Brother doko Mimi Kuna kitu nataka unisaidie Kuna hiyo soundtrack kwenye ndoa ya marehemu season 1 nataka uniambie jina la msanii na jina la wimbo tu ni Hilo brother
@user-vd8bz1ll2r4 ай бұрын
Bytha huo wimbo n swafie sana
@fredrickngumbao4184 ай бұрын
Just sikiza neno kama mbili af u type then wimbo utajileta
@fredrickngumbao4184 ай бұрын
I hope ukona app ya ku download wimbo
@MhandoNyangusiАй бұрын
Yani bit Ina hisia kali sana
@kibibiabdalla14518 ай бұрын
Movie nzuri ❤
@Lilianmwaijibe-uj1zs8 ай бұрын
Me hapa hamu inaisha yakuangalia mwisho hauelewek jmn
@TausRaj24 күн бұрын
Uyu mzee anajua sana kuigiza❤
@user-uz5hk4jz3x8 ай бұрын
Doko umetisha baba
@JulianAtieno-pj9se25 күн бұрын
Ikofiti👍👍👍
@FurahaAndrea-sj2udАй бұрын
Doku kafa kweli auu😢
@user-ex8ie2gq6t7 ай бұрын
Nihatar😢
@bentamercy8723Ай бұрын
Yaani naomba kupata angalau ndungu moja wa kunifaa kwa dhiki kama hawa
@seifallah82778 ай бұрын
Umaliziaji ndo shida yke doko
@HussenKhalid-nc9nh4 ай бұрын
kazi nzuli ila sijapenda upended wababa malehemu kukohowa sana ukiacha nakukohoa kacheza vinzuli nimeipenda
@user-ke5dx9vp6t5 ай бұрын
Doko wewe ni number 1
@zeddybby89477 ай бұрын
Waaah hongereni jamani ❤
@user-wr3sp4ek8e8 ай бұрын
Kisha njo mwisho Ama aye
@carolineachieng554Ай бұрын
Doko leo amekomoka kweli
@comedy79378 ай бұрын
Safi wanangu wantara
@snazzymavoko8 ай бұрын
Doko umeanza mchezo
@user-pr9im3hb8tАй бұрын
Jmn hvi nyie wote mlioigiza filam hii mlikuwa na roho za aina gan? Me ata kuangalia tyu naogopa sembuse kuigiza maiti au unalala kaburin mh
@kwinshuku6178 ай бұрын
Nilitaka kujuwa ku usu Ule mwengine marehemu
@AleynAleyn00Ай бұрын
from Saudi 🇸🇦 ❤️
@wickliffebulemi3163Ай бұрын
Kukohoa nayo imenipendeza na bibiye mufinanzi Sonia alizikwa wapi?
@user-pl1fk6yz4u7 ай бұрын
Doko mm naomba uturushie iyo song full please
@dogom33288 ай бұрын
Wakwanza leo like zangu 5 plz
@EdouardNdayisenga-kb1bp28 күн бұрын
Mamb mazur sn
@AdamOman-n2sАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@user-zl2tm7tm3f8 ай бұрын
Soundtrack ni ya msanii gani mbona husemi nayeye afatiliwe kupitia filamu yako
@SaudaAdam7 ай бұрын
Jina la wimbo plz❤
@MartinLuther-tb5om8 сағат бұрын
Vijana wenye miraba mminne
@marynyota61468 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ef5zy5vs5o5 ай бұрын
Wazii mvinanga nakukubali mbona...tag me next tukisonga