DR MANGURUWE AMPATIA ZAWADI YA NGURUWE WAWILI WENYE KILO 800 MSEMAJI WA VITALO ATINGA MPAKA SHAMBA
Пікірлер: 28
@KingMandama18 күн бұрын
Dr Manguruwe nialike na Mimi kaka
@erasmusshauritanga848517 күн бұрын
Dr NAMSHUKURU sana MUNGU kwaajili Yako umempa heshima KUBWA sana Buchuti na amejifunza kuhusu upendo wa wa Tanzania hakika sisi tunaupendo ASANTE SANA.
@paulmagese790018 күн бұрын
Hongera kapumzike kwa kipozeo cha magori 10
@AmaniKasekwa-uw8hp18 күн бұрын
Nijambo nzuri
@JustinMwakalukila18 күн бұрын
Nakubali Sana Kuna vitu nmejifunza kwako dk manguruwe,ila dk manguruwe me shafuga Hao wanyama Ila nlifeli kwa sabbu katika nguruwe 22 wakaanza kuugua na ule ugonjwa cjui unaitwaje yan nguruwe anabadilika ranging anaanza kuwa mwekundu ,akianza kubadilika leo kesho anakufa,😢😢, shaleta wataalam kibao lkn wap,nlikula hahaha ya nguruwe 22
@KaijageEvodius9 күн бұрын
safisana
@user-it2tr7ny8d11 күн бұрын
Nakubali mr manguru😂😂
@SophiaPhills17 күн бұрын
❤❤Angalau ile hamu yake ya kuinywa supu yanga imetimia kupitia nguruwe...dr manguruwe ubarikiwe sana
@NANGUJIMAKAME17 күн бұрын
Ok
@AwaziRajab8 күн бұрын
Mala Pa Utakuta Wote Wanachangia Kufuga Nguruwe Hao
@airethjohansen460015 күн бұрын
Naomba Vitoto viwili kaka niFge
@SIDEBOYTV199018 күн бұрын
Huyu semaji ashakuwa kama zezeta😂😂😂😂😂
@devotabashome109017 күн бұрын
Tanzania sihami
@alexvenas269910 күн бұрын
Hakuna kitu hapo hiyo ni promo 😅😂
@NostusMchilo-vz7rz16 күн бұрын
Ana matatizo ya kisaikolojia huyu
@zedekiahjulius69 күн бұрын
Sio mzima jamaa
@user-yn6om2lz9e18 күн бұрын
Vanila zimeenda wapi mkuu
@FredymaswiMwita-oj6gv17 күн бұрын
vitoto vyia nguruwe ni bei gani
@winfordmwangonda53759 күн бұрын
Hizi sasa ndo pumbu😂😂
@mosesm160817 күн бұрын
naomba namba ya simu yako
@user-fz1xb4jc9v10 күн бұрын
Hiyo ngurue itapandandege
@Patriotism-x3v17 күн бұрын
Sana semaji la Africa
@augusttemba625317 күн бұрын
Akuna Mnyama mwenye kg 400 acheni utoto
@lukasielibariki318117 күн бұрын
3500 ngo'mbe
@shabannayopa540617 күн бұрын
Tembo 7 tons
@Officialvplat14 күн бұрын
Hao wamefik izo kilo nenda shambani ujionee
@DavidPamba-jx5io10 күн бұрын
Samaki tu anafikisha
@OscarGregorymosha17 күн бұрын
Hao ngurue ni kg 220live weight kwa nyama halisi ni kg 150kwa kila mmoja