Рет қаралды 270
Toyota Land Cruiser Prado TXl ikiwa imewasili kutoka Dubai tayari kwa kukabidhiwa mteja wetu.
DOTEL LIMITED
Tunatoa huduma za uagizaji magari kutoka mataifa mbali mbali ikiwemo (Japan ,Uingereza , Dubai,Afrika ya kusini, Singapore, Thailand na Ujerumani).
Tunaagiza Semi trailer, Mabasi, Tractor , Marobota mbali mbali, Vipuri vya kila aina na hata gari ndogo pia tunaagiza .
Tupe order yako tukushangaze.
Tunatoa huduma zetu kwa weledi wa hali ya juu , Tuna team ya watu walio sahihi na wabobevu katika fani ya magari na mitambo katika mataifa mbali mbali.
Gari hii imetumia wiki 4 tu mpaka kufika Tanzania.
Kwa huduma zaidi za uagizaji usisite kuwasiliana nasi kupitia:
Simu/Ujumbe mfupi/whatsapp +255689265275
Email; sales@dotel.co.tz
Office; Posta , Samora Avenue , NHC House 9th Floor, Dar es salaam, Tanzania
_____
✔Instagram; dotellimited
✔Facebook; dotellimited
✔Twitter; DotelLimited