Dosa unazungumza sana mpira kaka mungu akubaliki redio yoyote ikupe kazi ndani ya mwaka 2025.Naachalia baraka kwako.broo
@RaymondZuberiКүн бұрын
Dossa unaongea mpira ❤😂
@yusufulimo5737Күн бұрын
Dosa unanyosha sana kaka endelea kufundisha wengine kuongea facts za mpra kaka😍
@HamisiAthumani-vz1oi12 сағат бұрын
You are so clear broder!!
@RonaldoJohnbwireКүн бұрын
Dosa sema Baba upo sawaa😂😂😂
@abtway6622 сағат бұрын
Dossa mzee wa kunyoosha , chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SilvaSendeu22 сағат бұрын
DOSSA kweli wewe ni mwanamichezo na hasa mwana futiboli. Huwa unasema ukweli hupepesi macho. Uu mwananchi uu mnyama lakini ukweli uko mbele yako. Keep it up brother.❤
@SamsonLoramatu-w5gКүн бұрын
Hongera broo unajua boli
@MaulidyMadyoКүн бұрын
Dossa mpila unaujua konger kwako
@ChristinaMwapelele23 сағат бұрын
Kaka mungu akuinulie radio peyote ile yenye ubora sio kwamba unaisifia simba hapana bali umekaa kiuchambuzi zaidi kuriko ushabiki 2025 ni mwaka wako mungu akakuonekanie
@ebisomola998923 сағат бұрын
Nakubaliana na dosa hii mechi ilibeba hisia za watu wengi maana hata huku kwetu same kwenye banda umiza tumeingilia kwa buku wakati mechi zingine ni jero
@cosmasnkomba4547Күн бұрын
Ongera.sana unajua sana mpira
@vumiliaangomwile4076Күн бұрын
Asante dosa,mm simba
@essaumapunda576610 сағат бұрын
Dossa wkt mwengine una akali big up
@Shu-w7f7 сағат бұрын
Ww Tumenyimwa Goal Hukuona
@AbdiBakari-j7r7 сағат бұрын
Kweli kaka
@rishasboytz612012 сағат бұрын
Tumenyimwa gor😅😅😅
@aliabdallasaid317414 сағат бұрын
Dossa unafeli kidogo mbona husemi kama magoli ya mkono marefaaii wanayakubali na wachezaji wanaruka mbona huyasemi yote
DOSA nakukubali sana lazima nisikilize interview zako huwa unaongea kimpira zaidi
@MussaEnock22 сағат бұрын
Leoo nakupa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
@GabiMagКүн бұрын
Wanaosema Dosa ni Bonge la Mchambuzi Gonga like Jamaa ni Geneus....💯⚽️
@anithawidambe754322 сағат бұрын
UPO SAHIHI SANA DOSA KM KUNA REDIO YOYOTE APATE AJIRA YA UCHAMBUZI WA MPIRA UNAJUA SANA DOSA.
@IsmailMteleke22 сағат бұрын
Hakika kaka mech yA kumpa ubingwa Simba ni Moja na tunaingoja
@FredyBennymassawe20 сағат бұрын
Acha uoga broo ligi Bado sana
@AbdulAzizi-e7i11 сағат бұрын
Uyu safar hii kanunuliwa dosa atumikia kibarua chake
@EvanceFidelis-wd9wj11 сағат бұрын
@@AbdulAzizi-e7i ckiliza point uckalili porojo za vijiwen
@sharifuasali78349 сағат бұрын
Siamini sana maana tabora wenyewe mbona waliwafunga yanga,,
@robertchazya235119 сағат бұрын
Dossa ni Simba, Mchome ni Yanga ✍🏽📌📌
@charlesnzenga468123 сағат бұрын
Leo una akili zote zimetulia Ila kwa refa umechefua nimekubali kwa kuwahi umetumbukiza ushabiki 😂😂
@SuleimanMuhammed-g7q23 сағат бұрын
Huyu jmaa tunajua ni mshabik wa yanga lkn anajua mpr hana unazi,co km yule mbwa wa godyanga hajui mpr
@LindaMbilinyi-n3nКүн бұрын
😂😂😂😂😂ubaya ubwela
@mombasa007616 сағат бұрын
Maneno mengi sio kujua mpira❤
@EmmanuelLuoga-c1o23 сағат бұрын
SASA NIMEKUELEWA BROTHER UNA AKILI SANA
@mohamedpesambili946013 сағат бұрын
Nyiny pelekeni milioni Mia kuhonga timu Ila Sisi tunamtunza Refa tu 😅😅😅
@suleyhaji531312 сағат бұрын
Kati ya watu wanaojuwa mpira dossa ww kiboko bro unajuwa alafu unajuwa sana
@VincentLucas-co9io23 сағат бұрын
Dosa upo kama wachambuzi ushwala mpira ndio kwanza mechii ya 15 Ndio maana wezetu mpaka uwe mchambuzi mpaka ucheze mpira tena ligi kuu Wewe mpumbavu tu baadae utageuka😢
@lonesomekabora5547Күн бұрын
Mbona huongelei goli la KiBu lililokataliwa?
@awetumtengera1147Күн бұрын
Siyo goli lile
@leonardchristopher029222 сағат бұрын
Sema huyu jamaa anaongelea mpila vizur sana kuna muda ushabiki anaweka pembeni anazungymzia mpila
@AmanJelemih12 сағат бұрын
Dossa chukuwa amaua yako🎉🎉🎉🎉
@BussanaMillingaКүн бұрын
We dosa huwa nakufatilia sana sana mda mrefu unaongea point za maana sana kaka mungu atakuona Huna baya kaka
@AbdiBakari-j7r7 сағат бұрын
Dosa kweli ukopowa kanda
@Neemaneemaelias649 сағат бұрын
Hujawahi ongea upuuzi kak upo sahihi
@RamadhanAlly-h2xКүн бұрын
Anaumia maan huyo ni utopolo hawez kufurahia ushindi wa simba hata siku moja
@knotsjronlinetv64223 сағат бұрын
Star alindwe
@PetergodlistenMahala12 сағат бұрын
Hakuna mjinga kawewe huna point yoyote
@DansonMasaiКүн бұрын
Muda mwingine unaongea kimpira Sana dossa
@taucdulle746022 сағат бұрын
Sie hatutaki ubingwa nyieeee😂😂😂yanga msim huu hajaongoza ligi
@ousmanesaidy832711 сағат бұрын
😂😂😂
@BakariHinderКүн бұрын
Dosa nakukubali sana japo me mnyama unazungumza ukweli
@AbuuBakar-h7n7 сағат бұрын
Wewe dosa acha uongo mwingine inamaanisha wachezaji wa singida hawakuwa off said ?
@richardlemama514222 сағат бұрын
Huko Bongo kuna Jamaa kapigwa marufuku kujihusisha na mpira. Sa sijui ni hata kuukamata mpira ?
@ManyemaSixberthКүн бұрын
Maneno mengi mkibebwa mbele mwiko kelele amna Mnyama Bingwa.
@leonardmadelemo30438 сағат бұрын
Siyo kweli kwamba simba akimfunga yanga tayari kawa bingwa,nakataa top 4 bado Ina nafasi ya kuchukua ubingwa namanisha yoyote TU..,thn nakukumbusha league Ina mambo mengi hapa katikati kuna majeruhi,performance za wachezaji kushuka,fatique miili,utimamu wa mwili na akili,...!! Sasa unawezaje kusema simba akimfunga yanga tayari yeye bingwa... League ni marathon tena ndo kwanza round 15....bado sana mpaka ifike round 25,na kuwe na gape la points kadhaa vinginevyo hapana
@AlexrobertGasperly23 сағат бұрын
Ila kwa leo umeongea point
@JoelManase-p8s23 сағат бұрын
Dosa uko vzr San mtu wa maana kabisa
@MembaSanga19 сағат бұрын
Unajitaidi sana kuzungumza ukweli brother
@DeoNsemwa-g1mКүн бұрын
Dossa ni mwanasport sio mpiga kelele
@FarisPastory21 сағат бұрын
Kuna watu wengi wanashabikia team siyo mpira
@thabitisimba114310 сағат бұрын
Dosa leo umepata akili
@JonhJoseph-w8j23 сағат бұрын
We nimtu wampira kaka
@MordAlly-ng8jj16 сағат бұрын
Dossa unastahili kuwa mchambuzi ktk chombo kikubwa cha habari, umesimama kwenye uhalisia sio upenzi, kuna kipindi cha nyuma nilikuwa sitaki hata kusikiliza interview zako. Sijui ni mwalimu gani aliyekufundisha ku analyse details na kujibu maswali. Nakukubali sana
@MchinaJr12 сағат бұрын
Ww nimuongo sana simba kanyinwa goli alio fungu kibu limekataliwa kibu kakanyagwa ndani ya box refa kakataa ww hujui mpira msenge to
@hamisiabdallah976215 сағат бұрын
Sisi bado tunajenga team waala hatuna shida na ubingwa
@Allmaster-q4h22 сағат бұрын
Vizuli vizuli
@alexmwingira726713 сағат бұрын
Unastahili kuchambua Mpira kwenye radio au t.v Fulani sio mashabiki wengine wa utopolo wao wanaongea ushabiki.
@FredyBennymassawe20 сағат бұрын
Hiv unavyoona wewe simba tunaweza kumfunga azam na yanga?😂😂😂😂
@RamadhanMsuya-eq3zf22 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@anithawidambe754322 сағат бұрын
AMEONGEA MSEMAJI WA SINGIDA KUWA WALIPEWA AHADI KUWA WANGEIFUNGA SIMBA TUU WANGEPEWA ZAWADI. KWA HY WALIPEWA HELA
@MaryKagoma23 сағат бұрын
kwendaaaa
@joellongidare828021 сағат бұрын
Wewe ujui kitu
@Isakhiayusuph-jb3yx10 сағат бұрын
Gusa achia tubaki nafasi ya pili
@MWATANOMOTEE22 сағат бұрын
Simba bingwaaaaaaa
@MudiMachi20 сағат бұрын
Does nakufatiria sana pia nakukubali sana unaongea vitu adimu dossa
@ZuberySheketo15 сағат бұрын
Acha upepo wagiza uo
@caristuskabibi347013 сағат бұрын
Anajua mpira jamaa
@Shu-w7f7 сағат бұрын
Na Kayoko je umemsahau
@Tomasimkopi13 сағат бұрын
Dosa upo vzr unaongea kimpira una upndeleo wowote ata kwenye krabu yako ya yanga kua ivoivo utakua mchambuzi bora
@Salimramsey-x8u20 сағат бұрын
Kweli dossa umeongea ukweli mtupu
@FumaoFumao-d8w17 сағат бұрын
Lawama hizo sio wanasimba
@LaulentLameck14 сағат бұрын
Haaaaa makolo nao wamepata mchome
@mombasa007616 сағат бұрын
MPIRA HAUCHEZWI KWA MANENO.
@AgnesJohn-f1r16 сағат бұрын
Afadhali na sisi tumepata mtetezi kutoka utopoloni mchome tunawachia 😂
@NuruAmina-h1q13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@Mumlion2624Күн бұрын
Muone nyooooo unaumia hpo unajikaz2 ulitk tupotez ili mpande kilelen😂
@alfredmlema59288 сағат бұрын
Dogo nakukubali sana
@PiusLaymond11 сағат бұрын
Nikweli shomalu lawi kawapa zawad simba
@JaneKilindu23 сағат бұрын
Ndossa una ajili sana unafaa kuwa mchambuzi
@julianajeremiah43539 сағат бұрын
Kwenda hakuna aliyeonewa Yanga mkono
@noahkajinga759912 сағат бұрын
Mmmmmmmmh so poa hivi jamaa hua anapitia comments za sisi wadau Namuona mbali mwana akiwa ananyoosha hivo hivo
@kassidpandu866Күн бұрын
Dossa wewe ndio mshabiki mwenye skili nyingi yanga
@ShadrackLongwa-n7p4 сағат бұрын
ᴋaka unajua kuongea mpira
@anicethy697821 сағат бұрын
Wewe Dosa,kama waamuzi wana toa favourite kubwa kwa Simba Ramadhan Kayoko kafungiwa kwa sababu gani?
@HassanChivinja23 сағат бұрын
Dosa umetisha
@saumu70221 сағат бұрын
Weweunaujua mpirahaswa
@abdallahsaid413921 сағат бұрын
mbona tabora kashinda na yanga
@josebethjackson884910 сағат бұрын
Elewa kuwa na uhakika wakuchukua point tatu kwa simba na yanga
@robertchazya235119 сағат бұрын
We boya kumbe ni kolo tu
@abdallahmagomba402211 сағат бұрын
Muongo saana refa hakufanya kazi yake angefanya kazi yake singida wangecheza na watu Saba soma Sheria 17 za mpira wa miguu
@MirajiMohamed-be1qc23 сағат бұрын
Tunza maneno dosa mpk mwisho waligi
@AllyKimeme23 сағат бұрын
Tangu wakutoe Kwenye sheo unaogea poti kumbe ukiwa na sheo nyuma mwiko hakili una kua huna Kwa sasa uko vizuli sana
@selemankajonjo163823 сағат бұрын
Hamna kitu hapo huyu sio shabiki tena jaman ni mchambuzi tumuangalie sana huyu,ashaanza kupewa ela ili awe asiwe na upande.
@godifreychalesi539423 сағат бұрын
Dosa ni mchambuzi odari siyo mnafki kama wachambuzi michongo