Serikali inatakiwa ifanye utaratibu wa kufanya marekebisho wa ku Ukarabati huu Mji wa Kilwa ili iwe moja ya maeneo yanayovuta Watalii wengi kuja kuona maajabu yaliyopo ndani ya nchi hii yenye maajabu ya kila aina. Karibuni sana (Tanganyika)na sasa TANZANIA
@zainulabidiendhulfikar73982 жыл бұрын
Vizur sana nimejifunza mambo mengi sana lkn nimejua waswahili halisi nimchanganyiko wa waafrica na mataifa mengine kama washiraz waarab wapersian na wengin lkn kumbe waswahil halis wanapatikan kilwa zanzibar na Mombasa ndo maan huwez kuitaj zanzibar ukaiacha kilwq na Mombasa ....najivunia kuwa mswahili sio mtumiaji wa lugha ya kiswqhili
@aishachacharika58552 жыл бұрын
Much respect comrade,sema nowdays hushushi vitu kama zamani.
@oswaldmwihavapaul85172 жыл бұрын
Safi sana Kiongoz! Hivi vitu vinafungua sana medula na kujua wap tulitoka na wap tunaelekea ..na tuache shobo kwa kina derjan
@crescencesangawe68902 жыл бұрын
Unanifurahisha kwa mastory sana
@Sautiyamajini2 жыл бұрын
Nakupenda sana Kazi yako Ananias Edgar taji ninakufisha
@jumapiliissa48352 жыл бұрын
Hongera sana nimekuelewa
@ovidiokibuga10862 жыл бұрын
Barikiwa kwa kutufungua vichwa vilivyolala!natamani kupata nakala za vitabu vyenu hardcopies,soft zilikimbia kwenye simu
@WILLY_SKY12 жыл бұрын
Tunasubiria historia ya William Samoei Ruto our 5th president 🙏
@ubunifulifestyle34922 жыл бұрын
Apambane historia haiundwi kwa siku moja, bado hatuoni kama anamsimamo haeleweki, ndani ya Wiki kadhaa amesafiri zaidi ya mara tatu, ni matumizi mabaya ya fetha za umma, na msubiri tumsifie sisi tulie nje sio ninyi wakenya, nyani haoni kundure nyinyi mnaonaje kundure lenu?
@yusufumwasha5482 жыл бұрын
Asante sana
@Mathebula-ValoyiNet2 жыл бұрын
Hey guys, I'm South African, I heard some names being mentioned like Malalane and Mandawe, please explain how these names come in to this conversation? Please make an English translation of this video, or please transcribe it in English. As you've noticed my profile is also a channel for Nyai-Rozwi history network,please grant me permission to share this video on my platform and I will leave a link in the description that will take users to your main page, and the link to this particular video. Thank you for your great work
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Hi
@Mathebula-ValoyiNet Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 Hey. How are you my leader?
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@Mathebula-ValoyiNet I'm good was just wanted to explain about that video of kilwa as u seem to be lost as it was explained in swahili language
@Mathebula-ValoyiNet Жыл бұрын
Please help me my leader. I need this information, especially the meaning of places like Mandawe and Nangurukuru. Please explain to me what these names mean, and how did they originate because they are surnames in South Africa and Mozambique. I am interested in the history of Kilwa an waShirazi, as opposed to waArabu
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@Mathebula-ValoyiNet ok later will come to explain no problem
@ngunitv2 жыл бұрын
Ngunitv Kilwa ni ktua mji uliotikisa kimendeleo duniani
@saidaly82012 жыл бұрын
Una jitahid lakin kuna mmbo mengine so ya kweli we lost more chapter of human history than we have