Dr mwaka amjibu tena sheikh wa mkoa || siombi msamaha na huu ndo ukweli

  Рет қаралды 10,392

za town

za town

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@aidanalmas2319
@aidanalmas2319 2 жыл бұрын
😀😀😀 I love this country,Sasa hawa ndio wale mashekhe ubwabwa 😀, mwaka sio ww uliezungumza kuna roho imekusaidia kuusema ukwel, Piga sindano hao Dr, dawa hazijawakolea.
@hamisinyanga4579
@hamisinyanga4579 2 жыл бұрын
Waisilam.kazi yenu nijihadi tu.vita hawaishi mioyoni mwenu.mwaka kakosea nini? Maneno alioyasema yako katika vitabu vya mungu.
@afidhusultan4967
@afidhusultan4967 2 жыл бұрын
Nilikuwa nakula nimejibu vibay vibaya nishamaliza nasema ivi mwaka tupo pamaoja mahana wewe unachokisema una kutana nayo katik kazi zako na ujamtukana mtu umesema ukweli allah ndie analipa kama ni uongo allah yule yule kwenu wandamanaji
@juniorvakwa3259
@juniorvakwa3259 2 жыл бұрын
Hasbuna llaahu waniimal wakiil hakuna wa kukudhuru kwa kusema Kweli ALLAH Ndo mlinzi sahihi,wataelewa tu.
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 2 жыл бұрын
Naomba nambazako doctor
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 2 ай бұрын
Mazinge acha uchochezi huo ni uchochezi munamambo ya, siri ukweli nikua hamkusudii dini haswa nyinyi watu wa majini na mapepo munawatibu watu na kuwafanyia machafu
@adamlikati3364
@adamlikati3364 2 жыл бұрын
Mbona hakuna alie Tajwa jina Povu la nini? Wapo wengi maana alie Mkamilifu ni Mwenyezi Mungu tu "
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Wachafu na wasafi wapo wala hujakosea sasa huyo anayebisha ni nani au ameguswa kwa vitendo vyake? Kipi chackuomba msamaha hapo?
@aloycesamba998
@aloycesamba998 2 жыл бұрын
Kwa kweli Mimi nimemsikiliza doctor mwaka mwanzo mwisho sioni Lisa lake Ni Nini!Ila kiujumla sisi binadamu tukiambiwa ukweli hututaki
@bobrona9765
@bobrona9765 2 жыл бұрын
umeongea ukweli mwaka hakuna binadamu asiekuwa na dhami hata kwa viongozi wa dini na siasa,uko sahihi ...shukran...mtume wetu siku yetu siku ya kiama ataomba dua ummatiii ummatiii......
@mwaminmussa9461
@mwaminmussa9461 2 жыл бұрын
Mwaka nakupenda.utaandamana mwenyewe msiambiwe ukweli nyie kama wakina nani
@samwelmwasomola2457
@samwelmwasomola2457 2 жыл бұрын
Upo sahihi ndiomana unaona wakristo hatujasema kitu.
@khamisali5978
@khamisali5978 2 жыл бұрын
Hakuna haja yakuomba msamaha.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 2 жыл бұрын
Mwaka umeongea kweli tupu,Ila hapo tumeona hawa waalimu wa dini the way walivyo wanafiki,ni manafiki kwelikweli
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 2 жыл бұрын
hawa ni wachonganishi tu, mbona dr. mwaka kaongea vzr tu ina maana maskio yenu hayasikii vzr
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 2 жыл бұрын
Hawa viongozi wa dini wengi matapeli tu ndio maana uelewa wao upo chini ..wanahisi makundi wanayoyadanganya wote tupo hivyo . Tens sio wachache wadhambi ni wengi mwaka ...walafi,watamanio,wafirabi,wazinzi mno..
@saumuathman901
@saumuathman901 2 жыл бұрын
Doctor mwaka hajasema makosa. Anaongea ukweli mbona
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 2 жыл бұрын
HIZO SIKU MBILI HAZIJAISHA TU??
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 2 ай бұрын
Huyu dokta mwaka anasema kweli na huyo kibaraghashia yeye mweenyewe haajui uislam bali kajitia kati na utabibu
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
Atandama pekeake nani atakae muunga mkono wanalana hao hahaha ukweli umewagusa pumbavu Ao AZOV
@patriciamkupasi6230
@patriciamkupasi6230 2 жыл бұрын
😅
@tinapius1865
@tinapius1865 2 жыл бұрын
yaan dr mwaka mm sijaona kosa kwako binadam si mkamilifu kunawatumishi wamungu wanamatendo machafu sana wajilekebishe.
@rehemasaid796
@rehemasaid796 2 жыл бұрын
NIMESIKILIZA SIJAONA ALIPOTUKANA WALA KUMTAJA M2, KW HY VIONGOZI WA DINI WANAPOTUAMBIWA TINA DHAMBI WAO HAWANA DHAMBI
@afidhusultan4967
@afidhusultan4967 2 жыл бұрын
Ukisikia buuuu ujue nimepita alijamkosa mtu
@samwa9496
@samwa9496 2 жыл бұрын
hakuna hadi ya kubishana kwenye vyombo vya matangazo heri mkae pamoja muyamalize, hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenye-enzi-Mungu
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 жыл бұрын
Mwaka nImekusikiliza Kwa makini sana na nimefudia kusikiliza zaidi ya Mara 2 sijaona kosa lako zaidi ya kuongea ukweli ukiwa msafi laziama utakaa kimya tu na kuendelea kufanya mafari yasiyo mchukiza mwenyezi .mungu siku zote ukweli unauma
@mwasamiladldm7557
@mwasamiladldm7557 2 жыл бұрын
Hao ndiyo wale baadhi.
@afidhusultan4967
@afidhusultan4967 2 жыл бұрын
Mie binafsi namuunga mono Doctor mwaka na nimemuelewa labda niwaeleze kitu siye ni binadamu atujakamilika iweje mashekhe au l Padri au wachungaji wamekamilika sema nin mie niko na Doctor mwaka Doctor mwaka simamia kauli yako msamaha wa nin
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 2 жыл бұрын
Dk yupo sahihi kabisaa
@tinapius1865
@tinapius1865 2 жыл бұрын
huo sasa si uungwana hakuna banadamu mkamilifu sisi sote tunatakiwa toba.
@mwaminmussa9461
@mwaminmussa9461 2 жыл бұрын
Mwaka upo sahihi. Mashekh wengi ni utopolo mtupu tena waroho wa dunia tuu. Wala usiombe radhi. Hao waombaji dua ndo wachagu mno na tamaa mbeleeeee
@walterngowi5835
@walterngowi5835 2 жыл бұрын
Duuh Dr yupo xahih kabisa wengine wanaokubishia ni masheikhee ubwabwa washapewa kitu kidogo hao wee waingizie tu hivyo hivyo wapende wasipende itaingia tu 🤓🤓
@islander3191
@islander3191 2 жыл бұрын
Nyie mnojifanya mashekhe mbona mafisadi sana, amuombe radhi nani alivosema sawa sawa, tena mashekhe wengi wachafu kuliko wasafi, we mwaipopo nenda kasome dini, na wewe mazinge vl vl, kipoozeo michuzi nini mbona unajiadhirisha, huyo dr mwaka hajakosea hata kidogo, msitake kuleta fitna kwa waislame, nini nyinyi, mnajifanya mdomo mkubwa kuwatishia waislamu wenzenu kwa ukweli walousema, mbona ukweli kuhusu mashia wanavotukana hamfungui mdomo, nyote watu wa michuzi, mnaaibika, wewe mazinge nini majisifu nimesilimisha wakiristo kiasi fulani, hakuna atosilimu kwa uwezo wako mpaka Allah anaemtaka, mafisadi tu ya kweli hamyasemi. Mtawapata mambumbumbu tu, masufi nyinyi na maulidi haya ndio usafi huo. Na shirki juu wacheni kutisha,watu.
@hassaniyahya1054
@hassaniyahya1054 2 жыл бұрын
Mwisho mwaka tutaona mwing
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 2 жыл бұрын
Hao Mashehe wanaomjibu Dr Mwaka ni wachonganishi Dr Mwaka hajasema wote bali ni wachache
@BON357
@BON357 2 жыл бұрын
Kwer mwaka sahh
@samratirashid2273
@samratirashid2273 2 жыл бұрын
Dk yupo sahihi had ata akifa ukweli kasema
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 2 жыл бұрын
Wapo
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
dk Mwaka yupo sahihi ila watu wana Imani za kurithi yy hajtaja mtu Sasa makasiliko ya nn
@yohanaleopoldleopold2572
@yohanaleopoldleopold2572 2 жыл бұрын
Vyuma vimeumana
@rashidyussuf3429
@rashidyussuf3429 2 жыл бұрын
Babu achana nae
@munene-tv.304
@munene-tv.304 2 жыл бұрын
Mjadara wa kiiinga kwel ulicho sema dr mwaka ni kwel
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
Walafi hao
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 2 жыл бұрын
ni wakati wa viongozi wa dini kutafakari mienendo yao na sio kumwogopesha Dr Mwaka
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
Drcta mwaka nakuunga mkono
@khairathntiboya5408
@khairathntiboya5408 2 жыл бұрын
Kweli mwaka umewagusa mashekhe asivi tunawaokopo hata kuolewa nao
@BON357
@BON357 2 жыл бұрын
Mwaka kwer
@BON357
@BON357 2 жыл бұрын
Mznge wawe mzz nn mbona pov shekhe
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
Dokta mwaja sikuoingi wewe ungekua ni muisilamu ungekua sahihi huyu nisie mjua hajui hata kuongea
@abdisalim7900
@abdisalim7900 2 жыл бұрын
Kweli DK Mwaka voongozi wa dini wajitathmini, Na km ni Radhi huomba Mmungu zaid
@abdisalim7900
@abdisalim7900 2 жыл бұрын
SK Mazinge chunguzeni kwa makini maneno ya Dk Mwaka msijifiche kwenye kivuli cha kashfa na hapo haijatamkwa MASHIKH WOTE sio kweli, tujitahidi kuendana na ukweli ijapo unauma
@sebastianzongoro8915
@sebastianzongoro8915 2 жыл бұрын
Kwa nini mnapoelezwa ukweli mnakasirika maana yake kwamba mashehe na wachungaji wote niwakamilifu .kila kukicha tunapata habari mbaya kutoka kwa viongozi wa dini.kubalini kakos0lewa mjirekebishe.tena ninyi mnao piga kelele ndiyo balaa kabisa.
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
Hao mashee wote wanajulikana tunachukia kwakua hatuna uwezo lakini tunachukia tu
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 2 жыл бұрын
Hahahaaaaa, wewe Mwaipopo tulia nondo ziwaingie Barabara. Eti unampa siku mbili aombe msamaha, mbona sasa siku zimezidi? Leo miezi miwili na hakuna kitu, haombi radhi ng'ooooooooooooooooooo
@mariyammaria669
@mariyammaria669 2 жыл бұрын
Ukweli unauma ety aombe msamaha bure kabisaa
@azizrashid7241
@azizrashid7241 2 жыл бұрын
Dr mwaka upo kwenye haki 👳 ukweli unauma
@jumasalim5425
@jumasalim5425 2 жыл бұрын
Doctor Mwaka uko sahihi Dana hao mashekhe ndio hao na ndio waovu hasa Huyo shekhe wa mkoa hafai kabisa ni muovu ndio aliemtakasa magufuli na akaritadi mbona hajaomba radhi na wewe shekhe usimtishe doctor mwaka uko sahihi
@salkhaomar7735
@salkhaomar7735 2 жыл бұрын
Mwaka. Mwachie. Mwenye. kaziyake. We we. Haikuhusu Ninani. AllwA. Pekeyake
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Exclusive:Huyu ndio Sheikh Walid Alhad Kipenzi cha wengi
26:00
Generals Arrested / Scandal in Military Command
12:47
NEXTA Live
Рет қаралды 898 М.
DUNIA (Ep 44)
24:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 139 М.