No video

Dr. Chris Mauki: Ukiona dalili hizi jua umeshanaswa kwenye penzi

  Рет қаралды 8,088

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Wengi huniuliza, najuaje nimesha zama kwenye penzi? Nikifanya nini ndio ishara kuwa tayari nimeshapenda? Je wewe umeshawahi kujiuliza hivyo? Majibu yako haya hapa

Пікірлер: 44
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 Ай бұрын
Kweli kabsa
@mattyhappy1581
@mattyhappy1581 10 ай бұрын
Brother nakukubali sana Mungu azidi kukuinua
@catherinemutiembu5611
@catherinemutiembu5611 10 ай бұрын
Najiona kabisa ❤
@KhalidAshjaie-cz7vg
@KhalidAshjaie-cz7vg 10 ай бұрын
Asante kk wangu
@mouzahal-alawi6474
@mouzahal-alawi6474 10 ай бұрын
All the way from oman🇴🇲
@MS.independent8934
@MS.independent8934 10 ай бұрын
Kumbee jirani yangu ww😅
@user-cg3pm3is4e
@user-cg3pm3is4e 10 ай бұрын
Najiona hapo ni mimi nimekamatika uuwii 😂😂 hebu ni vunge nicjiachie sanaa
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 10 ай бұрын
Nimeshanashwa.
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn 10 ай бұрын
😅😅😅mjusi kapita 😅😅 hizo dalili zote zipo lakin mmmmh acha niweke asilimia 50 watu wa sasa hatuaminik waweza zama kumbe mwenzko ni mpitaji so umakin unahitajika kuna muda jifanye kama upendi kumbe unapenda😅 ili tu uishi kwa aman muda hautoshi 😂
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
Kabisaaaaaaaaaaaaaa daah
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
Umeongea sister yaan Kuna muda Bora ujifanye kama hupend kumbe unapenda maa yasije kutokea puani daah😂
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn 23 күн бұрын
@@MerlinaKubadesha kabisa
@priscerjohn5788
@priscerjohn5788 4 ай бұрын
Dokta nisaidie naenda kuumiaa
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 10 ай бұрын
Tobaaaa😂😂😂😂😂
@ntakilutandato
@ntakilutandato 10 ай бұрын
Dah namwaza sana kweli, yuko mbali ila ananiwasha kama nalala naye vile
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 10 ай бұрын
🙄
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Mepyaa😂😂😂😂
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 10 ай бұрын
Sasa ukute wewe ndio una hizi Dalili halafu mwenzako walaaaaaa. Ndugu maji utaita mma 😊
@SelestineNkana-sw1qc
@SelestineNkana-sw1qc 10 ай бұрын
Tena mma kwa herufi kubwa
@user-px3ct3nq6r
@user-px3ct3nq6r 10 ай бұрын
😂😂kabisaaaa
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Kwanza nichekeeee😂😂😂
@user-tq3hr7te1s
@user-tq3hr7te1s 10 ай бұрын
Atarii
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
Mhh ila hiz comment shida 😂😂😂😂😂😂
@devothangovano9729
@devothangovano9729 10 ай бұрын
Kuna mwngne akiona mmefika hapo ndo anakubwaga,muda mchache huu trust no body, tafta kwa bidii kuwa na furaha yako binafsi maana kuachwa huja bila taarifa na huzuni huanzia hapo..
@fatimaussene1010
@fatimaussene1010 10 ай бұрын
wala sio uwongo na wengi wa staili hii wanajeshi na wakikuacha wanakuacha kama ushuzi kkkkkkkkkk tafuta pesa jipe furaha mwenyewe without stress
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
No stress understand? 🎉🎉😂
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 Mungu naomba unipe *kiasi*
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
Ety utajijuaje umependa sin moyo 2 mwenyew ndo unapenda😂😂😂
@reginajoel3785
@reginajoel3785 10 ай бұрын
😄😄😄😄tupo,tumenaswaa,,Eh! Mungu
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 10 ай бұрын
Apo umesema kweli yote nayaona hyao hakika ww umwalimu mwema san❤😂😂
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 10 ай бұрын
hakuna softcopy
@bestonlinetv3751
@bestonlinetv3751 10 ай бұрын
Najiona kabisa 🤣🤣
@JescarMmwiri
@JescarMmwiri 10 ай бұрын
Kama mtu anataka kuongea na wewe utaratibu wako ukoje? Naitaji Sana samahan
@user-ky7cv9cj7n
@user-ky7cv9cj7n 10 ай бұрын
Dr Chris,je kama mwanaume ambaye nimemkataa kuwa naye kwenye mapenzi ila yeye alishaniambia kama kuna tatizo nimwambie yupo tayari kunisaidia na ndivyo nikikwama namtumia message kwamba niko nashida nikitaja amount of cash ananipa ....now a year still he never give up to help me.....je nami nidalili yakuwa kwenye mapenzi nahuyu?
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
Hee unauliza jibu tena😂😂😂
@user-cg3pm3is4e
@user-cg3pm3is4e 10 ай бұрын
Japo hata yeye na muona kanasa pia
@fatimaussene1010
@fatimaussene1010 10 ай бұрын
Hapo kwenye mazungumzo ayaishi wengine wana gubu na iwe ugomvi au kawaida mazungumzo hayaishi kkkkkk
@stephaniejeremiah9566
@stephaniejeremiah9566 10 ай бұрын
Nishazamaaaaa dkt njoo uniokoeeee mweeeee😂😂😂 yani mm natamanai niwe nae muda woooote mwenzenu ingawa nipo nae ofisi moja lkn dah❤❤❤nishazamaaa mwili woooteeee Hapo kwenye kuambiana hapo yy ndo wa kwanzaa kuniambiaga siri zake😂😂😂😂😂😂 nyieeee mapenz ni kitu kingine daah tukiishiwa stori tunaanza umbeaa sasa 😂😂😂😂😂😂
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉 uwiiiiiii
@AugustinCubaka-cp3vo
@AugustinCubaka-cp3vo 10 ай бұрын
Mwalimu nisaidiye, ni mazunguzo gani istahili kunzumgza kwenye mihadi ?
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 23 күн бұрын
Mihadi ndo nn dear
@salehsuleiman9140
@salehsuleiman9140 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@MS.independent8934
@MS.independent8934 10 ай бұрын
Bs nimesha zamaaa Kwa wengiii alafu zikaishia juuu Kwa juu bila kuwa na mahusiano nao Kwa dalili hizoo 😂😂😂 maana naogopa sn mahusiano tn jmn nime umizwa mara1 tu sitaki tn kuumia😂😂😂 acha2 zio'nzee rohonii hizoo dalilii zote na hisia zoote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kirapadiherbalstv9953
@kirapadiherbalstv9953 10 ай бұрын
hiyo tafuta fulaha mwenyewe kunamambo huwezi yapata Ukiwa Peke yako.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,8 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
Dr. Chris Mauki - Kama anavigezo hivi, hafai kuwa rafiki yako
7:50
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za Kupooza Migogoro Katika Mahusiano
7:20
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 730 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 3 za kuongeza mahaba kwenye penzi lénu
6:26
Dr. Chris Mauki: Yafahamu haya kabla haujaomba msamaha
6:33
Chris Mauki
Рет қаралды 10 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,8 МЛН