Katiba ya Zanzibar inalinda wazanzibari na Mali zao. Katiba ya Tanzania bars inanyanyasa wamasai na Mali zao zinauzwa. Mungu atahukumu siku Moja. Mh Magufuli alisema mtanikumbuka Kwa mema Sasa ndio tunamkumbuka Kwa mema.
@arafatyhussein6 ай бұрын
Kwa kweli Tanzania nakulilia. Sasa nimeanza kuelewa maana ya wimbo wako ndugu Ngurumo
@KishaKisha-ux4ul3 ай бұрын
Duh mungu awaokoe wamasai. Hawatendee mwujiza. Sio Kwa shida hizi.
@philimonndinadyo21202 жыл бұрын
Nimejisikia vibaya kwamba nchi inauzwa inauma sana
@shakiru-y7g4 ай бұрын
jamani,tamaa,tamaa mbona zimezidi,watu wanamimali lakini awaridhiki,hivi nyoyo za kila raia wa nchi hii akiliona hili kuwa linawagusa masai na hawa ni ndugu zetu,kwa kutwezwa na sisi tunajiiita Watanzania tumenyamaza,hivi hii nchi ikoje? hivi raia tuko wangapi na wenye viburi ni wangapi wasiosikia sauti za wengi.hii sio haki,hivi watu na wanyama ni kipi kina thamani,kweli binadamu analinganishwa na wanyama.
@nagwaahamushenyi62822 жыл бұрын
Ukoloni mamboleo unakuja kwa kasi sana. Afadhali enzi zile za akina Chief Mangungo wa Msovero.
@PhilibetLadislaus Жыл бұрын
Hata jeshi linanapewa au kupata msaada kweli nchi imeuzwa
@wardw30222 жыл бұрын
Mnyoge hana haki dunia hii haki ya mnyonge iko mikononi kwa mwenye nguvu
@mariamushendwa82712 жыл бұрын
Wao wafanye wanavyoamua ila wasinyanyase wananchi.
@raymondnlelwa4273 ай бұрын
NCAA Ni Ngorongoro Conservation Area Authority, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro. Wanaotetea kuondolewa kwa Wamasai wanafanya makosa makubwa sana, waacheni ndugu zetu wakae kwenye maeneo yao, huko ndiko iliko asili yao. Halafu STOP EXPLOITATION IN NGORONGORO Please!!!
@geraldbenjamin93022 жыл бұрын
Well presented
@johakhimu.mgembe.32974 ай бұрын
Wamasai wa Eneo hilo.Wasaidiwe kwa hali yoyote.na Heshima yaEneo hilo.ilindwe.Kama kuna Atakaye kuwekeza Akawekeze kijijini kwake Alikozaliwa.Acheni kusumbua.Nnchi.Kila ,mtu ana kwake.Tutawasaidia.Walikomboe Eneo lao.Tuondoreeni Ukoloni Ns Ubaguzi Mambo leo.Ni Aibu kwa Taifa kuuza.Nnchi.Uongo una Mwisho Wake.
@margarethpolepole74383 ай бұрын
Kweli nchi imeuzwa
@exseviangaeje11582 жыл бұрын
Inauma sana jamani Kama ni ivi bs nchi inauzwa
@wardw30222 жыл бұрын
Kambe namuona Ndungai kwa mbali
@arafatyhussein5 ай бұрын
Kwa msio jua NCA kirefu chake ni National Conservation Area. Ambapo ikikaa muda mrefu inapandishwa hadhi nakua National Park, ili kuwa national Park ni lazima ipite kwenye hatua Tatu hatua ya kwanza ni Conservation Area, ikifuatiwa na game reserve finally inakuja kuwa national Park. Kwenye conservation area/pori la hifadhi huwa kuna wanyama+watu (watu wanaruhusiwa kuishi) kwenye game reserve Sasa watu hawatakiwi kuisi kwasabab linaandaliwa kuwa national Park pia linahusihswa na ongezeko kubwa la wanyama hvyo kuepusha mgongano & mauaji ya maliasili binadamu wanalazimika kupisha eneo Hilo.
@adelinelyaruu30363 ай бұрын
Sheria zinasemaje?? Awamu zote zimepita. Why now??
@aminielkombe663 ай бұрын
Jamaa anajua kuelezea sana, mgogoro umeeleweka
@PhilibetLadislaus Жыл бұрын
Polisi hana akili
@Kwarasi4 ай бұрын
Katiba yetu inapiga marufuku kuuza aidhi Kwa watu wa nje
@dicksonwanyama16893 ай бұрын
2years ago 😢
@RhodaKibona Жыл бұрын
Heeeeeere,jaman,kwann nn kinatokea?????polen ndugu zetu wa ngorongoroMungu awasaidie,heee,nitanzania kweri!!! Au naota!!!! Haiwezekan,jaman,mtu anaweza kufanya hivyo,watanzania tunapendana,sana,,,
@samsonmaiko60892 жыл бұрын
Nahuu ndio ukweli, Sasa waTanzania niwakati wakuungana, hakichukuliwi kituu!!
@kenedrocky59642 жыл бұрын
Asante mkuu 💪💪
@deusthomas11503 ай бұрын
Ingefaa Wewe utumike kunyoosha pale palikopinda tena ndani ya ikulu ya serkali huenda mambo mengi ungewasaidia kuwaepusha tatizo la nchi yetu watu wazuri wanapotezwa yanabaki wajinga na machawa hongera Sana brother
@rizwankiaze92642 жыл бұрын
CCM waalimu Toka enzi hakuna atakaepona waache wakae kimya
@mutahangarwasamwel46432 жыл бұрын
Ata mimi nawaombea kenya
@KishaKisha-ux4ul3 ай бұрын
Toka Tanzania ipate uhuru Marais wangapi wametawala hawakuwahi kunyanyasa wamasai kama hivi? Bila huruma Wala nini .wale Marais wote waliopita walikuwahawajui maendeleo? Amejua kutoa habari za ukweli na uhakika. Eeeee mungu baba tusaidie.
@elibarikimollel71493 ай бұрын
KWA MAELEZO HAYA MAANA YAKE NI KWAMBA: Hakutakua hifadhi tena,wala utalii na wamasai, eneo lote litakua la Wageni walioingizwa na serikali kuchimba madini na kujenga maeneo ya starehe na makazi yao, mradi ambao unapewa sifa zote za maono ya Rais kuwekeza,kupanua ajira,faida kubwa kiuchumi lakini hakutamnufaisha mwananchi hata mmoja zaidi ya kulindwa kwa nguvu kubwa na Jeshi. Ndani ya serikali wapo watu wachache(kundi) lisilojulikana limeamua kunyang'anya watanzia ardhi ya ngorongoro na loliondo ili washirikiane na wageni hawa kama wabia! Hili kimamlaka wanaona ni rahisi lakini wataacha sintofahamu kubwa kihistoria bila kujua ni migogoro ya kudumu.
@healingclinic6983 ай бұрын
Sijui kama watanzania ni lini watafunguka akili wamekalia mipira na. Ujinga ujinga wa kujaza bongo fleva kichwani tu
@ismailissa77802 жыл бұрын
Watanzania tunauzwa sisitumelala tuamke
@ChristmasMaheri3 ай бұрын
Sababu nyingine ni kuwa utawala wa United Arab Emirates unalenga kununua Ngorongoro kwa kutumia uchoyo wa utawala wa nchi yetu wa fedha za wageni.
@mkijilukali20102 жыл бұрын
Ujingatunao fanyiwa utaishanawanaotufanyia wataondoka wao sikuzao zinaidabika
@Lubango-gj3ud4 ай бұрын
Inakuwa ngumu kuisha kwa sababu walioyafanya haya wanarithisha watoto wao kwenye system wanaenedeleza uozo huo
@LalakwaLekinanga-cj5ke7 ай бұрын
😢😢😢😢
@adelinelyaruu30363 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@mariamfaicalhassan28903 ай бұрын
Hivi Lakini si nyie ndiyo mlisema mama anaupiga mwingi?.
@akimuwaziri40892 жыл бұрын
Hiv naniameanza kuuza nchi? Jaman?
@twahathomas35142 жыл бұрын
Mwinyi
@verdianabanabi22052 жыл бұрын
Yaani kama ndiyo huu utawala tunamwomba mungu ajidhihirishe
@MukhtarBurah3 ай бұрын
HUYU MZEE MWINYI NDIO MBAYA SANA NA M,MUNGU ATAMUKUMU HUYU MZEE MWINYI NDIO KALETA MATATIZO MENGI SANA UKO MBUGANI M,MUNGU ATAMUKUMU ....
@agnessangawe38443 ай бұрын
Spika Ndungai alisema ukweli?? Alikosea tu kusimamia ukweli aliogopa
@MukhtarBurah3 ай бұрын
ANDOKE MWARABU SIO WAMASAI HAWA KWAO HAPA HAO WARABU NDIO WANDOKE SIO WATANZANIA
@rizwankiaze92642 жыл бұрын
Wanapambania matumbo Yao tu
@sarahnyanda43073 ай бұрын
Kwa hiyo huyo muwindaji ana thamani kuliko raia?????
@edwardnamakonde1562 жыл бұрын
Unafikiri angekuwapo mzee wa awamu Ile AK Magu angechukua hatua Gani?
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Kwani alichukua hatua gani? Kama angechukua hatua hawa wangetokea wapi? Mikataba hii si ya Samia.
@mariamushendwa82712 жыл бұрын
Kwanza ni nani angesimama kuuza thubutu yake.
@hendrycomonsiwenga11282 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo Jibu swali kwanza ulilo ulinzwa. Kisha na wewe ndiyo uulize swali.
@twahathomas35142 жыл бұрын
Magufuli hakufanya lolote kwa watu wa ngorongoro japo walimwomba tulimuomba atusaidie tupate uhuru km watu wengine
@agnessangawe38443 ай бұрын
Kumbe kuna rais mtaafu anajenga hoteli mle ndani??
@ndiditheodore593616 күн бұрын
Msonero area and mixing tribes is going to be another Gaza, ( Tanzania Gaza)
@MukhtarBurah3 ай бұрын
VIONGOZI WETU KWELI MAFARA SIO WAZALENDO NA HUYU MAMA SAMIA ATUFAI KABISA WATANZANIA TUSIMCHANGUWE HUYU SAMIA HANA KABISA UKALI MAWAZIRI WANAFANYA WANAYOTAKA NA HUYU MWARABU NI NANI HAPO TANZANIA?MPINGENI RISASI M9JA TU ...YANI MWARABU BORA KULIKO WAMASAI ?WAMASAI NI WATANZANIA
@johnsinyinza74502 жыл бұрын
Kupambana na wenzako Wana mabomu bunduki Wala vijana msijaribu mtakufa Kama mbwa. Mkipige chini.chama chao mbadiri utawara..
Shikamoo. Ndugai RIP magufuli Samia mungu anakuona
@paveayoonlinetv6162 жыл бұрын
Matapeli wahuni sugu ....Hakuna eneo lililouzwa na ndio maana unajiuma uma inasemekana inasemekana inasemekana inasemekana utapeli tupu lakini watanzania wanajua kila kitu..... acheni utapeli
@hamisijuma32762 жыл бұрын
Sema yako tusikie
@amosantony95462 жыл бұрын
Ataanzaje kusema 🤣🤣
@kisotasekwang77542 жыл бұрын
Huna unachokijua ,, wanangorongoro , samia na Misiemu wenye njaa kali na tamaa vimeuza ardhi ya wananchi bila ridhaa yao na kumpa Mwarabu kutoka dubai .. Uzanzibar imekuwa inanawumiza watu wa bara , bora muungano ivunjike tu
@africanmandetraveler28472 жыл бұрын
Nawewe umekula hela ili ueneze propaganda na chombo chako feki pavEAyo online .
@raymondnlelwa4273 ай бұрын
Wewe huna unachoju ni chawa tu, Pambafu!!
@MukhtarBurah3 ай бұрын
VIONGOZI WETU KWELI MAFARA SIO WAZALENDO NA HUYU MAMA SAMIA ATUFAI KABISA WATANZANIA TUSIMCHANGUWE HUYU SAMIA HANA KABISA UKALI MAWAZIRI WANAFANYA WANAYOTAKA NA HUYU MWARABU NI NANI HAPO TANZANIA?MPINGENI RISASI M9JA TU ...YANI MWARABU BORA KULIKO WAMASAI ?WAMASAI NI WATANZANIA