Unaongeaga ivo lakini badae ukiuluzwa hujibu maswali sasa inafaidagani kuuliza usijibiwe
@DoriceMfinanga5 ай бұрын
Mfinanga
@MrsDariya-y1j5 ай бұрын
Mimi sikuulizi ila nakusifia Tu Mfinanga unajua Sana bro nakupenda bure
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI5 ай бұрын
Unajua sana broo
@RizikiZiki5 ай бұрын
Masha Allah mfinanga amempata sonia amefezeheka ntafurai ukimuowa sonia maana ulimpenda kwazati 🎉🎉❤❤
@kinyasigeneral70695 ай бұрын
Sonia hongera SANA una kipaji Cha hali ya juu kaza buti utafika mbali
@andrewmwegoha55265 ай бұрын
It's amazing
@amanchuphichuphi47255 ай бұрын
Safi Sana doko upo juu bro
@thebeatshouse5 ай бұрын
Nyie wajamaa wote ni wamoto.....ila sonia kametia huruma kamevaa vzur sana uhusika wake kiufupi ni mtu alepewa jukum kubwa na amelivaa vzur hongera zake ❤❤❤❤❤
@ajmilatymwana14035 ай бұрын
Sonia mzuri maashallah mie mwanamke mwenzie lakini penye sifa mtu apewe❤❤❤
@MasokaJiko5 ай бұрын
Nawapenda sana 😂😂😂😂 more please
@DevidnestoryKokotoko5 ай бұрын
Sijawahi pata like hata sikumoj jaman nipen hata 5 tu
@KastroKalimira5 ай бұрын
Courage sana Wazee wakazi sisi tuko Congo Bukavu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@barackagerald96105 ай бұрын
Doko tuwaishiee asee ep 9, tusisahau matukio ya awali
@saumosoro97995 ай бұрын
Wap kelele za kipara igwe hatuchekeshi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤penda sana doko
@StanleyStanleySamsoni5 ай бұрын
Duuuh kweli hiii movie tumeisubiri Sana mpaka nikasema ndo kwakheri haitaendelea Tena sema ipo vizury sana na hawatubanii kwenye dk hongereni sana wote😂😂😂
@StanleyaStella5 ай бұрын
Niambie Kaka angu
@aishaomar22875 ай бұрын
Ila huyu kikongwe bana😂😂😂😂ati anajihisi UTI asipomwona mfinanga😅😅😅 🙌 🙌 🙌...khaaaa!
@user-ts8gp4nk4x5 ай бұрын
Sonia ukitoaga macho Aki hupendezagi ukipanuaga sasa pua chida😂😂😂 so nc
@Liliqn5 ай бұрын
😂😂😂
@user-ym2fk5ox8m5 ай бұрын
😂😂😂
@mohammedkidody56185 ай бұрын
😂😂😂
@marialuvinga8675 ай бұрын
Nani ameona vaz la kola la mchungaji 😂😂😂 sijui kajifunga lastik😂😂
@protasdmassawe5 ай бұрын
Hii kali sana pia imechezwa kwa ujuzi sana. Hongera DOKO Bg up 💪
@Lovenesszani5 ай бұрын
Hawa ma bordgud wa doko ni familia ya kicheche nn mbn wanaongea kama kichechee😂😂😂
@SumayMagunila-hh4jm5 ай бұрын
Kbsa saut zao
@Amina-Rshd5 ай бұрын
Mfina ukipnda wapnda kwel❤❤❤ nmeipenda iyo n imeenda🇰🇪🇸🇦
@user-ot3te6mj7b5 ай бұрын
😂😂😂 umeenda wp tulia kW waigur 😂😂
@MoTalentTz5 ай бұрын
Chendu nae ndani 😂😂😂😂😂😂 kutoka kwa chumvi nyingi mpaka kwa doko
@Supershopdubai-ck8td5 ай бұрын
Ilanashkulu kwadakika zakutosha from 🇧🇮💐🌹 tunakupenda san
@NillyNilly-fm5pw5 ай бұрын
Vizuri sana Doko ata ikicherewa umetuekea kubwa .. watching from dubai ❤❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Mfinanga kama mfinaga unajua san wallah mfinga ndyo mume wako soon kikomo acha kutoa macho ayo bas watu wana kusifia bore 😂😂😂😂
Aweee mufinanga we kiboko 😂😂😂 naiona nikiwa kenya kazi nzuri sana❤❤
@hutahuta11705 ай бұрын
😂😂😂😂taniaaa uuuuuu mbona mna chelewesha
@kingofilms9555 ай бұрын
Kaka koka umeupiga mwingi sana kazi bola sana 👏👏👏
@andrewmwegoha55265 ай бұрын
Funga bakuri lako🤣😁😁🤣🤣🤣
@EmilyMangu5 ай бұрын
Hatuna maswali bro job iko good
@richardelieza10015 ай бұрын
Leo mmenikosha kwenye dakika 👏👏👏👏🥀🥀🥀💥💥
@MwanashaHemed-w3r5 ай бұрын
Wa mwisho bc mm nipeni zang kumi like😂😂😂😂
@Sifabi89245 ай бұрын
I'm from south Africa give me like
@Edalu_Tz5 ай бұрын
For what and for which😢
@NeemaJulliet5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉safiiiiii
@ELLAIRAKOZE-cj9pf5 ай бұрын
Ila mfinanga yupo vizuri sana☺️
@bramwelsituma63755 ай бұрын
Good job,,from kenya watching alive. ❤❤❤
@zainaabdallah8095 ай бұрын
Team furus team WiFi team kupambana team Doko tuliochelewa tusalimiane jamani nawapenda mno
@BennykennyNyabutongo5 ай бұрын
Mbn move haieleweki mala kipand kinaanzia mbela mala iv havielewek mnazipangaje😊😅
@zainaburamadhani96505 ай бұрын
😂😂😂chendu na uku yupo
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Chendu mchawi tun
@user-nq3uu5ii6i5 ай бұрын
chendu j'aime trop chendu anauliza sonia kwa gisi nili kuwa na waza mimi vraiment très cool chendu ❤❤
@CkayAli5 ай бұрын
Big up,kazi yenu nzuri love that ❤
@alilumia95255 ай бұрын
Top more 🎉imenigusa hii part 8 bigup doko na mfinanga❤❤
@saidiabdalahshabani9415 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kipalaigwe
@WASHATV9845 ай бұрын
Mnatisha sana aisee safi❤❤❤❤
@raymondochieng77465 ай бұрын
Best one much love from kenya ❤❤
@FatmaKambanga-cj4wn5 ай бұрын
😂😂😂😂Uyu Bibi Nampenda Sana Aisee Mnaomkubali Tujuane Plz
@binbadru84085 ай бұрын
Kwangu mm huyo bb NI nyota wa mchezo
@MtalemwaElenest5 ай бұрын
Ngoma ipo sawa ih ila munachelewa sana jalib kuwah japo wik au wiki mbili
@jeanclaudemanirakiza87815 ай бұрын
Good 👍 job
@elisechance55535 ай бұрын
Kweli nampenda mfinanga, na dogo eti wenyi kipara hawa cekeshi 😂😂😂😂😂😂😂😂 much love from DRC
@dubadontv83875 ай бұрын
Doko kaz mzur sana br❤
@AniterMchau-gi4hs5 ай бұрын
Mnachelewesha lakini jmn jitahidini kutoa chapu chapu ❤❤
@zhaomanajer16445 ай бұрын
Wa kwanza kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes zangu ❤
@GeorgeKingi5 ай бұрын
Kenya hapa...show iko fiti...congrats
@rafiasamata-id1vx5 ай бұрын
Hakika movie 🎥🎥 inatufurahisha sana
@asminkigaile91295 ай бұрын
Jamani msikae muda mrafu sana
@FrpMobile-tc9er5 ай бұрын
Bomba ya movie
@MariamWasin5 ай бұрын
Kazi safi sana tukingojea episode ingine kama ipo
@user-uu9rz3zm3c5 ай бұрын
Sheikh wa muchogo acha uongo allah awa ogoze dini siyo yaku chezeya
@magrethtuma58435 ай бұрын
Ndoman umeambiwa ni muigizaji
@user-uu9rz3zm3c5 ай бұрын
@@magrethtuma5843 sas kwenye dini hakuna ku igiza
@mohamedwako24255 ай бұрын
Mnachelewa sana doko😢ebu mrusheni haraka episode 9
@minabuelysee85 ай бұрын
Kazi nzuri
@seankano5 ай бұрын
Sijui kwanini hii movie haijaisha,nimekuwa nikitafuta kuona sehemu iliyopita,lol
@KraudiusOswadi5 ай бұрын
Doko kazi zako nazielewa sana sana. Na kingine kinachonifurahisha ni dakika unazoziweka zinaridhisha hata mtazamaji anapata radha halisi ya movi si kama za wengine wanakuwa kama wanacheza tu eti epsodi inakuwa na dakika 10 haileti hata hamasa .Mungu azidi kukuongoza wewe na kundi lako.
@stynoebondomwepu35825 ай бұрын
Kazi ni nzuri kabisa
@gibsonombati95465 ай бұрын
Nimengoja kuona sonia mikononi mwa mfinanga hongera mazee
@user-fr7ye5dg5i4 ай бұрын
🤣🤸❤😊
@AmasonOnlyonefashion5 ай бұрын
Nakubali hiii iko pouw na inamafundisho Hasa yamapenzi 🙏🙏
@user-jg1no4uw1t5 ай бұрын
Doko kwenye film ihi nakupa 100% ila tatinzo unagawiza kutowa film ndo tatinzo bro yangu kama nikuhigiza we noma Kwa halihii akika utakuja kupita wenye filams wengi na kwangambo yangu Tanzania nahamini sana nakupenda sana wachenza filams 5 tu basi nahaho 5 nawewe umo ndani bro bongezi sana 😂😂
@joynicecarol14805 ай бұрын
Nipeni likes from kenya
@KisamakaFrancine-mt8vp5 ай бұрын
Munacherewesha sana muv zenu Yan mpaka kero
@RibiehTv5 ай бұрын
Kitu kama hicho Man Doko ❤❤❤
@user-hm8lp1ze1u5 ай бұрын
Wanaume wote wangekua kama mfinyanga mbingu ungekua yakwao hahahah
@johnmasha1195 ай бұрын
Mjomba na pua yake sasa😂
@Wastara-ot1lp5 ай бұрын
Mnachelewesha sana episode zinazofata
@user-ob9gx1ei7s5 ай бұрын
is the big talente brother ❤❤
@Winleizerabdy5 ай бұрын
Hii movie mwanzoni mlikuwa mnaleta mapema sikuisi mnazingua ila huyo ghoko jamani😂😂😂
@sidegrenade20435 ай бұрын
Daaah kazi nzuri sn hii move kali sn ❤❤❤from zanzibar
@binbadru84085 ай бұрын
Big up huyo Bibi yupo vzr kwenye kuigiza
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Mama doko kama mama doko hatariii hyoo m doko balaa anachitingi hyoo mama balaa wallah doko doko mama una hap baba pole yako
@SaidMwarandu-fd8gh5 ай бұрын
vizuri kaz nzuri
@mateusluis72195 ай бұрын
Daah iiiih move imenigusa kwenye moyo wangu,, nipo Moçambique Embu nipeni like zangu please 🎉🎉🎉
@user-mx5rf1db1j5 ай бұрын
hahahahahaha kazi nzuri
@faizamohamed69935 ай бұрын
Safi sana hongereni ❤❤❤❤❤
@WivinaFrance-xn3mk5 ай бұрын
Nzr japo inachewa mpka radh inakosa
@WitnessProsper5 ай бұрын
Ni kwel inachelew xan pak had unaisahau
@aidanpadon20115 ай бұрын
Namkubali mfinanga sanaaa, anajuaa hadi anajuaa tenaa.
@ZaynabMuddy5 ай бұрын
Nimewaenda,sanaaaaaaa❤❤❤❤❤
@caroleangambe12395 ай бұрын
Good job next episode plz
@adidjaVyumvuhore-tp3tc5 ай бұрын
Doko anastahili mauwa yake Kbis hadi ka music kazuri san 🎉🎉🇧🇮🇧🇮