Nakuombea usome Kwa bidii upate kazi nzuri, wazazi wa dogo Sele tafadhali msimzuie Sele na kipaji chake na Mwenyezi MUNGU atamuongoza Kwa mambo yake yote
@Zix-yb1ci9 ай бұрын
Mashallah dogo dele mungu ambariki aendelee na uwezo huhu.
@SelvoSelemani11 ай бұрын
Mwigizaji wakesho uyo, nakukubali sana dogo langu
@نورة-ذ3غ2ث10 ай бұрын
Kama wakubaliana Mimi naomba like yako pls
@نورة-ذ3غ2ث10 ай бұрын
Nampenda tu sana dogo Sele, natamani kukutana naye live, nikimtazama movie zake naskia furaha Hadi moyoni ananitoa majonzi, ananitoa stress