi1279 Ай бұрын
Asante Lumbas❤
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j Ай бұрын
😢dah hii inauma ...ila kuna mama wengine...hata km mwanaume anakutendea nn...lakini si kwamuumiza mtoto wako..kiasi hiki...ila mungu atamuona maria
@vailethvennance4651
@vailethvennance4651 Ай бұрын
Waooooooo🎉🎉🎉🎉🎉
@milkaboaz1244
@milkaboaz1244 Ай бұрын
Uyu Ritha mbona mpuuzi sana mpole adi keloooooo
@ChristinesifaRuwa-jx4qw
@ChristinesifaRuwa-jx4qw Ай бұрын
Kwa kwel usitelekeze mtoto mana kila mtoto huja na baraka zake
@nelly-r6v
@nelly-r6v Ай бұрын
Asante sana lucas lumbasi❤❤🎉🎉🎉
@AliphonceIrene
@AliphonceIrene Ай бұрын
Nimechelewa dk3 tu
@salmarajabu1626
@salmarajabu1626 Ай бұрын
Hivi huyu maria ninani kweli
@Fatum112
@Fatum112 Ай бұрын
Shetani 😂😂😂 mana c kwa roho mbaya hyo dahh..?
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 Күн бұрын
Inamafuzo mazuri sana❤❤❤❤
@Kellyperry947
@Kellyperry947 Ай бұрын
RITHA kafanya aje
@rachelpanga5023
@rachelpanga5023 Ай бұрын
Ety cha kipashio hana 😂😂😂😂
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Ай бұрын
Nimependaa malipo ya Patrick jaman na mama yake mjinga sana
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu Ай бұрын
Tafadhali ni Ado
@periswairimu2545
@periswairimu2545 Ай бұрын
Ubaya haulipi bali hurudia mtu ufanyayo mabaya watakurudia,
@crestian8343
@crestian8343 29 күн бұрын
Hongera sana kaka ❤❤🎉🎉
@aminasalimu6204
@aminasalimu6204 Ай бұрын
Edna,iliboesha,Bora,icngeisha
@MwanakomboMangwe
@MwanakomboMangwe Ай бұрын
Leo mapema san😂
@FaithNdenge-k9i
@FaithNdenge-k9i Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FaithPeter-j4w
@FaithPeter-j4w Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@faithndenge-cz8pe
@faithndenge-cz8pe Ай бұрын
Malipo nihapa duniani
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j Ай бұрын
Yaani huyu patrick. .msomi lkn ndowale wasomi..wanasoma sn..lkn kichwani mawazo finyuu...na mama ake ndowale wamama ..wanatenda bila kufikiri
@binthassan9191
@binthassan9191 Ай бұрын
Yani mm niache shughuli zangu za kunitilia pesa nipiganie mwanaume, heel no ,I can't do that 😂😂😂😂
@furahangoty5059
@furahangoty5059 Ай бұрын
Maria ana roho mbaya sana alimtesa sana mwanae
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉
@LeahIbrahim-ib4ss
@LeahIbrahim-ib4ss Ай бұрын
Tupo pamoja 🎉❤
@mleciWakati
@mleciWakati Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@SallyJemutai-w5r
@SallyJemutai-w5r Ай бұрын
Shukran luka
@mariethamasika9125
@mariethamasika9125 Ай бұрын
Hata mama awe anahasira vipi na mtoto wake hawezi kufanya ivo....huyu Maria hafai hata kuitwa kuitwa mama😔💔
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 15 күн бұрын
Ritha wakupigwa makofi mjinga sana
@KhayratnassorNassor
@KhayratnassorNassor Күн бұрын
Fanya utoe mpya ambay itasisimua zaid
@JaneSanga-b5n
@JaneSanga-b5n Ай бұрын
Iy miwan ya ritha 😅😅
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j Ай бұрын
Na malipo ya ubaya...😅mungu aitwe mungu
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 16 сағат бұрын
Ila kaka Lucas hapo mwishoni umepigapigaje😂😂😂😂😂😂😂 eti kado asijuwe kama Patrick hana chakupashia😂😂😂😂😂 amekuwa flat kama Tv😂😂😂😂😂😂😂
@NeemahChristopher-pq3kc
@NeemahChristopher-pq3kc Ай бұрын
Simulizi ya Ado imeenda wapi tena😢😢😢😢😢
@RuthLema-m6g
@RuthLema-m6g Ай бұрын
Ado amekufa Kwa lishangazi 😂😂
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja Ай бұрын
😅😅😅😅,🤣🤣
@RuthLema-m6g
@RuthLema-m6g Ай бұрын
@@NeemahChristopher-pq3kc tekla usicheke inauzunisha sana
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
@@RuthLema-m6g 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣lishangaz limemkamata kakamatika
@candidekaneza8587
@candidekaneza8587 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Aishamzamilu
@Aishamzamilu Ай бұрын
Malipo ni hapa hap t 😢
@EsterSayi-s1q
@EsterSayi-s1q Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Ай бұрын
Maria pokea malipo yako kwa kazi uliyoifanya hapa duniani,ila kwa kifupi hizi pesa jamani,ndiyo shetani wa hapa duniani, maana ndiyo chanzo cha kila uovu
@hafsasaid9666
@hafsasaid9666 Ай бұрын
Hivi unazaa mtoto unamchukia kisa mwanaume jaman namwanaume nae akili hana 😥
@Zeina-y9i
@Zeina-y9i Ай бұрын
Lucas bona atupati ido part 3
@NademaHasani
@NademaHasani Ай бұрын
Lucas simulizi ya ado 3 inatoka lini
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Ай бұрын
Leo saa 9
@bentahmasiemo2742
@bentahmasiemo2742 Ай бұрын
Ety my carpet 😅😅😅😅, really???.
@ElizaSada
@ElizaSada Ай бұрын
❤❤❤❤😂😂
@TyT-h5l
@TyT-h5l Ай бұрын
Nachukia mume kuita mke wake mamaa ama mke kuita mumewe babaaa😢ss utaitaje mpenzi wako majina ya wazazi wako eti babaaa mamaaaaa😏
@tyroneduplooy9903
@tyroneduplooy9903 Ай бұрын
85
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 Ай бұрын
❤❤❤❤
@SaudaAziz-u1s
@SaudaAziz-u1s Ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏
@nyamvulafatuma5383
@nyamvulafatuma5383 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@Salma-id4yl
@Salma-id4yl Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
THE BOY - SIMULIZI MPYA
2:36:24
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 39 М.
ALIVYOTONGOZWA AKAKATAA, AKATONGOZWA RAFIKI YAKE
1:34:13
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 3,9 М.
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 23 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
KIDAWA
1:07:35
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 6 М.
HOUSE GIRL
3:53:48
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 297 М.
YOU KILL ME - [ PART 01 ]
2:28:04
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 41 М.
DOCTOR MAYLA PATRT 1... (PART TWO ipo pale SmixApp au whatsapp 0677062012)
5:06:41
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 78 М.
LUNA | MY STORY
2:47:51
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 19 М.
MUUZA NDIZI
3:26:32
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 68 М.
NEELY | NILIMPENDA MWANAUME ALIEMUUA DADAANGU | SHORT STORY
2:58:05
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 13 М.
ZUU
3:49:56
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 22 М.
ARTIST part 2
5:40:27
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 20 М.
SIMULIZI FUPI: BINTI LINDA , By Ankojay
3:17:06
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 62 М.