Dr. Chris Mauki: Mambo 5 muhimu sana kuyashika kwenye mahusiano/ndoa yako

  Рет қаралды 7,479

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Sababu mojawapo ya mahusiano na ndoa nyingi kuyumba ni kwasababu wengi wamedharau baadhi ya vitu muhimu sana kwenye mahusiano yao. vilivyopaswa kushikilia sana wao wakavizembea vikaponyoka na wakaachana. Je unajua ni nini muhimu kushika wakati wote wa ndoa yako? Fuatilia hapa nikufundishe.
Mambo 5 ya kuepuka : • Dr. Chris Mauki: Mambo...

Пікірлер: 21
@NZAMUYEJoseph
@NZAMUYEJoseph 19 сағат бұрын
Mwalimu shikamoo .. asante kwa kuninowaaa sasa niko smart sanaa. Uje DUCE SIKUMOJA NIKUONE MWL MAUKI
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Dr. Mauki. Yote ni mambo muhimu sana lakini hili la kuumboa muda hili, Mungu atusaidie!!
@brysonsabun4657
@brysonsabun4657 3 жыл бұрын
#NidhamuYakujaliNaKuukomboaMuda. #Qualitytime #WanachojifunzaWatoto kwa wazazi!!
@elishangomele9937
@elishangomele9937 3 жыл бұрын
Dr unanijengaga sana
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana
@nurumosha9216
@nurumosha9216 3 жыл бұрын
Asante sana kwa somo tutalifanyia kazi na kujitaidi kurekebisha tunapokosea
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 3 жыл бұрын
We learn more from you (Dr Mauki) hence I share your wisdom & knowledge to my friends/family.God bless you
@ibahatimoses6431
@ibahatimoses6431 2 жыл бұрын
Dr. asante kwa somo zuri
@JersonSimbeye-bj9jb
@JersonSimbeye-bj9jb Жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundisho
@deborajulius6024
@deborajulius6024 3 жыл бұрын
Shukran Sana.. Nimepata kitu
@akidasalim3859
@akidasalim3859 3 жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo Daktari
@salmahassan1295
@salmahassan1295 3 жыл бұрын
Asante doctor
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 3 жыл бұрын
great,.Fantastic,.
@episawaki3240
@episawaki3240 3 жыл бұрын
U teach me alot jmniiiiii
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante kama umejifunza
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 3 жыл бұрын
It's a great points Dr ..alot thxz
@anithaanthony5741
@anithaanthony5741 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe je nawaza kufanya maendeleo na mme wangu nimeishi nae miaka 3 ajanipeleka kwao wala kwenda kwetu je nitamwaminije?
@mariamayoob8734
@mariamayoob8734 3 жыл бұрын
Shukrani sana
@josephinecharles8615
@josephinecharles8615 3 жыл бұрын
👏
@fadhilbenedicto4499
@fadhilbenedicto4499 3 жыл бұрын
Sure
@deborajulius6024
@deborajulius6024 3 жыл бұрын
Shukran Sana.. Nimepata kitu
Dr. Chris Mauki: Ukishindwa Kuwekeza Kwenye Maeneo Haya Utayumba
9:24
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 45 МЛН
Dr. Chris Mauki: ILI KUPATA MWENZA SAHIHI ZINGATIA HAYA
6:28
Chris Mauki
Рет қаралды 1,9 М.
Dr. Chris Mauki: Je Unatamani Kubadili Tabia Usiyoipenda?
6:59
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
6:07
Happy Msale
Рет қаралды 1,8 М.
Dr. Chris Mauki: Jiulize Haya Kabla Hujaenda Kutoa Posa
6:44
Dr. Chris Mauki: Maswali haya yataokoa Mahusiano Yako
4:29
Chris Mauki
Рет қаралды 707