jazakkallahu kheir sheikh may you live long bidhinllah
@abcmnbb26104 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Shukran Dr sule Yani napendaga mawaiza yako
@tariqbathawab11473 жыл бұрын
DR SULE USIMFANANISHE MBWIA UNGA NA WANAMARUSHWA NI SAWA NA MASAHABAVHUO MFANO NI UPOTOFU HPO UMEKOSEA .HESHIMA YA MASWAHABA HUWEZI KUWAFANANISHA NA HUYO NA HUYO UNALIPWA KIASI GANI KWELI UWAOMBE MSAMAHA MASWAHABA
@khamisshee51313 жыл бұрын
INSHAALLAH tutakutana nae kwa uwezo wa Allah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@khamisshee51313 жыл бұрын
Afwan
@HassanAli-lt4xm3 жыл бұрын
Dr,sule Masha Allah Kwa Tiba unazotoa Kwa umma
@Ibrahimmoha3224 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@mariamngadoa78083 жыл бұрын
NIMEKUELEWA SANA SANA DR SULE, UNA MAPENZI MAKUBWA KWA MTUME NDIO MAANA UNAMPENDA SWAHABA ALIYEMPENDA MTUME SANASANA
@amadoukimpembe4827 Жыл бұрын
Mashallah
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
❤❤❤ Allah barik
@MrAmissi3 жыл бұрын
Ma Sheikh wa Bongo noma kweli unapimanisha wacheza kamari watu wanakula mali za watu kwa batwi unapanisha na swahaba aya sawa
@mahmouduchiwembi29393 жыл бұрын
Mwenzako kaacha Mali zake zote kunfuata mungu na mtume je ww unamkubaki umeacha Mali ngapi kwaajili ya dini.
@jumanneissa82263 жыл бұрын
Innalilahi wainna irahi rajoon wallah hawawazushi hawasomi? Hivi umtume na swahaba Nani bora tumeambiwa kumpenda mtume kuliko mtu yoyote
@abrarmohamad62503 жыл бұрын
Yaskitisha sanaa. Pengine amekosea tu apewe naswaha
@omariaman7818 Жыл бұрын
Ameteleza kibinaadam
@sadathboutique62533 жыл бұрын
Doctor sule nakukubali sna,achana na watu wa chuki
@maryamshuraim41633 жыл бұрын
DR SULE UNAYUMBA...
@abubakarihamissi41783 жыл бұрын
mm huyu jamaa kuna muda mwingine namuonaga kama kibaraka hivi yaani mnafiki mnafiki Allah ànisamehe kwa kweli lkn huyu nina walakini nae
@muhammadkifakara25733 жыл бұрын
إنالله وإنا إليه راجعون ، Yaani nyie MADAAI uchwara ni khatari sana unaropoka tu ili kuwachekesha wanaokusikiliza ila unachoongea huna mazingatio nacho wala hutafakari madhara na faida zake, Swahaba Abdirrahman ibn Awf unamfananisha na MO Dewji Kisha unaomba ukutanishwe naye kabla ya Mtume !!! ???, yaani ye ni Bora kuliko Mtume, au MO Dewji ni bora kuliko Mtume, KHATAAAAARI KUBWA , NYIE MNAOSILIMU TUNAWAOMBA BAADA YA KUSILIMU ISOMENI DINI YA ALLAH KWANZA JAPO KWA KUONGEA HAMUWEKANI
@muhammadkifakara25733 жыл бұрын
Huenda labda ulighafilika ukajikuta umeropokwa na Domo lako hilo na huenda hujui mpaka sasa, akili ilijaam kufikiria utawauziaje Dawa za KISUNA **HESHIMA YA NYUMBANI** Ila mbona pamoja na watu wanaoendelea ku comment bado umedorora tu hata hujibu ?, MUHIMU KAFANYE ISTIGHFAAR KWA WINGI
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Yani mtihani Sana a naona Bola asikutane na mtume muhaamad sawalallahu alahi wasalam. Sifa zingine hizi
@allycomm15533 жыл бұрын
Kweli kabisa ukhuyya mtihan hawa mashkhe kashasha
@ismailnassor7853 жыл бұрын
Yani dk Sule upo tayari ukutanishwe na swahaba mwanzo kuliko Mtume mm kwa mawazo yangu nahisi umechemka sn
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Sifa a kijinga zitamponza na watu wanamsikilozatu anjiona mjanjaa
@hajaniacharamadhani80743 жыл бұрын
Hata kama sina Ilmu hili sikweli unaomba bola kukutana na sahaba wamtume mbele ya mtume Astaghfirullah Ikiwa kuna Mtu Bola kitu bola kuliko Mtume wallah sisi hiyo Imani yako tunakua tunashaka nao Allayalaam
@amarislam15893 жыл бұрын
وروى البخاري من حديث أنس بن مالك رضي الله عنه أن النبي صلى الله عليه وآله وسلم قال: "لا يؤمن أحدكم حتى أكون أحب إليه من والده وولده والناس أجمعين". وكذلك عن أنس عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: ثلاث من كن فيه وجد حلاوة الإيمان أن يكون الله ورسوله أحب إليه مما سواهما.." الحديث Anas bin malik asema .kwamba mtume swalallahu alahi wasalam amesema.haitimii imani ya mmoja wenu mpaka anipende mimi zaidi kuliko wazazi wake na watoto wake na watu wote.na vile vile Anas radhi za Allah ziwe juu yake amesema mwenye kua na mambo matatu atapata utamu wa iman.awe mwenyezimungu na mtume wake ndio anaowapenda zaidi kuliko yoyote yule ama chochote kile. Hapa kateleza kidogo
@nurdinkamote61783 жыл бұрын
Dr sule yupo sawa kama kuna mapungufu kidogo ni yakibinidamu2 ila kwakazi unayofanya sisi tunaiyona mwenyezi mungu akupe kheri nyingi kwakazi yako inshaallah
@TALLUBOY3 жыл бұрын
Tanzania Waislam wake Wanajua sana sana Wana elim sana sana sana
@rajabuathuman88253 жыл бұрын
Hamna sheikh hapo njoo.kwenye usalafi uisome tauhidi.kwanza alf ukalinganie
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Hahahaaaaa
@abdulmadhimbarak3998 Жыл бұрын
Ww Kuna mahala umemkosea Mungu omba maghfira mapema
@sheikh.abuusamuhath3 жыл бұрын
Shk. Asalam alaikum... hapo kwa kumtanguliza swahaba kabla ya mtume... umekosea shk...
@lugendomwigoha68812 жыл бұрын
Kweli kabisa hapa shekhe sijamuelewa kabisa
@omariaman7818 Жыл бұрын
Ameteleza
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Allah Akbar
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Walillahil-hamdu
@HusseinHamiss-g1o Жыл бұрын
Aaaaa
@rashidikidume63632 жыл бұрын
Naomba unipatie namba za huyu shehe
@nabilsuleimanhaji24373 жыл бұрын
dahh huyu anapotea itabidi swahaba ni bora kuliko mtume huyu xio shekh
@alimash18723 жыл бұрын
Kaka unayumba mbona unatembea vibaya mtu sw wee usionane nae was Kwanza wakati.mtume sw awo masahaba wao ndo.wa.mwanzo wamuone.mtume.alaa
@bashkidana94043 жыл бұрын
Uyu jamaa Kama simuelewi vile swahaba anakua Bora kiliko mtume pole sana ndoo maana mwaipopo alisema we n tapeli Sasa unaanza kututapeli tumpende swahaba kiliko mtume
@ShawejiMohamedmtimbemohamed3 ай бұрын
Wewe unasema ukweri
@abuumudhakkir36883 жыл бұрын
dokta sule kwanza kasome TAUHEED
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Ww umesoma
@abuumudhakkir36883 жыл бұрын
nitakapo kujibu kwamba nimesoma au nikijibu sijasoma itakuaje?
@selemankishema57803 жыл бұрын
Masheikh mizigo ktk uislam sasa wewe mpumbavu unamfananisha tajiri wa kiswahaba na matajiri ambao wala riba wakubwa hivi nyie mnaakili kweli au mnatafuta wawaite wakawape posho?
@zaburi23863 жыл бұрын
Sasa mo dewj anatoa bilioni 20 simba anashindwa kujenga hata madrasa vituo vi 5 watoto wajifunze kuhusu MUNGU uislam kaz kwel
@abuusaad57913 жыл бұрын
Mitume ni bora kuliko muumini yeyote.
@ndayishimiyeabdallah983 жыл бұрын
Huyu jama wa ajabu sana , akutwanish na abdurhaman kabla ya mtume😳😳
@sadiqselengu41973 жыл бұрын
Sasa unafikiri sehemu atakayokuwa aliyetabiriwa pepo yaan suhaba Abdurrahman RA mtume hatokuwepo.... Huyo anayofanya ni kwa ajili ya radhi za Allah na mtume maana hao ndio moja kwake
@kusakisoma31683 жыл бұрын
kaka unakoelekea sasa kuukwaa ubalozi kama siyo gsm ama mo dewj
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mh
@alimustafwa Жыл бұрын
Mashehe wa kibongo wa mchongo huyu
@jumanneissa82263 жыл бұрын
Wallah hawawazushi huyuni jahili Hana akili kabisa someni sunna Soma Quran hakunakulimbe chochote chakukipenda kulimtume salana Salam zimfikie hivi nyie mashekh wanganga mnasoma vitabu vya kiganga ndo mnakua wanafiQ hivi subhanallah hatachizi anakupinga kwahili wallah inasikitisha Sana ndomaana mtume swalalahu ayhiwasalaam alisema tuombe elimu yenye manufaa sababu unaweza kusaoma pia ukawa mjinga kama Sulley sababu huna elimu yenye manufaa
@husseinkazigo61892 жыл бұрын
We ndo mnafiki mkubwa hujamskiliza vzr unaanza kuropoka mtot wakaaba wew