😂😂😂😂 chelewa lk ufike wahenga husema na pia wakarudi hapo wakasema haraka haraka Haina baraka nadhani mutanipa hata kadogo tu nusu ya silesi moja nitashikuru mumecheza ndipo mamukubali Donta tv family much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
@HildahBaby-y3m9 ай бұрын
Nimewai nami ❤❤❤c mgonge like hapa tukisonga 🎉🎉 much love from kenya loveness kazi unayo ❤❤
@NeliaDaniel-h9s9 ай бұрын
nakuaminia love ukiamua kuvaa uhalisia unavaa hasa👍👊🫶💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
@kenogola33929 ай бұрын
Tangu nimeanza kutizama donta tv leo nimeenjoy hongera loveness na donta tv kijumla mnitangazie makaratasi za kupanda mti uko upande wa mbagara tz 🙏🙏🙏🙏 kutoka 🇰🇪
@Njunwa-DK9 ай бұрын
Mbn sstr ana kigugu mizi kam ume elewa nailo gonga ❤
@ZeynahKassitah3 ай бұрын
Team loveness wap jamn Nimepend alivyoigiz 🎉🎉🎉🎉
@GetrudaSanga-d7l9 ай бұрын
Jaman nyiee mnajua sanaaah 🎉🎉 mpaka kwenye maji, aiseeh kweli mko serious na kazi nmewakubali sanaaah
@magdalenew.mwanyota59019 ай бұрын
Kwani huyu dem anakigugumizi 😢😢😢😮😮😮😮pole sana kama nicha real ,l come in peace ✌️
@RachelThomas-ox3jr9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Yaan mmetisha sana donta Tv team gonga like apa tusubr next
@ubatokiza30823 ай бұрын
Sphs0fe❤9caovzj x😅😢🎉com american die hat 👒 💖 👒 die hat 👒 😳 😑 bsiomg❤
@HezronGeorge-rx3lb9 ай бұрын
Uyu dada wa arusha aiseee kakiwashaa 😅😅😅
@LoiceKatana-ci1tx6 ай бұрын
Kazi nzuri nawapenda nyote 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@DinaKatana-e1l9 ай бұрын
Wakwanza wap likes🎉🎉🎉
@Amina-i4r9 ай бұрын
Sijawahi ona vita ndo mwanzo huu 😂😂😂😂😂ila nyinyi ❤❤❤❤❤nawapenda bure🎉🎉🎉🎉🎉
@EmmanuelMaduhu-h3h3 ай бұрын
Nelli, braun na dada loveness nawakubal xan maixha marefu buan😂
@Everline-n3b9 ай бұрын
Love uko sawa hongera dadaangu
@سيييققق4 ай бұрын
Kama unawatch ukiwa gulf gonga like 👍 hapa
@roudhamahmoud7639 ай бұрын
Donta haki mnawarembo mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉
@MariamRashid-r5m4 ай бұрын
Ni kweli wagombanao ndio wapendanao,namuona mko pamoja ungedhani sio nyie mliopigana❤❤❤❤❤
@mamanyassri3139 ай бұрын
Jamani nyie 🎉🎉🎉🎉🎉❤ mbavu zangu😅😅
@KingMohaliyy9 ай бұрын
Nimeona matiti ya loveness ❤❤❤
@BOSSLADY36569 ай бұрын
Aki ww😂😂😂😂😂😂
@HamidaUwizeye-yu9ge9 ай бұрын
Pole sana love
@jumasalim13739 ай бұрын
Brown analazimisha kipaji hayuko vizuri kabisaa mpaka uongeajinwake anakaza meno sana
@purityneema2189 ай бұрын
Love kazi unaya ndugu kama awa kwisha
@Mufariji-w5v9 ай бұрын
Mimi wakwanza 🎉
@MercyMercy-l1k9 ай бұрын
Whaaaauuuu ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@kaybarakadoenoce9 ай бұрын
Hongera yako kuwa wakwanza
@Karyma-g3n9 ай бұрын
😂😂😂😂 waaah loveness kz hunayo apo 😂😂😂😂
@marymohammed-wf8tr9 ай бұрын
Love yani unafahamu kazi naishi congo ❤
@bazuriomari9 ай бұрын
Nimeipenda iyo😂🎉 iko vizuri sana
@GetrudaSanga-d7l9 ай бұрын
Jaman kwani Dayana yuko wapi et nmemmic vibaya mnooh 💓💖❤️
@deulemwangolo9 ай бұрын
Wapi like za 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AgnesMwende-p9w9 ай бұрын
Loveness maua hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kokenye90039 ай бұрын
Loveness jamani waaah 😅😅😅😅 more love ❣️❣️ watching from Saudia
@NiellaBwanike5 ай бұрын
lovness wew ni mzuri sna jamani 😚❤
@SubeithMohammed9 ай бұрын
Nipeni bac hata like jaman😊😊
@jamilashabani85809 ай бұрын
Dad Tusamehe❤❤❤ 😂😂😂😂 nyieeeeeee Shikamoonii
@AminaSaid-y4t4 ай бұрын
Jamn nerry me nakukubali 🎉🎉
@RizikiZiki9 ай бұрын
Nimecelewa kidogo tu siosana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@SuzanDithenya9 ай бұрын
Pole sana dada yangu lovenes.....😢😢😢😢😢 Umepata kaka wa kijinga
Mmmmh achen uongo jaman je kwenye Imani yangu mbona husemi vile kawa mtakatifu jaman
@rukiahassan70019 ай бұрын
Ata Bora huyu brown angeitwa maguvu..mana Kila series yeye Yuko juu kujifanya ndie bingwa wa mtaa
@JeannetteManirambona-o6m6 ай бұрын
😂😂😂loveness leo wa kaka zako wamekuvuruga akili😂😂
@vasticorubia9 ай бұрын
movie bila kunambi,,,kelvin na loveness haina ladha kabisa
@STANLEYKINYILI9 ай бұрын
Kenya Watching, twapenda
@MwaJuma-x3t4 ай бұрын
Tupo wakenya tukiwa gulf tunawapenda❤❤❤
@MariamRashid-r5m4 ай бұрын
Duh! Kivumbi Leo tuone mshindi nan
@AishaMwaka-q8p5 ай бұрын
Nakuamini love 😢😢😂
@BabyeSaumu9 ай бұрын
😂😂Nelly umeona heri uvaw nguo ya kulalia jameni...
@Muhsin-d3u9 ай бұрын
😅😅
@GetrudaSanga-d7l9 ай бұрын
🤣🤣😂
@HappyClownfish-tn7xy9 ай бұрын
😂😂
@bongomuviesworld9 ай бұрын
😂😂
@FatmaMbarouk-si6dv9 ай бұрын
Mm ndo wakwanza😂
@سيييققق4 ай бұрын
Loveness na ndugu zako😅😅 vituko kama vyote watakuua na presha😂😂😅nakupenda Loveness maua yako hayo 🎉🎉🎉🎉🎉kutoka gulf nikirudi kenya 🇰🇪 takuletea zawadi😅😅
@Kadzo-yf2yc8 ай бұрын
Waaaah hapa mumewezaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimeenda hiyo
@jenipherjames53369 ай бұрын
Mnajaza sana watu punguzen bn
@willymarbialekukuu61919 ай бұрын
Leo nimewai mapema 😂😂 nataka nione hizo likes zenye nyi huomba huwanufaisha nini?
@NajmaAmir-w6v9 ай бұрын
Pia mm NashAngaaa
@gitarindwiga27939 ай бұрын
Hope akuna barindi😂😂😂
@fgfvgggf69939 ай бұрын
Loveness leo ukiramba utaona cha moto na kaka zako
@sophianyamvula70808 ай бұрын
Loveness umecheza kma wwe ❤❤❤
@KwizeraNasri4 ай бұрын
😂😂😂😂 brauni anaubishi munguweeee 😂😂😂
@MariamRashid-r5m4 ай бұрын
Aya mtafanya kweli kazi kama mambo ni ayo ya vita tena mbele ya anaeitaji nyie😂😂😂😂 aibu tu
@NaomiSalewa9 ай бұрын
Brown ukubwa unakutesa na unakusumbua
@RammyanLewah9 ай бұрын
Waah!! Yani hata sjui nseme nn jamani
@mtanganyika-films9 ай бұрын
Bora mngeendelea kupigana tyu palikuwa patamu pale 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@carolkiptoo87039 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@TeresaBarasa-k4i9 ай бұрын
Kweli kabisa brother
@joycemuenimutua45069 ай бұрын
😂😂😂 much ❤️ from Kenya
@Mebo-o9y9 ай бұрын
😂😂😂Sina nguvu ya kucheka
@Tonywanjiku8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nwapenda bure
@jacksonmariki58479 ай бұрын
Yaan kwenye hii team yenu hakuna mwanamke anaenivutia zaidi ya loveness nikumouna tu kweny cover lazima ni watch movie
@mwanaimahassan51664 ай бұрын
Brown 💕💕
@mybenzii76084 ай бұрын
Loveneless kazi unayo🎉🎉🎉😂😂 9:23 9:25
@FurahaMwayaya6 ай бұрын
Na kuna familia nyengine wako hivi madungu hawapendani 😂😂
@FrancisCharles-o6q5 ай бұрын
Mnatisha
@EliaSaimon9 ай бұрын
Tupeni kesho yangu 22
@GloriaMtana9 ай бұрын
Mnachekesha kweli😂😂😂
@rukiahassan70019 ай бұрын
Yani huyu brown na roho mbaya kila series ata akiact series ya roho nzur hapendezi juu tabia yake na sura yake vinafanana Kila mahali kuwa ubaya ubaya ndio mana ukarogwa na James amba 😂😂😂
@odettafuraha65869 ай бұрын
😂😂😂😂nihatari kweli
@MavugoSimoni8 ай бұрын
Lovenesi mbona mzr sana ivyo
@tumaxaad9 ай бұрын
Braun una sura mbaya mpk mdomo
@JohnnormanNtunzwe4 ай бұрын
Afu jmn simtoe kipande cha8 na kuendelea movie ya penz la dad wakaz na mtt wa boss
@JemahEvaristo9 ай бұрын
Brown ana roh mbay uyo
@neemamabena-xx5er9 ай бұрын
Wamekua Kama wa Nigeria 😊😊😊😁😁😁😁
@AgnesMwende-p9w9 ай бұрын
Hi brown kumbe ndivyo ulivyo hta sura yaonyesha
@MussaMwalim-w5m9 ай бұрын
Huyu dada anasema vizur
@roudhamahmoud7639 ай бұрын
Pole love nes
@JohnnormanNtunzwe4 ай бұрын
Jamn loveness ni cute hataree napnd anavyoongea pia mnajua jmn
@Janethbebina8 ай бұрын
Natamani kuwaona life jamni wana donta sjui mko wapi