Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja

  Рет қаралды 4,933

Happy Msale

Happy Msale

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 11 күн бұрын
Ubarikiwe DAda
@happymsale
@happymsale 11 күн бұрын
Asante
@victoriambuba2567
@victoriambuba2567 25 күн бұрын
Unaeleza vzr lakini hutupi information vzr faida n.k
@OmariOnwonga
@OmariOnwonga Ай бұрын
Habari ni johana kutoka kenya.mafunzo mazuri
@happymsale
@happymsale Ай бұрын
Asante
@bakariuledi1771
@bakariuledi1771 3 ай бұрын
Soma zuri dada sema punguza amm...amn zimekuwa nyingi
@happymsale
@happymsale 3 ай бұрын
Sawa
@KUSEKWABONGOPHYSICS10XPHYSICS
@KUSEKWABONGOPHYSICS10XPHYSICS 2 ай бұрын
😂😂😂amm anmm😂😂🎉
@KUSEKWABONGOPHYSICS10XPHYSICS
@KUSEKWABONGOPHYSICS10XPHYSICS 2 ай бұрын
Umejitahidi mwaya 😂😂😂​@@happymsale
@KUSEKWABONGOPHYSICS10XPHYSICS
@KUSEKWABONGOPHYSICS10XPHYSICS 2 ай бұрын
❤❤😂😂😂aamamm​@@happymsale
@GM-uv9hk
@GM-uv9hk 2 ай бұрын
Acha wivu bhana😅sa ammh inashida gan
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 Ай бұрын
Nimeingia uvivu kusikiliza mbwembwe nyingii. punguza pozi kidogo na kuwa serious katika kazi tofauti na wauza sura 🤣🤣 nimeona tabu kuendelea kukusikiliza.
@gibbs1320
@gibbs1320 4 ай бұрын
Nina amini nita jifunza zaidi kuhusu UTT na Government Bonds toka kwako. Great video .......
@happymsale
@happymsale 4 ай бұрын
Asante na karibu
@KagombaEnock
@KagombaEnock Ай бұрын
Safi sana Asante sana dada kwa mafunzo mazuri
@happymsale
@happymsale 29 күн бұрын
Karibu
@MimahMchomvu
@MimahMchomvu Күн бұрын
Me nilikuw nauliza jinsi ya kuangalia balance ya hela zako ulizowekeza utt amis
@happymsale
@happymsale 9 сағат бұрын
Wasiliana na UTT watakusaidia
@romstatistics2194
@romstatistics2194 4 ай бұрын
Kiwango cha chini cha kuwekeza Kwenye Hisa ni HISA 10 Tu, siyo 100.
@happymsale
@happymsale 4 ай бұрын
Sawa,Asante
@norahmajaliwa3841
@norahmajaliwa3841 4 ай бұрын
Happy holi somo zuri
@happymsale
@happymsale 4 ай бұрын
Asante
@amanmichael1351
@amanmichael1351 4 ай бұрын
Nimeelewa vizuri,naomba link ya free online training ambayo wanatoa certificate
@mbwanajangwa
@mbwanajangwa 4 ай бұрын
Elimu nzuri saana hii ambayo hatukuwahi kuipata tulipokuwa shule. Nina maswali mawili. 1. Je mtu mmoja anaweza kuwekeza kwenye mifuko zaidi ya mmoja? 2. Ninapojiunga kwenye mfuko mmoja kisha baada ya muda ya labda miaka kadhaa nikajitoa, kisha nikakaa kwa muda, Je ninapotaka kurudi tena kwenye mfuko uleule nalazimika kujiunga up ya au natumia akaunti ileile? Ahsante.
@happymsale
@happymsale 4 ай бұрын
Asante. Nadhani hapa unaongelea mifuko ya UTT. 1. Kwenye swali la kwanza, Ndio unaweza kujiunga mfuko zaidi ya mmoja 2. Kwenye swali la pili, sina uhakika sana, ni vyema ukawauliza UTT
@emes602
@emes602 2 ай бұрын
Unaongelea dar tu
@happymsale
@happymsale 2 ай бұрын
Tanzania
@KELVINJUMA-g4b
@KELVINJUMA-g4b 5 күн бұрын
Samahan yaan unawekeza kisha hela yako inakua inazaa na mwisho ukiitaka yote yaan kianzio pamoja na faida zake ama vp hapo?
@happymsale
@happymsale 3 күн бұрын
Ndio,ila ukiwekeza kwenye vipande itategemea bei ya vipande wakati unataka hela yako
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t 28 күн бұрын
Unamafua au
@YusufShaibu-ir9zm
@YusufShaibu-ir9zm Ай бұрын
Mm nauliza kuna video yako yoyote inayonesha njia ya kupita mwanzo mwisho namna ya kujiunga na utt ktka kuekeza
@happymsale
@happymsale Ай бұрын
Wameandika kwenye Website yao: uttamis.co.tz au uwatembelee ofisini kwao. Video niliyonayo kuhusu mifuko ya UTT hii hapa: kzbin.info/www/bejne/a4LIpJ6knqyGoNUsi=-7rNIOlywVsKI4K-
@rastoChalo
@rastoChalo 2 ай бұрын
Kwa ambao wako nje wanawezaje
@happymsale
@happymsale 2 ай бұрын
Unawasaliana na kampuni husika wakupe taratibu/ vitu unavyohitaji ili uweze kuwekeza
@KELVINJUMA-g4b
@KELVINJUMA-g4b 5 күн бұрын
Na vp hakuna hasara kwenye hivo vyote ulivyoongea?
@happymsale
@happymsale 3 күн бұрын
Inategemea ni nini umewekeza. Kwa mfano unaweza kupata faida au hasara kwenye biashara
@SusanNassoro
@SusanNassoro 2 ай бұрын
Àsante Happy kwa ufafanuzi wako. Mie nimewekeza kwenye mifuko miwili. WEKEZA MAISHA NA FUND BOND. Nauliza wameshatoa vitambulusho? Maana Nina A/c number tu za mifuko yangu
@happymsale
@happymsale 2 ай бұрын
Sijui. Waulize UTT watakupa jibu
@FatmaSalum-m7e
@FatmaSalum-m7e 22 күн бұрын
Hbar can we get yur email?​@@happymsale
@robert.joseph
@robert.joseph Күн бұрын
Work on the mic and sound of your video inafamya mtu asiendeleee kuskiliza Buy atleast a rodemic
@happymsale
@happymsale 9 сағат бұрын
Sawa Asante
@MimahMchomvu
@MimahMchomvu Күн бұрын
Me nilikuw nauliza jinsi ya kuangalia balance ya hela zako ulizowekeza utt amis
@happymsale
@happymsale 9 сағат бұрын
Wasiliana na UTT watakupa msaada
UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI
22:47
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 57 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
UTT ni nini na niwekeze kwenye Mfuko upi wa UTT
15:48
Happy Msale
Рет қаралды 7 М.
Jinsi ya kuishi kulingana na kipato chako
10:06
Happy Msale
Рет қаралды 380
JINSI YA KULIPA MADENI HARAKA | Happy Msale
9:54
Happy Msale
Рет қаралды 25 М.
Kabla hujaanza kuwekeza fanya hivi
12:08
Happy Msale
Рет қаралды 118
IFAHAMU MIFUKO 6 YA UTT AMIS | PART 2
16:53
Bupe Kibiki
Рет қаралды 8 М.
JINSI YA KUCHAMBUA KAMPUNI KABLA YA KUNUNUA HISA Na Emilian Busara
1:39:30
JINSI YA KUWEKEZA NA UTT By Pauline Kasilati
14:57
Edmund Munyagi
Рет қаралды 15 М.