Plz am waiting for yr answers Shkran Mungu akubariki
@mwanasomomuhaji61302 жыл бұрын
Aslm Alkm Dkt, natumai uko mzima , Alhamdullilah. Niko na mshipa Kwa tumbo. Sasa for the last 3 days umekuja chini ya tumbo na maumivu Kama mtu ako na mimba mtt amekenyaga hapo chini ya tumbo
@rukiaurembo7356 жыл бұрын
Asante sana , mimi nimehelewa izo dalili zote ninazo, nahapa nilipo naumwa , nipo mbali sana uku, nitapataje tiba zako, Asante.
@imanmohamed76323 жыл бұрын
Waaleykum salaam
@kamoteismailkamote16746 жыл бұрын
Asallaam alykum, Jazzakka Allaah kheir, Allaah akufanyie wepesi kila kwenye uzito. Nimetumia juice ya viazi kwa siku 10, alhamdulillah kwa nguvu za Allaah dawa imenisaidia sana.
@rehemamohamed87056 жыл бұрын
Hata ikibadilika kuwa nyeus ulikuwa unatumia tu? Maana kiaz kina tabia kikikaa mda mrefu kinakuwa cheus. Naomba unifahamishe ndugu
@hawawezidianakukushusha7567 жыл бұрын
Asante sana dckta kwa kutuelimisha mana wengne tunateseka sana
Napenda kumshukuru Allah muumba mbingu na ardhi aliyeweza kunifanya mm kukutana nawe katika office yko nilikuwa na baadhi ya matatizo kiafya na baada ya kupata dawa zko Allahmdullilah nimepona shukran Doctor.
@jasminurembo83136 жыл бұрын
Office yake ipo wapi uyu dokta
@halimaharun13586 жыл бұрын
UKHTY HERIETH SYLVESTER assalamu alaykum ukhty naomba kama una namba ya huyo dr nitumie nami ninahitaj dawa
@imanmohamed76323 жыл бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah ndio mie from Australia bi n
@Gatsonjr6 жыл бұрын
Ahsante sheikh nimekuelew
@imanmohamed76323 жыл бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah
@christopheramunze2846 жыл бұрын
Nashukuru Kwa elimu mungu akuli heri na umri mrefu ,,napenda kuliza hiyo juice ya viazi nikiweka hugeuza rangi jee ni bora kwangu kuitumia hivyio hivyio haina madhara ama,,
@annajohnsenge8253 Жыл бұрын
Shekh naomba namba yako ili niweze kuwasiliana nawe
@asnathleonard54314 жыл бұрын
Ahsante
@mwajabhassan74345 жыл бұрын
Asalam aleykum Asante dokta twateseka jamani hadi twakata tamaa
@salmanassoro74057 жыл бұрын
ahsante docta mungu akulipe badala inshallah
@mwanasomomuhaji61302 жыл бұрын
Nimekunywa Zahra nana imenisaidia kidogo but nikishika nauhisi unatembea Plz naomba ushauri wako
@salimadulkhadirsalim97254 жыл бұрын
Ustadh ulisema batata unaiwosha,alafu inakatakata bada yakukata unablend alafu unanza kuitumia,swali yangu nilazima nikaushe batata ndio niblend ama ikiwa mbichi
@rehemaathumani43517 жыл бұрын
Asalam alaykum ndugu dct unapatikani wapi pls naomba uniambie pls niko na mwaka nasumbuka sana
@zakayomtweve6845 жыл бұрын
Uko vzr doctor
@kabeselabenk40885 жыл бұрын
A. Alaykum Dr samahani naomba unisaidie namba yako tafadhari
@zulekhaabdallah93136 жыл бұрын
shukran sheghe
@jasminurembo83136 жыл бұрын
Unapatikana wapi docta
@wardaomar300110 жыл бұрын
ASLM ALYKM WAPI TUNAZIPATA HIZO DAWA DUKA LIPO WAPI?
@aljalilatiba98737 жыл бұрын
Warda Omar DAWA HIZI ZINAPATIKANA K.KOO KARIBU NA MSIKITI WA MANYEMA MPIGIENI NO 0787111990
@aljalilatiba98737 жыл бұрын
Warda Omar DAWA HIZI ZINAPATIKANA K.KOO KARIBU NA MSIKITI WA MANYEMA MPIGIENI NO 0787111990
@denziladavidson54745 жыл бұрын
sheh nasumbuliwa nayo matatizo myaka 2 sasa
@rashdakaje54547 жыл бұрын
jaman uko seem ngani
@jasminurembo83136 жыл бұрын
Dokta Mimi nahitaji unisaidie iv ni dalili za vidonda vya tumbo au la hawar nilikua nikila chakula lilikua linauma Sana baada ya kutoka tatizo hilo nina hasir ya moto upande wangu wa kushoto iyo Hali naisikia mpaka kwenye titi la kushoto maumivu y'all mgongo pia ila moto uwo tumboni siusikii je izo pia dalili za vidonda vya tumbo