🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA

  Рет қаралды 66,140

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

#islaamic #drsulle #tanzania #live

Пікірлер: 199
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 7 ай бұрын
Jazakallahu kheir elimu tosha. Allah ni mkubwa na mwanadamu wa kwanza kuadhini Makkah ni Bilal na alikuwa mweusi.
@aishathabit3732
@aishathabit3732 6 ай бұрын
Akili za kibaguzi hizi
@ramadhanijuma6522
@ramadhanijuma6522 6 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu ili vizazi viendelee kutoka kwenye kiza cha hii dunia na akikupenda zaidi basi akupe mwisho mwema inshaAllah
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz 7 ай бұрын
Masha Allah Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha sule nakukubali kwaajili ya Allah
@eliasmajambomwinyihaji1335
@eliasmajambomwinyihaji1335 7 ай бұрын
Shukran sana jazakaallah kheir Dr sule nimepatafundisho na manufaa makubwa sana ambayo nilikua sijui ,kisha kwa upande wa historia nasisitiza tu yiende kwa mpangilio najua ulimruka idris .
@ZukraKarunde
@ZukraKarunde Ай бұрын
Mashaalah historia nzuri,hao watoto wa Nabii Nuhu walikuwa wakiume tuu? Wanawake wa kuzaa walitokea wapi, Naomba uendelee kutupatia elimu.
@MWANSITI
@MWANSITI Ай бұрын
Alhamdulillah Allah akulinde shekhe wetu
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 ай бұрын
Asalam aleikum mungu akulinde uzidi kutufundisha kwa yale tusio yajuwa mungu Akubarik akulinde akuondolee maradhi inshallah 🙏🏽
@MakeleleAboubakarr
@MakeleleAboubakarr 7 ай бұрын
Mashaa'allah mimi uwa nafatiliaka xana nijuwe asili ya mwanadamu kwa mdamurefu, leo nimeelewa kbs
@zainabuzainabu7403
@zainabuzainabu7403 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akukinge na Shari zote.
@AlliSaidi-xn3xl
@AlliSaidi-xn3xl 6 ай бұрын
Doctor mungu akuzidishie uweze kuwafunua watu mawazo yao yalio gizani na pia wasio muogopa mungu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 7 ай бұрын
Mashalah mashalah ostazi wng...yani kwa maneno hayo naamin wasio waislam wataslim na watakuwa wameelewa...kama hawajaelewa hawaelewi tena...nyie watu msio waislam naamin mtaslim..uislam ni raha ..mwenyezimungu tufanye tufe tukiwa waislam amin
@thamani5842
@thamani5842 7 ай бұрын
Amiin
@SaeedAzal-zv4fc
@SaeedAzal-zv4fc 5 ай бұрын
Mashallah
@SwafaaKaneza
@SwafaaKaneza 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie umri mrefu asanthe kabisa kwa kutuelimisha n'a kuelimisha wasiokuwa waislam hâta kama iblis ameshachukuwa roho zawo miongoni mwao,hapa Kuna elmu kubwa sana,alhamdulillah kuujua uislamu!!
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 7 ай бұрын
Maashaallah Dr. Sule Allah kwa fadhila zake akulipe inshaallah
@RashidSaid-t9i
@RashidSaid-t9i 7 ай бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie insha allah dr uko vizuli
@surusuru1994
@surusuru1994 7 ай бұрын
Mashaallah weli wang umesisimka majozi yanitoka wallah🤲,
@neemakhatib-z5q
@neemakhatib-z5q 6 ай бұрын
mume wangu anampenda sana hawezi kulla asimsikilize 🎉mungu akupe kheri na imani wa tz wengi ambao wana akili wanaongea vizuri iyo ndo mana yake🎉🎉🎉 ongera dr sulle
@salimhamid9976
@salimhamid9976 4 ай бұрын
From amsterdam with love mashallah
@YusuphKazigo
@YusuphKazigo 6 ай бұрын
Ubarikiwe sn kwa Allah inshaAllah
@eliasmajambomwinyihaji1335
@eliasmajambomwinyihaji1335 7 ай бұрын
Dr history nzuri sana mashaallah Mashaallah Mashaallah ,ila niko na swali baada ya nuhu kuzaa watoto watatu kisha hao watoto wakazaa mataifa mbali mbali ,je kizaz cha Adam na idris kilienda wapi ? Maana akitoka Adam na huyu Adam alikua na watoto atujui ni wangapi ? Kisha anakuja idris sijui alikua na watoto ama vipi ?kisha swali lengine linakuja kwa huyu nuhu alizaa watoto watatu tu je wake zao waliwatoa wapi ,Dr naomba utufafanulie vizur tena hatua kwa hatua ili na mimi kesho nikija kuelezea watu waelewe na kuridhika ,mana Dr sule wewe unaeleza vizur sana history ongera sana tafuta mwanafunzi umfunde vyema.
@kondeabdallah6987
@kondeabdallah6987 7 ай бұрын
Kizazi Cha Adam kilisombwa na gharika ya nuhu kisha nuhu akazaa kizazi kipya..ambayo ndio hao watoto wa tatu waliozaa mataifa mbali mbali...
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 7 ай бұрын
Kwenye safina waliingia watu8 Nuhu na mkewe pamoja na vijana wake3 na wakezao jumla watu8
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 7 ай бұрын
Huyu Daktari mampa Big up😊😊😊
@Kinyozzi1602
@Kinyozzi1602 7 ай бұрын
​@@kondeabdallah6987Kwa hyo nuhu sio kizazi Cha Adam ? Alitokea wapi nuhu
@buu213
@buu213 3 ай бұрын
kwenye safina nuhu aliingia yeye na watu waliomuamini hivyo hakuw nuhu na familia yake pekee
@AmdiniChungulu
@AmdiniChungulu 6 ай бұрын
Mungu akurinde inshaallah
@moureenkamau8697
@moureenkamau8697 7 ай бұрын
Mungu akulipe sheik sule❤❤❤❤
@LucaWanzuki
@LucaWanzuki 7 ай бұрын
Umetisha sana Dr sule
@SalmaIbrahim-ns6wy
@SalmaIbrahim-ns6wy 7 ай бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie moyo huwo
@MaulidMnyamisi
@MaulidMnyamisi 7 ай бұрын
Dokta kauli yako kwa wabunge kuhusu kukemea ushoga imeshapokelewa tena kwa uzito mkubwa. Pia wamasai wa kata ya makorongo wilayani chemba ameipokea na wameitisha mkutano wa dharudha na wameazima kwa masai yeyote atakae fanya ushoga na usagaji wao kama wamasai wamefikiana Kuua. Dr. nakuomba utengue lileombi lako ka Allah la kufa ukiwa na umri wa mika 63. Watanzania na jamii inayokufuatilia kote Duniani tunauhitaji wa kiongozi ka wewe. kwasababu ukifa mapema hatuoni kiongozi wa dini ya kiislamu wa aina yako Inshaallah. Allah akujaalie afya njema riski na umri mrefu uendelee kufanya kazi ya ALLAH
@Mnyalu-q6q
@Mnyalu-q6q 4 ай бұрын
Hongera sana dkt Kwa kutupa maarifa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 7 ай бұрын
Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 7 ай бұрын
Shukran Dr Sule. Nakukubali. Unasema kweli
@kimoyoleteipa81
@kimoyoleteipa81 7 ай бұрын
Mashaallah!!!watu waache kujipodoa kuwa mweupe rangi nyeusi ni dhahabu!
@ShamsaGao-nn1ge
@ShamsaGao-nn1ge 7 ай бұрын
Mashallah darasa zuri sana
@IbraahAbdully
@IbraahAbdully 7 ай бұрын
Mashallah.tabarakallah.shekh
@HaruniMussa-w5l
@HaruniMussa-w5l 6 ай бұрын
Mashaallah
@binumarybinumary3550
@binumarybinumary3550 11 күн бұрын
Asalaam alyku, shekh naomba kujua hapo wale watoto wa nabii nuhu wote walikua wanaume?
@henrysizya239
@henrysizya239 6 ай бұрын
Mimi ni mkristu, naweza kumpinga mengi sana Dr ila kwa hili la asili ya mtu wa kwanza kuwa mweusi nakubaliana nane 100%
@MariamAbdalla-d3z
@MariamAbdalla-d3z 7 ай бұрын
Basi wasipake mikorogo na wasibandike nyele za rasta au wiki kwa k8chwa Chao wasibandike kucha na kope wakubali vile mungu alivyoumba binadamu vile walivyo na tumshukuru mungu sana tena sana.
@RamadanPaul
@RamadanPaul 7 ай бұрын
Mashaallah sheikh
@sapnaochu
@sapnaochu 7 ай бұрын
Mashaallah👌
@SwaumRashidi
@SwaumRashidi 7 ай бұрын
As,alykum nisahihi dokter
@amissishauri-eq7sl
@amissishauri-eq7sl 3 ай бұрын
Manshallah
@hon.zyumaa.h9898
@hon.zyumaa.h9898 6 ай бұрын
Assalamu alaikum, nauliza
@JohnMuhogo
@JohnMuhogo 5 ай бұрын
Dr wewe mwaga huwa nakukubali sana
@jamilakhamisshaaban4752
@jamilakhamisshaaban4752 7 ай бұрын
Masha aa Allah
@mckobatz5861
@mckobatz5861 7 ай бұрын
Mashallah Dr. Sule nimefurahi nimefarijika kuona ukweli unaendelea kuwa revealed kuhusu thamani ya mtu mweusi historically. Ila nina swali hapo kwenye lugha ya kuabudia na mfumo kama ulivyoeleza na kunukuu kuanzia adhana mpaka swala na katika hiyo kuna kumswalia mtume Mohammed SW na kwenye system kuna shahada inayomtaja Mtume je huo ndio mfumo tangu mwanzo? Maana inasemekana uislam ndio dini ya manabii wote yaani hata nabii Isah na wengine waliokuwepo kabla ya Mohammad walikuwa wanaabudu kwa mfumo, lugha na maneno hayo hayo exactly kama inavyofanyika leo??? Kama ndio je Mohammad alikuwako "spiritually" kabla ya akina Adam, Musa, Suleiman, Nuhu Ayubu na wengine? Kama ndio pia natamani kupata ufafanuzi wa kimaandiko
@JazalaRachideMohamede
@JazalaRachideMohamede 5 ай бұрын
Endeleza daaaaawaaaah
@sifamanyori
@sifamanyori 7 ай бұрын
Umesema ukweri mungu akumbariki
@mqabdullahismaily368
@mqabdullahismaily368 7 ай бұрын
Nasikitika kuweka Ombi langu kwenye kipindi am achoo hakija husband na hilo Ombi langu. Naomba Namba ya Simu ya Dr. Ninamaradhi. !! ❤
@SimonNtakobajira-vi3ql
@SimonNtakobajira-vi3ql 4 ай бұрын
kweli,uko mwalimu mkuu...
@ABUNUWASICOMEDIAN
@ABUNUWASICOMEDIAN 6 ай бұрын
Salaam Aleikum. Pia and iko linguine hili hapa linalo dhibitisha kwamba Mtu mweusi ndiye binadamu wa kwanza. Mwanzo 25 :23-26, kiasasi cha Isaaki Essau na Yakobo. Essau ndiye aliye zaliwa mzungu, basi labda ndiye alowazaa wazungu...
@mrfashion1687
@mrfashion1687 7 ай бұрын
Hapa shafii shomari pango hawezi kusogea wala kukutoa kasoro
@Ars-t2k
@Ars-t2k 7 ай бұрын
Nadhani kuna mambo mengi sana ambayo Sulle hayaelewi kuhusu Evolution. Na hii ndo inayo mchanganya. Mimi najitolea kumpasomo sahihi kuhusu Evoulution. Mimi nayeye tunakubakiana eneo moja tu kwamba Binadamu wa kwanza ni Mweusi Mengine.hili ni lakisayansi. Zaidi ya hapo Anahitaji lecture yakutosha ya Evolution anitafute kwa muda wake.
@Ars-t2k
@Ars-t2k 7 ай бұрын
pia si kweli kwamba Wazungu wanasema binadamu wa kwanza ni Mzungu. Vitabu na Chunguzi za kisayansi zinathibitisha Maisha ya Binadamu yalianzia Africa. Na hao wazungu wanafahamu na kukubaliana na hilo.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 6 ай бұрын
Kwa hiyo we unaamini asili yako ni nyani?!
@Ars-t2k
@Ars-t2k 6 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 Wewe pia Unahitaji Elimu ya Evolution.
@Ars-t2k
@Ars-t2k 6 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 ni ukweli kwamba Binadamu tulitokana na mabadiliko yakimaumbile kutoka kwa kiumbe kinafanana na nyani wa sasa. Sisi na hawa nyani sote tumetoka kwenye Chimbuko moja kwa lugha ingine.
@AmdiniChungulu
@AmdiniChungulu 6 ай бұрын
No kaa pembeni we wazungu na elimu yao imekuathiri
@SELEMANITEKETEKE
@SELEMANITEKETEKE 6 ай бұрын
Ingieni katika uislam
@saidramadhan3212
@saidramadhan3212 5 ай бұрын
❤❤❤
@AmitaBatchan
@AmitaBatchan 7 ай бұрын
Dr mwenyezimungu akujazie mema
@RamadhaniWaziri-v2p
@RamadhaniWaziri-v2p 7 ай бұрын
Mashallah........
@KiduoMasimba
@KiduoMasimba 7 ай бұрын
Doctor akulinde na akupe ulinzi wake @ shekh me nnaswali tunapo maliza swalaa tunatoa salam "asalam alleykum" kwann? Na ile salam tunamsalimia nani?
@habibukalema3127
@habibukalema3127 5 ай бұрын
Tunasalimia malaika2 ambao wale wanamlimda akiwa dunian
@AmisiReddy-dd8gi
@AmisiReddy-dd8gi 7 ай бұрын
Takbir
@MakeleleAboubakarr
@MakeleleAboubakarr 7 ай бұрын
Nimenufaika saaana kbs
@surusuru1994
@surusuru1994 7 ай бұрын
Kiarabu❤
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 7 ай бұрын
Naongeza ufafanuzi zaidi. Binadamu ameumbwa mwa vitu 4 vyenye mgawanyiko maalumu navyo ni Udongo, Maji, Hewa, na Moto. Hivi vipo ndani ya mwili wa binadamu, HEWA ni pumzi, MOTO ni body tempreture Udongo ni mifupa n.k
@ABEDISAIDILIGOMAABEDISAIDILIGO
@ABEDISAIDILIGOMAABEDISAIDILIGO 6 ай бұрын
Sana tumejifuza
@RashidMatumla-vf4hs
@RashidMatumla-vf4hs 5 ай бұрын
Alhamdu lillah
@MukhtarBurah
@MukhtarBurah 7 ай бұрын
ASANTE SANA KWA KULIFAHAMU HILI PIA NATAKA KUWEKANA WAZI MTUME WETU MUHAMMAD S.W.A. ALIKUWA WARANGI GANI?UTUWEKE WAZI WEWE DR.SULE.
@hatibuahmadi7237
@hatibuahmadi7237 5 ай бұрын
Alikua anarangi hafifu kwakwetu sisi watz tuna ita chotara hakua mwepe pee kama papai alikua na uafrika kupitia nabii ismail
@shaghalinguva6364
@shaghalinguva6364 3 ай бұрын
Mm nauliza naomba kujua uhalali wa kula mnyama poli ( kwenye kuchinjwa).....kam mnyama kanaswa na mtego n akafa bila ya kuchinjwa je n haral kuliwa ??? Na je kintakiwa nn kifanyike....??
@kingofjungle510
@kingofjungle510 2 ай бұрын
Mbona hao madiko ya Al hijir 15:28 siaone
@TibaisaTalla
@TibaisaTalla 3 ай бұрын
Kwani
@hon.zyumaa.h9898
@hon.zyumaa.h9898 6 ай бұрын
Mfano: Tembo kizanzibari ni tusi, umri ni tusi, dr. Yupo sawa hapo
@MohamedHalake-cy8bh
@MohamedHalake-cy8bh 7 ай бұрын
Ni Mohamed halake kutoka Kenya mola akulinde Dr sule
@roberthyela5239
@roberthyela5239 6 ай бұрын
Unataka urudishiwe lugha safi, kwani dunia ishateketezwa kwa moto? Dunia ikiteketezwa kwa moto, baada ya hapo ndo itarudishwa lugha iliyosafi. Mnaulizana kisiasa na mtangazaji na yeye anajibu kisiasa.
@DastanfrankMsindo
@DastanfrankMsindo 6 ай бұрын
Huyu mwana dam wakwanza AmBAR mweus alikua nch gan
@sharifusagire7231
@sharifusagire7231 7 ай бұрын
Mie niko musoma ila mie ni maskini nawezaje kupata jini mzuri anitoe kwenye umaskini uliyo kidhili kwangu?
@MussageAiuba-k2b
@MussageAiuba-k2b 6 ай бұрын
Mimi Ally❤ nakukubali ila😂 kwenye majini nakupinga Muhammad sw je" alitumia majini kupitia kipato kingi
@aishathabit3732
@aishathabit3732 6 ай бұрын
Historia kama hizi za kutungwa tungwa huwa ni akili najisi za kibaguzi Uislam upo mbali na akili chongo hizi za kirangi Ama misikitini hakuna wanao bishana juu ya rangi ya binadamu wa kwanza
@KelvinMlay-mi7kc
@KelvinMlay-mi7kc 7 ай бұрын
Kweli
@kisakamangachi4768
@kisakamangachi4768 7 ай бұрын
Kama Nuhu alikuwa mweusi ikawaje azae watoto weupe?
@mbarikiaally2814
@mbarikiaally2814 7 ай бұрын
Swala kila nabii kapewa zake kwa idadi yake
@NursinKabora
@NursinKabora 29 күн бұрын
Na dini n ya mtu mweusi hawa wanasema din n za weupe wazungu na waarabu wajivunie kuwa ustaarabu umeanzia africa. Na mzungu anamhofia mwafrica mana africa ndio chimbuko halisi
@FundiAyo
@FundiAyo 7 ай бұрын
Dr hapoado ujaelezea historia ya AFrica kisayansi bidam wakwanza uligundulika unyayo wale miaka mingi sana haijakaa sawa hio history haya hawo watt walizaa bila wenza
@fredericmbokobest
@fredericmbokobest 6 ай бұрын
Nikiwa mfuatiliaji wa hiki kipindi ambocho kichwa chake kilinipa shauku zaidi ya kufuatilia, na kusema ukweli mwalimu alianza vizuri akisimama kwenye Mada, lakini alipofika sehemu ya lugha, basi mwenyewe yaani kama alijivuruga kidogo na hiyo kusababisha kwenda inje ya mada. Maana kama lugha ya asili ya mwanadamu ilikuwa Kiharabu, je sasa wa harabu ni watu weusi? Maana sijui kama inawezekana vipi, watu wote wawe ni weusi (asili) kisha lugha yao iwe ya taifa lisilo kuwa nyeusi
@rjmoirati7242
@rjmoirati7242 5 ай бұрын
Huyo ni kumatu dawa yake Ndacha
@Mnyalu-q6q
@Mnyalu-q6q 4 ай бұрын
Sasa sheikh ham shem na yaphet wake zao waliwapata wapi?
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 7 ай бұрын
Uache ushirikina Na utubie kwa Allah na abainishe
@hatibuahmadi7237
@hatibuahmadi7237 5 ай бұрын
Wewe wahabi Acha ujinga wewe soma acha kushikiwa akili unajua nini maana yaushrikina ? Soma wewe Acha mihemko
@ErnestSanga-u3i
@ErnestSanga-u3i 6 ай бұрын
Vitu vingi unajua tena kiufasaa
@chokandahaza3565
@chokandahaza3565 6 ай бұрын
Unaleta story sio maadiko huna kitu
@abubacarsobo8981
@abubacarsobo8981 6 ай бұрын
Na ndio maana africa tuna lugha nyingi kuliko watu weupe Kwa sababu sisi ndio Wa kwanza
@JacklineMukunzi
@JacklineMukunzi 6 ай бұрын
❤ NIUKWERI PIA ASANTE IRA UMEKOSEA UMEONGEA VIZURI KISHA UKASAHAU MADA UKORONI .WADINIYAKO UKAKUBARI KUKUTAWARA DAKIKANYINGI UKATUPA MADA 2 WAZUNGU WANCHINA WA HINDI HAO HAKUNA. HAISLAM WAO. WA NA MADINIYAO. CHINA DINIYAO NI. MUDASM HINDIA DINIYAO NI. HINDRU . WAZUNGU DINIYAO NI UKRISTO KWAHIYO. UKIONA WA ISLAM MWENYE INCHI ZAO. INAKUA. NI SISI WA AFRICA. TUKO WAKORONI WAWA ISLAM TUNA SWARIA KURE MU MOSK SIO WAO .sasa RUGA HIYO imeandikwa itaongerewa SIO charabu wapi. NI kuwa na. Imani. Moja ndo mwenyezi MUNGU. ARIONGEREA. TUKISEMA VYA MARUGA. MATAIFA MENGI WANATUMIKISHA KINGEREZA WAZUNGU. WATATAWARA KWAKUA KWAJU WA KRISTO NI MATAIFA KAMA YOTE DUNIA. IRA WARABU. WARI KAMATA. WA AFRICA TU TUKASAMBA DUNIA IRA. TUNA BAKI. NI SISI TU MATAIFA MENGINE HAYAKUBARI WISILAM. NA HUYU NI UKWERI NAONGEA NA NDO JISI IRIVYO WISILAM NI WETU TU WA FRIKA NA WARABU TU TUACHE. KUJIDANGANYA NA KUDANGANYA. WENGINE NA SISI WENYEHAKIRI. TUSIDANGANYWE. NA UKORONI WA MADINI NA KUDANGANYA WENGINE KWA MAMBO ANAONEKANA .. IRA. AYO MENGINE UMEONGEA NI UKWERI SISI WA AFRICA TUKO ORIGINAL
@ImanikhatbMussa
@ImanikhatbMussa 6 ай бұрын
Jitahd kuandika kiswahili fasaha
@rjmoirati7242
@rjmoirati7242 5 ай бұрын
Dr.Sule anasem biblia sio kitabu cha Mung sas anatafuta vp ushaid kweny biblia??
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 5 ай бұрын
Mule kuna maneno ya Mungu ambayo ni ya kweli lkn mengne yamepotoshwa so anaenda na yale abayo yako sawa lkn hakuna nabii aliyekuja na bibilia
@OmaryAlly-vw3ue
@OmaryAlly-vw3ue 6 ай бұрын
Sasa hiyo ni biblia ama injili tujuze maalim?
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 7 ай бұрын
Mtu mweusi alianza baada ya gharika ya Nuhu soma vizuri utaona na aliitwa kushi yaani mweusi .,
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 6 күн бұрын
original inatoa copy lakini copy haiwezi kutoa original. Daah. hii kali. 😂😂😂😂
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 7 ай бұрын
Na makafiri wanabisha tu kusudi lkn ukweli dini ni islam tu akuna nyengine
@masoud-d2n
@masoud-d2n 7 ай бұрын
bado hakuna aya inayosema mtu wa mwanzo alikua mweusi bicoz ata spam wote ni weupe lakini wana toka watu wa rangi nyeusi na nyeupe kwaio ata udongo ulikua mweusi lakin inawezekana binadamu wa kwanza alikua mweupe ata kama udongo ulikua mweusi
@husseinmbega4227
@husseinmbega4227 5 ай бұрын
Mtu mweusi watu weupe wanaamini ni shetani
@seiphyahya5353
@seiphyahya5353 5 ай бұрын
Dr. SULE kuna baadhi ya wataalamu wamesema kuwa MTUME WETU SAW PIA ALIKUWA MWEUSI. NI KWELI ?
@husseinmbega4227
@husseinmbega4227 5 ай бұрын
Kama mtu mweusi ndio wa kwanza mbona hana akili yupo kama mlemavu yupoyupo haeleweki mwizi Malaya chizi mtambo sheh angalia vizuri
@DialogueplatformPlatform
@DialogueplatformPlatform 27 күн бұрын
😂😂😂
@eliasmajambomwinyihaji1335
@eliasmajambomwinyihaji1335 7 ай бұрын
Dr sule wakat malaika anachukua mchanga au udongo alichukua sehemu tofaut sindio ,kwa hali ya asili mtu yoyote huku Africa lazima akizaa hakosi mtoto mweupe na mweusi na maji ya kunde ,Dr sule swali langu ni hili kwanini quran ilikuja kwa njia ya kiarabu ?kisha Adam alikua anazungumza lugha gani ,ninavyo jua baada ya kuumbwa Adam ndio malaika waliulizwa wataje majina vile vitu wakashindwa na Adam akavitaja,sasa ilikuaje kuaje mpaka ikakuja quran ,mtume akapewa swala tena na nyuma Adam alikua anajua kila kitu na alikua anaswali swala hizi hizi ,si hao mitume wengine walikua wanapokezana ?
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 7 ай бұрын
Adamu kipindi anaulizwa hivyo vitu hakuwa duniani bali alikuwa peponi kwa Allah na malaika zake na lugha ya ibada ni Kiarabu na lugha ya peponi ni Kiarabu ndiyo maana Sheikh anakwambia kwamba lugha iliyotumika hapo mwanzo ilikuwa ni Kiarabu baadae alipokuja Nuhuu na watu walipotaka kujenga munala wa kwenda mbinguni ndipo Allah alipowabadilishia lugha automatic kila mtu alijikuta anaongea lugha yake ili wasielewane katika ujenzi haramu huo lakini katika andiko hilo la Bibilia Mungu alisema kuirejesha lugha moja ya ibada moja katika ulimwengu wote ambayo ni lugha ya Kiarabu na hili liko wazi halihitaji kuoneshwa andiko Mimi leo nikienda Kenya nitaswali na Waislamu wenzangu Wakenya,nikienda Kore hivyo hivyo,nikienda Misri namna hiyo,nikienda Congo naswali bila shaka yaani Dunia nzima !
@salimabdul4424
@salimabdul4424 7 ай бұрын
Kwa hiyo vitabu vyote vya mitume vipo katika lugha ya kiarabu
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 7 ай бұрын
@@salimabdul4424 Hapana sio Kila Kitabu kilikuja na lugha ya Kiarabu na sio Kila Mtume alipewa Kitabu !
@aishathabit3732
@aishathabit3732 6 ай бұрын
Ana nukuu bible sijui Sesi na nani Huyu Sule hajui bible ni uzushi nanuongo ? Huyu sio msomi wa dini Huwezi kunukuuu makorokocho kwenye bible halafu utumie kwenye kusomeshea uislamu
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 7 ай бұрын
Swadacta
@SalumBamba
@SalumBamba 7 ай бұрын
We selemani wee,, mashaalwa tupe elmu huna ghiyaana sleiman
@topeng.1506
@topeng.1506 7 ай бұрын
Naomba kujua ni Lugha gani aliyoiongea nabii Adamu na kizazi chake?!!
@kiberengegora2407
@kiberengegora2407 6 ай бұрын
Ukovizuri
@mmasaalonda499
@mmasaalonda499 6 ай бұрын
Swali umesema hamu diye mtoto wapili dio sisi wa africa Nadiye mtoto aliyeona uchi wa baba yake tumelaaniwa na babu nuo kwasababu baba yetu hamu aliona uchi wa babaye ?
@LameckHossen
@LameckHossen 6 ай бұрын
Asente
DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 2)2024 ISRAA NA MIRAJI
54:06
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
KISA CHA MKE WA MTUME MWENYE MKONO MREFU //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:12
arkas online tv
Рет қаралды 75 М.
KISA CHA ISRAAH NA MIRAJ PART TWO//DR.SULLE VS MUHAMMAD AL ALAW
1:35:55
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 4,1 М.
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Mbengo Tv
Рет қаралды 52 М.
DR SULE - MAAJABU YA NABII MUSSA KWA FIRAUN- MUENDELEZO HUU
28:39
HAJI ONLINE TV.
Рет қаралды 40 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН