Kazi nzuri mzee Tupe historia ya Burundi alivyokufa Rwagasore
@happymahenge63313 ай бұрын
Kaka upo vizuri,rudia historian ya viongozi 10 waliokufa wakiwa madarakani.
@espoirruhungo26142 жыл бұрын
Historia nzuri bro
@comradejonasrwegoshoramwal57272 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@mathiaszakaria70522 жыл бұрын
Uko vizuri jamaa
@kennedyprime36302 жыл бұрын
*** uko sawa bro
@kyle-j4d9m2 жыл бұрын
Ngalima 💯💣
@mashakakitwana28242 жыл бұрын
We need ananias ediga
@josephjuma19292 жыл бұрын
Ww ndio wa kwanza tunaekujua
@johnumoja91092 жыл бұрын
Mzee wangu wa kazi uyu aliuwawa kikatila n'a mabeberu n'a kagame
@MwalimuRichardMwangi.72022 жыл бұрын
Rudisha Edgar
@mzeeomary57802 жыл бұрын
Mzee baba hata kama ni ww uwezi kumpa aridhi yako jilani yako kwani hamna kitu kama hicho mnyarunda na mganda wache upumbavu kwani hao wanamwaga dam zao niviumbe kama wenyewe nikwasababu Congo yenyewe serekali yao haina umoja kama wange kuwa pamoja sizani kama inge kuwa ivyo
@oredidunia1202 жыл бұрын
Kapendi ALIjua Siri huyo Alipoteza ushaidi kwa makusudi tu, Kingine walicho kifanya alienda kuua mke piya WA rashidi na mtoto wake ili kupoteza ushaidi kabisa kwa sinikizo la MAREKANI n'a wausika
@thierrybisimwa33122 жыл бұрын
Mzee kabila ndiye Raisi pekee Congo iliwaipata wengineyote mavitu, alikataa fanya ushenzi wanaofanya wengine ndomana aliuwawamapema. Rip my president 😢
@ibrahimdahir70362 жыл бұрын
Same to many African countries hao wanasema dictator ni washenzi sana Madictator ndo wamefanya mengi sana Kwa ujenzi wa Africa Kwa mfano Gaddafi wa Libya Siad barre wa Somalia na wengine wengi they are the true leaders
@murenzijeanbosco38872 жыл бұрын
Katika kifo chake mna siri ambayo huenda ingetolewa hadharani na Marehemu Rachid lakini sisi nivigumu kuigundua yaani ni imagination tu! Sasa siraha aliyotumia iko wapi. Walikuta ktk magazine idadi ya masasi yaliyo baki au la! Ikiwa walikuta mna hata moja hapo nitajuwa Mr Mota anadanganya kwani huwezi kimbia nyuma ya mtu ambae ameua mtu na unajua vuzili kama anaweza kakugeuzia mtutu na wewe
@innocentfrida3932 жыл бұрын
Kuwondoka tazaniya umependa mm sitoka apa
@orondatv.92632 жыл бұрын
Ni nani muhusika
@sebammari54432 жыл бұрын
Umekosea kiongozi wa kadogoo aliitwa Anselim masasu ama kamanda masasu na aliuwawa na kabila
@zuwenaomanpingokubwa78992 жыл бұрын
Nikuwepo kongo tulikua kama tumichaganyikiwa lububashi kapitishwa kumuaga mwili wake nchi hiyo hakuna fulaha paka leo
@husseinkonz51922 жыл бұрын
Bado tunakukumbuka kabila
@fubub35952 жыл бұрын
Mzee kapelekwa zimbabwe kulikuwa malizake uko , mkono wake njo ilikuwa funguo
@stephanomoses76942 жыл бұрын
Sasa kama mtu ashapigwa risas ya mguu yuko chali. Unampiga risasi zingine za nini. Wakati ilitakiwa ahojiwe ijulikane huo mpango umesukwa na nani wapatikane wote
@oscarmario4662 жыл бұрын
Kupoteza UShahidi
@stephanomoses76942 жыл бұрын
@@oscarmario466 unakuta ndio wale wale
@ulaweboy34792 жыл бұрын
Naomba sitory ya amrical Cabral
@Worldunite9 ай бұрын
Huyu aliyemuua muuaji anahusika ama alikuwa anajua
@The_Nubianommetry_Podcast2 жыл бұрын
Vita Ukraine: Historia Fupi na Sababu za Urusi Kuvamia Ukraine: kzbin.info/www/bejne/qJqniX6YhaysrrM
@The_Nubianommetry_Podcast2 жыл бұрын
Krayonikia: Uwezo wa Kufufua Maiti Kisayansi? : kzbin.info/www/bejne/mIOzkH2Fhsp1hLc
@moseskamau49012 жыл бұрын
RIP 3rd President of DRC Congo late Laurent Kabila Mkombozi Wa DRC from Dictator Mombutu Seseko, you laid foundation of Peace in DRC Congo, but Rwanda aka Kagame was behind the killing of late Laurent Kabila. Rashid took away a good leader for his stupidly. Rwanda has tried to mess up with Uganda & other East African countries. Rwanda wanted to grab quarter of DRC border.
@The_Nubianommetry_Podcast2 жыл бұрын
Kwanini Urusi Inavamia Vituo vya Nyuklia Kule Ukraine: kzbin.info/www/bejne/qmacq2yVmNZ-e5Y
@kazagwajohn21472 жыл бұрын
Alimuua kagame
@mzeeomary57802 жыл бұрын
Sio kagame wamarekani washenzi ndio walifanya mipango hiyo kwa kuwatumia vibaraka wetu watu weusi
@The_Nubianommetry_Podcast2 жыл бұрын
Vita vya Pili vya Dunia: Sababu Kumi: kzbin.info/www/bejne/q36Ql3l6mrCroqM
@msangodiesel31322 жыл бұрын
Huwezi kumwita mtu Alie fariki aitwe mwenda zake ndugu yako akiitwa jina hilo
@bakarijuma3722 жыл бұрын
Mlloooioop
@williamruto31032 жыл бұрын
Mjinga xana, ata mitume wamekufa dunia haisimama
@TheServantOnline Жыл бұрын
Hii story ni kama ilivyo kwenye madinidotcom. Mmekubaliana au kati yenu nani kamuibia mwenzie?