HUYU MAMA YAKE TINA ANAMPANGO GANI NA FAMILIA YA KELVIN???😢
@SaleheMohamed-fw5dm6 ай бұрын
Move nzuri sana hii ila.kev na wenzio jalibuni kuitoa kwa wakati isikae siku nyingi sana na iwe na dakika 50 itapebdeza
@ThomasWilliam-k5h6 ай бұрын
Mnakawiza kutoa movie jaman tunasubili mpaka tunachoka.
@HadijaHusen-od2bw6 ай бұрын
Saf sana
@MariamSalim-vk6dw6 ай бұрын
Hata mm najiuliza ni nn kinaendelea hapo ila jamani mnakawia sana kuleta mambo mazuri
@Lcyrus2666 ай бұрын
Ana mipango ya kutapeli mali za kina kelvi
@mariawawuda6 ай бұрын
Ni wangapi wanakubaliana na mimi kua kelvin wanapendezana na loveness na si kwa maisha ya kuigiza tu hata pia in really life for naonlea ingekua vizuri zaidi wakaoa kwa maisha ya kwaida pia😂❤❤ nawapenda sana wana donta tv ❤❤❤❤❤
@samsonkasinde13616 ай бұрын
Nikweli kabisa
@NAOMYKELVIN5 ай бұрын
Wazi wanaendana sana
@paulmokua24875 ай бұрын
Waoane walai😅
@OrestaMsagala4 ай бұрын
Umenena
@ZuhuraKibindo4 ай бұрын
👏👏👏🥰
@J.Kurgat6 ай бұрын
Nimejifunza mengi kutoka vipindi vya DONTA TV You are doing a great job Kelvin. Hongera Sana👏🏾 Gen Z from Kenya. 🇰🇪🇰🇪
@KijanaMwepexi6 ай бұрын
Nani anasema mapema ndio best wacha zikam liki 100🎉🎉🎉nawapenda sana
Kweli kabisa mali,utajiri,umasikini haviendani kabisa na mahusiano au ndoa huwezi kulinganisha kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa godjob godbless you
@macrinafuraha-zg3mi6 ай бұрын
Uyo mama tina yuko na mpango wake tofauti kabisa mkicheza mtarambwa kila kitu mali zote zitakua za mama tina na mwanawe watching from Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JeandeDieuMugisha-o6v6 ай бұрын
Yani Kevin usiitike kumuoa huyo mkosa adabu mi napenda lovenes ni mzuri ❤❤❤🎉sijui wengine wana semajee😂😂 tunangojea ep ifuatayo Burundi
@نيجي-ن1د6 ай бұрын
Kabisa
@PendoEmanuel-yj2mr5 ай бұрын
Kevi uko sahihi baba Baki kwenye msimamo wako
@ALFONCESKORIR5 ай бұрын
Lovenes is a real woman
@LeahMhekela5 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@martinamarugu445 ай бұрын
Pia anaweza Kutunza Siri ya mwenzie. Maana hajawahi sema habari za mtu mwingine
@ElizaGusenga6 ай бұрын
Jamani nimecherewa kutok burundii kelven bravo naomba like zangu bas❤
@FrankMaendeleo2476 ай бұрын
Jaman kazi za huyu jamaa Kelvin ziko vizuri sana gonga like twende sawa
@Dontatv2556 ай бұрын
Asante
@RosemaryAnyango-fc3ov6 ай бұрын
Saana ❤❤❤❤
@aishaallyaishaally32206 ай бұрын
Safiii
@HappnessYohanaRohongo6 ай бұрын
Kazi zuri sana kaka
@ShukranMwakyambo6 ай бұрын
Sanaaaa
@SophiaMdoe-lk1to6 ай бұрын
Nimependa sana kipande cha lovnes na kelvin tina hana thaman kwa kelvin hongeren sana kwa move tamu sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MARYNAGUJustin6 ай бұрын
Nakuuliza ww baba cevi na mkeo nyie mlichaguliwa wachumba? Kevi kaza❤❤❤❤❤❤🎉 god move
@Terry-e8e6 ай бұрын
Wow hii kipindi imenifunza mambo mengi sana ilove u all ❤team genz twende nalo likes za kevin na loveness❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JabanFranklin6 ай бұрын
Jaman weken hapa like za kelvin much love from Uganda kazi nzuri hongera sana
@EmmaculateNinsiima3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@GloryJosephMollel-yj3zj5 ай бұрын
Apo kweny swala zima la mapenz asee hayalazimishi moyo ukipenda umependa ban🙌🙌 Kelvin kazia apo apo
@YasintaMndeme3 ай бұрын
Ukitizama filamu hii kuhusu huyu mfanyakaz na kwawale wasiopenda familia zao zifanye kazi mnajifunza nn
@veeeveee-zh3et6 ай бұрын
Wakwanza Leo jmn like zangu plz
@nsengiyumvawhite64806 ай бұрын
Kelvin muowe Loveness ❤❤❤❤❤Tina ni malaya kabisa ata mavazi yenyewe anayo vaa ni yakimalaya kabisa achana na tina
@neemaJames-i7e6 ай бұрын
Najifunza mengi kupitia donta tv, kazi nzuri guy's ❤❤mob love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@MoneyKey247-fk4oy6 ай бұрын
Huyu jamaa anajua sana kuigiza hapa nchini Tanzania arafu anajua na kuimba kama unaamini nachoongoe gonga like hapa😂😂
@EmmaculateNinsiima3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@mohammedkidody561826 күн бұрын
Kabisa❤
@josephinejulius95996 ай бұрын
Jaman nimechelewa lakn nipen ata like tano tu😅
@Emeraldlady169206 ай бұрын
Wanao Amin kelvin atabaki na msimamo wake tujuane kwa like
@julianamaganga48033 ай бұрын
Moyo ndo unaongea
@AgnesMuthoni-qh7ye3 ай бұрын
Hapo sawa
@mohammedkidody561826 күн бұрын
Kabisa
@DianaDiana-ej6fn6 ай бұрын
Good work kelvin khan ❤❤❤❤,much love from Kenya
@kefaabuya-xs3uk6 ай бұрын
Huyu mama tinah yaan kama mchawi😂 Mbona analasimisha mambo ,love you guys 🇰🇪🇰🇪
@aishajuwinji38186 ай бұрын
Our best team 🎉🎉🎉🎉🎉💪 much love from Kenya 🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@metrinenyakoe17645 ай бұрын
Hongera sana kelvin series zako ni namba 1. Unatufanya tuchangamke. Watching from 🇸🇦 🇸🇦
@veronicasolange9306 ай бұрын
Ila kelvin si umuowe loveness maana mnaendana ❤❤❤
@MohammedseifAbeid5 ай бұрын
Hawaendan ban eeee😊😊😅😅😅
@LewisOmanga-g3u5 ай бұрын
Una maan amuone uharisia au??? Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe
@elvismigwi53375 ай бұрын
Ndio hamuoe loveness ni mwenye adabu ,busara na tabia pia ni nzuri
@JospinJospino-wd8fx6 ай бұрын
Kelvin nipo hapa shabiki wako. Wakuigwa kabisa ni wewe kwenye DONTA TV❤❤
@Amena-z5r6 ай бұрын
Jaman kelvin nakukubali mapenzi ni isia wala sio kulazimishwa mtu usiye mpenda wangapi wanakubaliana na kelvin tujuane kwa like ❤❤😢😢🎉🎉🎉🎉🎉
@GraceKistao6 ай бұрын
Namkubalia kelvin
@SallyFredy5 ай бұрын
🤝🤝🤝
@GraceIshimwe-d7p5 ай бұрын
Mimi
@GraceIshimwe-d7p5 ай бұрын
Mimi from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@KhaulatKhamis5 ай бұрын
❤❤❤ndyooo
@ImmaculateKutto-n2c5 ай бұрын
Kevin hebu rudisha kwa Mwenyezi Mungu atakubariki na mengi usifadhaike mioyoni mwako kaka 🙏🙏💟💟💟❤❤❤ wazazi ndio watajutia badae 😢
@KeyHamza-xi3yj6 ай бұрын
Wa kwanza kutokaa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 napendaga sana hii movie kwa hio like me alafu tuendeleye Ku enjoy
@lagogob6 ай бұрын
Woo❤
@EdwardLucasiNyagalu6 ай бұрын
Vp
@ImmaculateKutto-n2c5 ай бұрын
Tafadhali Mum nkusihi sna wacha kulizimishia mwanao mke mwenye Ampendi kwa sababu, Mungu 🙏alisema kijana atamwacha bba yake na mma yake pia msichana atamwacha bba yke na mma uke kisha wakutana namkewe wawe kitu kimoja wala si kitu kimoja tna ila mwili ☝️mwache kevin ajitafutie bavu yke mwenyewe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@CatherineMutua-y1g6 ай бұрын
Jameni kazi nzuri Kelvin umefanya 👌✅ piteni na like atakama Tano big up kelvin 👏👏👏👏🔥🔥🔥
@YamichiiLoshi-n7e5 ай бұрын
Kevin nakubali kakoe mwenyew unataka lovenes mweny loho nzuri kibao💃💃nasubili kipind kifatao nawapend sana
@franciscanyangau28076 ай бұрын
Kazi nzuri kelvin, naomba tafadhali utoe huu wimbo kama unaungana nami nipee like
@Dontatv2556 ай бұрын
Natoa soon
@HusnaOmarry6 ай бұрын
Kwanini utolewe,,
@franciscanyangau28076 ай бұрын
@@HusnaOmarry Namaanisha atoe audio ya huo wimbo umetumika kwa hii movie
@NiellaBwanike6 ай бұрын
Kwl kabisa huo wimbo ni mzur sana kelvin Cukua mauwa yako ❤🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
@BiziaMaziga6 ай бұрын
@@Dontatv255nitashuru ukitoa❤
@SarahBigera5 ай бұрын
Kazi nzuri sana, ushauri wangu ni kama move inaitwa mtoto wa boss basi iandikwe ivo ivo mtoto wa boss sio kijana tajiri alie jifanya maskini apate mke, maelezo mengi yanini... ayo maelezo tutayapata tukiwa tunaangalia move, move ni mtoto wa boss basi iwe ivo sio penzi la kijana maskin sijui nn... but sorry❤
@Terrymatyr-rl606 ай бұрын
Nigepata mwanaume akona characters kama za kelvin nigefurai sana....nigempenda sana tena zaidi ya sana..la kn wapi dunia ni dunia tu ila mwanaume mwema atajileta mwenyewe....with God all are possible....👋👋....napenda kazi yake kelvin.... movie zake ziko lit kabisaaa yaani zinaelemisha.... since nianze kutazama movie zake moyo wangu umetulia yaani mm hupokea tu advice kadhaa kwa kila movie....kelvin barikiwa sana....from Kenya 👋👋❤️
@Agatha-g6v6 ай бұрын
Kaz nzur sana jaman kelvin mnaeza sana na hongeren piah kwa kaz yenu mungu aendelee kuwapa ufahamu wa kujua meng zaid
@elishatitus9456 ай бұрын
Hakika kelvin umepiga hatua kubwa san ongeza zaidi ili uwe mwigizaji bora namba 1 tanzania kazi nzr sna nawapenda sna wote mnaotaza move hii na waigizaji wote kwa kutuletea move tamu sn
@Dontatv2556 ай бұрын
Asante sana
@NusratyYahya6 ай бұрын
Dont tv mnafany kz nzur san hongeren sn 👍👍👍
@nsengiyumvawhite64806 ай бұрын
Loveness ni mlembo kabisa wa tabia nzuli na sula pia ❤❤❤❤❤❤❤❤Kelvin kabisa Loveness usimluusu atoke mkononi mwako kabisa ❤❤❤❤❤❤
@AishaJafari-sh4pe6 ай бұрын
Waoooo TEAM KELVIN KAZI NZURI SANA MPATE MAUA YENU🎉🎉🎉🎉🎉
@AdviceBillgates5 ай бұрын
Kelvin kazi -kazi, nakubali maamuzi yako...ila ingekuwa vyema umwambiye mama yako mzazi ukweli kuhusu uyo muchumba wanakuleteya
@judithpendo99856 ай бұрын
Kupitia donta family najifunza mengi saaana jmn love from Genz 👊 team strong 🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣️❣️❣️🥰🥰🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@Dontatv2556 ай бұрын
Asante
@judithpendo99856 ай бұрын
@@Dontatv255 krbu ♥️❤️🇰🇪
@JohnMuyelele6 ай бұрын
gen z top
@KKK-v6j6 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉 pia me kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko pamoja
@judithogaya97306 ай бұрын
Team strong oyeeeee from Kenya 🇰🇪 currently Qatar ❤
@NatukundaJGeof5 ай бұрын
Ila mim namwambia Kelvin asilazimishwe nakupenda sana Kelvin ❤❤
@aishaaisha14856 ай бұрын
Mashallha mashallha mnaigiza move kama za India 🇮🇳 Nimekua shabiki ako kwasababu napenda vipind vya india na ww luvstre zako zinaendana sana❤❤❤
@aishalovesesibe5 ай бұрын
Kevin muowe Loveniss munaendana sana machallah❤❤from Saudia💋💋
@Allyahloleka6 ай бұрын
Loveness team yake tuko wangap like nakwangu bas
@Janetphoebe5 ай бұрын
Like
@ImmaculateKutto-n2c5 ай бұрын
Tuko wengi lazima ❤❤❤❤❤
@All-mishiMuhhdy5 ай бұрын
🎉💞💞💞
@HaidadiJuma5 ай бұрын
Waigizaji wa bongo mna idea nzuri sema uwasilishaji bado bado kidogo sema mungu atajalia mtakuwa sawa
@TausiMokiwa6 ай бұрын
Mapema sana nimewahi buludani nawapenda sana timu kelvin ❤❤❤
@DianaDianakarembojefwa6 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua ya kelvin na lovenes jameni movie n tamu hii msichleweshesh basi
@Kinyua-ye8kk6 ай бұрын
Baba Kevin Sio Sawa kabisa mapenzi hayalazimishwi Jamani mbona ulazimishe mtu apende aside mpenda
@Dontatv2556 ай бұрын
😭😭
@Neemmedadi5 ай бұрын
Kelvin msimamo juu ya msimamo pendezesha movie yako kaka
@IreneNyangeri5 ай бұрын
Eee mapenzi hayalasimiswi
@KADEMO34-tw9cb5 ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri donta tv 🎉🎉🎉🎉🎉 nipo Zambia 🇿🇲🇿🇲 na ninaipenda donta tv
@perpetualkihara256 ай бұрын
Kazi safi Kelvin hapa🇰🇪 twaenjoy.
@Salmah9Lwambi4 ай бұрын
Kelvin ushaaribu nangoja kesi 😂😂, ak mko vizuri Watu wa Donta TV ❤❤❤
@JusticeMathe-s9b6 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Congo 🇨🇩 nimewahi mapema sana
@FatumaKitumbe5 ай бұрын
Mm hapa NK Kwa loveless n Kelvin love you somuch ❤❤❤❤❤❤❤❤
@EricMiheso6 ай бұрын
Kevin msimamo wko ni Wa Imara, je kiuwalisia kamili sifa ulisonazo na ni Sawa Sawa na Kevin tunaowajuwa la kama ni hivyo basi nyota yko ing'ae Sana na nawaomba Sana Kevin wote duniani kote wakuige ww ❤ sna kivin
@sharonemsungu21565 ай бұрын
Walai mapenzi hisia❤❤yani nawapenda sana watanganyikà basi twasubiri next
@manirakiza-y7v6 ай бұрын
Kazi nzr bwan kelvin mauwa yenu🎉🎉🎉🎉nawapat nikiwa Burund🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MawazoJustin-fw2ws6 ай бұрын
Jamani napenda sana kazi za kelvin adi ivi nalotaga penzi la dada wakazi iyi inazidi kelvin ongera kaka yangu ❤❤❤
@PheniasRugemalila6 ай бұрын
Nmekupenda🎉🎉🎉
@MawazoJustin-fw2ws3 ай бұрын
@@PheniasRugemalila asante nakupenda pia❣️🌹
@AbdllaAmour6 ай бұрын
Yaan huyo mama mwanga ❤ila tusubir tuone❤❤me yang macho na mashkio❤❤❤
@محمدالرويلي-ي1ز9ب6 ай бұрын
Hongera Kwa Kazi yenu nzuri mnayoifa nya nilikua nasubiria iendelee😂😂😂🌹🌹🌹
@Dontatv2556 ай бұрын
Sawaa 🙌
@PrinceAmos-y8t6 ай бұрын
Nakubali sana master movie nzuri sana ❤❤❤😂😂🎉🎉😢😮😅😊
@Dontatv2556 ай бұрын
Asante sana
@Frola-r9z6 ай бұрын
Hongera sana kaka ❤❤❤
@KondoMagwaja-u7g6 ай бұрын
Kaka Chande yangu inaitwa rangi3tv
@KondoMagwaja-u7g6 ай бұрын
RANGI 3TV
@TriphoniaDugange5 ай бұрын
💐💐
@2pacBoy-c2p3 ай бұрын
Jamani kwenye mapenzi tujaribu kua wakweli kama alivyo sema bro Calvin kwenye mapenzi kumekua na wafanyabiashara
@Aisha-ld3ol6 ай бұрын
Lete raha❤❤🎉leo mm n wakwanza 🎉🎉🎉
@ErnestoFrancisco-ct8cv6 ай бұрын
Primeiramente agradecer pela oportunidade que Deus nos dá , irmão Kelvin gosto muito dos seus caminhos andados .... nos seus filmes sempre consigo compreendo algo muito importante e aquele outro filme intitulado Kesho Yangu
@AmirNgunde6 ай бұрын
Kazi mzuri uwo wimbo ni mzur sana usiutoe kaka
@Kaisermochama6 ай бұрын
Asante sana KELVIN nilikua nasubiri hii movie kwa hamu na ghamu uku KENYA tunapenda sana movie zako saana❤❤
@Justin_Nano6 ай бұрын
😂❤Ila na wewe Kelvin😂😂😂 umesha haribu hapa subiri kes
@wachiyevellah54806 ай бұрын
Shida yenu ni mmoja mnatukalisha sana kutuletea next episode ingekuwa vizuri mnatuletea episode mbili once.
@suleimanally91276 ай бұрын
Leo wa kwanza naomba like zenu😂
@ashamrisho13225 ай бұрын
@kelvin m NAOMBA kumfahamu MKE wako halisi ukiachana na mambo ya uigizaji maana natakà nimpongeze Kwa kupata mume handsome na mwenye akili baba Hongera❤️👏👏
@AishaNibizi6 ай бұрын
Jamani munipe like zangu wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮 KEVIN liké yangu
@numpefikimwaipopo6 ай бұрын
Like ni za Akiba Kelvin
@numpefikimwaipopo6 ай бұрын
Like sio zako dear ni za Akina Kelvin
@GraceKistao6 ай бұрын
Likes so zako mama
@Moreen-f2n5 ай бұрын
Kelvin jikaze utapata unae mpenda never force to love someone who you don't love 😢
@RachaelizerBephon6 ай бұрын
Mapenzi n hisia wala c kulazimishwa❤.......team strong........napenda sana mafunzo yenu
@Iryne-m6f6 ай бұрын
Ni ukweli kabisaa wanaume wa sasa hivi wanatamaa ila sio mapenzi ❤❤❤. Mamake Tinah kuna kenye anataka kutoka kwa familia ya kelvin, anamtumikia mwanawe kukamilisha matatizo yake ambayo ni njia mbovu zaidi.
@abdulmutwi2 ай бұрын
Kama keeli unamuamini mungu na uko hai kwa abilit yake bas dondosha like hapa kwa kelvin na loveness 💏🎉
@Muhsin-d3u6 ай бұрын
Wakwanza leo kama wamkali kelvin team hamman hoyeee🎉🎉🎉
@AgnesMwende-p9w6 ай бұрын
Hii movie iko sawa kabisa hongera sana kelvin, loveness na tina 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Dontatv2556 ай бұрын
🙌
@HappyDaudi-ub4hw6 ай бұрын
Congratulations wana donta tv family ❤️❤️❤️ me nawalolo ❤️❤️❤️ maua yenu mpewe kazi nzuri sanaaaa 🎉🎉🎉
@Dontatv2556 ай бұрын
Asante
@AmosMungei6 ай бұрын
Kazi nzuri sana...Kevin keep it up ....uzuri wenu hamchelewi kuleta episode
@JaneJane-h2i6 ай бұрын
Nivizur sana kushukulu kazi za watu ❤❤❤❤❤❤❤❤ hakika wewe kelvin ni mtu wa maana
@neemaneychricious64936 ай бұрын
jamniii una kaz nzurii kelvin penda sana kazi zako namwona kanumba number one tz unakoelekea ni pazur sana kaka una madin ya kutufanya tuinjoy na kujifunza sana
@Dontatv2556 ай бұрын
🙌🔥
@AmJ-u6w6 ай бұрын
Wa kwanza nipeni likes
@Pizzofoca.official5 ай бұрын
Mwanamke nzul ap lovness2😜😜 kama kuna anaeliona ilo aweke like ap kwa patronize✊✊
@metrinechonge22016 ай бұрын
Wow! Kazi nzuri sana Kelvin, Mungu akujaalie uendelee kunawiri kwa uigizaji
@Lili-z6s3v5 ай бұрын
Mimi naomb team kelvin series itakapoisha hako kanyimbo tunaomba na kenyew mkatoe na wanao nisapot wanipe hat like kum tu
@preslynejepkosgei80145 ай бұрын
Mimi pia nimeipenda iyo wimbo bana naitaji
@hawababy1206 ай бұрын
Kazi nzuri kelvin nilikua nasuburi muendelezo unaweza👌👌🇧🇮🇨🇦🧚♂️
@callbenmusic20875 ай бұрын
kazi nzuri sana movies zenu huwa zinastory kali sku zote
@ZuwenaRamadhan-v2f6 ай бұрын
Kila mtu nimelike yake na Mimi jamani Sina ata. Moja
@kennedymusonda-r4u6 ай бұрын
a Kelvin ume ni asha nautamun sasa sasa nime ngoya tena 4 Partir na 5 partir nime upenda Sana iyi mafundisha sasa ❤❤❤
@rodgersmwagu2396 ай бұрын
Wakwanza Leo from Dodoma naomba like 10 tu wakuuu
@Dontatv2556 ай бұрын
👋
@MachoMicheal-hx4ec6 ай бұрын
Ok
@HawaHemedi6 ай бұрын
@@Dontatv255kutuonjesha utamutu Ila kutugeya kwaeakati aaaaaah😅
@HawaBeka-t4c6 ай бұрын
Movie hamutumi kwa wakati sijui Muna matatizo Gani na hii movi saiv Ndo unayo pendwa na watu wengi kuliko hizo munazi zituma Kila siku sijui za kijana tajili alie jifanya masikini ili apate make Bora halàfu pili sitor zenu zina fanana sana kalibuni kubarish sitor wapenz tu wapend ndo maan tunawashauli na kulalamika wa dau wenu kumbuken sisi ndo tunawo wafany mkuwe zaid kikazi kwa sapoti zetu@@Dontatv255
@bababoni.75466 ай бұрын
Kelvin ⭐
@jamesmusukwa2292 ай бұрын
Kelvin umeongea Kwa hisia sana Big up brother ❤❤❤❤
@RaudhwaAbdallah6 ай бұрын
Nimewahi japo sio sana weuweee 🎉🎉❤❤😊
@RehemaNyange-q1g6 ай бұрын
Nimeipenda hivo film juu ya kamziki kake tu💕💕💕
@RehemaNyange-q1g6 ай бұрын
Toa audio yake naitaka
@HappyMtawali6 ай бұрын
Sijachelew san ila bonge la movie maua🎉🎉 ya Kelvin abaki kwenye msimamo wake mnipe like ata 5 tu jmn
@uwamahoromarielouise43396 ай бұрын
Nawapenda sana from 🇷🇼💗💗🎉🎉🎉🎉❤❤🙏
@MajimbiTz6 ай бұрын
Wa Kwanza leo nipeni like 5
@Deborahkwenihera5 ай бұрын
Napenda sana movie yenu, nachunga kwa kiu kubwa NEXT toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AliceKai-gs2xc6 ай бұрын
Nimerauka kutoka qatar napenda sana hii movie
@SebMwansopeАй бұрын
Mwachen Kevin achague mwanamke anae mpenda ata mkilazimisha napo ndoa aitadumu❤❤❤❤ au Mwenzang unasemaje