Dr Elie ni lulu moja muhimu sana Tanzania, toka mwaka jana namsikiliza na sijawahi kujuta kumsikiliza.Ila inahitaji umakini na utulivu kumeza chakula na kumengenya vyema kupata kinachotakiwa kupatwa.
@Coachsamwel11 ай бұрын
Kwa upendo wa dhati sana kutoka kwangu nawapenda sana team Chomoza.. nimenufaika sana na mfululizo wa masomo haya ya sababu za migogoro... Mungu awabariki
@helenmark79656 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana we learn a lot Allah akuzidishie
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Doctor mimi nimuoga sana kwakweli Kuwanaiman namtu anae nijia kunambia ananipenda nashindwa kabsa yani nimejawa uoga sjuwi ntafanya nn ili nijekuolewa naniwe naiman nahyoalio niawa maana nawaogopa wanaume umenigusa sana Asante sana ubarkiwe sana najifnza mengi kupita wewe
@gracem50486 жыл бұрын
Aisee...talanta hii imekwenda shule...ujazwe zaidi na zaidi
@henrymushi83403 жыл бұрын
Mungu awabariki wote
@onesmojeremia97136 жыл бұрын
Hongera sana Dr kwa mafundisho yako hakika umekuja kutuponya kabisa asa sisi ambao tunatengemea kuingia kwenye mahusioano
@yama_virginhairthequeen10653 жыл бұрын
This teaching are beyond
@adamphinias24576 жыл бұрын
Mafndsho haya yamenfanya niwe tofaut sana, Jmn mungu awbarki sana!
@kambonanzogela2436 жыл бұрын
Kweli Dr. ni zawadi tuliyopewa Kutoka kwa Mungu asante Sana chomoza.
@silyaabel41576 жыл бұрын
Mungu awabariki sana team chomoza, nitawapenda daima....Nimfuatilia somo hili " sababu za migogoro " toka mwanzo mpaka hitimisho mmeponya majeraha na kubadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa.....Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipoacha ujumbe(comment) kama alama yangu hapa, ...Mungu awatunze daima...AMEN
@polesananampala83184 жыл бұрын
ahsante doc kwakunijng
@esbon-c2mАй бұрын
Syliah abeli
@anatorikigahe95116 жыл бұрын
Nipo Russia, ila najiona watofauti kupitia kipindi hii, Mtumishi wa Mungu uzidi kutumika zaidi maana namini wengi tunabadilisha system ya maisha yetu. Ubarikiwe sana Mungu akujalie afya ya mwili na roho
@chomozatv_6 жыл бұрын
Amen
@adamphinias24576 жыл бұрын
jaman mafundsho haya n hazina kubwa sana tujtahd kuyatunza kwa ajiri ya vizaz vijavyo pia
@mbuyashow53476 жыл бұрын
Hongereni kwa vipindi bora kabisa ila kuna jambo la kuongeza hapo sauti ipo chini kiasi jimmy jaribu kufanya jambo brother
@RajabKAMIS6 жыл бұрын
Huyu daktari ana mafunzo matamu sana. Tangu nianze kumsikiliza nimekufunza mambo mengi sana. Mungu ambariki
@wemamwakilema95225 жыл бұрын
Jamani huyu Dr amenifanya niwe wa tofaut kuna sana
@emmanuelsamson26906 жыл бұрын
Mafundisho ya Dr Elie yanatubariki sana
@gerfasiamwingira48276 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dr Elie
@yesenyerere39435 жыл бұрын
Huyu doctor ana hazina bora katika moyo wake
@benieljons51736 жыл бұрын
Asante sana baba
@lynusjacob87276 жыл бұрын
ujinga ni kujua vibaya daaa naamn ujinga pia ni mamaa kumpenda mumewe kuliko watoto kwan mumewe ni mwanae wa kwanza
@queenyahaya31476 жыл бұрын
Walai kweri ukisikia hichi kipindi unakua walai mie nimekua adi najishangaa mungu awabariki jamani
@azariachaz35676 жыл бұрын
Mtangazaji somo zuri sana, kuna proses gan kuja hapo? nataman mm nije kufundisha uponyaji wa moyo kwa mtu alieachwa +255789151263/ +255718845357 Pastor Jeremiah
@adamphinias24576 жыл бұрын
Azaria Chaz ww n mtalaam katka uponyaji wa moyo
@josephinakaduma69896 жыл бұрын
Niko kijijini Sina TV Ila sipitwi na chomoza jet TV TZ inafanya kazi Barikiweni sana