Dogo Janja - My Life (Official Music Video)

  Рет қаралды 2,046,569

DogoJanja

DogoJanja

Күн бұрын

Пікірлер: 799
@zanzibartotheworld7826
@zanzibartotheworld7826 8 күн бұрын
2025 unaecheka nae kwenye raha , kwenye shida atakupa jeraha , kipindi yakigeuka masaaa , kizuri huwa kinyaaa ,,, wamefanikiwa wao zam yetu itafika inshallah na ntarudi hapa ntaikiumbuka hiii coment maisha yamenipiga sanna nalia peke angu dah ila naamin ipo sku ntarudi hapa kukumbuka hizi hustle
@kihanda2554
@kihanda2554 8 жыл бұрын
Hii ngoma nimekuja naisikiloza kwenye Gari nadrive Dar to Kondoa. Nimeset Repeat ikiisha inajirudia. Bado siamini kama alie imba ni dogo janja japo naemuona hapa ni Dogo janja alie dharauliwa na Kicheche kimoja juzi kati. Mdogo wangu Umebadilika mnooo. Kazi nzuri mnoo. Msikilize kaka yako Madee anakufundisha nini. Achana na Maneno ya Watu. Mungu akupe moyo wa hekima Madee endelea hivyo hivyo. Maana unavyo wapuuza wambea Shetani nae anashindwa. Kazi nziri sana kafanya mdogo wako. Achanakabsa na yule Ostaz feki anaye dhalilisha wasanii.
@cabdikariin2814
@cabdikariin2814 4 жыл бұрын
Kaka. Ok. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤙🤙🤙🤙🤙😎😎😎😎😎😎😎😎👍👍🤙
@mohammedidrissa2696
@mohammedidrissa2696 2 жыл бұрын
👊
@shizoooy2761
@shizoooy2761 6 жыл бұрын
Kama una sikiliza hi ngoma gonga #like hapA
@MartinPatrick-g6c
@MartinPatrick-g6c 5 ай бұрын
2024 tunao isikiliza leo mwezi wa 8 like ziusike
@Big_T006
@Big_T006 11 ай бұрын
Am here 2024 feb
@hughosanchez4770
@hughosanchez4770 8 жыл бұрын
Huyu ndio msanii pekee ambayo hajaniangusha katika mziki (tukitoa Diamond). Ngoma zako zote ni kali. Big up janjaro.
@abdulselemani1478
@abdulselemani1478 8 жыл бұрын
Aaaaaahhhh dadadeeeek nmekubal Kjana, bg Up... Kaza msul for better 2moro!! Much prayers'''
@vicmassluodollar
@vicmassluodollar 8 жыл бұрын
kazi safi,mad respect from Nairobi Kenya to you
@mahamudmhawi5635
@mahamudmhawi5635 8 жыл бұрын
Ipo vizuri dogo kaza music unakupenda achana na majungu ya wabongo koz hatupendani...1luv
@DurahRich
@DurahRich 2 жыл бұрын
01:55 Rafiki wa kweli Moyo wangu,Japo niko Peace na wanangu (Huu mstari tu🙌)
@MoN_KaDO
@MoN_KaDO 3 жыл бұрын
Janja nakukubali tajiri mtoto,umetoka mbali nyimbo zako ni kuanzia views million kwenda juu
@Adinaci
@Adinaci 8 ай бұрын
Pesa iliaza kupatikana always mziki biashara ni tamuuu snaaa
@benjaminuronu1271
@benjaminuronu1271 8 жыл бұрын
daaaah...kazi ya ukwel sana #JANJARO mwenyezi #MUNGU akuzidishie na mafanikio tele.. huku tukisubiri kazi zako zijazo.
@munilyofficial5892
@munilyofficial5892 8 жыл бұрын
wabongo Kwa kupondea Buanaa! Kama Kazi imefanyika Nzuri Sina budi Kutoa Pongezi Kwa uongozi Wote wa Tip top connection
@lukumayjames9022
@lukumayjames9022 8 жыл бұрын
Dogo kweli umekuwa...aha aha ha am living ma lyf
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 6 жыл бұрын
Wew ni icon ya bongo achana na majibizano na wasio jitambua kwenye gemu, utasikia ooh dogo janja haimbi hip hop anabana pua, waambie hip hop waimbe wao cc hatufanyi ilimnadi. Madee aliisha waambia hip hop hailip bongo, sasa wao wakomae nao halafu hatukutani dirisha la malipo.
@paulogadi4251
@paulogadi4251 8 жыл бұрын
I can't believe it janjaro we mkaleee mzaz...salute bablai. KARIBU A CITY.
@ruiaswalehe2823
@ruiaswalehe2823 8 жыл бұрын
nakumbali nyimbo zako dogo uko poa big up
@saidriphat3491
@saidriphat3491 8 жыл бұрын
hascana we ni level zengine aseee plz we are waiting for more good and great job
@SumakuRealestate
@SumakuRealestate Жыл бұрын
Hatari sana Kumbe dogo janja ni mjukuu wa kwanza kwa mboje.
@Bonnere
@Bonnere 6 жыл бұрын
Thx u lord baba na mama wame nileta kwenye dunia 🔥🔥🔥🔥🔥
@philohkioko3327
@philohkioko3327 8 жыл бұрын
true song real message nice beat nice vocals. real life aiseeee.... kenya tumekupokea visawa dogo
@sophiaally5398
@sophiaally5398 8 жыл бұрын
My boy did it....!😍😍😍😍 love it so much #mylife ,rafiki wa kweli moyo wangu japo niko peace na wanangu... Don't mess up with my life ..big up
@maxrioba
@maxrioba 8 жыл бұрын
Hapa nimekukubali mwanangu. Production kali, ujio mpya. Nice work!
@GordienNduwimana-b4o
@GordienNduwimana-b4o 4 ай бұрын
Cheza kama wew bro,wew ni mnoma kwenye mziki wa Bongo graver✌️✌️✌️✌️👍
@priscilambingu5223
@priscilambingu5223 6 жыл бұрын
Woow uko nathamani zaidi babaa usijali iko sawa hiyo nikweli hakuna anaejuwa kesho yake ama ya mwenzio
@lucyjames4607
@lucyjames4607 8 жыл бұрын
wataonge sanah hao ma young hawakuwez Jan jaro huyoooooo amazing song
@JAIVAH
@JAIVAH 8 жыл бұрын
no one knows tomorrow... DAT word. Generally it's superb though quality ya video haijawa Ile 1080 yenyew
@stellakaaya7172
@stellakaaya7172 4 жыл бұрын
Wimbo wa dogo jana ninaojipongeza nao kila nikifika mwaka .....noma sana
@marygeorge8316
@marygeorge8316 8 жыл бұрын
Yes Dogo its a hit....hongera sana video kali lyrics ndo usiseme...kudos.
@officialjamhurizachariagos2797
@officialjamhurizachariagos2797 8 жыл бұрын
Ndio maisha nanimaisha yakweli, nakumbuka tundamani alikushusha jukwaani jitaidi utatoboa janjalo, komaa sana, nakupenda, best yangu, maana wewe tumezaliwa siku. Moja mwaka mmoja
@mpembapaul312
@mpembapaul312 8 жыл бұрын
daaaaahh!! kichupa cha ukweli big up janjarooohhhh
@festonsalamba7398
@festonsalamba7398 8 жыл бұрын
dogo uko vizuri....nimeipenda kiukweli....!
@abdallahsaid9562
@abdallahsaid9562 8 жыл бұрын
safi xn janjaa kweli umekua xx bonge moja la ngoma ujumbe mzuri xn cha mxing n kukazana cz upo kwenye mikono xalama ya watu wanao miliki game ya BONGO FLEVA mkubwa fella,babu tale,sallam sk.ilo liko wazi xo kazana utafika .
@ibrahimjaffu9711
@ibrahimjaffu9711 8 жыл бұрын
Safi saaaana janjaro, wakimbize so mayoung mpaka wakuelewe barabara kuwa hawawez data uwo moto!!!!
@kevinsimiyu5814
@kevinsimiyu5814 8 жыл бұрын
i have listened and watched this song more than 50 times and its just amazing the beat and the introduction is good about the issue with that lady this song disapproves the allegations big up dogo your fun from kenya
@ayoobalqasmi3062
@ayoobalqasmi3062 8 жыл бұрын
hongera sana dogo janja umeimba na kikondoa aaa kinyumbaninyumban hongera iko poa sana mwaaaha... isha na kati Muscat Oman
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 5 жыл бұрын
Bonge la Pumbu, Big up ma man full love !!.
@fredkulaya6381
@fredkulaya6381 7 жыл бұрын
wew nouuumaa ndo maaanaa ukaitwa Dogo janjarooooz saf pendaga weew san
@jettymandizanohainamfano770
@jettymandizanohainamfano770 8 жыл бұрын
Hii wakubwa tunaitaga ni Maaaaaaadness.
@djludaah
@djludaah 8 жыл бұрын
daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah kwely ma young hawakuwezi sharout kwa directer hanscana amekupatiaaaaaaaaaa ile mbayaaaaaaa video is so dopeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@farajamtaita9959
@farajamtaita9959 8 жыл бұрын
aminia mwanangu,imekaa poa!
@keiyasecko2576
@keiyasecko2576 8 жыл бұрын
Janjaro boy I really admire ur job men mi ni fan wako number moja, sidai oleng Ina siai niyasita from masai land A town
@edwardmgao3638
@edwardmgao3638 3 жыл бұрын
Mtaongea Sana nyi mayoung hamniwezi ...nice song my life,big up man
@ShaibRSudi
@ShaibRSudi 8 жыл бұрын
Yerrrreeeeeee... Janjaro Salute chalii angu
@joshuamsambila8334
@joshuamsambila8334 8 жыл бұрын
umevunjaaa hahahahahahahaha...hongera sana mdogo wangu
@abdulrashidayub6293
@abdulrashidayub6293 3 жыл бұрын
😩😭❤️💓💕💞 I'm living my life jameni muniache... Naomba likes zenu from Kenya #254
@zubedabidemi
@zubedabidemi 8 жыл бұрын
wow!!!nyce voice nyce song...congrat dogo langu
@ARFIddy
@ARFIddy 7 жыл бұрын
rafiki waukweli moyo wangu😍😍😍
@paulcharles8438
@paulcharles8438 8 жыл бұрын
salute hanscana. kazi nzuri sana dogo janja...
@carolineingati880
@carolineingati880 8 жыл бұрын
kichupa hicho... big up boy.... napendaga unavyozungumza... thuru juu ya ngeo😅😅😅
@barakashillah441
@barakashillah441 7 жыл бұрын
Big up sana Janjaro.. waelimishe wasanii wa Arusha wabadilike walegeze wasikaze sana watatoka kama wewe
@zuhraramadan6696
@zuhraramadan6696 8 жыл бұрын
Dah!! mbona wee mkali hivi???? 👍👍👍👍👍
@tengeru
@tengeru 8 жыл бұрын
ngarenaro republic umetisha san kweny hii ngoma keep it up
@andrewmlamba
@andrewmlamba 8 жыл бұрын
Dogo yuko kwenye management nzuri bongo nzima,Babu Tale na Madee mumefanya kazi nzuri sana.Hii video ni dope
@pascaldaud501
@pascaldaud501 8 жыл бұрын
lazmaaa wakaeee janjarooo aiseee hanscana upoo juuu in videos eeeeh wataelewaaa tuu
@peacepeace1779
@peacepeace1779 8 жыл бұрын
This is on replay nimeipenda iko powa
@lovenesmoses7285
@lovenesmoses7285 8 жыл бұрын
Yaani huyu dogo ananikosha sana nyimbo zake za kijanja chuga moja....😘😘
@marysilvery3025
@marysilvery3025 8 жыл бұрын
umefanya kazi nzuri sana...kaza buti usonge mbele zaidi
@ramsonmush6925
@ramsonmush6925 8 жыл бұрын
nice video dogo janja kaza ngarenaro iendelee kuwa katka raman ya bongo
@kabalecheriph8176
@kabalecheriph8176 7 жыл бұрын
dogo janja,its nice mziki,anashinda wote mu Tanzania
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 жыл бұрын
Dogo janja naomba kua vdeo qeen wako, huaga nazipenda sana nyimbo zako, bc nifanyie mpango na siezi kuitisha hela nyingi muhim nionekane kwenye vdeo tu.
@preciousdepurity3240
@preciousdepurity3240 8 жыл бұрын
thanks for coming dogo
@thabithamis8918
@thabithamis8918 8 жыл бұрын
hapa mtu wa maana ninae muona ni mtumzima madee hajasikiliza maneno ya kinafiq dogo alikua anataka uraia kwa demu ila hakua na nia ya kumtukana madee big up madee
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 8 жыл бұрын
75% ukiwa unatongoza Demu lazima udanganye,Alikuwa anataka cha UVUNGUNI...!He's human like anybody else..!? Grown up Man understand that....!(Madee)
@aminamassare888
@aminamassare888 6 жыл бұрын
Kwan nasirirwe nakosire saman bora nichale na mlungu wanne mjukulu wa mboja asante mrangi wetu
@mariamissa2224
@mariamissa2224 7 жыл бұрын
Big up sana janjaro unanikosha unapoingiza kirangi ndani yake raha sana asantaaa una2kosha wenye lugha ye2.....warangi mpooooo....
@husseinmushi
@husseinmushi 8 жыл бұрын
Nimeanza kumuelewe Hanscana kichupa safii
@abajgasavage2381
@abajgasavage2381 5 жыл бұрын
My fav song of janjaro iko love daima Nani bado ana sikiliza huu wimbo i 2020 vibes
@lazaromjungu1056
@lazaromjungu1056 8 жыл бұрын
Dogo wakalishe chin wooote......we noma sana yan chalii ang
@dennischarles8524
@dennischarles8524 8 жыл бұрын
magnificent, tumekupata dogo,love from Washington
@cardoalbert1366
@cardoalbert1366 10 ай бұрын
2024 aiseee dogo aliimba future kbs yakigeuka masaa kizuri kinakua kinyaaa
@lilnewtzmc7655
@lilnewtzmc7655 8 жыл бұрын
my biggest song in 2016.u lock my bro.nice singing and rap. video on point.
@KhadijaAlly-w5b
@KhadijaAlly-w5b 14 күн бұрын
2025 gather here😊❤
@damiandawite2469
@damiandawite2469 8 жыл бұрын
umerudi vyema sana Dogo janja kaza tu, maneno ya watu yapo tu.
@wilsoncharles7790
@wilsoncharles7790 8 жыл бұрын
Ndo utulie sasa kwenye line usiwe muuu., hata kama umekachaga maskuli piga hata malanguage kitaa itakusaidia kwa future nyokaa., vuta mlege jombariii.., pa1
@VSuave1
@VSuave1 8 жыл бұрын
Good job Dogo bonge la mwimbo
@emmanuelmhumbi2032
@emmanuelmhumbi2032 8 жыл бұрын
Ngoma kali video nayo nomaa sanaaa big up janjaro na hanscana
@Bonnere
@Bonnere 6 жыл бұрын
Thx for the good song it has lots of messages inside love u bro from Australia +61 hongera kwa kazi nzuri kakangu Allah akupe wepesi wa afya ili uweze leta mengi
@musahusein6671
@musahusein6671 8 жыл бұрын
Hanscana ni level ingine kabisaaaa
@azizaijumaa9267
@azizaijumaa9267 7 жыл бұрын
mrangi mwenzangu yah nimekuelewa kwa msemo wako kaka
@ibrahselp574
@ibrahselp574 8 жыл бұрын
Dogo janjaaaa dah iko pouwa sana
@alvarezolendo8754
@alvarezolendo8754 8 жыл бұрын
janjaroooooooooooooo......toka kilimanjaroooooooo. kazi saaafy kijana.
@mercywandha2187
@mercywandha2187 8 жыл бұрын
big up bro,no body knows abt kesho,pongezi kwa madee
@salmahamisi8380
@salmahamisi8380 7 жыл бұрын
big up jaja,,,, muimbie wimbo irne uwoya wakumfarij cz yy c km zare kufiliwa nakuenda salun ndo akae kw msba,,, umepata mke mwema bro😍😍😍👌
@mziguchiafrica9343
@mziguchiafrica9343 3 жыл бұрын
Bonge la beat...Liludie ulisikilize vizuri...whats a song
@raymond_sutta
@raymond_sutta 8 жыл бұрын
Aisee, dongo janja hiyo ngoma ni kali sana....
@emanuelijulius5938
@emanuelijulius5938 8 жыл бұрын
DOGO anajua MWANA ARUSHA mwenzangu big up chaliii
@dancansimiyu9225
@dancansimiyu9225 8 жыл бұрын
nimekubali janjaro, hili ni dunde, tuzo unalo huu mwaka ni wako 2016 #janjaro
@athumanmgissa3093
@athumanmgissa3093 8 жыл бұрын
SALUTIIIIIIIIIIIIIIIIII na ASANTEEEE SANAAAAAA kwa KICHUPA kizuri 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍
@mwanatzwana8235
@mwanatzwana8235 8 жыл бұрын
uko poa sana kaza buti mnatisha sana watu wa tz nawapenda kinoma mkopoa mina from omani
@cruiseasphotographer
@cruiseasphotographer 8 жыл бұрын
umetisha sana mr director keep moving
@ahmedadidah1779
@ahmedadidah1779 8 жыл бұрын
dogo janjaro wewe ni moto bro from canada
@osochsaad4756
@osochsaad4756 8 жыл бұрын
Janjaro joo wee matata bravoo napiga salute one lov
@frankbanda7716
@frankbanda7716 8 жыл бұрын
nampa big up xana coz anaweza na ningependa azidi kungara ivo ivo acshuke tena 'anayeijua kesho yake anyoshe kidole juu"'"?nimepend huo mstali apo Mani
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 7 жыл бұрын
kesem kweli hii ngom nimeiyelew san san big up janjar
@frankmaiko6695
@frankmaiko6695 5 жыл бұрын
mkali wenu original please subscri
@GeniusMjukuu
@GeniusMjukuu 8 жыл бұрын
Dah dogo karibu Tena kazi ipo fresh
@saulgeson9138
@saulgeson9138 7 жыл бұрын
Rafik wa kweli moyo wangu! machali wa rchuga nomaaaaaa xnaaaaa
@husseinsalehe3991
@husseinsalehe3991 4 жыл бұрын
🔥🔥sana Kaka kitambo uliuwa kichizi Yan tunakumbushia brother 💞
@jofrayanthony9769
@jofrayanthony9769 7 ай бұрын
Ngoma NAYO ipenda maisha yote ❤❤❤
@costapepe7499
@costapepe7499 5 жыл бұрын
Rafiki wa kweri moyo wangu dah umetisha janjaro
@barakamichael1985
@barakamichael1985 8 жыл бұрын
dogo uko vzri san dg .........watisoma namba......
Dogo Janja - Kidebe (Official Video)
3:40
DogoJanja
Рет қаралды 2,8 МЛН
Dogo Janja - NGARENARO (Official Video)
3:17
DogoJanja
Рет қаралды 3 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Dogo Janja ft Chege | Siri Zao | Official HD Video
4:58
Mziiki
Рет қаралды 507 М.
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Misso Misondo
Рет қаралды 3 МЛН
Fido Vato ft Rayvanny - Chuga Hio (Official Video)
3:39
Fido Vato
Рет қаралды 1,6 МЛН
Madee -  Hela (Official Video)
3:23
Madee Seneda
Рет қаралды 515 М.
MR  BLUE FT  ALI KIBA - MBOGA SABA (OFFICIAL MUSIC VIDEO )
3:43
Mr Blue
Рет қаралды 2,3 МЛН
Darassa ft. Dogo Janja - Size Yao (Official Video)
3:34
Darassa
Рет қаралды 976 М.
Diamond Platnumz - Mbagala (Official Video)
4:12
Diamond Platnumz
Рет қаралды 17 МЛН
Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza? (Official Video)
3:22
DogoJanja
Рет қаралды 1 МЛН
Darassa ft Rich Mavoko - Kama Utanipenda (Official Music Video)
3:54