Kwenye Leo Tena ya Clouds FM Dr Mwaka alikuja kwenye Exclusive Interview na Wake zake wawili kushare story ya maisha yao, magumu walopitia hadi kuipata furaha kama familia na kuushinda uke wenza.
Пікірлер: 775
@winniechidunda7503 Жыл бұрын
Tuliorudi kuangalia upya interview hii like hapa
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Kimeumana sasa talaka
@ghayamjombo6582 Жыл бұрын
Hhhh
@haidhabushiri9558 Жыл бұрын
Hahahahahaha
@christellairadukunda3961 Жыл бұрын
Yani hapa ndio unakutana na muhuni original
@pendo8082 Жыл бұрын
Na kweli kasema tamaa zimemponza
@moseskisingi7696 Жыл бұрын
Wale tuliokuja huku leo baada ya Queen kwenda Bakwata kudai taraka tujuane.... Dr Mwakaaaaaaa!
@uwingeneyeshadia76974 жыл бұрын
Wanaume ndo wachonganishi na wao ndo wapatanishi nilicho gundunduwa dr mwaka ni muadilifu km dini inavo tufundisha Allah akupe maisha marefu na mwisho mwema kaka🙏
@aisharamadhan52574 жыл бұрын
Mashallah mashallah mungu awape upendo udumu sanaa
@silvestajohn43354 жыл бұрын
Hii combination bila hela ,ni ngumuu
@magangakayola41754 жыл бұрын
Of course mzee bba
@jescalutego35084 жыл бұрын
Ahahhh
@sajidabakari98094 жыл бұрын
Haswaaaaaaa
@godfreybenedicto35774 жыл бұрын
Fact umemalizaaaa bro silivester
@africanmom26634 жыл бұрын
True
@zamaradjuma42824 жыл бұрын
Hongela sana mwenyezimungu akufanyie wepesi inshallah
@stanley82554 жыл бұрын
DR. MWAKA,HAPO INABIDI AFUNGUE WHATSAPP GROUP LA YEYE NA WAKE ZAKE KWA AJILI YA KURAHISISHA MAWASILIANO....
@Sangoyamboka4 жыл бұрын
Huyo kijana, ni daktari ya hali gani. Ni upumbafu na uchenzi tu. Tabia hizo niza zamani. Amesoma masomo ya kiganga wapi ? Udanganyifu. Ni msharati .
@emmyaugustine40244 жыл бұрын
Aki umenchekesha sana 😂
@lilianpalanjo24444 жыл бұрын
Haaaaaaaa
@rahimaaaaa56824 жыл бұрын
😂😂😂😂😂👍👍
@blackwiseafrica84364 жыл бұрын
Queen is a very nice lady. I personal know her mashallah
@joynko44504 жыл бұрын
Nimempenda pia
@user-xi1pi4zr3b4 жыл бұрын
Mashaallah Ni sunnah sisi waislam kuoa wawili adi wanne,sio rahisi kuwapatanisha wote na kusiwe na ugomvi hongera bro
@folonatuszongo4754 жыл бұрын
Hongera Dk Mwaka kwa kuwa kidume,Wake zako wamejisitiri Vizuri Hongera kwa hilo.
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Shikamoo pesa, mwenzangu na mimi hata mlo mmoja tu unamsumbua Ata thubutu, mmmh mashallah, hongera sana Dr Mwaka.
@sidratybinkhamis28374 жыл бұрын
Mhhhh😂😂😢
@bibazanzibariyyah50434 жыл бұрын
MashaAllah je Dr unauweza uadilifu ilo NDIO muhimu nawatakia mapenzi ya daima .
@beggehemedi31524 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe ndoa na maisha yaliyobora na wake zako.
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Mashaa Allah mungu awalinde Sana
@fatumaabubakar20634 жыл бұрын
Mashallah nawapenda bure kina Dada Hawa, in sha Allah mungu awazidishie mapenzi
@ismailmjesh83134 жыл бұрын
Bdo ww tuuu.....
@helenamtei74844 жыл бұрын
Kweli nimefurahi maana wapo vizuri kuliko kuficha ficha kila la kheri jamani nimewapenda saaaaaana
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Queen anaakili sana anajua kucheza naakili za wenziwe ndomana mambo yanaenda vzr.
@ahz6907 Жыл бұрын
ANAOMBA TALAKA HUKO, YAMEMSHINDA
@josephinekilungya1889 Жыл бұрын
@@ahz6907 eeh nmesikia
@rasykizanjbari49964 жыл бұрын
Hongereni sana allah awajaze huruma na upendo zaid ya hapo
@janetkimati46453 жыл бұрын
Ukewenza ni maisha ya utumwa sana mmmh
@rahillhamidu25444 жыл бұрын
Yaani wanafuraha Sana MashaAllah mungu awape furaha daima
@minyugeminyuge67534 жыл бұрын
Naam.. dr, asanteee
@zainathcuwimigishazchelsea21134 жыл бұрын
MASHAALLAH Dr hongera , ALLAH awazidishie huruma baina yenu nyote
@tundabure53814 жыл бұрын
Mungu akinipa mapesa namim naoa kwan uhadilifu bila pesa twadanganyana❤❤
@alexanderdustan88724 жыл бұрын
Kwa mawazo hayo Mungu hatakupa pesa
@tundabure53814 жыл бұрын
@@alexanderdustan8872 amiin
@zazizooz4704 жыл бұрын
acha hizo riziki inapatikana
@tundabure53814 жыл бұрын
@@zazizooz470 mmh sitokuwa muhadilifu pesa aikidhi
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Kweli
@joanmagana36824 жыл бұрын
Ongera docta unawake wazuri na wanajielewa.vyema kuelewana maisha yenyewe haya mafupi
@hono12324 жыл бұрын
Hongereni sana !ni ukweli usiopingika kwamba ndoa zenye wake kuanzia 2 na kuendelea ndiyo zenye furaha na amani kuliko za mke mmoja.ndoa ya mke mmoja zina usumbufu na matatizo
@lawrencerichline46714 жыл бұрын
Kwakweli maana sisi tumezaliwa 9 kwa wakina mama 3 tumeishi nyumba moja na tunafuraha sana mpaka kesho
@olivercharles12794 жыл бұрын
Mmh maji ukiyavulia nguo haina budi kuyaoga.
@sherylcarlos25804 жыл бұрын
Uyu Queen kafanana Na Mama tee Zari
@mwajumaabeidy81374 жыл бұрын
Sana ni kweli kafanana na zari
@zezezeze84084 жыл бұрын
dah kweli mm mwenyewe nasema
@mvugojeannedarc37074 жыл бұрын
Kweli
@shamimushittindi14184 жыл бұрын
Ndio
@ebbyramadhani4 жыл бұрын
yes
@deejulesdonatha41074 жыл бұрын
Musa unakatiza the flow of talk banaaah punguza jumping in
@munaahmed84994 жыл бұрын
Masha Allah mke wa 2 ana sura kam zari mama tifah
@mozasaid38694 жыл бұрын
Mashaallah hongera dokta Mwaka Wengine wanaogopa kuoa mke zaidi ya mmoja lkn ana vimada!
@jackyluns9413 Жыл бұрын
Saivi umeona ilipofikia patamu
@mozasaid3869 Жыл бұрын
@@jackyluns9413 Yaani Mtihani mtupu
@ndeletwaswai35304 жыл бұрын
Wanawake wametulia wakati mume anaongea,wanaonekana kichwani zimo sio mapoyoyoo hongera Doctor unajua kuchagua vyumaaaaa.
@saidmj92134 жыл бұрын
Dr mwaka bigup nimejifunza mengi sanaaa
@abdrahamanetoure47044 жыл бұрын
Ma sha'Allah !!!. Ça serait encore plus mieux si vous pouvez le traduire en anglais ou Français Cordialement !
@thakalanimulaudhi94634 жыл бұрын
Doctor umeni inspire na mimi niongeze mke wa pili
@minormine44174 жыл бұрын
Fanya wanne kabisa! Mimi nipo nasubiri.
@sajidabakari98094 жыл бұрын
Una helaaaaa, maana msikurupukie vtu
@rosemarykaloki76394 жыл бұрын
Mimi ninje niwe mke wa Nne
@jasmineshemweta16834 жыл бұрын
Masha Allah ...I wish
@meenalaza4064 жыл бұрын
Masha allah😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@asiajuma83304 жыл бұрын
Pesa nayo inachangia bana khaa kma wenzetu na mie milo mitatu shida uletewa mke wa pili si vita ya maji maji itatokea 🤣🤣🏃♂️
@mamakealizecha93914 жыл бұрын
😂😂😂😂
@asiamerey90814 жыл бұрын
Wajina umenifurahisha maneno mazima hayo
@maryamdounga22904 жыл бұрын
Me sito vimilia nakusanya kilicho changu nasepa
@rahama66794 жыл бұрын
Kweli ulichosema
@princessshannia42154 жыл бұрын
Ndo maana Mungu Aliamlisha kama utakuwa na uwezo oa
@khadijajuma34124 жыл бұрын
Alhamdulilah kwa upendo mlokuwa nao muishi kwa upendo huo daima
@maryanadhan37394 жыл бұрын
Mashallah ♥️♥️♥️♥️
@mouwanahamisi82164 жыл бұрын
Mashaallah.....
@samanthaali8734 жыл бұрын
Masha Allah barka tupu sio tama kkangu dini inaruhusu
@zenababdullah30934 жыл бұрын
Mashallah hongera sana dr mwaka ukewenza siyo uwadui nimeipenda wallah Allah akujaaalie kher
@ramadhannassoro51824 жыл бұрын
BIG UP KWA KUONGEZEKA WANACHAMA WA WAKE 2 USHAURI WANGU TUANZISHE CHAMA LETU TUSHINDANE NA SIMBA SC
@mariamsuleiman4374 жыл бұрын
Mashalla mke 1 anaonekana mke mweye Ekma Na busara nimejifunza kitu kutoka kwake
@silverjosiah39564 жыл бұрын
Daaaa mambo ya fedha tusaken mapene wazeeyaaa💰💰💰💰
@magangakayola41754 жыл бұрын
Daah sure mwanangu kama huna mpunga huwezi kuwa na wake wa pili.
@yahayabakali79124 жыл бұрын
Kweli mwanangu umebonga
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
Another day,Another dollar!. Every 24hra think money and power. if you chase money,women chase you!.hahahaha!.
@oyaminehamza-umar68334 жыл бұрын
Ma Shaa Allah.... pls can it be translated to English
@hamisimsalapai9624 жыл бұрын
Doctor hongera
@jumakasim87844 жыл бұрын
Nakukubal sana wajina jj mwaka
@dearmama78654 жыл бұрын
Inshaallah Allah anipe rizk nifany mathna
@murekatetehenriette14384 жыл бұрын
Queen mrembo kama zari
@jamilasalimvilog67524 жыл бұрын
Sana
@bworldpro4 жыл бұрын
Hongera dr.mwaka lakini nawashauri watu msiige haya kila mapenzi yana aina yake
@mutwalesylvie74433 жыл бұрын
Kweli kabisa
@Binti-wakinyakyusa4 жыл бұрын
Jamani hizi tamaa sio nzuri. Mbona wanawake tunafanywa kua kama vyombo vya starehe na sio kama binadamu wenye hisia.
@dayocha18554 жыл бұрын
Hamna Rebecca mwaipaja
@Binti-wakinyakyusa4 жыл бұрын
Daniely Yona Ndo ilivyo. Imagine wewe Daniel uunashare mwanamke wako unaempenda na mwanaume mwingine. Hayo maaumivu yake sio mchezo.
@dayocha18554 жыл бұрын
Hamna hata wewe huna mpnz mmoja kanusha Kama naongopa
@Binti-wakinyakyusa4 жыл бұрын
Daniely Yona hao wanawake wanakaa nae kisa wanataka hela zake na hawana maslai kwingine. Au ni wavivu kutafuta hela. Lakini mwanamke anaejua kutafuta hawezi ata siku moja kukubali kuumizwa hivi. Na sisi wanawake tamaa inatuponza.
@dayocha18554 жыл бұрын
@@Binti-wakinyakyusa unajitambuwa Sana hivi unampenzi kwa Sasa?
@wardathaji30862 жыл бұрын
Nmegundua kwamba wakirsto wengi hawasapport sababu wenyewe dini yao nitatizo sio kma hawapendi roho znawauma wanawanawake kuzidi waislamu lkn Tatizo dini
@onexofficial95 Жыл бұрын
Tuliorudi huku kuangalie tujuane ila dunia inaenda kasi … gonga like hapa
@evaristmbuya6220 Жыл бұрын
Kisanga
@alexanderjustinkonga64474 жыл бұрын
Mungu aibarikie NDOA hii insha Allah. Nimejifunza pakubwa. Yabarikiwe Matumbo yalowazaa Malikia hawa wa3. Ahsantenii Mno.
@eventelias35664 жыл бұрын
Money power respect
@aproniasanga50664 жыл бұрын
Aiseeee me nimeipenda hii Raha mpaka Basi kuwa mwanaume nu kazi jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hongera Sana dokta mwaka
@hadijasalimu18084 жыл бұрын
Ila bora kaoa manshaallah
@wardaally76444 жыл бұрын
Mashaa Allah
@didaamohsin65944 жыл бұрын
MASHA ALLAH..MASHA ALLAH ALFU..ALFU MABROUQ
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Haha wanachekesha na dokta mwaka anachekeshq
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Kwel anafanana na zari 😊
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Hata mim nilikuwa namfananishaga na zar ndio mwanzo wanaume wanakuwaga wanakataa
@madinarobert49444 жыл бұрын
Nimefulahi sana
@hajimaneno36264 жыл бұрын
kaka umetisha nakupa pongezi na nimfano wa kuingwa
@mwanatz59804 жыл бұрын
Mashaallah
@yahyarajab5254 жыл бұрын
Mm na wa 4
@allymaganga47154 жыл бұрын
Mke wa pili mkali balaaa. Toto zuri
@arafataliomar65704 жыл бұрын
sasa unataka kusababisha ugomvi
@rahmamalika13532 жыл бұрын
Umeonaee na kwann wabii wadogo wanakuwaga na wivu nawakali kulikon bi mkubwa
@kutataslife4 жыл бұрын
She resembles zari
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Usiambiwe queen ni mke mzuri sana Kwa Kila kitu sûrs hata kucheka Hadi raha sûra ni qeen qeen kweli
@mbarikiwambarikiwa39884 жыл бұрын
Wivu ndo huwa unabeba mapenzi ila mi nasema anawapuliza wanatulia, pesa huwa sio kila kitu ndo maana una kuta mtu anapesa lkn ndoa inavunjika.
@yama_virginhairthequeen10654 жыл бұрын
I feel for the first woman let's not lie truly speaking up to today this woman she is not the same it's just life but mmnh
@fatumaabubakar20634 жыл бұрын
It's not because of life it's true and it's something she knows our deen is recommending 4 wives this is natural my dear, I envy them a lot and am proud of them mashallah
@AdhDhikrIslamicChannel4 жыл бұрын
Please can you help with a summary translation
@zuhuramuyinga59534 жыл бұрын
Mashallah
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Mashallah😊🌹
@malcolmxtanzania63704 жыл бұрын
Munira Ahmed Be my second wife so we can accomplish the sunnah of our beloved prophet Muhammad SAW.
@user-uw2fj2xw6s4 жыл бұрын
Hongera sana
@rahillhamidu25444 жыл бұрын
Mungu awape umari amani na subra
@negrowaminoty77564 жыл бұрын
Mashaalaah
@azizakwileka16864 жыл бұрын
Hadi rahaaa jamani.. Mashaa Allah Mungu awalinde sanaaa na awape subra... Jaman wanawake mmependeza mnoo na hijab zenu..😍
@harmonizevevo10924 жыл бұрын
Nivizuri kumuiga dr mwaka 🤞🏃♂️
@jacobndamayape94624 жыл бұрын
Hilo ni jibu au swali?
@rahmamohammed91344 жыл бұрын
Na mm ndo nitakua wa pili 😅😅😅😅
@fatumajumbe73454 жыл бұрын
@@rahmamohammed9134 Atafute hela mwanzo
@sabihaomar13894 жыл бұрын
mke wa pili mzuri mashallah
@chocolatebby684 жыл бұрын
ukijua dini na ukimuamini Allah kil kitu kinakua sawa
@ezekielleonard81604 жыл бұрын
Wanaume wote ni Mbinguni💯💯
@mududdi94504 жыл бұрын
Asisemee tamaa huo apo ametimiza amri ya Allah
@ramadhanimwijage76774 жыл бұрын
Sawa ni amri ya alah ila lazima uwe na shauku kwanza na uwezo wa kuwatimizia!!
@SAM_1634 жыл бұрын
Unazingua bhana Ni kweli ni Tamaa tu!!!!
@mududdi94504 жыл бұрын
Hahaha rud kwenye kitabu chetu one ukiwa una uwezo na kumudu na kuoa mke zaid ya mmjo ruksa. Sasa hyo tamaa yake iko wapi? Engekua amefanya hvo bila kuwepo hyo suna bas ndio tamaa zake tuu za kimwili
@rahillhamidu25444 жыл бұрын
Ndio kwanza ni tamaa halafu amri inakuja
@barkemohamed77604 жыл бұрын
Nasiku zote mwanaume haowi akiwa hana pesa akishaona kachuma na mke mkubwa ss anatafuta wakuja kula naye
@farhatsalum14372 жыл бұрын
Mashallah Allah awaondoleye na hasad
@edinahinju617 Жыл бұрын
Mmmh aisee wanaume mnakosa san
@abdulihamisiissa95844 жыл бұрын
Jamani nimewapenda sana
@murtazantimba42704 жыл бұрын
Uislamu raha sana
@fardhosafahadi50224 жыл бұрын
Masha Allah doctor keep it up Allah awazidishie furaha na upendo kwa wingi
@janeenock23704 жыл бұрын
Ila weweeee doctor mungu anakuona ujue mapenzi ayagawanyiki ujue...kwa upande wangu sijapenda
@saimonmadeni94634 жыл бұрын
Kwaiyo ukitajee wewe
@isaacmafole21364 жыл бұрын
Hawa ni waikristo zats y imekuwa rahisi kupendana sanaaa kwa haraka . Ndio tofauti ya christians na islams
@myname6513 Жыл бұрын
Aliekuja kuja apa kurudia kuangalia Ii video baada ya mke kudai Taraka Gonga like apa
Mtafutie wa Ufanano , Allah Atakupa kheri ya Amaani ya Moyo Wako
@jackyluns9413 Жыл бұрын
Kiukweli nimerudi kuangalia hii interview mmmmh mapenz shikamooo dad queen usije tens weka mapenz mtandaoni ishi maisha private shikamooooooo wanaumeee shikamoooo ukewenzaaa shikamooooo saiv machungu ya ndoa
@elizabethalusa49024 жыл бұрын
That is good
@abbascosmas31704 жыл бұрын
Nimegundua huyo mke wa pili ndo mtu mzuri zaidi, angekua korofi asingepatana na wa kwanza na pia asingepatana na wa tatu
@bffstalkshow66174 жыл бұрын
mh hapana kwakwel🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 siwez kuvumilia kuwa mke mwenza au kuletewa
@esterpromy31834 жыл бұрын
Hata mim
@hamidabwanda72774 жыл бұрын
Huwezi kuvumilia magonjwa akiluletea utayavumilia
@user-xx1yw7jw2p Жыл бұрын
Mke wa pili ni mzuri mashaallah
@teddygabriel56624 жыл бұрын
Shikamoo dr
@joynko44504 жыл бұрын
Shimy pia mzuri
@chizimndalu85374 жыл бұрын
Huyu mke wa pili mbona kafanana na zari mama tee!!?.
@hellenmroso67864 жыл бұрын
Kabisaaa!
@aishaaisha70324 жыл бұрын
Hadi minaona hivyo
@abdulyusuph49884 жыл бұрын
kweli
@prittypritty55614 жыл бұрын
Basi umeniwahi nilitaka kusema hivo hivo
@belinderseduu26654 жыл бұрын
Chizi Mndalu sanaa
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Hakuna mapenzi ya kwel hapo zaidi ya Pesa Ukiwa na Pesa hao Wanawake unaweza hata kulala nao kumi ktanda kmoja na ukasex nao wote kwa muda huohuo kkubwa ni kutafuta Pesa tuuy