Isaiah 9:16: "Kwa maana wawaongozao watu hawa ndio wawakoseshao, na hao walioongozwa na watu hao wameangamia." [16]For the leaders of this people cause them to err; and they that are led of them are destroyed.
@jamesjacob45082 жыл бұрын
Una maana gani mtumishi
@abiudy.h.chumto11482 жыл бұрын
Nimeipenda mech ya wach.na wabunge
@shillahmbogo55562 жыл бұрын
Turudi Kwenye Msingi ,Wajibu na Wito
@gideonelishadai1002 жыл бұрын
Hilo ni kanisa au? HAWA WATUMISHI WAMEPOTEA NJIA.
@anithafrank55332 жыл бұрын
Kweli michezo hujenga
@cleverjohn1692 жыл бұрын
Apo nicheke kwanza hiyo haiwez tokea hata cku moja