DOMOKAYA ALIVYOIMBA MSIBANI KWA MANDOJO KWA MARA YA MWISHO AKIMUAGA

  Рет қаралды 83,776

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер
@righitkileo
@righitkileo 3 ай бұрын
❤❤R,i,p, Mandojo❤❤❤ Umefia kanisani ulienda kutubu❤❤❤heri wafu wafao ktk bwana❤❤❤
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 3 ай бұрын
Mh! ni mtihan! usilolijua ni sw na ucku wa giza
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 3 ай бұрын
Upuuzi
@Maryjames-f1o
@Maryjames-f1o 3 ай бұрын
Mbona walisema alijuficha kwenye kinumba wakajua mwizi siangeingia kanisani
@freddywizzyTz255
@freddywizzyTz255 3 ай бұрын
Rafiki wa kweli kama mandojo na domokaya dunia hii ya leo nadra sana!!!! Pole sana domokaya 😢😢
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 3 ай бұрын
Pole sana domokaya Mungu akupe Subra kwa kipindi hiki kigumu
@SamsonSagati
@SamsonSagati 3 ай бұрын
Mandojo na domokaya ni sawa weasel na radio
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk 3 ай бұрын
Exactly
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 ай бұрын
Rest easy uncle ndojo..pole sana domokaya
@DottoLusoko
@DottoLusoko 3 ай бұрын
Tumtakie safari njema kaka yetu mandojo afike salama huko aendako na pia mungu awape faraja ndugu na wote wapz wa mziki kwa kipindi hiki kigumu na tukumbue Kila mwanadamu ataonja umauti so tumtakie Kila raheri amen
@glorysungura3180
@glorysungura3180 3 ай бұрын
Pole kaka na rafiki mwema kwa rafiki yako Mandojo. Tunalia tunasikitika tunapoondokewa na wapendwa wetu, lakini tunalia kwa kuondokewa ndg na jamaa zetu, chapili tunalia kwa sababu ya kifo kilichochukua uhai wa wapendwa wetu, je safari yao ya kuondoka duniani ilikuwa ya namna gani? Hicho ndicho kinachoongeza uchungu. Poleni sana.
@nadiasamwel8709
@nadiasamwel8709 3 ай бұрын
Nmefurah Sana kumuona jide
@GosbertJohnson
@GosbertJohnson 3 ай бұрын
Pole sana domokaya kuondokewa napacha wako mulitisha enzi zenu aise
@pendojemsi7036
@pendojemsi7036 3 ай бұрын
Na kifo ndo kiliwatenganisha
@AthumanHassan-d7x
@AthumanHassan-d7x 2 ай бұрын
Nna asira sana na usenge wa watu wetu tz kutosamini azina zetu tunauana kijingajinga2 sawa acha apumzike mlio ua endeleheni kuishi situkani mungu awalani
@Fadhilitolinga
@Fadhilitolinga 3 ай бұрын
Pole sana mwamba jamaa ako mlipendana xanaaa❤❤
@bakarially253
@bakarially253 3 ай бұрын
Dunia hii wallah Allah atupe mwisho mwema maana unakufa tu kisha matendo yako uliyoyafanya
@bushzerahamusic4762
@bushzerahamusic4762 3 ай бұрын
Pole sana bro yote maisha
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Polen sana ndgu na family Kaz ya mungu Haina makosa sote tutalejea inalillah wa inalillah Ra juun
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 ай бұрын
Apumzike kwa aman pole sn domo kaya
@patrickSeverin-o2s
@patrickSeverin-o2s 3 ай бұрын
Mungu roho yake aiweke mahara pema pepon amen
@SelemaniYahaya-v3w
@SelemaniYahaya-v3w 2 ай бұрын
Pacha mbili hatari xnaaaa kama yp na dashi mbele yake nyuma yetu
@ZainabuIddy-r1o
@ZainabuIddy-r1o 3 ай бұрын
Pumzika Kwa aman Kaka Mandonjo pia pole sana Kaka Domo KAYA
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 3 ай бұрын
Inauma sana
@AthumanHassan-d7x
@AthumanHassan-d7x 2 ай бұрын
Mimi ningewajua mliofanya mambo ayo nawagalamia Yani nawapiga kisu wote mlioshiliki Sina siasa mlaniwe kenge nyie
@nadiatanzania
@nadiatanzania 3 ай бұрын
Pole sana 😢
@katundukhery2220
@katundukhery2220 3 ай бұрын
Doouh poleni sana
@FrolanceAsajilemwasumbi
@FrolanceAsajilemwasumbi 3 ай бұрын
Pole sana
@kudramzee5769
@kudramzee5769 3 ай бұрын
Pole sana domo kaya safari yetu sote
@AhmedKassim-n1e
@AhmedKassim-n1e 3 ай бұрын
Mungu ametoa na ametwaa
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 ай бұрын
Walai kifo acha tu 😢
@leokamil6284
@leokamil6284 3 ай бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@erickselei3426
@erickselei3426 3 ай бұрын
Wakali wa muda wote BONGO
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 3 ай бұрын
Urafiki wenu toka mkiwa vijana mpk sasa watu wazima aisee enzi hizo mmepanga kule bugurun malapa,2004,
@haisamseif2744
@haisamseif2744 3 ай бұрын
Duh unakumbukumbu sana nakumbuka mm nilikua malapa nawaona wakipita na gita lao
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 ай бұрын
@@haisamseif2744 😅😅😅😅kitambo sn ndugu nyumba niliyokuwa nimepanga karibu na Yao kituo Cha kupiga gitaa ninyumba yetu pemben unapita mfereji wa maji yananuka hayo 😅😅😅
@charlestagora
@charlestagora 3 ай бұрын
ila tunaimba uchunguzi ufanyike 'why' mtu apigwe mpaka afe hivyo how!?
@NavoDanford
@NavoDanford 3 ай бұрын
Rest easy broo😭😭😭
@mnyorishow5050
@mnyorishow5050 3 ай бұрын
Pole jmn ndugu wote
@CreatureIey-eh8nh
@CreatureIey-eh8nh 3 ай бұрын
Rest easy mandojo
@SaidKilua
@SaidKilua 3 ай бұрын
pole kk
@badmanvibees
@badmanvibees 3 ай бұрын
Kundi bora lililotenganishwa na kifo
@DottoJackson-f2i
@DottoJackson-f2i 3 ай бұрын
😂polen saana mungu awape maisha marefu
@B.com_tz
@B.com_tz 3 ай бұрын
𝐇𝐢𝐲𝐨 𝐞𝐦𝐨𝐣𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐦𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐜𝐡𝐞𝐤𝐚. 𝐊𝐮𝐥𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐡𝐢𝐢 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞😭😭 𝐚𝐮 😢😢😢
@GetrudaFerooz
@GetrudaFerooz 3 ай бұрын
Pole pole sana Domokaya Mungu akutie nguvu
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 3 ай бұрын
😢😢😢😢
@ThomasKapinga-v5x
@ThomasKapinga-v5x 3 ай бұрын
R.I.P
@NaimaRamadhani-q1p
@NaimaRamadhani-q1p 3 ай бұрын
Pole domo
@libandaonline5358
@libandaonline5358 3 ай бұрын
Huyu hawezi kupumzika kwa amani ,,coz hana mwisho mwema,,ila poleni
@robertadrian2559
@robertadrian2559 3 ай бұрын
Kuma la mama ako kujifanya we ndo mungu unaejua mwisho wa watu mkundu wako
@illuminathaernest1837
@illuminathaernest1837 3 ай бұрын
Sawa Mungu
@deuskusaga8156
@deuskusaga8156 3 ай бұрын
Hana mwisho mwema kvp?
@rashidmontana480
@rashidmontana480 3 ай бұрын
@@robertadrian2559asante umempa zito kwa niaba yang kk
@Ummuilltham
@Ummuilltham 3 ай бұрын
Muombe Sana mungu hakupe khekima
@halimaally5349
@halimaally5349 3 ай бұрын
Pole sana
@danielpeter8085
@danielpeter8085 3 ай бұрын
R.i.p
@ThomasKapinga-v5x
@ThomasKapinga-v5x 3 ай бұрын
Pole sana
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 3 ай бұрын
Pole sana
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 15 М.
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
小路飞和小丑也太帅了#家庭#搞笑 #funny #小丑 #cosplay
00:13
家庭搞笑日记
Рет қаралды 10 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 78 МЛН
MANDOJO HUYU HAPA MAHOJIANO YA MWISHO NILIVYOKUTANA NA MANDOJO, 2021 ,,ES SALAAMMZK INFO
18:52
CHAWA WA BASATA & MBOSSO - USWEGE MURDERER
10:25
Uswege Murderer
Рет қаралды 124 М.
Mandojo na Domokaya LIVE PERFOMANCE MATATA,story kidogo.
22:39
EastAfricaRadio
Рет қаралды 36 М.
JUX na MPENZI wake PRISCY walivyotua Usiku Mnene Tanzania
8:49
Rick Media
Рет қаралды 96 М.