Kunawatu walitabiri kuwa misso ni upepo tuu.. kunamda watapotea.. ilaa aloo, asante vijana kwa kuendelea kuwaprove watu wrong😂❤❤
@ErickyChuwa2 ай бұрын
Wa kwanza kukoment tajir chuwa natak like zangu
@eneswaggy18352 ай бұрын
Boss🙌
@DawaYusuphu29 күн бұрын
Aya poa😂😂😂😂😂😂.
@GODWINPWANIMUSIC2 ай бұрын
Nawakilisha Wakenya wote kwa kusikiza pini hili Kali la Misosondoooo
@nancybungei9113Ай бұрын
Niko ndani babe
@issahashim21492 ай бұрын
huwa si mpenzi wa singeli ila hii ni hatari nimeipenda🌹
@eugensontera30762 ай бұрын
We jamaa unajua aseee ..mpaka una kera.. yani kikubwa burudani na unaitoa mpaka unapitiliza .. wish aiku nkikupe kazi truly.... On it.. naenjoy kukusikia ...nimecheki show yako ya turiani aseeee.. unajua unajua unajua miso..... The really show to enjoy is here .... Uko vizuri
@Psychology-all2 ай бұрын
Lagu ini sangat bagus, artis ini tidak akan kita kenal tanpa gerakan miso miso. Selamat saudara India, terima kasih untuk lagu yang bagus
@MxhededeClever2 ай бұрын
Kila kona tera ghata 💥💥💥💥💥💥respect miso no kupoà paka gharika ya nuhu ilejee tena manina
@faridmikidad3695Ай бұрын
Mi nilijua WAHINDI Nikaisaka hii ngoma kwa uzuri wake daah kumbe misomisondo ndio katia huu utamu....BIG UP SANA MISONDO...UTAFIKA MBALI NA NAKUOMBEA KWA HILI ULILOFANYA UPATE MIALIKO MIKUBWA INDIA UPIGE HELA NYINGI SANAA NA UENDELEE KUPIGA HELA BRO
@danielkiroka6331Ай бұрын
Ndio n ngoma yakind wame sampo
@mohamedlopa84102 ай бұрын
Yeyote atakayesoma hii comment mungu akulinde ww na uzao wako🤲❤🤲❤🤲❤
@HanceKimokozi2 ай бұрын
Inshaalhaaaaaaaaaaaaaaaa
@mohamedlopa84102 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@mohamedlopa84102 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@tinnahmei6322 ай бұрын
Amin
@Sizendogo2 ай бұрын
Asante
@Rodrygohamisi2 ай бұрын
Oyaaa wimbo tumewukubali kisenge yaani mpaka wunakera daah😂😂😂
@tcking13292 ай бұрын
Oyaa tu Enjoy haya maisha wengine unashanga wanakufa Kesho just enjoy the moment we have now 😂😂❤
@QueenMalikaTz2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/oKSXZ2aLfNpjY6M
@SilaitaMnyagi2 ай бұрын
Asante kaka mungu akulinde
@SilaitaMnyagi2 ай бұрын
Kwa maneno yako
@HassanMasoud-n5g2 ай бұрын
Kazi Nzuri Broo Unapambana Saana Asee 👊👊 Big-Up Saana ✌️👊
@AmriMzeru2 ай бұрын
Hongera sana dogo kwa kutufanya tuujue mziki wa kihindi bila wewe huenda wengine tusingeijua original version ya hii nyimbo
@jamesnick35Ай бұрын
Inabidi mwenye original song ampe zawadi misso maana bila yeye tusinge mfatilia😂
@FatmaMiraji-od4rrАй бұрын
Original umetoka miaka 6 iliyopita ila kwa sasa watu wataufatilia tena@@jamesnick35
@DawaYusuphu29 күн бұрын
ee eeeeeeeee bwana 😮😮😮😮😮
@barakasalumu-j6z19 күн бұрын
Misso misondo wakali sana haiwote apo 🇹🇿🇹🇿salute pande za 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🙏 Asante wote
hii ngoma jana imenipa nguvu ya kusoma usku mzima naiskiliza bila kuchoka ...nataka kuona Tv zote bongo zinarudia hii ngoma asubh mchana jion na usku...
@Kantec-k7hАй бұрын
😀 utawalipa ukitoka kwenye paper au sio
@DawaYusuphu29 күн бұрын
Eeeeeeeee..,..hhhhhhhhh we atali sanaàaàaà yaani we acha tu
@ericfelician79966 күн бұрын
Izo ni stress
@Papabipangu2 ай бұрын
Mu Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 tunabajuwa sana bantu bangu I want carorb music 👍👍👍👍
@farajisalum69942 ай бұрын
Hii ngoma kali sana,,sema huyo muhindi 😅😅😅
@CebaNdoole-o8l8 күн бұрын
❤❤❤❤❤ bash félicitations mingi sana😂😂😂😂
@MangoshaComedy2 ай бұрын
Jaman nimerudia Mara mbili mbili lakini siichoki hii ngoma yan dah hata like tuy inatosha 😂😂❤
@KibweOnlineTv2 ай бұрын
OYA HILI DUDE BALAA HAPA NIMESAHAU KAMA KUNA KAZI NAFANYA C NMEZIDIWA RAHA KWA HILI GIMA, EM NAOMBA LIKES ZA KUTOSHA TUWAPE NGUVU MISSO MISONDO🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂🎉🎉❤❤❤❤
@mwitanyahiri458611 күн бұрын
Mwanzo nilidhani jamaa ana kamkoba,kumbe jamaa ana kakidumu Kuna mwamba ana kofia imevaliwa upande inaning'inia kama ulimi wa mbwa aliyechoka, Makoti yao sasa, Yaani jamaa nawaelewa sana
@ElizianaEllyndima2 ай бұрын
Goma la kitaifa hili 🔥 kama unamkubali miso misondo gonna like hapa
@Jumukibaya-np2qh2 ай бұрын
Nikipata nikikosa nalidhika na kidogo , oya mwanangu huli bonge la kazi oya bila kuchoka mwanangu mwanga nauwona bila chenga kabisa ,, LoLo ndo kazi bora katika kazi zako zote👏👏💪🤲🙏
@mubarakmakot91392 ай бұрын
bonge la ngoma bonge la video la kienyeji....hawa ndo wakali wa karne
@JacksonMtove8 күн бұрын
Mungu alikuleta kwenyehii tasinia kwalengo lakufurahisha watu miso misondo unahataliiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaa mungu akubariki daima
@MR_RAMSATZ2 ай бұрын
dar kaka unajua achia vyuma mpaka paeleweke nakukubali sana toka yatapita mpaka Leo there ghata
@SalomeMpota18 күн бұрын
Bomba la nyimbo na mpa hongera miso misondo i love it ❤❤❤
@Shafiimgweno2 ай бұрын
Dj ,,yupi mwenye moto kama miso kama Hamna gonga like 👍 ❤❤❤
@ongeneraltvАй бұрын
Mushizo
@BiteJonasyАй бұрын
Utawauaa😅@@ongeneraltv
@davisalphonce7001Ай бұрын
Aiseeee😂😂😂 Mungu akiajua kukupa anakupa no matter who says what🙏🏿
@themion42632 ай бұрын
Kama unaona misso missondo wanastairi tofauti yakutoa burudani kuliko wasanii wengine gonga like💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@josephwairimu5779Ай бұрын
Umenena ...yaaani..miondoko
@YAHAYAMTOOАй бұрын
HAKUNA dj wala msanii kama HUYU jamaa sio wengine matusi tuuu misondo piga mzigo mwinngine
@NestaGadauАй бұрын
Siolazima
@janethvalentin-j6g10 күн бұрын
Unayaweza sana mungu akuwezeshe uzidi kua mbunifubola big up of you🌹🥀
@ThiselsonjumaJumaeliasАй бұрын
We misooooo weeeee!! Najua unataka utuuwe na vibe dundo limekubal
@PhabianMassawe2 ай бұрын
Japo geti kali ilaa nisipo muonaaa😢😢 oyaaah kaka utawauwaaa 🙌🙌You are on top broooh🔥🔥🔥
@ZitoRamadhan2 ай бұрын
😂safi sanaaaa pambana dogo mungu yu pamoja nasi Wana kusini Wana masasi Wana ruangwa mpaka ng'apaaaaaaa
@Mizaname2 ай бұрын
Niaje familia
@BabuuMkinge2 ай бұрын
Liwale pia ndg
@calebuedson67312 ай бұрын
Mmetisha kinoma hii Ngoma Kali xn Keep it up misondo
@Saimonamon2 ай бұрын
Unae soma Comment Hii Tambua Mungu anajua mawazo yako Anajua Matamanio Yako Lakini Amenyamaza Kwasababu Hujamshirikisha Piga Goti Mwambie Akusimamie Utaona mambo yako yakifanikiwa
@SucsesKaunda2 ай бұрын
Amen❤
@Mwairo2 ай бұрын
Naisi huu ujumbe ni kwaajili yangu 🙏
@AusonJeremiah2 ай бұрын
Amen
@AdelaMgalla-kg5yw2 ай бұрын
Amen
@QueenMalikaTz2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/oKSXZ2aLfNpjY6M
@goddamwakimi5889Ай бұрын
Nawakubari sana wanangu miso misondo, Nawaona mfike mbari na mziki wetu wa Asiri, big up
@tamimakhalfanikhani840322 күн бұрын
Wallah nimeiona jana kwa muhitimu sijui wa nn nikaipenda bc toka jana naitaguta ndio nimei ɓamba saivi nzr sana
@GeofreyRamston2 ай бұрын
Nice my bro,ulipga chaka, to chaka, but today umestand again,all in all your giving thank 4 God kwa kukusmamsha tena
@donjailer88272 ай бұрын
Hii ngoma la kitaifa kama unamkubali mwamba gonga like
@JohnTawete2 ай бұрын
Umepigaje apo kaka 🕯🕯
@SamuelOmondi-p5f15 күн бұрын
beat pekee inanimaliza na sijui maana ya wimbo hongera misso missondo
@DozzenWatanga-uv3mt2 ай бұрын
Oya miso misondo. Allyb kwako mtoto unatisha kaka🔥🔥🔥🔥🐆
@dokx_mediaAfricanschoice2 ай бұрын
We jamaa unatakiwa upewe maua yako ebu endelea na huu ubunifu wako utauzalisha mzk wetu wa tofaut kabisa big up sana blood
@IdrissaMakwilo2 ай бұрын
Dogo umetisha miso misondo,,,umekuja kuleta mabadiliko makubwa sana ktk tasnia ya muziki Bongo" take flowers 🌺🌺🌺🌹
@eliamdimilaje62512 ай бұрын
Aiseee nyie jamaa mnafanya MUZIKI WA SINGELI uonekane Kazi rahisi sanaa. BIG UP. Piga kazi wanangu. 🙌🙌🙌🚀🚀🚀
@kennedyoscar84742 ай бұрын
Very creative hawa jamaa noma sana 💥💥💥
@DelphinusBenedicto11 күн бұрын
hii story imeweza wanaoikubali video like apa🙆🙆🙆🙆🙆
@rizikimhagama21112 ай бұрын
HUO MWAKA UJAO MISSO UNAENDA PIGA ELA MPAKA BASII KWA NYIMBO HIZI KALII KHA HIZI KILA MKOA KWENYE ISHU YA KAMPENI UTAKWEPO WE NI HATARI🎉🎉🎉🎉🎉
@njoroboihastlaАй бұрын
Mpaka india wataenda hawa i can't wait
@SaidiShehozaАй бұрын
Big up pig kaz
@aminafesaliaminafesali8105Ай бұрын
@@njoroboihastla India hadi alipe nyimbo ya mune huwo wimbo maana wameiba wakaktoleya nyimbo yao ye katowa nyimbo nasiyo challenge hi so anahitajika amlipe mune hi song
@NjamaMuu29 күн бұрын
Misso unatisha Mungu akulinde kwenye misondo maana unatulusha❤
@hassansondi84032 ай бұрын
Unaesoma comment hii mungu akupe afya njema na umri mrefu naamini kwa uwezo wake baada ya miaka kumi(10) tutakutana tena hapa kujikumbusha na hii ngoma❤
@OmarLugendo2 ай бұрын
Mpeni maua yake miso misondo kama uampenda mpe like hapo