DODOMA kama ULAYA! Tazama STENDI KUU Iliyojengwa, USAFI, MAJENGO ya KIMATAIFA, Wananchi WAPAGAWA...

  Рет қаралды 57,976

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

DODOMA kama ULAYA! Tazama STENDI KUU Iliyojengwa, USAFI, MAJENGO ya KIMATAIFA, Wananchi WAPAGAWA...
WIZARA ya Tamisemi, imekuandalia makala hii fupi inayoonesha maendeleo makubwa yaliyofanyika katika mkoa wa Dodoma kupitia wizara hiyo ikiwemo ujenzi wa stendi kuu ya mabasi ambayo imewavutia watu wengi kutokana na namna ilivyojengwa kimataifa...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 47
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 5 ай бұрын
Hongera sana wananchi Kodi zetu zinafanya kazi nawapongeza pia waliotumia akili na nguvu zao kufanya kazi hiyo
@chafuadetime2840
@chafuadetime2840 4 жыл бұрын
The my city dodoma
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 4 жыл бұрын
Kama umeona Simba Lodge weka like yako hapa mdau wa Global TV.
@malleironworks4586
@malleironworks4586 3 жыл бұрын
Simba Lounge
@africaneyetv467
@africaneyetv467 3 жыл бұрын
Kanzi nzuri watanzania
@emmanuelowiti8217
@emmanuelowiti8217 3 жыл бұрын
ustaarabu ufundishwe kuanzia kwenye familia, tutaweza kutunza mazingira yetu.
@denisjohanes4733
@denisjohanes4733 3 жыл бұрын
Frester T480 DHN Dar - Bukoba ndege ya chini 🔥🔥🔥
@elrachum3866
@elrachum3866 4 жыл бұрын
MHE. RAISI MAGUFULI WANANCHI WANAKUPENDA KWA KUWA UNAWALETEA MAENDELEAO - MBOWE J.
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Mzee kasema tulibugi sehemu Huo ndio ukweli wengine walikuwa bize kusafiri kwenda kuomba msaada nje wakati nyumbani tunaibiwa zaidi ya Huo msaada unaenda kupewa uko mzee Magu kasimamie mapato ya ndani na sio misaada ndio maana Leo ndani ya Miaka 5 tunaona maajabu
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 4 жыл бұрын
Kwelii broo MUNGU ambark Rais wetu JPM na wale wote tunaoona uzarendo wa huyu shujaaa
@msingida33
@msingida33 3 жыл бұрын
Waharibifu atakaye bainika piga faini ambayo mkosajia ataisimulia na hatarudia kufanya kosa tena sehem yeyote ile
@narmyheart2021
@narmyheart2021 3 жыл бұрын
Zile jinga zakupinga kila kitu bado ziko hai?😁🤣🤣
@micheni734
@micheni734 3 жыл бұрын
Ningetaka kuhamia Tanzania. As a Kenyan, how can I acquire land in this beautiful country.
@t1910j
@t1910j 3 жыл бұрын
I think you need to be a citizen in order to own land in Tanzania. It’s easy to move and live there tho
@micheni734
@micheni734 3 жыл бұрын
@@t1910j Thanks alot.
@salimhusseni4784
@salimhusseni4784 4 жыл бұрын
Magu umetisha mitano 5 tena
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 3 жыл бұрын
Mnapaaswa kuwaeleza au kuandika kwenye tiketi zenu usafi wa mazingira wapenzi ni aoni yangu kila mtu aeajibike
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Sasa Tundu Lissu huko Ubeljiji aelezwe kuwa sisi Watanzania tunampenda Magufuli kwa dhati.Aache kusema Uongo Wake kuwa hatuna Imani.Tunampenda Magufuli wetu
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
Rip magu
@jafabanda6382
@jafabanda6382 3 жыл бұрын
Ww usijisifie acha usifiwe. Kweli sura inakuja mukiweza kuitunza. Sio CCM ni michango ya watanzania na usimamizi mzuri wa JPM. Hapa kazi tu.
@yonabilshan6424
@yonabilshan6424 3 жыл бұрын
Acheni kulinganisha Dodoma na ulaya mi kujidanganya sana
@stephanominja8927
@stephanominja8927 3 жыл бұрын
Ulaya haiwez kuwa kama Dom, pia Dom nayo
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Ulaya ni Ulaya na Dodoma kwetu ni Dodoma. Dodoma ni kuzuri zaidi maana ndo nyumbani. Ulaya si nyumbani na wala sitamani kuishi huko.
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 3 жыл бұрын
kwakweli kama wa tzee tuna akili basi magufuli atawale mpaka 2040 ndo astaafu mana anaenda kuifanya bongo kuwa kama south Africa
@megaboetz7463
@megaboetz7463 3 жыл бұрын
Tzee kama ulayaaaaaa
@ayoubissa977
@ayoubissa977 3 жыл бұрын
Weakilihuna
@elisantemrita9894
@elisantemrita9894 3 жыл бұрын
Wananchi tunaweza kutunza shida niwale watendaji wa serikali Kumbukeni mwendokasi Ukiziona pale gerezani aseee ukiambiwa nimiaka5 na zimearibiwa na nani Duu utapata asira isiyona kikomo
@yonabilshan6424
@yonabilshan6424 3 жыл бұрын
Hivi ghorofa za msasani na s. Bridge hamzijui je Nyerere alijinadi
@mmlove9127
@mmlove9127 3 жыл бұрын
Hawa wapinzani haya hawayaoniiìi???
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Kaz yao ni kupinga tu hata km wanaona na wakati mwingine wananufaika na vitu hivyo ila watapinga tu ili kuonesha upinzani!!!
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Usafi ni tabia. Sio elimu!!!
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Wapigwe faini wachafuzi watanyooka
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaa.
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 4 жыл бұрын
Masudi unapaswa kuunga mkono Serikali Kama hivyo. Na sio kule ulikokuwa kucheza mchezo ule.
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 жыл бұрын
KIPANYA UMERUDISHA MPIRA KWA KIPA MANA ULIJUWA NEGATIVE SANA UKU WENZAKO WANA TEULIWA TU WEWE UNAZEEKEA MIKE.
@beduelmaldy4449
@beduelmaldy4449 3 жыл бұрын
stendi yenyewe haina hata mabasi, mengi ni yakupita tu na wafaanyashara wanalalamiki hakuna wateja.
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 3 жыл бұрын
We umelogwa,!!!?
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 3 жыл бұрын
Kila kinachofanywa ni makadirio ya baadaye
@charlessimbeye9884
@charlessimbeye9884 3 жыл бұрын
Usiwe mlemavu wa akili hivyo jiongeze kufikili
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Mpumbavu sana wewe.
@gibsonntamamilo490
@gibsonntamamilo490 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anasema hata Dar hakuna stendi kama hii. Afike aone Mbezi terminal .
@jumabarut872
@jumabarut872 3 жыл бұрын
Wakati anasema ilikuwa bado haijafunguliwa wala kuruhusiwa
@viousa
@viousa 3 жыл бұрын
Alafu mi nashangaa kwanini Kila kitu kizuri kifananishwe na ulaya? Mbona wasiseme km Mauritius au sauzi nk
@issayamshana3750
@issayamshana3750 3 жыл бұрын
@@viousa upo sahihi sanaaa kwa maoni yako, ULAYA haitafananaga na AFRIKA hata siku 1 mana sisi AFRIKA tuna uoto asili ambao haukadiriw kuisha leo wala kesho.. ukichanganya na juhudi za maendeleo zinazopigwa sasa, AFRIKA itakuwa Bara la kipekee DUNIAN ambalo halifananishwi na Bara lolote
@chekajumasebunga8358
@chekajumasebunga8358 3 жыл бұрын
Kujilinda na sheria kali hiwekwe kwa walibifu.
@minmaxc485
@minmaxc485 3 жыл бұрын
Nina kiwanja hapa nakiuza dm @nsonumarunda insta nsonu marunda Jr
@ashaa497
@ashaa497 4 жыл бұрын
Magu tano tena
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 17 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 25 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 12 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...
6:56
Global TV Online
Рет қаралды 654 М.
SOKO KUBWA la KISASA na STENDI ya MABASI Vilivyonogesha MTWARA
9:51
Global TV Online
Рет қаралды 10 М.
Mwanafunzi UDOM atetea PhD kwa Zoom Meeting
5:30
UDOM TV
Рет қаралды 10 М.
#LIVE: MAKONDA ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA DODOMA
45:55
Millard Ayo
Рет қаралды 55 М.
DODOMA KUMEKUCHA!  Huu ndiyo UWANJA wa KISASA wa Mpira UTAKAVYOKUWA
2:12
Global TV Online
Рет қаралды 112 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 17 МЛН