huyu mama kaenda leba ndiyo maana anahuruma mungu akulinde piya akuwongezee maisha marefu kweli wamasayi Wana nyanyaswa sana sana nauliza swali ivi ingekuwa yeye anaambiwa Zanziba inauzwa angejisikiaje mmmmmm lakini ajuwe mungu anaona kilakitu kunasiku itamrudiya mtu kama pesa yariba mungu nakuomba uwatete wananchi wa ngorongoro mungu shusha malaika wako kweli ubaguzi imeingiya mmmmm😭
@success-onlyАй бұрын
Good
@mataypanga52624 ай бұрын
Hiyo ya kutafuta makazi yao karibu na Ngorongoro ni sawa
@KasangaKalanga-vo6od4 ай бұрын
Huyu mama ni sikio la kufa hasikii ila tutapinga hata kama kwa damu