Wangapi wameanza kumfatilia d voice baada ya kutangazwa wasafi WCB tujuane kwa like
@rosemuna5569 Жыл бұрын
I see tupo wengi hhhahahah
@CrissDuke Жыл бұрын
Ww umemjua leo uyo ni staa kitambo
@panchobway3245 Жыл бұрын
Hhhhh
@hamadiayossy190 Жыл бұрын
Nipo hapa,tena huu wimbo ni wa d voice sema kaamua kumpa mejq kunta kwa makubaliano,
@HassanabubakarAbubakar Жыл бұрын
Huyu no star kitambo
@HappyMkongoma Жыл бұрын
D voice baada ya kutambulishwa wasafii njooni apa ❤❤❤
@AishaAli-m8q3 ай бұрын
Vp
@kivungemoses423 жыл бұрын
Wimbo mzuri kulingana na hiki kizazi kilichoasi. Ila pale unapomtaja Yesu na kuutaja Utatu Mtakatifu katika wimbo wa kiPumbavu kiasi hiki unakufuru. Sijui Meja ni dini gani ila naamini kama angetawa Mtume Muhammad kwenye nyimbo ya kiPumbavu kama hii Kingeumana.
@MusaMhando-cv6nq2 ай бұрын
Kweli kabisa ndg
@SwahibuAthuman-yv2mn2 ай бұрын
Nani alikwambia kuna kitu kinaitwa utatu mtakatifu?mmedanganywa eti kuna mungu baba na mungu mwana ujinga.zinduka wewe
@MusaMhando-cv6nq2 ай бұрын
@@SwahibuAthuman-yv2mn Sawa ndg wewe ndio umeambiwa ukweli naicho unacho amini ila imani nineno pana sana ndio maana kuna madhehebu kwa pande zote mbili ila naami ingekuwa watu wote wanaamini kitu kimoja kusingekuwa na madhehebu kwaiyo kk unacho amini ww nisahii kwako
@soduxrashol Жыл бұрын
Tulokuja hapa baada ya dvoice kutambulishwa wasafi 🖐🏻
@hatibuabdulla1039 Жыл бұрын
😂
@melixallen59303 жыл бұрын
Kila mtu anamuongelea meja kunta ila huyu D voice kaua sana🔥🔥🔥
@stellahpeter82553 жыл бұрын
Tena sana
@saidshaban8953 жыл бұрын
kamfunika sana
@singinggirl65542 жыл бұрын
Dogo 🔥🔥🔥🔥🔥
@annaapela92902 жыл бұрын
Do do
@annaapela92902 жыл бұрын
@@saidshaban895 vCard luv vjbbnn
@zuueliza94633 жыл бұрын
Nyie ngoma tamu meja kunta unajua baba wangu aiseee, ebu wanaomkubali meja kunta tupieni like hapa aiseee me ananikosha sauti balaa nanusu😍😍😍😋
@mtumakinitv74033 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mukrimameir80993 жыл бұрын
Uhakika
@bubulibubulishrine7013 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@azmongodfrey33843 жыл бұрын
Uyu mtoto kwakuimba afaii🔥🔥
@lugwaitz17673 жыл бұрын
Can anajuw
@selinashaukuiha42242 жыл бұрын
Jamani mi mkenya napenda sana singeli 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿❤❤ meja moto🔥🔥🔥🔥
@paulogodfrey6695 Жыл бұрын
Mambo
@MudMuho-zo9do Жыл бұрын
Njoo dar utazikuta
@Eddy_De_Change3 жыл бұрын
meja kunte Huyo Dogo D Voice Kuwa naye makini anaweza chukua nafasi yako humu kakufunika mbaya
@nasrydonille14683 жыл бұрын
Dogo hatar Sana asee
@deditocastorey69403 жыл бұрын
True Ila kampa nafasi ya Kuimba kipande kikubwa
@thresherjordan68293 жыл бұрын
Kwel aseeeeee yan kama nyimbo yakeeeeeeee
@franciskanuth17053 жыл бұрын
Kaua vibaya mno..💥💥
@RioIpo3 жыл бұрын
@@thresherjordan6829 nyimbo ni ya D voice
@meshackpeter9062 Жыл бұрын
Hii ngoma dogo D Voice aliua sana, kuanzia uandishi hadi kuimba.🔥
@baldiusmmari46383 жыл бұрын
Huu ndio mziki wenye vibe lake la kipekee yaani naamanisha duniani kote huwezi kuta vigoma ,vinanda na midundo kama hii its only in TANZANIA na seriously in feel very proud listening to singeli ..
@richardndoshi64773 жыл бұрын
😃😃
@sagataps94773 жыл бұрын
Na huu ndio mziki halisi wa Kiafrika
@charleshiza88043 жыл бұрын
@@richardndoshi6477popk 8
@heinrchboesak12213 жыл бұрын
Kweli madanga yamke wangu
@mrpullover39912 жыл бұрын
Vinanda vitam hatari
@harunayussuf68663 жыл бұрын
D voice umeua sana kwenye ngoma hii kipaji.🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪👍
@pmsomalimc95212 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y2GaZp94f66KaNE
@mrben2272 жыл бұрын
Humau d voice kaimba vzri zaid ya meja
@makalangocargoserviceltd6630 Жыл бұрын
Meja hakuna mtuanaweza kumkuta meja❤❤🎉
@dongaboyofficiel-el8nl Жыл бұрын
Tulio mfata d voice baada yakuingia wcb ❤❤
@mostaamidu11 ай бұрын
Kuna aliyemwona chino kama Mimi,aisee maisha kweli ni kukomaa
@karimhassan36613 жыл бұрын
D Voice nouma sana.... Napenda sauti yake ndio kila kitu ktk hii nyimbo.
@singinggirl65542 жыл бұрын
Yah iko safi sana kaitendea hki wallah
@mwanahamisnsillah78002 жыл бұрын
😘😘😘 sauti yake naipenda
@Nancy-z8g2g28 күн бұрын
Kati ya nyimbo za mejja ninazo zikubali huu ndio naukubali zaidi❤❤
@andrewkivua19743 жыл бұрын
Hatariii..... mkenya wa kwanza kuskiza singeli 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@norahnorah53423 жыл бұрын
Pamoja
@valeriaveda75193 жыл бұрын
😂😂😂mkenya wa buza
@andrewkivua19743 жыл бұрын
@@valeriaveda7519 😂😂😂😂😂😂acha banah
@valeriaveda75193 жыл бұрын
Aya bwanaa 😂😂😂😂 buza wapajua kumbe🤔🤔🤔🤔
@andrewkivua19743 жыл бұрын
@@valeriaveda7519 nawaona marafiki zangu wabongo wakipataja sana......Buza kwa mpalange😂😂
@churasuperstar29853 жыл бұрын
Machizi waki kutana lazima waache watu hoi tabani kama hili ngoma Naipenda kinoma aise 🙏❤️ ma baharia Wenzangu tujuwane kwenye like basi
@mkombozijahazi44873 жыл бұрын
d fundikino maanangoma kalisaana siopwhebu gongaleketujuane wanangu wabuzampo
@goodluckkajala95233 жыл бұрын
D voice katisha sanaa aliegmuelew agonge LIKe
@mzeewajambo82933 жыл бұрын
Yuko vzr sana
@rehemasalim69373 жыл бұрын
Yuko vizur
@shakiraomarynakupendasanad30233 жыл бұрын
Huyo vizur meja kunja
@MariaKings-it7ik5 ай бұрын
Aisee mtoto mkali saana D voice
@dhahabucharo-os2rr8 ай бұрын
Nyinyi ni watalmu wa singli💥💥💥💥💥💥💥👏👏👏👏💞
@barakamapunda92373 жыл бұрын
Nakuball m2 mbaya mejaa
@hassanmkotya82043 жыл бұрын
Sasa naona ngoma hii inavyoeenda kua trending soon daaah Ila bonge la video ubunifu100%ho hongera #D voice
@halimamleza50493 жыл бұрын
Yaan Weeeh acha Tuu Navyoikubal Hii Ngoma
@rajabumuhalami24643 жыл бұрын
Atali sana
@bidatheboss8463 жыл бұрын
Alie ona madanga ya make wangu Gonga like twende sawa 😂😂 nimewasanua wengi kweli maana mwandishi NOMA SANA. All in all chupa qari💏💏
@faxmusic85673 жыл бұрын
Ndo nlikua nafkiria... Kwann hawako Makini hv
@zumombiro90193 жыл бұрын
Ngoma kali sana i se😂😂😂😂
@wasafitv10623 жыл бұрын
😂😂
@stellajoseph36383 жыл бұрын
@@zumombiro9019 bfftvvtbvtbttbtb
@stellajoseph36383 жыл бұрын
@@wasafitv1062 h
@athumanmtamatale70143 жыл бұрын
Hii ngoma huyu D Voice ameua sana jamaa 🔥🔥🔥
@maggymgaya25043 жыл бұрын
Sanaaa kwasababu n wimbo wake,,, Meja alitaka kumfanya dogo asikike ajulikane😊
@isackmaturo73313 жыл бұрын
Nyimbo za matusi msiwe mnataja jina la Yesu hata kama ww sio muumin wa yesu
@donaldmartin-ps2ig Жыл бұрын
Hapa meja kunta alikutana na moto wa ges
@hdija83553 жыл бұрын
I see you far mkali mejja since day one...baba mmoja mama mmoja tumbo mbali mbali yaan binam yangu alielewa hapa gonga like tusepe na kijiji🤑🤑
@hidayaabubakary82503 жыл бұрын
Sijachelewa jmn hii nyimbo naipenda mnoooooo 💕💕💕💕 like namimi
@fatumaseif18083 жыл бұрын
imetisha
@sabramongi13153 жыл бұрын
Nzuri Sana 💕💕🤩
@EstherMichael-ii7hb3 жыл бұрын
😍😍😍
@joantha00693 жыл бұрын
Mia kwa Mia Kama balozi Kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 singeli should be in Grammy's.... content humour,,, reality you guys you killing it🔥🔥🔥🤘
@abdimlundi83053 жыл бұрын
Dada anaecheza kati hapo mnamjua😊😊😊ndo masha love alokalia chupa akapasuaaa...😍😍bonge la ngoma
@stnashofficial5399 Жыл бұрын
Kumbe d voice jama nimunyma kuimba hii ngoma nikali sana diamond kaona kipaji kipo
@tatuathuman1043 жыл бұрын
Ila huyu d voice ni noma🔥🔥🔥🙌🙌
@gastokitila2853 жыл бұрын
Atali nanusu
@alexiswamillazo65203 жыл бұрын
Daah sijawahi kurudia kutazama Mara mbili Singeli ila hii nimeirudia zaidi ya mara nne kuma make
@emmanuellugano79123 жыл бұрын
Bora ww m nd repeat kbx
@ramxeyiron12603 жыл бұрын
Hili shipa wanangu
@edyteemba19183 жыл бұрын
@@emmanuellugano7912 hahaha haa mimi najikuta nikirudia rudia nenda nae kwa mpalangee!! Hahaha haa hii noma aisee dah
@piusswai6180 Жыл бұрын
Kumbe D voice ameanza kuimba nyimbo kali siku nyingi
@rehemajackson57553 жыл бұрын
D vocal.... D voice ni hatari ila kakutana na fundi zaidiiii
@nicholauslaurent67753 жыл бұрын
Kama ukipata danga la kizungu nenda nalo kwa mpalange mi mumeo nimekurusu ukadange wasotupenda asa wambie wajipaaaaaaaaaaaaaa......nan amesikia iyo
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Nakukubali kinoma mwanangu mejakunta. Love from nungwi zanzibar 🇹🇿.
@darrasatz67223 жыл бұрын
Ushubwada
@omarihamadumetishasanalava47253 жыл бұрын
Good song meja kunta
@nyamisskarega92453 жыл бұрын
Tumpeleke Meja namba moja on trending maana wanaume WA siku he ndo walivo 🔥
@user-to6up4hg2w3 жыл бұрын
Nyamiss karega😁😁😁😄😄😄😄🙃
@siabajacobo15243 жыл бұрын
Xxl
@elizabethpetro12582 жыл бұрын
😅😅😅🤣🤣
@mansourjuma37313 жыл бұрын
Kw niaba ya TIN WHITE. Sihitaji like ya mtu, ila ukilike cyo dhambi. 😜
@asmahussein27793 жыл бұрын
Ongera sana kazi nzur sana mwaya.
@EstaMachechuАй бұрын
Nakubali sana huu mwimbo
@abdulhaleemsalim10593 жыл бұрын
Duh nyimbo gani dunia kwisha yani mke aka akadange akuletee hela kiyama kimefika
@FaithMokeira-t5e Жыл бұрын
Congratulations D Voice,,, wishing you all the best as you're nurturing your talent,,,,Mola azidi kukubariki unapoendelea kukuza talanta yako💖💓🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@andrewkilave35323 жыл бұрын
Hivi meja kunta na dulla makabila nan mkali nimeuliza Tu jamani maana Kwa upande wangu namuelewa Sana meja
@jenifajuma53953 жыл бұрын
Kila mtu anatesti yake meja ana utamu wake na Dulla anautamu wake
@danielkaristo16973 жыл бұрын
Meja x d voice goma la 🔥🔥🔥 bonge la video iko poa mungu abariki kazi za mikono yenu 🙏🙏
@salumukaisi42223 жыл бұрын
Kwan wameimba wawil au mejaa bhna mbon unatufany hiv saut za fanan kabs ngom tamu hiii
@elianhxondixan4652 Жыл бұрын
wangap ndo unajua kuwa dvoice yuko kwa hii ngoma leoo
@MohamedeFranciscoXavierX-kr9ez Жыл бұрын
D voice ❤❤❤ WCB
@japhetilamosai67563 жыл бұрын
Mejaaaa big up nyimbo zako uko poaaa wewe fundi wakasome wakongwe was singel✊
@latifafatu1322 жыл бұрын
D VOICE ANAJUWA SOME LOVE FROM KENYA 🇰🇪
@MudMuho-zo9do Жыл бұрын
Utachekwa wewe
@wakisawakisa5455 Жыл бұрын
@@MudMuho-zo9do Kwani uongo?
@azinacapri0013 жыл бұрын
Hili ngoma laua bana....izo sauti noma hatari 💥💯
@hidayaramaa77963 жыл бұрын
Meja kunta umeuwaaaa😍😍😍
@maryamsidi76393 жыл бұрын
That is kills
@robbykilewo23733 жыл бұрын
u meja sasa basi nakupandisha cheo mpaka ukanali mdogo wangu
@matingatwaha14393 жыл бұрын
Huy ndio anatakiwa aitwe king of singel like kwa meja kunta
@elizabethstewart47623 жыл бұрын
Lek kwake
@dullydarlington36063 жыл бұрын
2po pamoja na wewe hata wafanyaje cc ni mashabiki zako sio wao achia vitu meja tutakufwata tu popote like nyungi kwake kwa master
@noblechild56523 жыл бұрын
Likes za producer wa hii Ngoma 🔥🔥🔥🔥
@winnieshao79013 жыл бұрын
We are proud of you guys…..endeleeni kutuwakilisha kibongo bongo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kevinobara5382 жыл бұрын
Much love ❤️ from kisauni mitaa ya kati
@abdallahfaki34022 жыл бұрын
8
@amosyohana53513 жыл бұрын
Afuu ata mi nimegundua kumbe wameimba wawili safii Sana mnapeperusha bendera ya mzik wa singeli Sasa 🇹🇿🇹🇿 tumepata identity 🆔 ya muziki waetu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥✔️✔️✔️🙏
@joejux13803 жыл бұрын
Kama umegundua kuwa sauti zao Hawa Wanyama zinafanana gonga Like tujuane 🤝🤝🤝
@alexaiddan9793 жыл бұрын
Zinafanana kwel mkali
@josephseleman77803 жыл бұрын
Ndio
@nasrimohamed75563 жыл бұрын
Japo ya meja kali sn
@mamajaphety16243 жыл бұрын
mi nilijua kaimba meja kumbe sio peke yake
@salmams60093 жыл бұрын
Umeona kama mimi.
@ramadhanishebani51793 жыл бұрын
Ukipata bwana mzungu mpeleke kwa mpalange Mumeo nimekuruhusu ukadange kama umeskia huo mstari comment n like tuwe sambamba
@rehemachoka29433 жыл бұрын
Ahaha
@ayubjeremia8493 жыл бұрын
Nakubali
@dripgokujayden36773 жыл бұрын
Ahh
@salmaadimhemed7893 жыл бұрын
Perfectly nenda nae kampalange
@abelsiyame78633 жыл бұрын
Hahahah😂😂😂😂
@moshiomarymnyeda89073 жыл бұрын
Ngoma kali hatariii sanaaa 🤣🤣✅Tin white na dullavan wameuvaa uhusika 🤣🤣🤣 Meja muda si mwingi atakuwa king 👑 of Singeli ✅🇹🇿 Pambania kombo Meja
@Zindukamedia3 жыл бұрын
Niaje
@antoniacledo22953 жыл бұрын
xaf
@hilyamunir21443 жыл бұрын
mamb
@EstherMichael-ii7hb3 жыл бұрын
Kashakuwa teali 😍😍😍
@FMurad3333 жыл бұрын
Kilichoo niiudhii hiyo Dogoo anayee jifanyaa demu , na Meja pia kafelii , Mademu kibao , MUTAJIBU NM MUNGUU KESHOO DAHH
@EliasJuma-u2b11 ай бұрын
D baba toa moja na bosi sasa tupe salute i love singeli❤ for real 👊
@Mariaclala5363 жыл бұрын
Sema huyu D VOICE ni mnyama sana hii vocal yake ni sumu mzee
@wastaraponda97043 жыл бұрын
Burundi 🇧🇮 umetufurahisha sana king of singeri 👑
@angelholsey24843 жыл бұрын
Wanaokubaliana na mimi kuwa meja ndo king wa singeli tujuwane 👇
@jastinfundikila16273 жыл бұрын
Kabixa
@abdulkheri73223 жыл бұрын
Kuna dullah makabila my dear
@althamdb55013 жыл бұрын
@@abdulkheri7322 meja kunta singeli zake ni za kipekee japo makabila nae hodari
@sharifamhina32003 жыл бұрын
Ww na dullah mnatupa burdani
@emmanuellugano79123 жыл бұрын
Aswaaaa
@hassanchaha65153 жыл бұрын
Ni mzuri lakn watu wanasema iludiweeéeeeeeeeee,🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙉🙉🙉🙊🙊🙊duh
@hanifayasin43953 жыл бұрын
Am enjoying this song too much thanks my 2 brothers 🎊💕💕💕❤️❤️❤️😊🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@ben.breaker3 жыл бұрын
kwa video kali kama hizi singeli itaenda international 🔥🔥🐉
@ramxeyiron12603 жыл бұрын
Kabisa
@deeluck_tz3 жыл бұрын
Like kwa produced WA hii ngoma
@christinastephan75443 жыл бұрын
nakubali producer
@taufiqkimpa16523 жыл бұрын
Kuntaaa hapingwi
@albatimadona59633 жыл бұрын
Kenny
@AminaAmina-in9sh3 жыл бұрын
🇹🇿💪hatupoi hatuboi ngoma kal nimependa adi nimependa tena.... nikiwa🇴🇲no stress
@chaleschaleschaleschales43303 жыл бұрын
amsha popoooo 👍
@osmaneibrahim1423 жыл бұрын
D voice kamfunika Meja Kunta hapa 🔥🔥🔥🙌
@zamiraali6940 Жыл бұрын
Who is here after D voice was signed under WCB_wasafi❤
@LandryNininahazwe-cg5ns Жыл бұрын
Tupo wengiii😅
@starshinemussa83263 жыл бұрын
Tujitahidi ifike #1 ON TRENDING
@saidnyangarata25313 жыл бұрын
Wimbowaotire
@saidnyangarata25313 жыл бұрын
Dawroadwimbowaotire
@Waytozanzibar3 жыл бұрын
Wow ! Hii singeli nihot Sana. Huyu mchizi ana voice nzuri Sana jamaa .
D voice umeua ameanza shoo vizuri sana ,inyimbo kilasiku asubuhi lazima isikilize ngoma hii
@ingabireshakira96313 жыл бұрын
Sipati picha Meja kunta angekua anaimba RnB🔥
@reyyathu89782 жыл бұрын
😂😂😅😅😅😅😅
@asmarashid38083 жыл бұрын
Bonge la dudeeeeeeeeeee, mejaa hunaga kazi mbovu mzee babah
@elvirakaganda38073 жыл бұрын
TANZANIAAAA..!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿 we blessed #period 😎💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾 singeli to the world🌎
@Ali-gk5mv3 жыл бұрын
Mpka sasa hilo ngoma liko juu👏sauti kali, biti kali, alafu vipaji sana madogo
@Jibrillhakim3 жыл бұрын
jamaa ana haki ya kujiita D voice.. ana sauti ya mziki hatari 🔥🔥🔥
@irenemagawa30843 жыл бұрын
Dah,,,uko vizur meja🧡🧡🧡🧡🧡🧡
@aliyah.m.hussein9413 жыл бұрын
wow alie angalia hii nyimbo mpaka ina fika 1M like hapa
@mwanabweniomari98273 жыл бұрын
Nimeikubali ipo vizur
@firdausmasinge743 жыл бұрын
Kumbuka kuna kiyama
@farajiwamu93963 жыл бұрын
hako ka D voice ndyo kamenikosha humo 😂🙌🏽
@rosengonahi74943 жыл бұрын
Umeona eeeehhhh😝😝😝😝
@halimamleza50493 жыл бұрын
Yaan Me Ndo Kanikoxha Hatr💯💯🙏🙏
@zennahmtoto18673 жыл бұрын
Hatarii snaaa
@rehemamwabukusi11083 жыл бұрын
Pumbavu acha kukufuru Imani za watu Yesu anatoka wapi kwenye upuuzi wako umekosa nyimbo
@AsinaRashid12 күн бұрын
Nani amekuja huku December 2024
@lizzypaul82143 жыл бұрын
Dah bonge la ngoma video ndio usiseme nakupenda bureeee meja😍😍
@wazirikipanga3253 жыл бұрын
Dulla van anaenda kwl kwa mpalange mwanaume haisiwi vibaya hat cku moja
@jandaboytzz27553 жыл бұрын
Million 1 now Big Up 🗣️ Singeri kwenye Ramani Ya Dunia
@anzufatty87333 жыл бұрын
A 00 xasi1 . LK
@officialmuddy18313 жыл бұрын
@@anzufatty8733 nkoluikuiiuiiiiii
@anzufatty87333 жыл бұрын
@@officialmuddy1831 what u mean??
@frolahsamwel40303 жыл бұрын
M
@frolahsamwel40303 жыл бұрын
J
@ahmadathumanm94762 жыл бұрын
Nilikuwa natafuta namba ya meja 😃😃😃😃
@veronicalucas39383 жыл бұрын
Meja usichanganye Mambo ya Imani na Ngoma zetu ushauri tu sawa mungu achezewi Ivo sio mahala pale hapo. Nzuri Ila rekebisha hayo.
@zach4068-c9e3 жыл бұрын
meja kunta hawezagi kuimba bila kutaja neno madanga
@zeinabfaris56633 жыл бұрын
I love singeli 😍😍😍reality of life💯💯💯much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eltajir3 жыл бұрын
Hey
@kevinomondi58632 жыл бұрын
Singeli mambo yote
@ceciliachakoo86842 жыл бұрын
I love singeli reality of life love you so much mejaaaaaaaaaaa
@brownmd38012 жыл бұрын
❤
@smartlife19003 жыл бұрын
Team Singeli gonga like tujuane kabisaa maana sio kwa utamu huu tunao upataaa
@mohamedymhina70673 жыл бұрын
Nakubali
@davidmutula74793 жыл бұрын
voi ce vice yake kweli d voice
@ninjaisma7983Ай бұрын
Bonge la ngoma na bonge ya Video..another level bro Harmonize
@veremox Жыл бұрын
i dont understand but im in love with this rythm! much love from brazil! :D
@zuhurarashid7117 Жыл бұрын
Lol he respects his wife's side dudes bcoz they are the ones who help him😂
@africatanzaniatours Жыл бұрын
Respect broo this is singeli Natural music of Tanzania this sound is dude , you can support him for get do performance there . Great 🔥🔥
@Demboys_p Жыл бұрын
@@zuhurarashid7117 that’s tuff 🤣🤣🤣
@GloryJohn-nm5wo Жыл бұрын
@@africatanzaniatoursa❤❤❤❤❤❤❤qq❤
@kid__tz3 жыл бұрын
Wapi like za wale tuliodhani nyimbo yoote kaimba meja kama Mimi ,hadi tunapoona video😂😂😂😂😂😂😂
@fatmahamad24483 жыл бұрын
Na mm nilizani hivo
@yusufumwasha5483 жыл бұрын
Hata mm
@deusfares39613 жыл бұрын
Hate mm
@ponsianongumbulu69843 жыл бұрын
Hahahahaaaaa tupo wengi
@omarisulanda78473 жыл бұрын
@@ponsianongumbulu6984 ataa me nldhan ivoo
@janethmgaya22373 жыл бұрын
Hiii nyimbo naipenda sana, lkn sauti meja ni nzuri sana 😘😘😘
@fatumaally82973 жыл бұрын
Oyooooo mwaka huuuu meja lazima tujenge na ashimu madanga ya mume wangu nenda nae kwa mparange mwaka huu razima tujengeee naheshimu madanga ya mume wangu ndo yananipa faida
@piusmsamba32713 жыл бұрын
Kuna watu wanajiita kina makabila wanajivisha u king kwa saiv nasema king wa singeli ni meja kunta.