Umeongea big point kabisa tunakushauri usimame kuipeperusha bendera yachama kinyang'anyiro cha Urais ndo vumbi litatimka hawa wazee wote nikuwaweka kando nchi niyavijana hii sio wazee tena. Tupo nawewe forever champ. Chadema kumekucha watanzania sasa tumeamka
@atotark388912 сағат бұрын
Ng'ombe bado tunalipa
@MerInaJonas16 сағат бұрын
Hongera jaman
@EstherNtamwishimiro21 сағат бұрын
Mchungaji MUNGU akubariki. Unaongea pointi sahihi.
@alphoncewilliam432522 сағат бұрын
Acha uongo wewe kazi ya mwinyi na mkapa ndio walitoa hizo kodi😂😂
@richardmakweta8875Күн бұрын
Maoni yangu Chadema uanzishwe mfuko wa kuwasaidia wapendwa wetu kote nchini ambao kazi yake nikuzisadia familia zawahanga na wahanga wenyewe wanaopitia magumu Kama Hawa ndugu zetu.ukweli inaudhi sana
@richardmakweta8875Күн бұрын
Poleni Sana ndugu zetu kupambania haki Kuna maumivu makubwa Sana ,haya Mambo wapo wanao ratibu Ole wao maana heri wasingelizaliwa kuliko kuzaliwa na kutekeleza Mambo machafu yakuwa bambikia watu kesi za uongo ,kila mtu ajue iposiku ataionja mauti nakukutana na mtetezi wa haki asiye na mawaa
@maikomndeme2050Күн бұрын
Safi
@nelsonmataba1426Күн бұрын
🫡
@zulishoo9496Күн бұрын
Heche Bingwa sana
@ushindibm2879Күн бұрын
CMF UBUNGO 🔥💐
@JastFinancial02Күн бұрын
Mbarikiwe
@ericaerasto2192Күн бұрын
Amina hongereni sana
@JudithLembriceКүн бұрын
SHALOMMTUMISHI NAOMBA KUULIZA KAMA MTU ALIKUNYWA HICHO KIKOMBE CHA BABU NA ALIPOJUA KUWA SIYO AKATUBU BADO HIYO MTJ NI WASHETANI?!
@LufingoMwasegeКүн бұрын
Uko vzr sana ndugu yangu
@MagdalenaNyakitaleКүн бұрын
tabhatibye mra huna uoga tata
@donenciamwachofi79742 күн бұрын
Injili safi
@sixberthcostantini92902 күн бұрын
Heche akiongea naskia furaha sana kwasababu moja tu Anaongea ukweli wa mambo yalivyo MUNGU azidi kuwalinda
@ngasalagambi65852 күн бұрын
My next president this will happen one day😊
@TamaraJacob-e9m2 күн бұрын
Nakukubali Sana mtumishi was Mungu, naomba no yako
@Kifyasi2 күн бұрын
MUNGU wa mbinguni niguse na mimi kama ulivyo mgusa katekela
@estachengula39022 күн бұрын
Pole mungu amewandendea mtalipwa na mungu
@JamesOdhiambo-wu2pj2 күн бұрын
Amen
@MwitaBoy-l5k2 күн бұрын
Ipo siku na sisi vijana kuanzia miaka 35 tutaungana wazee mtapata shida
@Allystor2 күн бұрын
Namkubali sana heche
@shabaniiddi5102 күн бұрын
Mungu nakuomba embu wape nchi chadema tunaonea sana tufanye mabadiliko jamn inshallah
@georgemtewele76562 күн бұрын
CCM hasa uvccm Wamedhalilishwa sana 😅😅 eti Kazi yao ni kupiga makofii ,,,, 😅😅😅😅.. Heche achunguzwee, mbona kama anafichua Siri
@SakayaMoleli2 күн бұрын
Mungu wangu ata walinda
@DismaskaizaJustinian2 күн бұрын
Nabarikiwa sana,na shuhuda zako Bwana Yesu akibariki sana mtumishi,karibu Bukoba
@VitalisPhilipo-r7y2 күн бұрын
Poa
@EremiyaChamare3 күн бұрын
Hongereni
@TomasiklistophaMwinuka3 күн бұрын
Kaka Heche tunawakubar sana tunaomba unyesheni mfano tumewaamini pamoja makamanda mtupeleke nchi yaahadi
@dominicksangu89343 күн бұрын
Good brother tukopamoja
@dominicksangu89343 күн бұрын
Good brother tukopamoja
@donenciamwachofi79743 күн бұрын
Amen
@LuganoJimmy3 күн бұрын
Mh, nimekusikiliza kwakweli inaleta uchungu sana pole sana, na nimekusikia ukimshukuru Mungu kwamba ametenda na atakurejeshea maradufu yote yalioliwa na parare kwa miaka 4 Mungu ni mwema atawainua kwa viwango vingine hiyo shida mliopitia ni ngazi ya kuwapeleka mahali pa juu Mungu alipowakusudia.Mungu na azidi kuwatunza ktk jina la YESU kristo.(Amina)
@ernestkomba54033 күн бұрын
Your the best!.
@HassanKibwana-h3w3 күн бұрын
Chadema Good Good GOOD
@RichardTenga-yj3qo3 күн бұрын
Good good
@MartinalamunyakIlais3 күн бұрын
Are you okay, Chadema's leader? May God protect you as he protected you when you were shot. Is there another God?
@DjJohnBashir-oy7cx3 күн бұрын
Heche pgp
@BonifaceBonala-w9j3 күн бұрын
Lissu yupo sawa kabisa mungu akulinde amini
@legacytrainingservices3 күн бұрын
You are a real deal brother👏
@MursalJuma3 күн бұрын
sasa tutaamka wote heche ila lema agombee ubunge
@samwelyesaya12023 күн бұрын
Kamanda umetoa elimu ya kutosha sana
@adammiyegela2273 күн бұрын
haiuna gender balance katika uulizaji wa mwwaliii
@AlfredMatemu3 күн бұрын
Chama chetu vijana gez tuende na hii
@Hussenskinyangaa3 күн бұрын
Heche achakuongea utaniliza😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Hussenskinyangaa3 күн бұрын
Wangine wanakula mayai, wengine wanakula mihogo
@Hussenskinyangaa3 күн бұрын
Heche ni mtu na nusu❤❤❤❤hatukuachi tuko pamoja mura