No video

Dogo Janja - WAYU WAYU (Official Video) Sms 8881378 to 15577 Vodacom Tz

  Рет қаралды 1,248,897

DogoJanja

DogoJanja

6 жыл бұрын

Tip Top Connection Presents
DOGO JANJA
Video Directed By NISHER
Audio By Daxo Chali & Marco Chali
Watch the latest song Ngarenaro By Dogo Janja.
#DogoJanja
#Ngarenaro
More Songs Of Dogo Janja
Banana: https: // • Dogo janja - Banana (...
NGARENARO: • Dogo Janja - NGARENARO...
Kidebe: https: // • Dogo Janja - Kidebe (O...
My Life: https: // • Dogo Janja - My Life (...
Wayu Wayu: • Dogo Janja - WAYU WAYU...
Digital Distribution & Promotions: Ziiki Media.
For Latest Update:
dogojanjatz
/ dogojanjatz
/ dogojanjatz
©2018 All Rights Reserved.#MMB

Пікірлер: 1 500
@AluleaCreateur
@AluleaCreateur 4 ай бұрын
Kama unaskiliza 2024 gonga like hapa
@frankmollel3078
@frankmollel3078 5 жыл бұрын
Kama wewe ni wa chuga na unamkubali chalii etu na swaga zake tia like na coment kam zote
@wolfblackquotesHD
@wolfblackquotesHD 6 жыл бұрын
dah!! hii ni kalii wanaomkubaliii dogo janja #gonga like 👉tz janjaro
@juveassey1269
@juveassey1269 3 жыл бұрын
Dogo anaweza akuna mchugaree
@jamilahsaid7115
@jamilahsaid7115 4 жыл бұрын
Mdala wani nimwar nawee Oyoooh kirangi kitam kuimba🔥🔥🔥
@Yegon254
@Yegon254 6 жыл бұрын
Wimbo mkali sana, nahisi umechukua mfumo wa Radio&weasel,,I wish Ungemshirisha Weasel manizo ungekuwa 🔥 zaidi. 254 ninakukubali.
@lissatitus3603
@lissatitus3603 6 жыл бұрын
mambo ya kujivideo Queen sasa.lazma tuheshimiane hapa mjini.from Arusha banana good job janjaroooooo
@abelsiyame7863
@abelsiyame7863 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@prisillahnjeri1804
@prisillahnjeri1804 4 жыл бұрын
🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️💃💃💃💃twende nalo big up
@mohamedrajabu524
@mohamedrajabu524 6 жыл бұрын
Ngoma Kali sana janjaro ubunifu mzuri sana kama msanii umetisha sana
@youngkillermsodoki7664
@youngkillermsodoki7664 6 жыл бұрын
Yeyote anae mkubali Janjaro Ni mkali Kuliko ma young wote na ngoma hii Ni kali Nzuri Sana Wayu wayu na wakanyaga Kama Soski zangu gonga like tukutane manzese!
@joemwangi2974
@joemwangi2974 6 жыл бұрын
Young killer Msodoki acha kutumia jina LA Young Killer vibaya... Hamna lolote hapa
@wizidkiller2143
@wizidkiller2143 6 жыл бұрын
nimeipenda kama mashine yangu
@dark9tcreature770
@dark9tcreature770 6 жыл бұрын
+Joe Mwangi killer mkumbwa wao wa kazi braza
@KimwagaTz
@KimwagaTz 6 жыл бұрын
bonge la ngoma
@davidndomba1068
@davidndomba1068 6 жыл бұрын
+kimwaga boy acha kumfananisha young killer na vitu vya kijinga
@emmazablon
@emmazablon 6 жыл бұрын
Asee hii idea ya video alieitoa aishi miaka buku. Huu ndo unaitwa ubunifu. Idea mpya kabisa. Big up janjaro and directornisher.
@fabiolaradidoh663
@fabiolaradidoh663 5 жыл бұрын
Tisha sana dogo wanyemazishe bongo adi chuga kwa mama mbolo mbolo
@kiongozidmaria5880
@kiongozidmaria5880 6 жыл бұрын
Doooh dogo janjaaa iyo sio nyimbo dogo Kama umeshindwa kufanya music achaa fanya kazi ya kutafuta mtoto wee Na Irene
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 6 жыл бұрын
Madhara ya kufungia nyimbo sasa ni mwendo wa kujivideo queen mwenyewe
@mrfinnytv7332
@mrfinnytv7332 6 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@fadhilachivelepa8413
@fadhilachivelepa8413 6 жыл бұрын
Jk Montanno aaaaahaahaah
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 6 жыл бұрын
Jk Montanno itakuwa kapigwa ban na Sheila
@kgchippy
@kgchippy 6 жыл бұрын
Jk Montanno hahahahahaa 😂 usanii
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 6 жыл бұрын
Jk Montanno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣☺️🤣🤣🤣daah hahah
@knourisgalis2165
@knourisgalis2165 6 жыл бұрын
chalii ya ara from ngarenaro I appreciate your work!!!UA so creative janjaro am proud to be born from chuga land!!!!keep it up
@elishamwandenuka3956
@elishamwandenuka3956 6 жыл бұрын
Kwel mzk wa bongo unawadai vtu ving sawa saniii wa bongo yote n kua tofauti da!
@harunaunyambwa5766
@harunaunyambwa5766 6 жыл бұрын
foooook!!! sio ngarenaro tena kuvaa sketi kidume.
@daudmbwahali9647
@daudmbwahali9647 6 жыл бұрын
duuuh #dope alafu humu kama nammiss chemical,,angeweka vitu flan ivi,,,,ukikubaliana na mi weka malikeee
@christerbellafrancis9349
@christerbellafrancis9349 6 жыл бұрын
Hahahahahahahahah nimecheka
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
Daud Mbwahali umeona eee
@albertraphael6983
@albertraphael6983 6 жыл бұрын
Daud Mbwahali kabisa
@hamisihamisiathuman8025
@hamisihamisiathuman8025 6 жыл бұрын
noma sana iko good
@wazambulitv5735
@wazambulitv5735 6 жыл бұрын
Daud Mbwahali asa kumbe nn
@lameckdavid3640
@lameckdavid3640 6 жыл бұрын
hahahahaaaa.. ... kwel we chalii yangu mfanyabiashara na biashara ni ubunifu bn, hao mayoung wengne watasubr sanaaaaaa, nmekuelewa sana we chalii daaaah!!!!!!!
@queennoreen3069
@queennoreen3069 6 жыл бұрын
waooooooo penda sana mwarusha mwenzangu umefanya vzuri sana
@halimaathmanathman9763
@halimaathmanathman9763 6 жыл бұрын
Penda sana hii sichoki kuskiza na kuiyangalia big up dogo janja
@severinaraymondanthony6472
@severinaraymondanthony6472 6 жыл бұрын
Usaniii ubunifu kwa mnaosema vbaya mtabaki hvyo na miroho yenu yakoroosho lkn mwenzen anatokaa hahahaha kama umeikubali wayu wayu tia like hapa lyke memee 😍😍👊
@youngtz7538
@youngtz7538 6 жыл бұрын
usanii ubunifu wa matako. we VP janja acha uchoko mbona Kama vyombo vya udongo?
@natashagideon129
@natashagideon129 5 жыл бұрын
Nakupa mkono wayuwayu bomba
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 жыл бұрын
kabisaa kabuni kitu tofauti sana kajitahid
@bernadosamidaa1301
@bernadosamidaa1301 4 жыл бұрын
👊👊
@dotopatrick8137
@dotopatrick8137 6 жыл бұрын
Kaliii sanaa janja
@gisellechamulunguvuxenutbi9219
@gisellechamulunguvuxenutbi9219 6 жыл бұрын
Thanks,Merci,Tack,Aksanti sana kwa wimbo Dogo janja .
@yusuphmlangali7295
@yusuphmlangali7295 6 жыл бұрын
ubunifu ndo. nyenzo keep it up janjaro mpaka waombe poo
@dickboytz232
@dickboytz232 6 жыл бұрын
Safi sana jaja we kiboko unaubunifu mkubwa ndio maana ya msanii hatabilikii big up sana and mungu akuweke ili uonyeshe uwezo zaidi ya hapo ila umeuwa ngoma kari kinoma jaja wayu wayu ooooh
@manyakapalatv5383
@manyakapalatv5383 6 жыл бұрын
hamn kitu uyu anakoelekea pabaya mzee ubunif mwngine jau chalii angu
@davidndomba1068
@davidndomba1068 6 жыл бұрын
+ASHERY MDUMI ubunifu mkubwa wap, joti kaanza kutengeneza hizi mambo miaka gan, janjaro hamna kitu,,, young killer is the best
@dvjskinnyofficial2473
@dvjskinnyofficial2473 6 жыл бұрын
ukii ikubalii WAYU WAYU gonga LIKE apa kama mm
@SocialBaseTV
@SocialBaseTV 6 жыл бұрын
Wajue Waanzilishi Wa Mitandao Mikubwa Ya Kijamii Na Biashara Duniani. kzbin.info/www/bejne/qYCtc6l-qbCNo5o
@yassinosman3472
@yassinosman3472 6 жыл бұрын
Social Base TV upo poa sana
@tonmaroni974
@tonmaroni974 6 жыл бұрын
A nayo U yan mwanzo mbaka ................. umechnja. BG 💪 take💞
@MAMEuzuri
@MAMEuzuri 6 жыл бұрын
akimama janjaro umetishaa...full kurembuaaa
@musamutetwi1948
@musamutetwi1948 6 жыл бұрын
mad love from kenya....this guy iz dope
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Video QUEEN katisha nakukubali sana janjaro chali angu #Chugamoko
@stephenmhando8741
@stephenmhando8741 6 жыл бұрын
yeye mwenyew demu yeye mwenyew Msela... Kwel hii hatar
@bokeesther4577
@bokeesther4577 6 жыл бұрын
Ungependeze sna ka ungekua dem cz smile yako ni ka dem tu! Namependa ngoma yako sna keep it up from kenya
@cleiddydasenior8271
@cleiddydasenior8271 6 жыл бұрын
Bonge LA ngoma🔥🔥
@macentiking6529
@macentiking6529 6 жыл бұрын
Am a Kenyan bt this my Tanzanian favorite
@jayommy1491
@jayommy1491 6 жыл бұрын
ngoma kali ubunifu cjapata ona apa bongo ,,,,keep it up
@halimaathmanathman9763
@halimaathmanathman9763 6 жыл бұрын
Penda xana hii jomoni...nakukubali100% janjarooo...nani anitumie hii
@janethmwema5928
@janethmwema5928 6 жыл бұрын
mtoto jicho kungu manga wala hautoki tanga.haaahaaaahaaa Mimi yanga yeye simba
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
kama umerudia hii vidio zaid ya mara 1 gonga like yapa plz
@edwardbedson4450
@edwardbedson4450 6 жыл бұрын
Ushoga huo
@christinarobert9207
@christinarobert9207 6 жыл бұрын
Justine Nunda dogo yuko vzr
@nadaramiry2466
@nadaramiry2466 6 жыл бұрын
P
@mapundacalvin7357
@mapundacalvin7357 6 жыл бұрын
nimeanza kusikiliza hii ngoma na mjusi ukutani saivi kageuka mamba!!.. MWOTO
@alialimohamed1243
@alialimohamed1243 6 жыл бұрын
Mdomo hatulipi ushuru. waache wakuseme tu wewe fanya kazi yako. Wewe ni noma kama vipi wakanyage tuu. Ni ubunifu tu anapambana na hali yake. vyuma vilegee. Kazi nzuri sanaaa. Dogo janja...
@thelionking2300
@thelionking2300 6 жыл бұрын
Dogo Your Number One
@victoriachesco2833
@victoriachesco2833 6 жыл бұрын
Noma janjarooo nmuelewa htr alf npendag anvyoongeaga ni htr yn mambo ni motoooo
@kisendianna6275
@kisendianna6275 6 жыл бұрын
So Unique ,wanashangaa wale jamaaa......buda boss ......bad one😍😍
@dastanherman.kingdicetv1840
@dastanherman.kingdicetv1840 6 жыл бұрын
gongs like nyingi sana kwa janjaro kama unamkubari
@ilishiramzah4488
@ilishiramzah4488 6 жыл бұрын
Dogodogo langu💕💕💕... 254...Mpoooo🔥🔥🔥😂
@rukiasalehe1063
@rukiasalehe1063 6 жыл бұрын
umetishaaaaaaaa
@hassanwazir3458
@hassanwazir3458 6 жыл бұрын
Sijawahi kuona Msanii punguwani km uyu mkimbia umande asee elim ni msingi bora katika Maisha ya mwanadamu yoyote duniani...Dogo janja moya ya mafala wakubwa wasiojitambua
@chug1132
@chug1132 Жыл бұрын
Nakumbuka mbarii kinoma hii ngoma mosi wamanyiree sanah kikubwa pumzi kaka unaweza kinkoma respect 👊👊👊👊👊
@charzmwatila5377
@charzmwatila5377 6 жыл бұрын
Hongera kwa ubunifu janjaro
@emmanuellazarosaitoti9214
@emmanuellazarosaitoti9214 6 жыл бұрын
Nzuri chali wa A-town
@hamadbakari3217
@hamadbakari3217 5 жыл бұрын
Yani hii nyimbo ni zaidi na zaidi
@nyakiherro3770
@nyakiherro3770 6 жыл бұрын
Chalii yang umetixha,🔥👍
@salihatssaidi5110
@salihatssaidi5110 6 жыл бұрын
Kaliiiiiiii ase big up kangaroo💅
@rashidimoshi8417
@rashidimoshi8417 6 жыл бұрын
poa dogo unajuwa kk pambana
@justicebernard9509
@justicebernard9509 6 жыл бұрын
Ubahili huo ... af ungekua dem ungekuw kabayaaaaaa
@anetymling8447
@anetymling8447 6 жыл бұрын
Hongera sana maneno ya watu yasikurudishe nyuma wew fanya kazi upate ela ule na mkeo
@neemamunishi1164
@neemamunishi1164 6 жыл бұрын
Ngoma Kali jaman.... Mbona watu wengine povuuuuu, nawashangaa Joti Akivaa mawigi hamuongei, mpoki na akina mkali wenu.. Embu badilikeni daaah,
@Thegr8burarito
@Thegr8burarito 6 жыл бұрын
nani anamkubali dogo janja eka like kama unamkubali👍🏽
@papafikiri
@papafikiri 6 жыл бұрын
Fikiria kubadilisha jina we sio dogo tena
@hedayaals250
@hedayaals250 6 жыл бұрын
Napendaga unavyochanganyaga na kirang chetu😂😂😂😂nimware nawe umetisha dogo big up
@saulymachichimi6126
@saulymachichimi6126 6 жыл бұрын
Dogo janja kweli ww n moto, nimecheka kimoyomoyo sana .@@
@festojimmy7781
@festojimmy7781 6 жыл бұрын
bahati mbaya mdomo ha2lipi ushulu
@alwattanchinga
@alwattanchinga 6 жыл бұрын
Oyooo ,nipe like Kama upenda🔥🔥🔥💪💪
@kgchippy
@kgchippy 6 жыл бұрын
Sawaaaaaa
@nadhlfasalmazena7444
@nadhlfasalmazena7444 6 жыл бұрын
Alwattan governor sana
@cicimerry5105
@cicimerry5105 6 жыл бұрын
Alwattan governor hahahaahh amenimaliz kinom😅😅
@abyhabibabiber8865
@abyhabibabiber8865 6 жыл бұрын
kwahio ndo tukupende wew 😅😅
@onesmofurahisha4604
@onesmofurahisha4604 6 жыл бұрын
Video queen noma sana
@edsonkileo9232
@edsonkileo9232 6 жыл бұрын
Hahaha janjaro sio poa umeona ukimweka demu mama wa hata maindi .,..umefanya fresh sana
@mtawatawatvonline8393
@mtawatawatvonline8393 6 жыл бұрын
Anaimbaje dogo awayuwayuwowo au uwoyawoyayoyo ?! Nyimbo mzima ametajwa uwoya katumia ujanja sana hapo(kiini macho hicho)
@georgemollel9422
@georgemollel9422 6 жыл бұрын
WAYU WAYU WAIGE KAMA WATAWEZA
@alfredmoris8209
@alfredmoris8209 6 жыл бұрын
kaza chali yangu bado tunakuamin
@nicasaristarick3630
@nicasaristarick3630 6 жыл бұрын
Janjaro ww nomaaa. .... kwl vyuma vimekazaa umeact mpk video queen bx n kweree ila umezingua umeact girl m2 mgumu kama ww wa chugaaa usingetakiwa kufanya hvy.....
@jovitherdeogratius3286
@jovitherdeogratius3286 6 жыл бұрын
Jovitha.. 😀😀😀😀😀nice song brother ni bora iwe hivyo bana tunawivu sna sisi..
@fadhilikangusi
@fadhilikangusi 6 жыл бұрын
Tisha Sana Janjaro pia shout Out Nisher hakuna director mkali kama wewe Bongo
@chrispinuse.mmavelle9872
@chrispinuse.mmavelle9872 6 жыл бұрын
Fadhili Kangusi Absolute no one like him,He is Genius
@mathewstanley4063
@mathewstanley4063 6 жыл бұрын
👏👏🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔫🔫🔫 ngoma kali sanaaa
@nazalinnasiznazalin8629
@nazalinnasiznazalin8629 6 жыл бұрын
Whenever i hear Kenyans kutukana our artists eti wanajifanya wasanii wa tz I remember vile dis guy anajifanya kaa wasanii wetu na he is from tz mpaka anaongeza sheng language kwa wimbo zake
@fredymyco9359
@fredymyco9359 6 жыл бұрын
awayuwayu= yaan uwoya,hii ngoma ni special kwa irine
@allynguzo3520
@allynguzo3520 6 жыл бұрын
Janjaro nimekukubali kujivideo queen ahahaahaa bonge la dem
@mayakumba8372
@mayakumba8372 6 жыл бұрын
Jmn siungemtumia basi mkeo Kama video vixen. Ila nyimbo nzuri
@hamicrajabu9335
@hamicrajabu9335 6 жыл бұрын
Good job #janjaro#2dome kwa mdala mbuji,,,,,,,
@mamajayden_tz
@mamajayden_tz 6 жыл бұрын
Nimependa huu ubunifu.. Hongera kwako mdg wangu video nzuri
@benjaminleonard5470
@benjaminleonard5470 6 жыл бұрын
Dogo izi ni bangi....ila ngoma kaliii bonge la idea
@angelhosea6319
@angelhosea6319 6 жыл бұрын
ww nom
@aishamuheza8063
@aishamuheza8063 6 жыл бұрын
Benjamin Leonard dogo nomaaa umetisha sn
@kifarusongeaolg9726
@kifarusongeaolg9726 6 жыл бұрын
kama umeona janjaro kafanana navideo vits gonga like hapa😂😂😂
@amalcsalim-uu7hk
@amalcsalim-uu7hk 6 жыл бұрын
kifaru songeapratnamz ni yeye.. 🤣🤣 hata waiter pia ni yeye. Ameona huu mchezo wa kufungiwa haupendi ameamua kufanya mwenyewe
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 6 жыл бұрын
kifaru songeapratnamz video vits ndo nini?
@amalcsalim-uu7hk
@amalcsalim-uu7hk 6 жыл бұрын
Mx of MFK tuacheni kukosoana bana.. alitaka kusema vixen but akafupisha.
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 6 жыл бұрын
mille novecento90 hiyo vits ni kifupi cha vitamins, wel kama alimaanisha vixen no worries!!
@amalcsalim-uu7hk
@amalcsalim-uu7hk 6 жыл бұрын
Mx of MFK 😂 shindwa. Vits hata vitanda
@Kongamedia
@Kongamedia 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana sema nmependa zaidi hvyo vimiguu vya kadem
@davidmrema2035
@davidmrema2035 6 жыл бұрын
Nyimbo ni nzuri, umeamua kubana matumizi kwa kuvaa uhusika wa video queen mwenyewe. Imependeza imekua unique.
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
si wapinzani ye simba mi yanga wap na wapi gonga like yako hapa
@manyiguonlinetv5446
@manyiguonlinetv5446 6 жыл бұрын
huyo video Queen kama dogo janja mwenyewe
@allan29adam43
@allan29adam43 6 жыл бұрын
Manyigu Online Tv ni yeye dogo janja
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 жыл бұрын
Manyigu Online Tv 😂😂 sio kma yye ndio yye mwenyewe
@mnzavajonah9112
@mnzavajonah9112 6 жыл бұрын
kuna kila sababu ya kumuoa ireneeee dah ongeza mke wa pili nadhani kajala anafaaa keep it on man!!!!!
@aminah3346
@aminah3346 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@jumajuma2656
@jumajuma2656 6 жыл бұрын
aise huyo demu sio oG kabisa umekosa demu mkali aise dogo bora ungemuweka uwoya
@daviddawson1509
@daviddawson1509 6 жыл бұрын
Mwendo wa kuwanyosha
@munashabanimunashabani9976
@munashabanimunashabani9976 6 жыл бұрын
lakini imetoka vizuri
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 6 жыл бұрын
Video Nzuri kweli na wimbo upo Poa sana na umbunifu wa hali ya juu sana 🔥🔥🔥
@sarayusufu256
@sarayusufu256 5 жыл бұрын
woyu woyu woyu ooooooooh!!!! Ohhhhhhhh?!njo 2019👍👍👍👍👍👍
@jayelias1654
@jayelias1654 6 жыл бұрын
Kama UnamkUbr JanJaro Acha #LikE Hapa NGOmA iko PoA
@paskalsamweli1293
@paskalsamweli1293 6 жыл бұрын
wimbo.syo.mzur
@hamzawatheq2510
@hamzawatheq2510 6 жыл бұрын
Japhet Elius ngoma iko sawa kinoma
@hamzawatheq2510
@hamzawatheq2510 6 жыл бұрын
from Doha city Qatar
@jayelias1654
@jayelias1654 6 жыл бұрын
Kabsa @Hamzawatheq
@mohammedhatibu8136
@mohammedhatibu8136 6 жыл бұрын
haaaaa nilkua sijaingalia vizuri sasa leo nimemuelewa
@swahiliuniverse9328
@swahiliuniverse9328 6 жыл бұрын
nyimbo kaaaaaliiii wewe ni better than others. kama unapenda bongo movies za bure kabisa subscribe tuendelee kusukuma wasanii asanteni
@mrenobishoo1118
@mrenobishoo1118 6 жыл бұрын
Hii ngoma inaweza kukufanya ukahama Yanga na kwenda Simba
@wcb4rever600
@wcb4rever600 6 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@paulbagen5828
@paulbagen5828 6 жыл бұрын
Umetisha janja ...nimekubaleee Xo creative Big up janjaro
@hamdanijuma5640
@hamdanijuma5640 6 жыл бұрын
ngoma.kali sana audio na video pia,,,big up mwana
@prospermlelwa2186
@prospermlelwa2186 6 жыл бұрын
buddah boss!!
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 6 жыл бұрын
nimecheka sana ila siombaya kubana matumizi ya video kazi nzuri
@mtobolacomedy6528
@mtobolacomedy6528 6 жыл бұрын
Duuuu
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 6 жыл бұрын
+Khalfani mtobola kabana matumizi si unajua bajeti ndio mpango
@magdalenekiilu727
@magdalenekiilu727 6 жыл бұрын
ahahahahahaha jamani
@jodaoally7493
@jodaoally7493 6 жыл бұрын
Diamond
@gazellethomson7522
@gazellethomson7522 6 жыл бұрын
+Jodao ally karanga
@kihanda2554
@kihanda2554 6 жыл бұрын
Very creative. Kazi nzuri sana Wasio elewa wakakuwa na wakati mgumu sana
@kelvinshukia7393
@kelvinshukia7393 5 жыл бұрын
Buda boss..the badman! We sio dogo janja chalii, we ni janjaro!!! Am sure Ahmad anajiona kama birdman na we kama weezy! Hii ndo flow yako!!
@Cheseret_Ankoo
@Cheseret_Ankoo 6 жыл бұрын
Chorus ameimba Kama mbayuwayu ya marlaw Ila rap iko sawa
@superkibonge8485
@superkibonge8485 6 жыл бұрын
mayang wote midomokimy Sema janjarooooooooooooo
@joemwangi2974
@joemwangi2974 6 жыл бұрын
super kibonge hivi unamjua Young Killer
@davidndomba1068
@davidndomba1068 6 жыл бұрын
+Joe Mwangi Bado Sanaaaaa kumfikia young killer
@queenluizy1508
@queenluizy1508 6 жыл бұрын
super kibonge janjaroooooooooo
@user-hf8gt8hy2r
@user-hf8gt8hy2r 6 жыл бұрын
mdal wan nimwar nawee 😍😍😍😍aminia cn broo janjar toto la kirang huk mchag wayu wayu ngom kali cn ooooz
@ajeyfandhealthy8842
@ajeyfandhealthy8842 6 жыл бұрын
Basataaaaaa mumefanya watu waje na ubunifu mpya kabsaa
@sharomresa1581
@sharomresa1581 6 жыл бұрын
Eeee hiii ndo dawa ya kujifanya wanafungia video ndo hii unavaa sketi wewe wanja unapa wewe kila kitu ayaa wafunge nahii sisi tunaji video queen
@sumaidicksondickson4706
@sumaidicksondickson4706 6 жыл бұрын
Sharo Mresa hahahaaaaa
@noreenbhoke8736
@noreenbhoke8736 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@nasmarasheed8857
@nasmarasheed8857 6 жыл бұрын
hahah
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 жыл бұрын
ha ha ha ha hiii ni kiboko ya basata 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@Manfilly
@Manfilly 6 жыл бұрын
Kiboko ya BASATA hii
@annabellemartin5559
@annabellemartin5559 6 жыл бұрын
mbona huyu dada kafanana na dogo janja ??!!!!
@wanenetv9672
@wanenetv9672 6 жыл бұрын
DAWA ZA TUMBO,NGUVU ZA KIUME,HOMA,TB,MACHO,UKIMWI: kzbin.info/aero/PLOZbY9b6rTUVCY8lQUy45ZnQdy7OiB4HB
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 жыл бұрын
Annabelle Martin 😁😀😂😂😂ni yy mwenyewe, nakwambia vyuma vimekaza sana tz hadi wasanii hela zakulipa vdeo Qeen zinawazengua imebidi wajieke wenyewe tu, hakuna kutiana hasara skuizi mavdeo qeen waitisha hela nyingi mno.
@safielmsuya4673
@safielmsuya4673 6 жыл бұрын
Annabelle Martin Huyu ni dogo
@sijayasolo9665
@sijayasolo9665 6 жыл бұрын
et
@princeibro7809
@princeibro7809 6 жыл бұрын
dogo janja uyoo
Dogo Janja - Kidebe (Official Video)
3:40
DogoJanja
Рет қаралды 2,7 МЛН
Madee ft Nandy - Sema (Official Video)
4:06
Madee Seneda
Рет қаралды 2,6 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 9 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 43 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 30 МЛН
Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1
32:44
YahStoneTown
Рет қаралды 169 М.
Undisputed III: Redemption | Final Fight Scene
13:24
Cinewatch
Рет қаралды 1,6 МЛН
Dogo Janja - NGARENARO (Official Video)
3:17
DogoJanja
Рет қаралды 2,9 МЛН
Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Iyena (Official Music Video)
4:40
Diamond Platnumz
Рет қаралды 51 МЛН
Hamsa Mia - Prezzo X Dogo janja (Official Video)
2:56
DogoJanja
Рет қаралды 846 М.
Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza? (Official Video)
3:22
DogoJanja
Рет қаралды 1 МЛН
Young Killer na Dogo Janja Wachanana Live Kuonyesha nani mkali zaidi?
10:52