JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 14
@user-yh3dv2bl7u15 күн бұрын
Hatuteterek mashabik wasimba tuko sawsaw aende
@jacobanania274115 күн бұрын
Point sana kaka vyula wanaumia
@seifmohammed916715 күн бұрын
Dr Mo unapenda propaganda wala Huna issue
@kassimmwawado700215 күн бұрын
Endelea na hadithi zako za Abu Nuwas!
@feisalmohamed284815 күн бұрын
Za Cuba zimekudanganya ,Tabu lele laa🖐
@athumanmapunda15 күн бұрын
Oyaaaa amesaini Yana African
@hassanabdala738315 күн бұрын
Chama ana miaka 33 muda wake umeishaa hata akienda Yanga aendee Simba nikubwa kuliko Chama
@aloyceibiga-tx1ji15 күн бұрын
yanga hawajamchukua chama kutoka simba, Bali yanga wamemchukua chama akiwa mchezaji huru
@user-bt6ep3yb2h15 күн бұрын
Hata wewr ulikuwa mojawapo ulikuwa humtaki mangungu, ila mangungu amekuzimisha hekaheka zako na sasa humgusi.
@mwanangusana15 күн бұрын
Hakuna dunduka yeyote anaweza ku battle na mangungu 🤣🤣🤣 ..... Narudia Tena hakuna mpu.... Yeyote pale udundukani anaeweza ku battle na chief mangungu 🤣🤣🤣🤣
@jonathansirkintungi743415 күн бұрын
Hakuna kitu simba ni imara bado itabaki imara baada ya mamluki kuondolewa.