madomo domo kimyaa wapo lkni akina gb64 na mzaramo vidomodomo jinyoweni sasa wanaume wanakuja
@LuvandaEmanuel2 күн бұрын
Huyo mnyakyusa mbona mnafiki sana maneno mengi
@stanleychesko452 күн бұрын
Chuma Cha mjerumani mbona hueleweki
@victorernest77022 күн бұрын
Ghwa kumyitu 😂😂😂 una balaaa sanaa
@mitinjemaziku2 күн бұрын
Ixa kabuzi anasemaje guxa achia twende kwenu , Kuna mtu temu hii atapigwa miguu na mikono
@FaustineKorija2 күн бұрын
Tunawataka hao watan
@mitinjemaziku3 күн бұрын
😂😂😂yanga ya guxa. Achia 😂😂
@bettymvanga32732 күн бұрын
Tena Ile mbovu ndiyo hii
@KabungaKalla-fw4pp2 күн бұрын
Wanao chafukwa na ukweli wa kocha bila shaka Wana Element za Makolo.
@HusseinMashaka-b2m2 күн бұрын
Ukiingia kwenye mfumo kwa yanga unakufa mchana kweupeeeeeeeeeeee.
@fettiemaganza14842 күн бұрын
Tabora hawakushinda kwa quality wala discipline sema walikutana na yanga yenye matatizo binafsi
@DENISMAKALA2 күн бұрын
Upo sahihi
@jacksonchilongani44782 күн бұрын
Subili mnaenda Ali Hasan mwingi stadium
@DENISMAKALA2 күн бұрын
@jacksonchilongani4478 ww acha kujifariji tabora waliikuta yanga imechokaa sasa watu wameamka SUBIRI shooo bado nyimbo za GSM anaharibu ligi mtaibwa sana nyie awbm
@suleimanmwenyemvua9952 күн бұрын
Hujielew baki hivyo hivyo kama hujui Yanga ni bora kuliko simba